daah, huu wimbo kiukweli unanipa faraja kubwa hasa pale ninapohisi magumu yananizidi, lakini sikati tamaa namuomba mungu kisha najiona me champion 🏆, alhamdulillah... gonga like nawewe kama ni champion kama kontawa✅🦁
Walai miezi mbili imepita ila hii ngoma bado inapigwa kwa magari ya uchukuzi huku mombasa route zote hakika ngoma hii imekubalika Kenya🇰🇪 watanzania nipeni likes basi
Uhalisia wa maisha tuliyonayo nayo kwa sasa kila kitu kipo juu na tuliko toka mpaka hapa ni kwa shida ndio maana tumeipenda hii nyimbo ni uhalisia tulionao watanzania wengi
Thanks kontawa for Good music maana huu wimbo umenikumbusha Maisha yangu ya nyuma bro so poah pamoja na my bro True boy for good Combination maana wimbo wote. Niualisia wamaisha ya watanzania wengi but for me kwenye verse ya haponyuma walizani atutatoboa kwenye mafanikio hapo tu hapo daaah nalia then l remember my family now they happy through me Thanks God From zero to something
Message delivered,Maisha ya tz hovyo sanaa, leaders this ain’t something we proud of, the youth are jobless, poor education system, kila kitu bei ghali can’t afford anything nowadays SAMIA save this country We are still waiting for the PROMISED LAND 🇹🇿
HATIMAE GOMA LETU LA TAIFA LIMETOKA LIKE ZAKE ZOTE NI HAPA MAFANSI WOTE MNAOIKUBALI HII NGOMA LIKE HAPA TUJUANE MPAKA KONTAWA AJUE MA FANS WAKE KINDAKI NDAKI NI WAPI🔥🔥🔥🔥🔥🎵🥰🎶
Boda boda akachinjwa sinza mwangu mwingne aliuliwa kinondoni shambaa kule ikabidi SSI tuAnie safari ya kuzamia south Africa kfika boda tukadakwa tukarudishwa Tanzania Tena dahaa
I'm the champion ,... uandishi mzuri maadili ya ubunifu kwa kudhani vema uhalisia wa maudhui yenye uwazi kwa maisha ya sisi sote! "The Best hip-hop song all the time"
But this song is a real vibe ..hitting all life realities..I've never subscribed to ant account but for the love of kontawas content I had to for the first time.
daah, huu wimbo kiukweli unanipa faraja kubwa hasa pale ninapohisi magumu yananizidi, lakini sikati tamaa namuomba mungu kisha najiona me champion 🏆, alhamdulillah... gonga like nawewe kama ni champion kama kontawa✅🦁
🙏💥💥
Kama namuona king zila au nyie mnaonaje
Pure talent huku Kenya kila spika ni I'm the champion. Mnifikishe 2k aissee
Asante nay wa mitego umetufanyaa mashabiki wa mziki kumuamin Kontawa kama na ww umekubal kwa wimbo huu gonga like
🙌
💥
💥
💥
Is the músic copy from harmonize?
Walai miezi mbili imepita ila hii ngoma bado inapigwa kwa magari ya uchukuzi huku mombasa route zote hakika ngoma hii imekubalika Kenya🇰🇪 watanzania nipeni likes basi
Tuko vzuri
0h
Acha dharau wew mshamba
Pamoja sana
❤
Uhalisia wa maisha tuliyonayo nayo kwa sasa kila kitu kipo juu na tuliko toka mpaka hapa ni kwa shida ndio maana tumeipenda hii nyimbo ni uhalisia tulionao watanzania wengi
🙌
🔥
Noma
This song gives me a Flashback..so I leave my comment so that when you like it I'll come back and Watch it again.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 quality Inn
JD and consideration and
Tulioangalia zaidi ya mara moja tujuane👆👆👆 ngoma kali kinoma..
