Kwa kweli Malkia Rose ni kioo Cha jamii,alichoimba ni kweli na sisi tmeshuhudia pombe na dawa imeleta sana madhara kwa Maisha ya wengi na natumai kpitia huu wimbo wanaotumia watajitahidi waache kwa jina la Yesu ❤️❤️
Kwenye walimu wa kwaya hapo umepatia kabisaaaa...mlevi halafu malaya Anajiita Mtumishi Wa Mungu😢😢😢 Hawa ndo Wanaufany ukristo wa haki utukanwe....MUNGU ashughulike nao
Mama you’re our voice in Africa thank you 🙏 for making Africans proud,huyu mama hata wampige vita ni wa Mungu tu juu kama sio Mungu angekuwa amekufa kitambo,mama imbia Mungu with all your strength ❤❤❤❤❤❤❤
Dada rose hawasikii kunywa pombe kutojielewa kwenda choo kwa suruali kulala fofofo hakuna kazi inafanyika na mambo haya mengine.kutaja nikuharibu wakati kama sisi wanawake wengi tunaamua wacha iwe hivyo
Nimepiga wimbo wa pombe kwa nyumba jirani ameangulia kicheko. Amesema rozi amemuimba yeye. Kweli mama unaimba nyimbo za jamii. Barikiwa mara mbili zaidi 🙏
God bless you mama May God deliver his own children out of this bondage,it's an altar that has destroyed many children,families and killed many destinies,our God is able.
Amina kaka wewe ni mtu mwenye roho ya Mungu kwani umeona na kutambua kazi kubwa ilofanywa na serikali ya Kenya kunisaidia kuwa hivi Leo nilivyo Mungu akubariki kaka yangu
Mungu wanjua viema chenye Mimi nimepitishiwa ni sababu ya pombe,Nakuonbea kupitia wimbo huu tuweke uhuru wale wote wameoa ama kuoleka na walevi na kuomba we Mungu baba 2024 tutowe Kwa utumwa tunaumia sana...pombe na umalaya niumizo kubwa sana Kwa familia,kanisa na pia Kwa inchi..tuhurumie nakuombaa❤❤❤😢🙏
Huu wimbo utawaokoa wengi sana... Mimi ninaifanya biashara ya sinema, nimeucheza huu wimbo mara mingi na customers wananiambia niimbishe tena. Be blessed this song is touching🎉❤ Happy new year Muando!
Yaani tuko hapa tayari kupokea kutoka kwa Roho wa Bwana, hakika tutatiii na kufuata atakayosema nasi... Ewee Roho wa Mungu sema na wanao tuko tayari, na utuwezeshe kuzifuata njia zako kamili, jamani msilewe kwa mvinyo bali leweni kwa Roho Mtakatifu.... hallelujah 🙏🙏 wana wa Mungu, ......🔥🔥🔥🔥
When talent meets confidence,the results are fantastic ❤❤ Hawa ni wale watu wanalala wanaota wimbo wanaingia studio asubuhi, congratulations mama Rose 🌹🎉
Thanks muhado for championing Christ ever. Umehubiria mji na miji taifa na mataifa Mungu akuzidishie neema .miaka iliyoliwa na nzige Baba wa uzima akulipe .Amina
*Father in Heaven,prepare me for the New Year! Take away my worries and regret! Recharge my soul and renew my hope! Please go before me clear the way and protect me ! Bring the right people into my life and remove the wrong people out of my way! Father Lord, guide me with Your joy !In Jesus mighty name.Amen*
Neema iliyojuu yako ni ya kipekee sana. Umebarikiwa kama nini. Kazi zako ni za viwango vya juu sana. Ashukuriwe Mungu kwa kukutunza. Kimebarikiwa kizazi hiki kwa kuwa na watumishi wa Mungu kama wewe. Kenya tunakupenda sana Roziiii.❤
Huu ni wimbo wa wakati huu.. pombe ni changamoto kubwa katika jamii nyingi mostly hapa Kenya if you are not affected directly you are affected indirectly.Mungu tukumbuke utuondolee hili janga la pombe.
I am a Nigerian, and I have no idea what the lyrics mean, but I am a fan of her music. I am happy she is well and still being a blessing and an encouragement.
