Is this the video inasemekana ,meneja aliharibu ?sisi hata ikiwa giza,tutaifanya itrend,meneja,unayompangia mama wetu,back to sender,husikii akiimba,mungu ashughulike nao,atashughulikia walioenda kinyume cha huu wimbo,washindwe in Jesus name
Woow Rose muhando you are a blessing to many in heaven this will be the only task tuzidi kusupport waimbaji shalom mungu alikukumbuka tena kama vile Hezekiah aligeuka ukutani naye aliongezewa miaka ya kuishi vivyo hivyo nawe injili naona unaipeleka kiwango kingine....shalom our lioness🙏🙏🙏🙏
Hivyo hivyo hata kama producer alilipwa akuaribie huu wimbo tutaisikza bado na tutaifanya i trend..kama mbaya mbaya..Rose you are the queen of the gospel
👍👍👍👍kama mbaya mbaya this will trend more than your other songs,,,,,,mama wacha mungu......tunasikiza message na sauti picha wachia producer ajipambe nayo
Amen there is something I'm expecting this year and many of my family members will cry not because of joy but shame for the lord I serve is going to see me through 🙏
DEAR ROSE MUHANDO YOUR SONGS WILL NEVER GET OLD IT WILL BLESS OUR GENERATION PLUS GENERATIONS TO COME KENYANS LOVE U SOO MUCH🇾🇪🇾🇪🇾🇪🇾🇪🇾🇪 NIFIKISHENI 1K PLZ
Mummy,,,,,,,Mungu akulinde siku zote na pia akupe nguvu nemaama ,,,,,,waaaa kanyageee hadi wapoteleia mbali sana....natazama kupeteia rununu ,nukutazama kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,,,,,,,twakupenda sana Mama ....❤❤❤❤.
Rose is more appreciated in Kenya than anywhere in the world....even when she was at her lowest point ...kenyans took her in like our own she is❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rose Muhando, you're a blessing to Africa... especially Kenya 🇰🇪 in particular...May God promote you from one glory to another...Be blessed! Love from Kenya 🇰🇪
Kweli Wacha mungu ashughulike nao waliotulipa mabaya
Wa kwanza kuiona,wapi likes
This is a perfect musician
Kabisa,uko wapi
Wakenya kujeni hapa tufanye hii song I trend number one venye tlifanya secret agenda 🔥🔥 twende kazii🥳💓
Kumbe rose ni Mkenya 😂😂😂😂
Wacha itrend, kama mbaya mbaya...
@@rosemuba2532 Ndio ni mkenya 🥳🥳
@@rosemuba2532 yeah,ni dadangu mkubwa😂
Exactly 💓💓
Hizi ndo nyimbo za rose mhando nakuombe utowe kama 10 kama hizi huu mwaka mimi staki tena pombe jaman 😢😢
Wale wanapenda Mungu hamnipendi,jameni?Basi kwa sababu ya Rose Muhando si mnipe likes jameni ?
Huyu ndio Kiboko ya Gospel na Bongo Fleva yote 😅😅
Uuuuwi🥳🥳🥳👏👏. Malkia anahitaji nduru moja safi na makofi. Hii energy twanga like kama unamuombea asizeeke💪🏿😊❤️❤️
Amen
Amen Amen 👏👏🥳🥳🥳
Amen MUNGU aendelee kumtumia #Rosemuhando#Ibrahimuimani#moyowasubira
Akifa haozi huyu😃
moja safi wacha mungu n mbingu si shughulike nao❤❤❤❤
Wangapi wamekuja huku baada ya kusikia kilio Cha Rose kwa Jose!!!! Songs mbele Rose wimbo mzuri sn! Mungu atakulipia
Am here
Am here too
Mimi hapa
Mm hapa
Mim hapa
On board... Tubarikiwe sote. Team Kenya kujeni!
Nimefika broo🙏🙏🙏🙏
Tuko ndani
The message is very strong
Lo😊@@terryscoffer
❤❤moto unarudi mahali pake ubarikiwe saana mtumishi wa Mungu
Kenyans in the house piga like tukisonga mbele...
