Kisima_Ng'wanankanda Official Video 4k

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 285

  • @PascoMakandila-yk7sk
    @PascoMakandila-yk7sk ปีที่แล้ว +8

    Uko vzr najivunia kuwa msukuma aisee

  • @mbuziwakutaga
    @mbuziwakutaga ปีที่แล้ว +10

    Yaan skuiz kisima ndo unazid kutufraisha mashabiki wako hususan mm yaan ukiwa unacheza ndo Huwa unatukosha kweli nipo hapa tunaiangalia video yako na familia wanaenjoy💪💪

  • @bigtimetz
    @bigtimetz ปีที่แล้ว +22

    Kisima leo umejua kutufurahisha mashabiki zako salutiii🔥🔥🔥

  • @Ndushikayungilo722
    @Ndushikayungilo722 ปีที่แล้ว +2

    Hakika kisima wewe ni mtunzi wa tungo za kuelimisha jamii hongeraaaaa.

  • @josephndekele3586
    @josephndekele3586 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri,hongera sana

  • @janjajanjatv7939
    @janjajanjatv7939 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo huu unanifanya niwe jasili sana hongera sana kaka kisima🔥🔥🔥

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @MihayoYombo-f8o
    @MihayoYombo-f8o หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana ndugu yangu msukuma moja by nkendekwa mjukuu

  • @SAGANDANDAKILO-h9d
    @SAGANDANDAKILO-h9d ปีที่แล้ว +3

    Kisima nakuelewa sana ndg yangu endelea na hiyo Kasi kiukweli unatoa fundisho kubwa sana Kwa Watu wanaosikiliza ujumbe. Mungu akutie nguvu na akuepushe mbali na watesi wako ambao hawapendi mafanikio Yako. Mimi nitaendelea kuwa Shabiki wako namba Moja kutoka Mwandoya- Meatu. Ubarikiwe sana.

  • @paulbhozenganwa
    @paulbhozenganwa ปีที่แล้ว +5

    Pumbavu zako kisima nahii🎉🎉🎉

  • @philipodiyarago7797
    @philipodiyarago7797 ปีที่แล้ว +4

    Good job mr majabala congrats

  • @japhetsahani7121
    @japhetsahani7121 ปีที่แล้ว +6

    Mimi nmshabiki wa gude gude ila nmehamia kwa kisima **KISIMA was a pure talent from god,, love this song from Canada 🎣🎣🎿🎿🛷🛷🛷🛷🎿🎿🛷🛷🎿🎿🎣🎣🎣🎿🛷🛷🎮🎱♥️🔮🎰🀄🎮🎲

  • @hamischiba4458
    @hamischiba4458 ปีที่แล้ว +4

    Safiiiii san kijana.

  • @davidwizyrade2914
    @davidwizyrade2914 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nice mwamba hii nimeipenda sana tena kama hapo mwisho sita

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @SababuNikolasi-m3t
    @SababuNikolasi-m3t หลายเดือนก่อน +4

    Kaka xf kwel

  • @AlliPo-21
    @AlliPo-21 ปีที่แล้ว +3

    Hiv nyimbo imetoka au naota greatest singer pamoja sana❤

  • @jersonlukinda9410
    @jersonlukinda9410 ปีที่แล้ว +4

    Mfalme wa wafalme, Hongera sana Mwamba.

  • @mussamashiba568
    @mussamashiba568 ปีที่แล้ว +4

    Aiseeeee unajua kuimba

  • @bonifacehamis4088
    @bonifacehamis4088 ปีที่แล้ว +2

    Babu Peter kasuku nipo naye hapa anajisikia amani kuona ukimpa sifa zake anaujunzi sana kwenye tiba ya kienyeji 💥💥💥🥳

  • @MihayoYombo-f8o
    @MihayoYombo-f8o หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa bila kuwa na moyo hii dunia hupiti