🙌pitia kw Chanel yngu pia nisuport kiasi 😃 nimerudia hadi jirani amejiunga
🔥
🙏
This is a dope, I am representing Tanzania. Wakenya tunawapenda sana kwa support kubwa mnayotupa. ASANTENI SANA
Huu ndio wimbo bora wa mwaka gonga like hapa kama uko pamoja na mimi✌️
💥
Ney mim nishabiki wako dah bonge langoma
Hili song litaishi miaka mia hata kama tukifa wote....Kontawa mwanangu wew ni wa peponi moja kwa moja🙏👍🙌💪✊
Acha kukufuru
Hamna atakea enda peponi kwa nymbo muogope mungu wako
wenye tumeangalia hii banger more than two times tujuanee🥂
💥
💥
Tupoo mzee
Hii nkali
Mwisho wa siku lazima huu wimbo utaupenda Tu , superb KONTAWA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kama unakubali ili ngoma ni funga mwaka leta like 20k apa 🔥🔥🙌
🙌
💥
💥
💥
when he said "ata uwe mpole huwezi ishi bila uongo"🤔 here in kenya a hit like this we call it "ngori" yaani kitu moto🔥
A definite masterpiece,the visuals are as deep as the message.
My 🇰🇪 people pita na like tukisonga
🙌
💥💥
💥
Good karibu tz
Follow 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 me
Hizi ndo Nyimbo tunazotaka kusikiliza.Seriously hits..let it go viral
Thanks kontawa for Good music maana huu wimbo umenikumbusha Maisha yangu ya nyuma bro so poah pamoja na my bro True boy for good Combination maana wimbo wote. Niualisia wamaisha ya watanzania wengi but for me kwenye verse ya haponyuma walizani atutatoboa kwenye mafanikio hapo tu hapo daaah nalia then l remember my family now they happy through me Thanks God
From zero to something
Keep going brother❤👊🏽… big step💙
Message delivered,Maisha ya tz hovyo sanaa, leaders this ain’t something we proud of, the youth are jobless, poor education system, kila kitu bei ghali can’t afford anything nowadays SAMIA save this country
We are still waiting for the PROMISED LAND 🇹🇿
Kontawa is a genius. Much love from Kenya
th-cam.com/video/iVT603q5DPA/w-d-xo.html
🙌
🔥
Umitisha ney
Good vibes kontawa,,taking hearts 💕 over,,,biggup from Kenya 🇰🇪 one love,,,goma tumelikubali mko fyn combination safi
Hata uwe mkweli huwezi kuushi bila uongo, nisha zika wanangu nilo wapenda ukija mtaani kwetu kutwa difenda CHAMPION Best lines 💪🏿💪🏿💪🏿
Kama umerudi e wimbo zaidi ya mara moja, imeweza kwa sana, eti bahati bahati zote aliwachiwa Bukuku, big up to Kontana☝️🙏💪🏽
kabisa, hii ndio maana halisi ya sanaa, hakuna matusi,hakuna makandokando, doh what a message
This is a masterpiece, love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unajua mwanangu tawa
PITIENI KWANGU NIFIKE 10K SUBS PLS
🙌
🔥🔥
th-cam.com/video/6-HXyyUJWVM/w-d-xo.html
Kama unaamini ipo day na ww utafanikiwa Gonga like twende sawa
Daaaah sy pw ua tunasota sana ila one day hiii ngoma imenifanya kuto kata tamaaaa ipo siku ntatoboa na Mimi
We contaw pokea maua yako
❤😊❤@@abduliashiru9394
Ngoma inaweza
Kontawa never disappoint us tujuwane kwa like watu ambao tumeishi kwenye maisha kama hayo💪
🔥
🙏
The kind of music we need in our societies...above all God first👊🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii ngoma ilifaa kuwa World Cup Anthem pale Qatar💯🫀✅
Kabisa mzee mwenzangu
😂😂😂kbsa respect
😂😂😂kweli mzee baba
Arooo miso hoki kuisikilizaa Bomba sanaa Iko lakini pini zake hatari
Jamani kitaani kwetu Tabata kimanga mawenzi😂❤❤ Salute this is more than National anthem hio life umeniimba
Kenya well represented 😍😍Kontwa jina kubwaaaaaaaa
💥
🔥
Hii nyimbo inazungumzia maisha fulani ya kitaani. Usikate tamaa iko siku maisha bora yanazuka tu.