Kama mbaya mbaya acha itambe 🥳🥳🥳 Rose akiimba hata jua hutulia kusikiliza. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kweri ni nzuri
Na kubali
Hakuna km Rose muhando kwa waimbaji wote
Wakenya wenzangu munipee likes za queen thanks be to God amerudisha nyota ya rose am blessed with your songs 🔥🔥❤️❤️ keep going rose
Mama mungu a kulinde sana kazi mzuri kabisa, pika likes apa juu ya yesu 🇨🇩✌️🇨🇩
Dancers wa Rose muhando wamekanyanga vilivyo...wee❤❤❤😂😂😂
Huyu rose muhando is on 🔥 fire. Hata Tanzania 🇹🇿 itie chuki, huyu ni wetu sisi Kenyans 🇲🇼. We already 👍 adopted her. Na hatumwachilii. Millions likes
haiondoi yeye kuwa mtz angezaliwa tz asingekuwa na kipaji hiki angezaliwa kenya angekuwa labda mwanariadha
wakenya mnasema rose ni wenu lakini anayoyahubiri wala hamuyafuati nanyi ni mafisi tu..mpigwee🤣🤣..hata mlima kilimanjaro mlisema
wenu
Kabisa,huyu mama nyimbo Zake inabariki sana ,Maulana ampe nguvu
Mungu azidi kumzidishia nguvu ya huduma
Kila ukinipa like narudi kuangalia Hii nyimbu nzuri❤️🥰✊🏼
Rudi tena 😂❤️
Narudi tena
What's the real source of your Power?
Hello
❤🎉
Ndio nimeskia leo kwa mix flani . Hii inafaa kutrend haki 🔥 🔥.
Wacha iwe mbayaaa
Rose ni mkenya,ni first born wetu😂Good job
😄😄kabisa
Walio kuja hapa baada kuona TikTok Rosa muhando akilia video kuwa mbaya na watu kutoonekana piga like twende
Kenyans are not jealousy .oneni jinsi tuna support waimbaji wa kila pande❤❤❤
Mm ni Mtanzania Bt na wapenda wa kenya❤
Rose nakukubali sana huna shoo mbaya mambo yako ni motooooo
Us Kenyans approve that this is fire🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Is this the video inasemekana ,meneja aliharibu ?sisi hata ikiwa giza,tutaifanya itrend,meneja,unayompangia mama wetu,back to sender,husikii akiimba,mungu ashughulike nao,atashughulikia walioenda kinyume cha huu wimbo,washindwe in Jesus name
Wacha Mungu amshugulikie meneja
@@terencesang amen
Sure!
Kenyans let's make this woman trend!!..
Rose umekuja kivingine kabisa...🖐
Kama kuna mtu anaona kama mimi ngonga like👍🏿
Kabisaa I love the come back of this minister of the gospel
Kweli kabisa Yan kaja kivingine
Kwel kabsa bishop
True
Yeah its true brother
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪uibaji wako Huwa unanibariki sana♥️♥️
Woow Rose muhando you are a blessing to many in heaven this will be the only task tuzidi kusupport waimbaji shalom mungu alikukumbuka tena kama vile Hezekiah aligeuka ukutani naye aliongezewa miaka ya kuishi vivyo hivyo nawe injili naona unaipeleka kiwango kingine....shalom our lioness🙏🙏🙏🙏
Nani yuko hapa DEC 2024? Acha Mungu ashughulike nao🙏
Mimi hapa
Napenda vile huyu mtumishi anacheza na maneno.utukufu kwa mungu wetu ndio YESU
Hivyo hivyo hata kama producer alilipwa akuaribie huu wimbo tutaisikza bado na tutaifanya i trend..kama mbaya mbaya..Rose you are the queen of the gospel
Can't get enough of this song
Aki...ata hakuedit aki... Aki ajuwe Mungu si mtoto wake
Huyo Jose producer amemkosea Rose na wakristo wote...Watu ni waovu kweli
Producer anajikuta learner, sijui anabifu na wacheza kwaya mana amewaficha kabisa wasionekane
Mungu atashungulika kama venye wimbo imesema ana bahati
Talent nayo.......oooh mama nakupeeeeenda🥰❤❤❤❤
Ooh my she is the real queen of gospel😊👸Kenyans in the house..... Any like nakam kuwatch tena please be my reminders by liking😅😘🥰🥰🥰love you all
Yes
Honestly .. Kenyans are the best fans and supporters .... Much love from tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Songo mbele Rose Yesu yuko Enzini
Mwanga vumbi ya njili
God bless you 🙏
Hii ndo vedeo iko sawa rose usijali
Ubaya Kenya Wana support WA tz wanaaja wao
Kabisaaa
Tz support for kenyan talent is a different story though
👍👍👍👍kama mbaya mbaya this will trend more than your other songs,,,,,,mama wacha mungu......tunasikiza message na sauti picha wachia producer ajipambe nayo
Mambo yewezekana, yakiwezekana na bado yawezekana. Amen
*To that one soul reading this,GOD is preparing a table for you in presence of your enemies in Jesus Precious Name.Amen💗*
Amen there is something I'm expecting this year and many of my family members will cry not because of joy but shame for the lord I serve is going to see me through 🙏
Amen
Amen
Amen
Big Amen 🙏🙏🙏
DEAR ROSE MUHANDO
YOUR SONGS WILL NEVER GET OLD
IT WILL BLESS OUR GENERATION PLUS GENERATIONS TO COME
KENYANS LOVE U SOO MUCH🇾🇪🇾🇪🇾🇪🇾🇪🇾🇪
NIFIKISHENI 1K PLZ
Menemene tekeli peresi Amina Rose umbarikiwe
@The ironlady 254 done dear
I'm your no 569
Hit the notification bell ndo subscription isitolewe
@@lucywairimu9695 nipitie plz
@The ironlady 254 done
I'm your no 569
Hit the notification bell ndo subscription isitolewe
Pitia kwangu nipitie kwako
Nimeamin naeza dance dancer ya madancer wa rose wanacheza God is good 🙏🙏🙏turinge na Rose kama wakenya
Moto wa kuotea mbali ongera rose. From kenya
My best song kwa zote, Rose has done it again 🔥🔥🔥🔥
Nakubali
Unaesoma comments huku unautizama wimbo huu najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏
🤣🤣🤣👍
Huyu mama anaimba jamani duuuuh... Nilimiss sana hivi vitu vyake. Kama unamkubali Muhando Rosyyyyyyyy gonga like hapo chini kwenye comment yangu.
