Upo vizuri, jitahidi tu ujue kuwa jamii unayoiimbia inabadilika kulingana na mda... Ukitoa nyimbo inayohitajika na jamii kwa wakati huo, utateka mashabiki wengi
limbu hao vijana wawil umekomaza kwan wanaweza kuimba ila kumbka huyo shule mwishon mwa wimbo kuna mistar kanipangia imenyooka kama rula hapo mshamba apite mbar Ahsanten kwa kaz zuri
🔥🔥🔥🔥🔥 ongeza moto ni muda wako mnyama wimbo ubadilishe uwe Nisadale
Lakni mayiku sai anakuzidi usharobaro anaishi wapi yeye
Nimeipata jamani sku tatu niko TH-cam 😂😂😂😂nipeni like
Kipande verse ya mwisho ya mayiku sai ni moto❤😊😊
Wewe ni mimi😂
Naparudia sichoki😋😋😋
Naipataje jaman audio
Matukio sayi
Wasukuma wanatoboa
Aiseeeh kazi nzuri keep going guys!!
Chombo matata Sana hii safiiiiii ilifaa iitwe Nisandale.
Waooo nimependa huu wimbo wasukuma tupo pamoja
Mimi ni masai ila huu wimbo nimeupenda kwa kweli kwanza hawa wanao dance ni moto hongela kaka❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Oy unajua mpanka unakela😅😅😅 wangapi waludia kama mimi😂
Hongera kwa kaz nzur
Kazi wanayo kaka karibu sana shabiki yako niko China 🇨🇳 ngwanzuuuu haaap
😮😂😂😂
❤❤❤❤
Tumekiwa sisi wat wa Mara tumekuwa tumewajuwa Baz ya wasanii IL Sasa huy yup fom sana
Niko tabora lakn kama niko Bariadi tu nafurahia sana kabila letu na napapenda sana kwetu bariadi
limbu nyimbo zako zinapigwa hadi huku dar na pwanic
Bhagosha aya amimbo lulu aha daaah!!
Ngoma ikifikia nisaandale ndo inakuwa hatar aiseeee Hawa jamaa nouma sana
Wabeja sanaa kaka
Jamaaaa wametisha Sana from Arusha ✓
umetisha mawamba
Hongera Mama angu kuwa msukuma
Limbu
Iko Bomba sana
Mayiku ameua kuimba hadi kucheza❤
Aminia bonge la ngoma
Upo vizuri, jitahidi tu ujue kuwa jamii unayoiimbia inabadilika kulingana na mda...
Ukitoa nyimbo inayohitajika na jamii kwa wakati huo, utateka mashabiki wengi
Maiku sai kunamaua yake hapa Jin's anavyodance nikiwango Cha juuu
Mwaka huu watasema❤❤
Umetisha limbu
hatamm naupend san nimeangaika kuupata 😂😂😂😂
Salute sana simba mnatisha
Hyo style walocheza hao jamaa n fire
nimeutafutaa siku ya tano ndo nimekuja kupataa😂😂😂 honger ndgu umewenzaa
Credit nyingi zimuendee Mayikusai ni moto mkàli🔥🔥🔥🔥🔥
Natogwa nalangwa goyejayeja
❤kaka sio limbu mnyama na watoto wake bas mungu tusimchukie kwa alicho tupa kiufup salute kwa wote directed na wasanii wetu😂
Mayiku Sae ndio aliimba vizuri, ndio kaupendezesha wimbo.
Tupo pamoja sana
Wow miez nimehangaika kwelkwel kuitafuta hii nyimbo dah ❤❤❤❤❤❤MSUKUMA MIE ❤❤❤❤
Jamaa kwenye ngoma hii ngosha ulitisha kazi nzuri sana
Hili jamaa kwa sasa waimbaji wa kisukuma wakae mbali kwa kweli , bhaghosha yee hatari eling'wana lyene ♥️♥️🥰🥰🙆🙆🥰🥰🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
aseeeeee vijana haoo watatu yulee wa katikati namkubali sana namwitaga ikram
Dancer mwenye brichi hatari fire
Kazi zako ni Top bwana Migera 💯💯
Nakuaminia san kaka miger ujawah hufeli hata siku moja kaz zuri sana
limbu hao vijana wawil umekomaza kwan wanaweza kuimba ila kumbka huyo shule mwishon mwa wimbo kuna mistar kanipangia imenyooka kama rula hapo mshamba apite mbar Ahsanten kwa kaz zuri
Isee hii ngoma kali sana! Kiujumla mmepambana sana
Hatali limbu kaz kwenu na watoto wako mayikusai kaz zuli
Hadi raha❤❤❤❤❤❤❤
Nakupenda Sana huo mwimbo
ata nyanda madilisha alienda kwa staili hii mm nimshabiki wako lakin acha kuimba kwa sifa👏👏🙏
MIGERA wewe ni director wa Kimataifa
Shemejiiii umeupga mwingi snaa 👍👍👍
Natogwa nalangwa goyejayej
Limbu najiona tuko pamoja sana
Natafutan lyrics
Wa kwetu ❤❤❤❤❤
Nimëkuota kutoka morogoro
Wabheja simba na watoto wako, ngoj nitafute hela ,mje mnifulahishe❤❤❤
Kuanzia dakika ya 5 adi mwisho duuuh apo ndo nimekoshwa asee walah💥💥💥🙄🙄
❤❤❤❤ ogopa
Kasema ukweli wake jamaa yupo sawa❤❤
mwamba kwelikweli kisasa zaidi🙌
Ticha wangu utawauwa poza kidogo😁
Sema ngoma kali sana na ipo 🔥🔥🔥🔥
🎉mumeupiga mwingi
Maji moto watajinyonga punguzen yule mhutu wa burundi ahame majioto
Sema shule ni handsome 😊
Nakukubali mwamba mungu akusimamie.
Migela unatisha kama ukoma✍️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎹📷📷📷📷📷📷📷📷📷📷📷2️⃣0️⃣2️⃣4️⃣
Am skuuma niko Norway, nimemis home jmn
Wao umedo Cha maana
Iko poaa sana mkuu hongera
Ni balaa
Nakubali sana kwet sengerema
Ngoma ikifikia nisaandale ndo inakuwa hatar aiseeee Hawa jamaa nouma sana 7:47
Nakukubali sana limbu ❤❤❤❤❤❤❤
FORÇA MINHA EQUEPA!...
Hongera sana namukubali sana limbu luchagula
asant
Nimeupenda Sana hu wimbo ❤❤❤❤❤❤
kweli
wimbo mzuri Sana
Uko vzr Sana kaka
Kongole kwako unajua aseeeeeeeeeeeeee❤
Mmi msambaa ila hii nimeikubali❤
Hiii nyimbo umeua sana mnyama nailudia rudia
P
Nice colas
Shule uko vzur chapa kaz
Umetisha sana director migera
Wa kwetu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Migera 🔥🔥 quality video
Hiii ngoma ni moto
Umetisha sana Kaka migera
Yuko vizuri sana
Mm msukuma bana
Wasukuma tunaweza hadi tunakela😂😂😂
Pg kazi
I haha choraga camera nsoga lhulhu nzehe
🔥 🔥🔥🔥
Nimeipendaa
Subiri usifiwe, sifa siyo poa
Safi gete ngosha
Neyoo
Hatarii hiii ngoma
Napenda saaana asili yangu
Ujumbe Safi 😊