Ubarikiwe mama Rose muhando Mungu akuepushe na watesi wako waliotaka kukuingiza pabaya usimjuwe Yesu tena ila Mungu aliona unaponya Roho za watu wa mwamini Yesu Mungu atukuzwe Amen
Mum wewe ni role model wangu...ulikuja likoni ukaniwekelea mkono kwa bega,kwa kweli hukujua vile nilikua nahisi.....nilihisi umeniambukiza upako wa kimataifa.Ninaamini kwa karama niliyo nayo ni lazima nitafika kimataifa..ubarikiwe mama Rose.🎉
Nikiona rose muhando trending number one after all she went through I believe there is heaven and God fights for his people malkia endelea kabisa more grace.
Mwenye ako na masikio aisikie vizuri, watch it again. That's the heart i used to give my dad whenever he was drunk, till he left us in a struggling state. 😢. Barikiwa sana dada 🥰
When it comes to Gospel she's queen of queens 👑👑 Hakuna wa kumpa competition kabisa.Mungu azidi kukubariki Mama umekuwa wabaraka Toka utotoni mwangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💪
Kenyans let's gather here and show love to this Gospel Queen 👑💕 kalike kama umeipenda
Sasa anatuchomea Sisi team Sabina joy 😂😂😂
😅😅😅😅😅@@dominickwena
@@dominickwena😂😂😂 iiih imeenda no peace violence 😂
Wakenya!😂😂😂😂😂
ngoma tamu sana
That's my artist nampenda tangu utotoni
Verry good
Rose mhando kweli you are fabulous.....
Kweli Rose Muhando ndiye Queen of Gospel kwani huwa anaimba kutoka kwa roho yake.Kama wewe ni shabiki wake piga like hapo❤❤
I love Rose alot
❤❤
Sana tu
❤❤❤❤❤❤ wooooow
Ubalikiwe mama
Such a beautiful message in the song. Much blessings mama rose.
Kenyans 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Wapi likes za rose?
This is the muhando i know😮
Kwa kweli Malkia Rose ni kioo Cha jamii,alichoimba ni kweli na sisi tmeshuhudia pombe na dawa imeleta sana madhara kwa Maisha ya wengi na natumai kpitia huu wimbo wanaotumia watajitahidi waache kwa jina la Yesu ❤️❤️
Amen 🙏
Amen🙏
My life had lost meaning until Jesus called me to quit all this...the mighty hand of God saved me❤
@@Daniel_Simiyu2001 God bless you 🙏
@@atutakasolutions Amen 🙏
The energy in this lady is of the highest levels, her moves are the best. The best beats to complete the message.
Hakika nimekubali sana hii imeenda😮
This is more than powerful . Let’s appreciate the way Rose always pass the message to people. ❤🎉we celebrate you
❤❤❤🎉
Rozi muhando
Pombe ni shetani,Sumu!!!!!
😢😢😢😢 this song makes me shed tears when listen to it.
Gulf team mko wp gather here pls show love to this lady❤❤this is what we call areal gospel watching from gulf blessed mummy🎉🎉🎉
Wow!Hakika malkia umeweza, neema yatosha.Wimbo huu na uwaponye wote waliotekwa na pombe in Jesus name🙏🙏🙏weka Likes za Rose Muhando jamani👍
Kuna watu wamevimba kama nn na wanatukana matusi, ukweli unauma sana kwani wamelazimishwa kusikiliza?
Niukw
eli❤
With a touch of ohangla..you are super
Queen of gospel salute 😍😍Kenya twakutambua kama wetu 😘😘wakenya wapi likes ya mrembo wetu.
😂😂😂😂mchukuweni 2
Kwenye walimu wa kwaya hapo umepatia kabisaaaa...mlevi halafu malaya Anajiita Mtumishi Wa Mungu😢😢😢 Hawa ndo Wanaufany ukristo wa haki utukanwe....MUNGU ashughulike nao
Ubarikiwe Rosie atami uniombe mmi muimbaji
Always my inspiration since i was young and now am 35 yrs and still listening to her music, God bless rose, much love from Uganda
Where are Ugandans to like me?
Mama you’re our voice in Africa thank you 🙏 for making Africans proud,huyu mama hata wampige vita ni wa Mungu tu juu kama sio Mungu angekuwa amekufa kitambo,mama imbia Mungu with all your strength ❤❤❤❤❤❤❤
Hakika neema ya Mungu ni tosha kwa Rose! Glory to God always in Jesus mighty name.