Yaaap
❤❤napenda Sana nyimbo za rose muhando....such a blessing❤❤from kenya
Heheeee acheni maadui wwtu wapgwe jaman mweee
Napenda Sana nyimbo zako rose kama tuipakue ❤❤❤
Kanyaga Kanyaga adui woteeee🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Malika Rose, you quote bible so well, it reminds me of apostle Kyande. Taftaneni mtupee colabo injili isonge mbele kabisa ❤️❤️❤️❤️🙏
Born in TZ 🇹🇿 Adopted by Kenya 🇰🇪
Much love and support from Kenya 🇰🇪
Much love 🌹
I just want you to know how many I have been doing this week for the last
I salute our neighbours Kenya love from 🇹🇿
This Lady is on fire 🔥🔥🔥.
Kenyans 🇰🇪 are camping here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Am really happy,kama mbaya mbaya🙏🙏🙏. Today I saw you live in Mlolongo.
Kama Unaamini Rose muhamdo ni Queen Kwa gospel dunia Mzima,,,weka like hapa,,,na share kwa mtu mmoja✔️✅
Ninampenda rozi muhando tangu nikiwamtoto ninamuombe kwamungu amlinde
Ndio namkubal ♥️♥️♥️
Thaks mama kazi iko poa
Dunia nzima🤔🤔🤔
This is not gospel song period.satan agents hidden secretly in churches and fools don't see wake up church!
I thought secret agenda is the best..only to watch this masterpiece 🔥🔥...oyaa... makofi kwa Rose🌹...afu Kenya twakupenda yetu yote
Uuuui our mum rose amefanya Ile kitu, guys let's make it trendhere in Kenya, if you love the song gonga like tukisonga🔥🔥🔥🔥💯
Ongera rose hii nyimbo naipenda sana sijui ata kwa siku màra gapi
Our Queen 👸 👑 has done it again 👏 👏👏👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Simba wa Gospel 🎵🎵🎤🎤
To those who will be there 2070 ,,just know that Rose Muhando was the best gospel artist ♥️♥️ during my childhood and now am all grown 😁🙏☺️
I will be there I'll come back to read your comment😁🙏
It's true 👍
Nani kama Muhando Rose Kama mbaya MBAYA
@@faith5489 😁😁😁🙏🙏 thanks baby gal 😘
Point taken
Nakupenda bs nifundishe na Mimi nimjue mungu kama wew.mama
Malkia wa nyimbo za Mungu,Kenyans we support you ❤ ♥.
This woman is back bigger and better. God really restores.
Sure
He does
Was thinking the same thing.... Wow God truly restores
Another time I say rose muhando is a goat 🙏🙏🙏 I respect you more ✌✌ mummy💙
Energy mwanzo hadi mwisho hapa hakuna mchezo😂❤
God continue to lift you more high and you continue to bless our soul,Rose we Love you soo much us Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rose muhando the all world 🌎 loves you, am singing this song like crazy, barikiwa sana. Love from USA 🇺🇸 ❤️
We love you from Nigeria 🇳🇬 sister sister🌹
Well done ubarikiwe sana
The second guy from left, weeeh🔥🔥🔥
Eagerly waiting momma🥰🥰May God expand your territories,
Our adopted sister,mom,and gospel artist we love you more 🇰🇪
Rose Muhando is indeed a hardworking artist. Ngoma safi! Kama mbaya mbaya! Wapi likes za Rose? #emmanuelbrownke
Malikiya wa nyimbo za injili kabisa❤
Mama,unabariki sana
100% approved by Kenyans,Kenyans piga like tukisonga,kama mbaya wacha I we mbaya
Rose amekuja na full force hit after hit 🙌 ✨️
Weeeee is the ending for me weeeeee ata shetani hawezi kukaribia ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rose is the only Gospel minister that will NEVER lose her relevancy. She's such a blessing to the old and young generation 💜💜💜
Hi
@@Jameskimanthi4799 hello
She is annointed🎉❤!