  • @RichardMakingi
    @RichardMakingi ปีที่แล้ว +4

    Nipo moro wilaya ya moro vijijiniwalugulu na wapogolo wanazikubali nyimbo zako nazipiga sana huku njoo upige show huku moro

    • @RichardMakingi
      @RichardMakingi ปีที่แล้ว +1

      Naitwa Richard Makingi saluti kwako kisima pambana jembe langu

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @Kilasmndewa
    @Kilasmndewa ปีที่แล้ว +6

    Hizi ngoma huwaga ni hatari sana . Kisima majabala watu wanangoja shoo Yako Kwa hamu sana huku dodoma . Yaani huwezi kuwambia kitu kuhusu ww❤❤❤

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @burhaniasanali8666
    @burhaniasanali8666 ปีที่แล้ว +2

    Aiseeeh kisima uko vzr na video zako ila bigap sana uko vzr nipo hapa igunga nawatemeshea kz zako

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @stevenlameck9014
    @stevenlameck9014 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuamini sana kisima huumwaka ni wakwako naipenda nikiwa kigoma m..k..muha

  • @sikujuajames-y1l
    @sikujuajames-y1l ปีที่แล้ว +2

    Kaz nzr kaka kisima endelea kutufurahisha

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @radoxvaxibndavis7068
    @radoxvaxibndavis7068 ปีที่แล้ว +2

    director migera appreciate ,,kisima cna cha kusema

  • @NTEMI-OBURUDANI
    @NTEMI-OBURUDANI ปีที่แล้ว +5

    Nakubari sana jamaa yangu ngoma kari sana 🎉🎉🎉

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @MachimuKija
    @MachimuKija 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna wakukupinga ww ni mwamba nazipenda sana nyimbo zako zinaujumbe mzuri sana 🙏 🙏

  • @millardtz6493
    @millardtz6493 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri , the greatest singer

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka samahan sana Mimi naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili yetu kutoka kigoma naomba usabcrube account yangu 🙏

  • @joshuaezekiel5268
    @joshuaezekiel5268 ปีที่แล้ว +4

    achia na shikome hapo umetisha sana

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka samahan sana Mimi naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili yetu kutoka kigoma naomba usabcrube account yangu 🙏

  • @masungasayi3298
    @masungasayi3298 ปีที่แล้ว +4

    Hongera kk pamoja sana

  • @mussamhigi5678
    @mussamhigi5678 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana kwa kazi nzuri komaa mwenyezi mungu akusaidie ufike mbali zaidi ya hapo ulipo

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @SamwelJacob-xj2zw
    @SamwelJacob-xj2zw ปีที่แล้ว +3

    Chacha wewee??? Biggest singer in sukuma

  • @HASSANISAKALANI-xv7nw
    @HASSANISAKALANI-xv7nw ปีที่แล้ว +3

    Big up kaka tupo pamoja tuna kupenda sana kisima by January from Nhwande.

  • @IkambulaMtunga4670
    @IkambulaMtunga4670 ปีที่แล้ว +5

    Agreatest Singer Majabala fundi wa nyimbo za asili Big up bro

    • @KOmom-fh2vg
      @KOmom-fh2vg ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤❤

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka samahan sana Mimi naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili yetu kutoka kigoma naomba usabcrube account yangu 🙏

    • @KabiligaHassan
      @KabiligaHassan 5 หลายเดือนก่อน

      🎉

  • @machiyajohnmbasa2746
    @machiyajohnmbasa2746 ปีที่แล้ว +4

    Sana kaka unaweza sana❤❤❤

  • @shijadotto
    @shijadotto ปีที่แล้ว +2

    Safi brother biga kazi❤

  • @S.m.Sumaha
    @S.m.Sumaha ปีที่แล้ว +3

    Sin neno mkuu mungu azid kukuongoza good job

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka samahan sana Mimi naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili yetu kutoka kigoma naomba usabcrube account yangu 🙏