Dada rose hawasikii kunywa pombe kutojielewa kwenda choo kwa suruali kulala fofofo hakuna kazi inafanyika na mambo haya mengine.kutaja nikuharibu wakati kama sisi wanawake wengi tunaamua wacha iwe hivyo
Ile kupeda napeda huyu mama mungu ndo ajuae nyimbo zke huwa zinanitia Moyo sana
th-cam.com/video/-VTmArMDH5k/w-d-xo.htmlsi=ul_CDseB5nAUl0SG
Lakini Rose unapenda Kenya
The Queen of Gospel. Rose may the good Lord Bless and protect you all the times. Pombe great message.
Nimepiga wimbo wa pombe kwa nyumba jirani ameangulia kicheko. Amesema rozi amemuimba yeye. Kweli mama unaimba nyimbo za jamii. Barikiwa mara mbili zaidi 🙏
Ubarikiwe sana jiran huyo Yesu anampenda
Kabisa wapendwa
😂😂
🔥🔥
th-cam.com/video/-VTmArMDH5k/w-d-xo.htmlsi=ul_CDseB5nAUl0SG
Usiku wa manane!!!
God bless you mama
May God deliver his own children out of this bondage,it's an altar that has destroyed many children,families and killed many destinies,our God is able.
Huu wimbo umeniguza
Barikiwa
Mama yuko sawa
Kama kuna mtu hampendi rose muhando uyo ni mchawi kabisa😢😢😢😢
Umeonaee kabisa yaani tusiache kumuombea Mana ana maadui wengi
1
The best queen of Africa❤❤❤.kenya hoyeeee🎉
Walevi tumefikiwa na Rose Muhando. Hii imeenda! Thanks for ministering this powerful master peace to us. We need change.
Achana nayo sasa. Tukimbilie uokofu
Mie naishukuru the Kenyan gvnt kwa kusaidia, kupona kwa gospel singer wetu Da Rose, nikimuona I'm proud of being TANZANIAN
Amina kaka wewe ni mtu mwenye roho ya Mungu kwani umeona na kutambua kazi kubwa ilofanywa na serikali ya Kenya kunisaidia kuwa hivi Leo nilivyo Mungu akubariki kaka yangu
@@rosemuhandoofficial5676❤❤❤❤
She is ours now we own rose
Tzgsg@@rosemuhandoofficial5676
Hgmuytop
Hakuna km wewe rose,una Tisha my,mungu akubariki cna
Mungu wanjua viema chenye Mimi nimepitishiwa ni sababu ya pombe,Nakuonbea kupitia wimbo huu tuweke uhuru wale wote wameoa ama kuoleka na walevi na kuomba we Mungu baba 2024 tutowe Kwa utumwa tunaumia sana...pombe na umalaya niumizo kubwa sana Kwa familia,kanisa na pia Kwa inchi..tuhurumie nakuombaa❤❤❤😢🙏
Boebe simuzri tumeona kuwa maboma megi
Vo
V
XJHNCNRIX
Nyimbo tamu basi tu
Huu wimbo utawaokoa wengi sana... Mimi ninaifanya biashara ya sinema, nimeucheza huu wimbo mara mingi na customers wananiambia niimbishe tena. Be blessed this song is touching🎉❤ Happy new year Muando!
I love Rose Muhando personally and song zake zanijaza sana!
Malkia kama malkia 👏👏👏hii kweli imeenda🔥🔥Kenyans let's make this number one trending #1❤❤
Yaani tuko hapa tayari kupokea kutoka kwa Roho wa Bwana, hakika tutatiii na kufuata atakayosema nasi... Ewee Roho wa Mungu sema na wanao tuko tayari, na utuwezeshe kuzifuata njia zako kamili, jamani msilewe kwa mvinyo bali leweni kwa Roho Mtakatifu.... hallelujah 🙏🙏 wana wa Mungu, ......🔥🔥🔥🔥
Queen rose muhando umeniimbia mimi
May God meet you rose...may God gives you all
When talent meets confidence,the results are fantastic ❤❤
Hawa ni wale watu wanalala wanaota wimbo wanaingia studio asubuhi, congratulations mama Rose 🌹🎉
Pombeeeeeeeeee ina madharaaaaa weee! Candid advice to the public.... Rose Muhando MUNGU akupee neema isiyoelezeka mummy! ❤❤❤❤❤
❤❤❤
th-cam.com/video/-VTmArMDH5k/w-d-xo.htmlsi=ul_CDseB5nAUl0SG
Hakika pombe sio chakula dada rozy Asante kwa ujumbe
Eeh MUNGU nisaidie kinachoimbwa hapa kisinijie katka maisha yangu niendelee kuijali familia yangu🙏🙏🙏
Mungu alisikie ombi lako
🙏
The queen of Gospel has nailed it again..praise to Jesus
true
Amen❤❤❤
Hii imeenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰
This woman should be given award of appreciation 🙏
Bona Hakuna MTU anaongelelea urembo Wa Our Queen ❤🎉
Ingo tunyweee
Our queen is charismatic!