99% of Kenyans will go to heaven.
We are the promoters of Tanzania gospel songs.
Nani wa kupiga?
I hope you are not among the remaining 1%
Hakuna wa kupinga
Amen
Amen 🙏
That's for God to judge
Walai Rose mhando Mungu akubariki sanaaa na uzudi jutukuza Mungu🎉...l wish me piah ningekuwa na talent ya kuimbia Mungu❤❤
Wueh!!! I really admire this woman, Kenyans in the house 👍💃💃🙏
ROSE WEWE UNAUGONGA MOYO WANGU Acha Mungu Akutumie Vyema Kueneza Kazi yake Hii 🔥🔥🔥🔥💥💥💥Mambo yamekuja 🔥🔥🔥🔥 I Looked from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Our queen of gospel💃💃💃💃💖😍😍
Kumbe uko hapa na nilikuona Kwa comment ya mkisii wetu ukisema ety rose ameimba kama mbaya mbaya ndio maana ulitoa uku ukapeleka Kwa jay
Mummy,,,,,,,Mungu akulinde siku zote na pia akupe nguvu nemaama ,,,,,,waaaa kanyageee hadi wapoteleia mbali sana....natazama kupeteia rununu ,nukutazama kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,,,,,,,twakupenda sana Mama ....❤❤❤❤.
A very hot song kama mbaya 🔥🔥kanyaga kanyaga kanyaga kanyaga💃💃 much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇹🇿 wapi likes za mama yetu Rose muhando 👍
rose muhando she is always on another level
MUNGU akubariki
Was eagerly waiting for it finally 🔥🔥🔥🔥wapi likes za mama Rose
Hii ishaingia mpaka Kwa damu🔥🔥🔥📌kama mbayambaya
Nani kama Muhando Rose Kama Mbaya MBAYA
@@kubokante2443 Wacha iwe mbaya
Nice song ❤❤❤❤❤ rose you are a legend
The queen of gospel him self much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rose is more appreciated in Kenya than anywhere in the world....even when she was at her lowest point ...kenyans took her in like our own she is❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🤜🤛🇰🇪🇰🇪
She is from Mt Kenya
Perfecto! As they say kuteleza si kuanguka
She was completely let down by her country
Kenya held her and gave hope , God made her stand and shine again
The devil is a lier
Rose, is most talented gospel artist. Amepakwa mafuta hang'ang'ani kuimba ju ya upako
Kenyans let's gather here like comments,The queen 👑 of gospel Rose muhando 🔥🔥🔥 hata wahiaribu we love her music so much, more Rose 🌹
🙏🙏🙏🙏 amen 🙏🙏
Indeed your come back is now real @rosemuhando after undergoing tribulations
THE QUEEN JUST RECLAIMED HER SEAT LIKE SHE NEVER LEFT,
From generations to genetations. God has restored you Rose for the glory and honour of his mighty name🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
so many , wrote her off from the gospel music but she came back strong 💪, continue blessings us
IT'S time to take action kama mbaya mbaya🤪🤪
Kenya we really proud of you mama Rose muhando.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wameyakanyagaaa wacha Mungu ashughulike naooooo
Rose Muhando, you're a blessing to Africa... especially Kenya 🇰🇪 in particular...May God promote you from one glory to another...Be blessed!
Love from Kenya 🇰🇪
Your voice 🔥🔥🔥🔥 top notch, energy nayoo 🙏 Mungu azidi kukulinda my Rose 🌹🙏
Rose ni malkia wa gospel duniani her sings always bless me❤
Ubarikiwe sana muhando unanijenga kweli
May God prepare us a table before our enemies and may he disappoint those who pray for our downfall.
What a song! Asante Yesu. It has been on repeat mode. Am here on 30/05/2024 and to me it's as if the song has just been released. Nitamwona Mfalme.
Wow,Rose Muhando is a legend.Much love from Kenya
Wakenya musikie uyu sio msanii wenu uyu ni wetu Tz, Kama mbaya mbaya
You never disappoint rose.....congratulations kama mbaya mbaya 🙏🙏