  • @ibrahimmbogo1274
    @ibrahimmbogo1274 ปีที่แล้ว +8

    Ipo siku wataelewa tu jamaa yangu natamani nikuone ikulu unapfomu live kwa nguvu zake mungu itawezakan amina Ibrah nyarugusu hapa

  • @JaphethMussa-n6y
    @JaphethMussa-n6y หลายเดือนก่อน +1

    Cku hizi unaua mwanetu kama shilatu ni noma asee

  • @kidevunationmedia4656
    @kidevunationmedia4656 ปีที่แล้ว +3

    ngoma kali sana kaka majabala 😂

  • @OscarShimba-u9d
    @OscarShimba-u9d 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nakukubali sana kila ngoma unashusha inaenda ngoma zako za heshima sana ww wakomeshe wanafiki furaha yangu kukuona unasonga mbele piga kazi the greatest singer in sukuma tribal mm hapa shinhu ya nkila mayengela famili

  • @BarakaRajabu-f6c
    @BarakaRajabu-f6c หลายเดือนก่อน +2

    Saf kabisa broo

  • @dottomoshidottomoshi
    @dottomoshidottomoshi ปีที่แล้ว +3

    Miaka mingi sana kaka unajua kuimba💪💪💪

  • @mbuziwakutaga
    @mbuziwakutaga ปีที่แล้ว +2

    Kisima kumbe na kucheza unajua🔥🔥🔥

  • @PhilipoLubango-wv6qr
    @PhilipoLubango-wv6qr ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuri bro👍👍

  • @baloziwaghetto814
    @baloziwaghetto814 ปีที่แล้ว +4

    tofauti yako na wasukuma wenzako n kwambaa nyimbo zako n zakuandika so akil inatumikaaa ,,,ila wenzako wanaimbago ovyo ovyo tuuu

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @Pascocharles1997
    @Pascocharles1997 ปีที่แล้ว +3

    Endelea kuachia ngoma br tumezisubr kwahamu sana

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka samahan sana Mimi naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili yetu kutoka kigoma naomba usabcrube account yangu 🙏

  • @user-samweli
    @user-samweli ปีที่แล้ว +2

    Nazunije ngosha ukembaga chiza sana 🎉🎉

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @MUSAMASANJAMIKOMANGWA
    @MUSAMASANJAMIKOMANGWA 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sema kweli kisima tunajivunia wasukuma minguu akuzidishie balaka ili uzid kutufuluaisha

  • @NgassaJumanne
    @NgassaJumanne 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka uko vizuri sanaa Ngassa nipo tabora nakucheki vzr cna

  • @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
    @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx ปีที่แล้ว +2

    Afrika Tanzania 🇹🇿 zima wasukuma ndio wanaongoza kwa mziki wa asili hakuna kabila lingine linaloongoza kwa mziki wa asili budagala na kisima na bahati Bugalama na gude gude nakubari shoo

  • @kulwashuga
    @kulwashuga ปีที่แล้ว +3

    Kisima ama kweli wajua kufurahisha ss washabiki wako make hui ngoma tuliisubili kwa hamu sana nikitokea simiyu meatu

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka samahan sana Mimi naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili yetu kutoka kigoma naomba usabcrube account yangu 🙏

  • @MabulaJonasLukaja-cm9je
    @MabulaJonasLukaja-cm9je ปีที่แล้ว +1

    tunasubiri kisima kazi ya 2024 haraka niko pande za Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @MabulaJonasLukaja-cm9je
      @MabulaJonasLukaja-cm9je ปีที่แล้ว +1

      Haki nyimbo zako ziko sawa brother, sio za matusi, kama za msanii wetu ngulyati , haki alimtusi msanii gude gude sikupenda kabisa na gude gude hana noma kabisa

    • @mayalamagoso5692
      @mayalamagoso5692 ปีที่แล้ว

      Resvd

  • @mitelpclassic6691
    @mitelpclassic6691 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali sana

  • @YohanaTanika-ff2vf
    @YohanaTanika-ff2vf ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana kisima mungu akupe maisha marefu

