Wewe mwamba Napenda kazi, zako Alafu Kitu ninachopenda Sana Kwa nzia wewe wachezaji wako wote wasafi Sana Name: kabeya from American 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
😅dogo yuko vzurii..turning zake zmetuliaa..asibadilike..azd kusonga mbelee atavuka saana mbalii..nadhani atakuwa anapiga mixer swahilii na sukuma big up kisimaa
Nyanda ebhe ukushika kule sana! Eshitare kwikaza duhu nyanda one.
Wewe mwamba Napenda kazi, zako Alafu Kitu ninachopenda Sana Kwa nzia wewe wachezaji wako wote wasafi Sana Name: kabeya from American 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Kula chumaaaaa hichooooo By DeejaY B ,,,
Kazi nzuri sana lakini nitakuwa mnafiki nisipowapongeza migera studio kazi nzuri kisima wewe ni 🔥🔥🔥🔥 mwingine
Nasema hivi Diamond Platnumz wa Asili Kisima. We pinga Lala luka kaa inuka ukweli utabaki kuwa ukweli😂😂🔥🔥📸 Good Job Respect Kwako Director MIGERA
Thanks you friends
Kwangu ww n Zaid ya Michael Jackson
Baada ya kuisubil kwa ham hatimae iko mikononi pin lipo vzur hongera san my brother
Kisima Majabala, upo vzr sana endelea kupiga kaz
Bhudagala kapata mtu sahihi wa kumwachia kazi ya kuendeleza asili yetu big up to kisima the greatest singer
Unyanda aliwamoto sana akushika kule
Kisima noma tuombe Mungu amjalie aendelee kuchana misitari
Naisubil ya shikome na shilatu❤❤
Katucheleweshea sana hizo
Wa kwanza leoo😂😂😂
Bhugala apunguze mapepe ktk upigaji vifaa..na style ya wasichana wake singeli hiohiyo tu@mziki🎉
Pamoja sana mwamba niite baba soda Maseason kutoka itobo nzega
Nakukubali Sana kwa saut nzuri ya nyimbo zko kaka tolehamo sana
Il chante bien. J'aime ses morceaux, depuis le Niger
Nasubili na shikome KAKA KISIMA MTC tanzania ni BABA lao kwa ASILI KALI
Nimbele tu kuludi nyuma labda waludi wao Kaz nzuri bro
Bro noma
Kk naomba namba yako
Saimon nyanda kenya hapa mombasa moja
KISIMA mpka mwezi umeisha ndio umeiachia ,,nilikuwa naisubiri kwa hamu sanaaa🔥🔥🔥
Baada ya kuisubiria kwa muda mrefu hatimaye tumeipata video,hongera sana
😅dogo yuko vzurii..turning zake zmetuliaa..asibadilike..azd kusonga mbelee atavuka saana mbalii..nadhani atakuwa anapiga mixer swahilii na sukuma big up kisimaa
Kisima kisima ngalu songaga kubhutongi safi safi saana
Can't understand the words but i like it too much. DanT from Kenya
Kazi nzuri kutoka kwa kijana majabala
Pamoja na KWAMBA nimechelewa kufika ila kuja lazima hapa mjinu TH-cam kwa MTC kucheki mautundu ya group la MTC tzv
Unyama ni mwingi blood,,I always appreciate u brother, one love go ahead forever we shall be together,,karibu xana naomonge tenah,✌️✌️✌️
Kisima unapatikana wap jaman
Kisima uko vizuli tuwakilishe vyema
Sisi wasukuma 💓 love song
makaaz kabila now cjui alko maana mwamba ka2acha kitambo sanaa
Oyee, Kazi nzuri sana
Nakuomba kizima majaballa piga kazi nakuomba nzuri
Nakuelewaga sana kisima endelea kutujenga
Migera nimekubal kazii yako mkuu upo makin xana movement zote zipo kwenye same direction we proud of u guys
Nko nayo tyr shilima ngudu moja
Jamaa Yuko vizuri sana
Sanaaa
Migera the great kazi inaonga kaka Barikiwa sana kwa information zako kaka
Buhakika kisima nakuelewa sana usimulaumu mtu kabula hujamchuguza love yangu ikupate uliko
🔥 brooo unatisha
Uko vzr brother Kaka wanaojifanya kukufata wanajichosha Tu umerithi pigo za brother Bhudagala mpo vzr unasikiliza Hadi Raha yaan❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ One love ❤️
naipenda sana kiukweri nyimbo hii kisima oyeeeeeeeeeeeee
Matemba 🔥
Mwamba huyoo
❤❤❤❤❤❤❤🎉 maua yako kisima niite mr mleta nipo igunga tabora
Nazipenda sana kazi za huyu jamaa
Naomba wimbo mpya mwanakanda
Seen nice broooo
piga kazi kisima
Kazi Nzuri
Kazi Ni 🔥🔥📸🔥🎤🔥
Huyo jembe letu Tanzania 🇹🇿
Hallo DJ_KONK Macompyuter hapa a.k.a.w_Konk_tm_uploaded hakika nimeikubari Sana hii kaz matemba
Unatisha sana bro mambo yako👉🔥🔥🔥
Asante sana ndugu zetu Kwa sapoti Yenu
pamoja sana kaka
Nakukubali jamaa sana tu kam hii ngoma kwenye chorus hapo umeua
Hakika
Nimeipenda hiyo
Hongera kisima hakika unanyimbo nzuri
This is mtc tanzania..........
Big up sana kisimaaaaaaaaaaaaa...
Watasema Sana ila ww kazi yako unaipenda ndo maana una vizur
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥
Nimeirudia tena kuiangalia
I respect this music still i am far more on the spiritual side of life rastafari
Hatari sanaaa we
❤❤❤❤❤❤ big up
Unyama mwingi kwa kisima
Goma tayar Ipo mikonon mwa MK ma computer Toka masumbwe
mimi nimsanii nipo mara ila kisima wew ni mfano kwangu
Kenya,,,,Kitui county,,,mwingi town tuko ndaaaani
Ngoja nae j the dj music ngudu kwimba achukue huu mzigo ili ajue ufundi uliomo au migera unasemaje hapa
👍👍👍
#MTC TANZANIA 🎉🎉🎉
Namfulahia sana kisima nyimbo zake
Fungua na tik tok kaka c washabiki wako ❤🎉
Nilikua nasubri sana huu wimbo
Sana
Kisima ni balaa kwa kwenye kabila letu
kazi nahisi ndo imeamza tunaendelea kufurahia vitu vikali kutoka kwa msanii pendwa kabisa
Hata mm nakubar upo vizur
Nampenda Sana kisima
Kisima the great singer 🙌💥
uko juu sana katika usanii
Nakubar xana
Nakukubali sana king
wambea wata kusemasana we pg kaz
💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥
kaka umetisha sanaaaa
❤
🔥🙏
Nimekuona kisima
Jamani tujuane mashabiki wa kisima like zenu muhimu
Jumamrko
Jamani penda sana huu mwimbo❤❤❤❤
Nani mshabiki wa kisima
Namkubali san
Hongera sana kisima nimeupenda sana huu mwimbo❤❤❤❤❤❤
Nikikumbuka huyu jamaa 2010 kabila secondary school
nan kama kisima
Unatisha kisima
Sana kisima
I really respect your songs brother❤
❤❤❤
Pamoja kaka
Pamoja sana
Nina shida namawasiliano yako nina ufunguzi wa lodge yangu sijui nakupataje
Ngoma kal
Najua n kazi ngumu kuandaa video lkn it's too late! Jitahdn bc jmn