Our queen is charismatic!
Uko na Saudi nzuri sana
Thanks muhado for championing Christ ever. Umehubiria mji na miji taifa na mataifa Mungu akuzidishie neema .miaka iliyoliwa na nzige Baba wa uzima akulipe .Amina
*Father in Heaven,prepare me for the New Year! Take away my worries and regret! Recharge my soul and renew my hope! Please go before me clear the way and protect me ! Bring the right people into my life and remove the wrong people out of my way! Father Lord, guide me with Your joy !In Jesus mighty name.Amen*
❤❤
❤❤
🙏🏾🙏🏾
🙏
Amen
Have always liked his video from the first ones... ❤❤❤❤
Alot of teachings inside
If you believe that @rosemuhandoofficial is the queen of Gospel wapy likes zangu
Walevi were just chilling
ni ukweli rosa Ameimba vizuri wimbo źako inatutianguvu sana ubarikiwe sanamuhando
Neema iliyojuu yako ni ya kipekee sana. Umebarikiwa kama nini. Kazi zako ni za viwango vya juu sana. Ashukuriwe Mungu kwa kukutunza. Kimebarikiwa kizazi hiki kwa kuwa na watumishi wa Mungu kama wewe. Kenya tunakupenda sana Roziiii.❤
Amen
Hakika brrooo .tunampenda sana
Ngoma kali sana hiii❤❤❤❤❤❤ 🔥 🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wow
Kupitia wimbo huu watafinguliwa wengi KATIKA jinalayesu namungu azidi kukutumia Rose
❤❤huo wimbo weee mtaasmu sana
Fanya crusade kasarani Kenya, ii nayo lazima tu attend, you always delivers
Rozi mungu akupe nguvu akuepush na maadui umeimba wimbo unaye fundisha natangaz kiama wanaye kunenea mabya
Kweli kabisa rose God bless you ❤❤❤❤❤
Wow, there is so much to learn from this amazing song! As Christians, let's stop drinking! Much love from DR CONGO 🇨🇩
From luyha land am ohangala gospel rhumba hii imeenda nipewe likes tukifuatana good message malikia
Message for the world concerning alcohol. Kodos Rose
*Wakenya kujeni hapa❤❤❤. Malkia wa nyimbo za injili ametingisha tena 🎉🎉*
Hilo Jimama nono latingiza maziwa Sana jameni😂😂😂😂Rose Asante kwa wimbo huu 🙏ni kama inavyotendeka kwenye jamii🙏Queen o Gospel🥳🥳🥳
Huu ni wimbo wa wakati huu.. pombe ni changamoto kubwa katika jamii nyingi mostly hapa Kenya if you are not affected directly you are affected indirectly.Mungu tukumbuke utuondolee hili janga la pombe.
This woman is blessed,she always has a message to our community,,,,hallelujah
Hakika hii ni kweli kabisa na abalikiwe sana
I am a Nigerian, and I have no idea what the lyrics mean, but I am a fan of her music. I am happy she is well and still being a blessing and an encouragement.
Ubarikiwe mama Rose muhando Mungu akuepushe na watesi wako waliotaka kukuingiza pabaya usimjuwe Yesu tena ila Mungu aliona unaponya Roho za watu wa mwamini Yesu Mungu atukuzwe Amen
Pombe ina madhara kwa kweli kabisaaaa....
Kwa Moyo wa Heshima kwa wote wanao tumia pombe. Wacheni mkimbilie kwa YESU KRISTO.