Uhalisia wa maisha yangu thanks kwa hii chemistry hatari na nusu 🙏🏾💪🏿
🔥
🙏
Hii nyimbo uwa naichezeshe kama Mara tano kwa siku paka Bibi na watoto wanajua kuuimba,I love this song big up kontawa big ney
R.I.P SAIMONI(SIMAO) HONGERA KONTAWA KAZI SAFI🔥🔥
Why Simao bro?
🙏
💥
Mtaa nmetoka polisi wanauza gongo love from kenya
Whole africa needs to be a state we gat fire in us
Hit bang mens kontawa hii nayo mkaua kweli nay wamitego lot of love from kenya
Rais wa kitaa much love from kenya kolabo ya kufunga mwaka mumeua machampions🇰🇪
Aroo hatari hii comesha ya masharo wakibongo hawaongei uharisia fungal mwaka contawa was kitaa hii ndo Ngoma yakusikilizaaa mazeee
Straight kutoka Kenya much love tanzania
This song really reflects my childhood life much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉 huu wimbo nausikiliza kila siku iko na mafunzo mengi sana
Ney the true boy bingwa mbona... champion forever my Gee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪
Ngoma Kali ila ney humu sio kwako kiivyo!salute kontawa boy
Special dedication to all hustlers..Big up kontawa.
Bless up Homie
Wangapi wanarewind part ya,"...."tumeishi na watu wanaoamini kwenye mipango ya Mungu kuna Mkono wa mutu..." drop like here
Ngoma kaliii saana VIDEO LIMESHIBAAA
Yoo tawa mi nimependa sana wimbo huu mniga yani another leve.
I came across this song by mistake but it did something to me ❤
So inspiring ✨️ 🙌
@@BigZhumbe😂
❤
Nishazika wanangu nilio wapenda😭😭😭😭😭😭😭daaaa nimelia sana hadi nimekumbuka wazazi wangu mungu awatangulie peponi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
This is a masterpiece, love from USA 🇺🇸🙌💯
🙌
🔥
💥
Perfect beat, perfect lyrics, perfect message, perfect delivery, perfect video. This should have won several awards.
"mtu aliyetoboa sana alitoboa skio" how deep! Sad but true!
Verse ya kontawa noma sana inanipa goosebumps 💪💪💪💪💪🔥🔥🔥 Yakuza nandiboy from Kenya
Kama una mkubali kontawa gonga like apa tufike500k
Aminia 🤞
Majid
Poa bro mimipia gonga sabscribe kwangupia
Pitieni kwangu
PITIENI KWANGU MNIFIKISHE 10K PLEASE PLEASE I BEG
Oya ngoma tamu sana kwetu wataftaji. Imetoboa pande za huku kwetu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Aaaaaweeeeee I'm the winner, I'm the champion
Tumeishi na watu wanaoamini kwenye mpango wa Mungu Kuna mkono wa mtuu.♥️♥️♥️
"Mtaani kwetu sio, aliyetoboa sana alitoboa Sikio" bro, Umeupiga Mwingi sana - bonge la Wimbo!!!
