Hapa nimekuelewa sana gude siku hizi mapenzi yamepungua kuna tendo la ndoa tu sijui tutafanikiwaje sasa by nyanda minziku msanii wa nyimbo za asili kanda ya ziwa
Kaz nzur sana japo muziki wetu Bado upo nyuma Kwa madirector wetu mfano Pale wanashauriana na pale mwanamke anarud Kwa Mara ya pili nguo ni zilezile tu Hilo ni tatizo la director sio msanii natamani kuona muziki upendeze
Ngoma kari sana gude enderea kutengeneza magoma kama haya❤❤❤❤❤❤❤❤
Niwe nimechrlewa au sijachelewa wewe Kama shabiki wa gude gonga like twende sawa apo
❤❤❤❤❤
3:59 @@user-qf6er8gb3l
Ambao tunaipenda hiii nyimbo naomba tulike apa
Sichoki kusikiliza hiii nyimbo ☀️☀️☀️☀️☀️
Sawa
Mh
Hapa nimekuelewa sana gude siku hizi mapenzi yamepungua kuna tendo la ndoa tu sijui tutafanikiwaje sasa by nyanda minziku msanii wa nyimbo za asili kanda ya ziwa
Yan hata hamsemi jaman kuwa kumekucha huku 😢😢sijapenda ila so mbaya nimewah mapema sana💪💪💪💪
Nakupenda Sana huu wimbo❤❤❤
Wimbo huu umenigusa sana kuna mwanamke alinifanyia haya akaniacha na wotto5 sahiz shida anahtiji kurudi nishaoa tayari nilifanya kama igizo la gude
Tunakupenda Sana karibu buziku tena ❤❤❤❤❤
Hapa gude umepga penyewe hongera Sana maana wanawake wa siku hizi wamekuwa matapel
Kazi nzuri
Kitambo sanaaaaaaa mzigoooo ushachotwa Niite DeejaY B From Ngudu Kwimba
Kwetu moja
Wewe ni noma
Niite kwiligwa boos sana mwamba segese Moja ndo nyumban hapo
Karibu kitunda kaka mngondin
Mwamba kutoka itobo nzega niite baba Soda Maseason wakwanza kuchota mzigo huu ni 🔥
Baba soda tulikuja harusin itobo ukatunyima nathodaa😂
@@user-xt9di9lz6c Hahaha 🤣🤣🤣mliluaga bize sana wakuu hamkua na mda wa hata stor aise karibuni kwa wakati mwingine
@@user-xt9di9lz6c huyu ninae chat nae ndo nani kweli
Naitwa jadili mzinza wakwanza kufika marekan gude wewe n jembe chapa Kaz karb uje marekan
Gude gude tajiri wa maruho kazi Bora wewe fundi unajua #mashinyali_master# buchosa.
Kazi nzr sanaa,video iko kisasa,
PGA Kaz mwanaume
Napenda nyimbo zako san kusikiliza❤❤❤🎉
Endelea kaka kutufunzia wanawake make wengine hatuwez kuongea✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Naomba nyimb ya gudegude
Gd kama gd hujawah kufeli brother 🎶🙏
Saluti kwako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubali kalibudaa
Gude naomba nisambaze hii kazi kaka by producer b moxy
Alama kwanza kaka usiisambaze tafazali
Kalibu kwetu Morogoro dumila kwetu
Ngoma Kali san kaka nakukubali san
Wimbo umebamba sana kaka 9:28 🎉❤
Kwa hii ngoma sizan Kama kuna msanii wa kumfikia Gude Gude nakupenda sana mwamba hakika wew ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahahaha Usini seche
Uli sawa ong'wa baba.