Be Blessed @Rosemuhando
Mum wewe ni role model wangu...ulikuja likoni ukaniwekelea mkono kwa bega,kwa kweli hukujua vile nilikua nahisi.....nilihisi umeniambukiza upako wa kimataifa.Ninaamini kwa karama niliyo nayo ni lazima nitafika kimataifa..ubarikiwe mama Rose.🎉
May God bless you malkia wa gospel,hakika pombe Ina madhara mengi,much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪malkia
❤❤❤huu wimbo uenee dunia yote 50 millions+ views walevi waokoke jameni wajue pombe n saitani😮😮😮😮😮
Rose thanks for your song of praise may God bless you and your song to reach all our drunkard's in the world Amen
The queen 👑 of Gospel has nailed it again 🙏🙏 Glory be to God
Mungu msaidie kaka yangu aache pombe
I feel your pain bro mtu wa maana unaona akiharibika
Very true mum...pombe Ina madhara sana,haina faida kabisa,inachofanya ni kufukarisha mtu tu!
Kwa YESU RAHA SANA hakuna kuzeeka🥰🥰🥰songa mbele mtumishi wa BWANA ROSE MUHANDO❤❤❤❤nakupenda mnooo kwa Kaz yako❤❤❤uzidi kuinuliwa na MUNGU MAMA
Vraiment Rose est toujours souple comme la bible le déclare JE TE RAJEUNIRAIS COMME L ' AIGLE .😂
wow nitakachosema ni kwamba I'll give Rose muhando's POMBE SONG AS THE BEST SONG OF THE YEAR
Upo sawa mama ubarikiwe.
Very true ,,,our qeeen nakupenda tu bure ❤❤❤❤❤,,God bless Mummy,,,
Hapo kweli kabisa pombe pombe...... God have mercy upon our families in Jesus name
More grace rose 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pombe ni mbaya sana 😂😂😂❤❤❤ keep it up mama Rose muhando 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nikiona rose muhando trending number one after all she went through I believe there is heaven and God fights for his people malkia endelea kabisa more grace.
wwe are Kenyans gathered here to give love ❤ for mama Rose muhando indeed she's the queen of gospel ❤❤ be blessed
Mwenye ako na masikio aisikie vizuri, watch it again. That's the heart i used to give my dad whenever he was drunk, till he left us in a struggling state. 😢. Barikiwa sana dada 🥰
Nairobi mkae mkijua pombe ni mbaya. Thnk u Rose
Mama Rose Muhando never disappoint. Pombe imeharibu familia mingi.
Wimbo wenye mafunzo kwa kizazi 👍👍👍
Hellenah
Hellenah
very true
Yes🙏🙏
Mimi huyu
Mwana toto kbx n loza muhand❤❤❤❤❤
Pure ministry ❤❤❤❤
These are things that people fear to call out....come out ye people of God, He loves you . Blessings mama Rose
wewe rose umejichubua sasa haina madhara...??? na sio dhambi..???unapiga kelele mama😆😆
@@edgerismail1706 Wacha nipige kelele kidogo 😆
People don't want to be called out🤣🤣
Dunia nzima tunakuku Bali sana Muhando
Kweli pompe inaleta mazara
Kama uko pamoja Namimi ku sikiliza wimbohuu letambendera Yako hapa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kenya 🇰🇪
🇹🇿
Wouah 🥰🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amina nawashukuru kunishika mkono
th-cam.com/video/-VTmArMDH5k/w-d-xo.htmlsi=ul_CDseB5nAUl0SG
Ni kweli pombe ni mbaya niliwaja mpenzi wangu sababu ya pombe
Tuko Live 🎉🎉❤❤❤..watu wengi kujeni Mama Amefanya Ile kitu Tena ❤❤🎉🎉
When it comes to Gospel she's queen of queens 👑👑 Hakuna wa kumpa competition kabisa.Mungu azidi kukubariki Mama umekuwa wabaraka Toka utotoni mwangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💪
Kudos mama,,,what a nice song❤
Much love Rose may God continue protecting you 🙏kama kweli wewe ndiye minister wa gospel music much love from 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬
Rose understand Kenya more than his home country❤
Please understand we share same struggles.
aki wacha kusema kenya@@madamex9662
Kabisaa
th-cam.com/video/-VTmArMDH5k/w-d-xo.htmlsi=ul_CDseB5nAUl0SG
Huku ndio alipata uponyaji
Mama uko good kabisa❤❤❤🎉
Rose loves kenya kuliko kwao acha mungu akulinde siku zote mommaah feel loved❤❤
Rose muhando nampenda bure . anaimba mafunzo Kwa wakati kama huu wa Christmas watu wamezoea pombe
Nice one..big up to the one beautiful lady #rosemuhando
This woman is one in a million ❤❤❤❤