  • @barnabamasigani221
    @barnabamasigani221 ปีที่แล้ว +4

    Nice song brother

  • @HonaBujiku
    @HonaBujiku ปีที่แล้ว +1

    Kali ya mwaka jmn ❤Mimi mshabiki wako kutoka mahembe simiyu saivi nipo mbeya shuleni chuo

  • @bonifacehamis4088
    @bonifacehamis4088 ปีที่แล้ว +3

    Unajua sana kisima wetu

  • @joelmathias1193
    @joelmathias1193 9 หลายเดือนก่อน +1

    Upo vzur sana kaka mm nipo kigoma nakukubali sana kaka

  • @stivenjiduki6606
    @stivenjiduki6606 ปีที่แล้ว +2

    Congoraaaaaaa🔥🔥🔥

  • @Jameskakola
    @Jameskakola ปีที่แล้ว +3

    Leo nimeipata ninayo ipeda hiii nyimbo james kakola hapa❤❤❤❤

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @NhobolangassaSteven
    @NhobolangassaSteven ปีที่แล้ว +2

    Hogera kisima umetufurahisha sana washabiki wako

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @AbelSalu
    @AbelSalu 4 หลายเดือนก่อน +2

    ww ni fahari ya wasukuma wote mashairi makali pia style umeua

  • @JacksonJeremiah-b6z
    @JacksonJeremiah-b6z 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kisima umetisha sana kaka mimi nipo karagwe kagera.

    • @JacksonJeremiah-b6z
      @JacksonJeremiah-b6z 11 หลายเดือนก่อน

      Tuko pamoja kaka karibu karagwe chonyonyo

  • @abellutonja4589
    @abellutonja4589 ปีที่แล้ว +2

    Bhulumba bo mbuli bhuhtina pafyumu😂😂😂😂 nyoko kisima aseee nmecheka

  • @paulmabimbi2117
    @paulmabimbi2117 ปีที่แล้ว +1

    Nice song hongera sanaa kaka never giveup

  • @LameckOlomayana
    @LameckOlomayana ปีที่แล้ว +1

    Kisima uko vizur sana kandamiza ngoma,

  • @Lightness-r8r
    @Lightness-r8r ปีที่แล้ว +3

    Your the winner❤

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน +1

    From Saudi Arabia 🇸🇦. I love my country Tanzania, love my tribe sukuma.

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @MiizumbiMasanja
    @MiizumbiMasanja 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mm mizumbi masanja kutoka mwanhuz meat nimeipenda nyimbo yamwanakanda

  • @josephshija9333
    @josephshija9333 ปีที่แล้ว +2

    Kiongozi hatari sana yaani moto

  • @ShedboyBuson
    @ShedboyBuson 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kisima nakukubali vibaya San mwaka juzi nilikuona ushirombo ukipafom ila nataka siku uje upafomu dar niliko au km vip nitumie namb yk mr

  • @juniorkibunje2289
    @juniorkibunje2289 ปีที่แล้ว +1

    Kisima nafurahia kaz zako piga kaz kuna wasanii wanakuponda kiukweli inanichoma ila so shida ss binadam ukisonga mbele tu kidogo wanataman hata wakutoe roho kwakidogo ulicho nacho

  • @MagrethSimon-re3ym
    @MagrethSimon-re3ym 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana kisima piga kazi kaka

  • @JeremiahMisonga-mp8gm
    @JeremiahMisonga-mp8gm 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waambie wanaa, hapa dunian tuja sana

  • @onesmomalifedha4709
    @onesmomalifedha4709 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja kisima -from Moshi tz.Bhabha Ng'wanankanda nnamala wa masala!!!