Mludishe mwanapaul
Waoo
Makin sana
Kaz nzur sana japo muziki wetu Bado upo nyuma Kwa madirector wetu mfano
Pale wanashauriana na pale mwanamke anarud Kwa Mara ya pili nguo ni zilezile tu Hilo ni tatizo la director sio msanii natamani kuona muziki upendeze
Safi sana man good song
Wewe saiv hiki kipindi ndio mwamba kwenye kuimba 😅😅
Dj frank ilya mchele chato nimesha pakua mzigo mapema sana piga kazi kaka
Huyu jamaa anajua sana huwez mfananisha na wasanii wadogo wadogo
Kazi nzuri brother 🙏
Makin san gude gude wanaosema umeisha labda wameisha wao by John kakola pia maboss wako Ligembe msalala
nyimbo nzuri xana yaani nipo zanzibar
Abalikiwe sana director kwa kaz nzuli aliyoifanya kutoka kwagudegude
Wewe ni 🔥 🔥🔥🔥🔥 kweli kweli gd gd
Dah jamaa angu umetixha xana kwahii ngoma l love you
Mungu aendelee kukulinda msanii wetu mpendwa
Jamaa namkubali saan kwa vinaa aise God bless you my braza
Me nilitaka mkiandaa shoo ninge penda ninge alikwa pia asante
Asante sana gude kwa ujumbe mzuri Sana nakukubali Sana obheja Sana gude tulipamoja Sana
Safigude nakusikiliza nipo omani
Daaah🤔,, guude mpe hai dada neema,, apoo ameweza bhanaa💯💥
Namkubali sana gude kwa nyimbo zake
Morogoro ❤❤❤❤
Saannaaaaaa
Mme wangu was moyoni ❤
Saf sana mwanamonde kaz nzuri
Dar es salaam hapa nalenabebe shingoojoosheeee
bhasukuma kweli mnatufulahisha sana
Wimbo huu Jana angu umenishawi Sana naa zaman nilikuwa sijakufatilia Sana lakin Sasa ndo msani Wangu kipenz
Hatareee sarut kwako gude ujumbe mzto
from USA Marekani nawapata vyema sana 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hongera Director video nzuri Quality ipo vzr
Makini sanaaa Gude gude vina safi
saiz wanawake hatuna wapo ushaindi tu na bahati tulio wengi tunamajeraha
Kazi nzuri sanaaaaa
😂😂❤❤ brother pamoj sis tuko dodoma
Umetisha sana
❤❤❤❤ngoma Kali sana
Nakubali kaka
Kaka Ang nakupenda
Ujumbe mzuri amani kwako
Safi sana Kandoro piga kazi
Kaka uko vizuri kwa vina
Safi Sana kwa waandaaji,kazi nzuri
Kwarloho safi
Pamoja sana nipo Zanzibar nakupta vyema 🙏🙏🙏
vizuri sana kijana mtoto wa sengerema unatuheshimisha sana
Wale WA sengerema mko wap siwaon😅
@@HappyArcticBirds-iy3dg 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tupo
Morogoro tuliisubili sana hii ngoma hatimae imetufika big up bro ukifika salamiti fika kwa DJ juma Manamba
Sana kaka
Mmb
❤❤❤❤@@pauloenockjr8603
👏👏
👏👏
Karibu mwamashimba igunga
Naqubal bro ✊🏾
Hiii nyimbo inanikumbusha mbali sana😎🤏
Umetisha gude
Kazi nzuri sana kaka
❤❤❤
Ni kitambo xana nmependa
Hongera Sana Kaka gude
Salute kwako tajili wamaruho
Blaza sana
Dj Symon asili kazi zuri
❤❤❤❤
Harmonize
Hii ngoma ninoma sana inatisha
Wasanii wetu sahiz wanajitahind kuvaa nimependa
Nakupata gude nikiwa ifakara morogoro .
Sisi tunavutiwa zaidi na mavazi ya asili, mazingira ya asili uzungu,
tulishachoka ukitaka kukwepama na sisi endelea kuvaa hayo ya wazungu uone.
gunde,kiukweliume nikumbusha mbali saana mimiyalinikuta,nilikuwanimeowa chamabanda kitongiji chamtakuja nlikipatashida saana mkeeakanikimbia ilakwasasa analiaetituludiane namm nilikataa,kiukweri nafulaisaan kwawimbouu mnguuakubaliki,
Duuuuuu🎉🎉🎉
Big up broo
🎉
Big up bro🥰
Kwaroho safi
Sana brother