  • @richiemadoshi8865
    @richiemadoshi8865 5 หลายเดือนก่อน +1

    Big up mdogo wangu

  • @yohannajr9558
    @yohannajr9558 ปีที่แล้ว +6

    Nyimbo iko poa Sana huwez kuchoka kusikiliza na kuangalia video yake 🙏🙏

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @MussaSimeo-j1h
    @MussaSimeo-j1h ปีที่แล้ว +11

    Msanii namba moja nyimbo za asili

  • @rogetichuo4687
    @rogetichuo4687 ปีที่แล้ว +2

    Nice job get salute broo......MTC up....!!

  • @MalimiLameck
    @MalimiLameck 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kijana unaupiga mwigi

  • @SimonCharles-p9q
    @SimonCharles-p9q ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mwamba unauweza mziki wetu wa asili

  • @MaduhuSabato-qr9nu
    @MaduhuSabato-qr9nu ปีที่แล้ว +2

    Saf sana bro

  • @MaigeHussein
    @MaigeHussein 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kisi mm nyimbo zako nazikybal2

  • @masasistudioo
    @masasistudioo ปีที่แล้ว +4

    Wakwanza mimi

  • @DeoHabi-bi8ch
    @DeoHabi-bi8ch ปีที่แล้ว +1

    Good message Mr kisima and kasuka familly

  • @mayekalukasi5279
    @mayekalukasi5279 ปีที่แล้ว +2

    Leta zote mzee

  • @lucasbusagala4033
    @lucasbusagala4033 ปีที่แล้ว +3

    Imenigusa San at kwetu kwa busagara wapo umewafikishia ujumbe

  • @allehnsemguruka
    @allehnsemguruka 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo nimeukubali umenikumbusha mbali

  • @NYABHANANERAKABA
    @NYABHANANERAKABA 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dogo uko vizuri nakukubali sana nipo dar

  • @RamadhanngussaRamadhanngussa
    @RamadhanngussaRamadhanngussa ปีที่แล้ว +2

    Tulehalomo kisima

  • @BoniphaceSaid
    @BoniphaceSaid 8 หลายเดือนก่อน +2

    Namba Moja hapana Kuna budaghala jaman usisahau Hilo kaka mm nampa namba2 kisima

  • @nyimba20
    @nyimba20 ปีที่แล้ว +1

    Ni kwel kabsa unao kula nao ndo wanaokuchimba inauma ila haina namna

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @AmosPastory-yb1em
    @AmosPastory-yb1em 10 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuri sana na inaujumbe nasikiliza na naipenda kazi yako sana japo mimi ni ngalu nawe ni ngika

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Haaaaa noma sana tule hamo.
      Samahan Kwa usumbufu naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili kutoka NFM Redio.
      Naomba usabcrube chaneli yangu Kwa ajili ya masimulizi mbali mbali ya makabila yetu na Wasanii wa Asili

  • @SamweriMkaga
    @SamweriMkaga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Katie ya wasanii wa ability kwa kisìma mwisho

  • @mrishobulabo8014
    @mrishobulabo8014 ปีที่แล้ว +8

    Tuliokuw tunasubiri hii ngoma gonga like hapa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gumadambiti4071
    @gumadambiti4071 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri saaana kaka angu pga kz msanii wetu bariad simiyu kwt nyumbn pamoja saaana

  • @philipophilimon
    @philipophilimon ปีที่แล้ว +2

    Kisima aichia na shikome pamoja shilatu

    • @Wamiujiza
      @Wamiujiza 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka samahan sana Mimi naitwa Didas Wamiujiza ni mtangazaji wa kipindi Cha Asili yetu kutoka kigoma naomba usabcrube account yangu 🙏

  • @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
    @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx ปีที่แล้ว +1

    Kisima tuliwahi kucheza naye kwenye ngoma nza asili baliadi simiyu mimi nilikua munungule kwa bagalu yeye ni ngika alikua kwa Mayunga kidoyayi lakini sasa mgaga wetu alikufa na mbina ikafa yeye kisima kaendelea kuitangaza tamaduni yetu hongera kweke

  • @MasalaItemo
    @MasalaItemo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa hatariiiii❤