All hustlers this is our anthem .. lets use it to motivate our hustles💪💪💪
🙌
💥
Hii nayo imeweza! Love from Kenya 🇰🇪
This song belongs to us who came Mombasa 🇰🇪 hoods/ghetto/kitaa... we'll represented
🔥
Kisauni...💪🩸
Good music kontawa. Kenya must have recognised this good music🇰🇪🇰🇪
Kama namuona Godzilla
R.I.P kontawa uko vizili🇧🇮🇹🇿✌️❤️
Kontawa🔥🔥🔥🔥. Nimeishi na watu waliodhani kwa mpango wa mungu kuna mkono wa mtu.
Brother Kontawa, I really like your songs♥️ I am from Comoros
🔥
🙏
Salute kontawa😎😎😎 goma kali sana🤜
HATIMAE GOMA LETU LA TAIFA LIMETOKA LIKE ZAKE ZOTE NI HAPA MAFANSI WOTE MNAOIKUBALI HII NGOMA LIKE HAPA TUJUANE MPAKA KONTAWA AJUE MA FANS WAKE KINDAKI NDAKI NI WAPI🔥🔥🔥🔥🔥🎵🥰🎶
Boda boda akachinjwa sinza mwangu mwingne aliuliwa kinondoni shambaa kule ikabidi SSI tuAnie safari ya kuzamia south Africa kfika boda tukadakwa tukarudishwa Tanzania Tena dahaa
Hii Ngoma unanikumbusha mbali kinoma Niki hustle kinoma niliwapiteza wanzangu kma watano mmja aliiba
PITIENI KWANGU NFIKE 10K PLS
🙌
🔥
leo ndio nimesubscribe na pia nmetii.kweli bongo mko notch ingine blaaaah piga chinja ii kali
I’m a Ghanaian but I can’t stop playing this song 😢I don’t even understand wat he’s saying
It’s all about underdogs life
This song is about , struggling, hustling,of kontwa but #nay wa mitego realize that don't give up" after being champion though our talent (hip hop)
You just take it rylics then you copy them as swahili translate to English ,that you will enjoy the meaningful of song
@Marian
Short reality song
Walio toka ghetto tujuani kama mumemuelewa huyu mwamba 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Now it's national Anthem
Salute to Kontawa
🙌
💥💥
🙏
th-cam.com/video/6-HXyyUJWVM/w-d-xo.html
@@angelinasamson7499 so free to rf dressed d free try it from
From garissa kenya🤝🙏💪, the type of music that I lyk...big up kontawa na nay
From lamu we love it also
Recently been listening to Kontawa... and Damn only for this guy letme say in love with songs...... 🇰🇪
🙌
🔥
Africa let's protect kontawa he is our treasure
Definition of Good music 🔥🎶❤️
🙌
🔥
Eeeh kotawa muzee wewe na wamitego mumefunja njungu nice music the best rap we love you boys🥰🥰🥰🥰🥰
Woow , is all I can comment,! I felt goosebumps while it was playing , both of them rap from their hearts , lyrics from their hearts and experiences
I'm the champion ,... uandishi mzuri maadili ya ubunifu kwa kudhani vema uhalisia wa maudhui yenye uwazi kwa maisha ya sisi sote! "The Best hip-hop song all the time"
Mm nasema jamaa atafikia mbali km na wewe unasema ivoo like tujuwane hapa
Kontawa, hongera kwa kazi kubwa na nzuri, waiting more from you.
Much love from 254
Also congratulations for the award in Tanzania Music Festival
From Malawi,lilongwe,I can feel it,a pure bongo music,real you are the champion 🇹🇿🇹🇿
Kontawa kama kontawa💯💯💯❤️haipiti siku bila kuusikiza huu wimbo tangu uujue
Salute to the hustlers💪 we gonna make it in Jesus mighty name 💯
Much love to the 2 musician the song is a vibe ... M like my Champions
Fan Ifrom Niger 🇳🇪 😢
Nakukubali kutoka kenya umeimba life yetu uku malindi broo kama gonga like tufike 200k
Ila hii ngoma Ina uhalisia Sanaa 🔥🔥
🔥
🔥
Nyimbo zangu ni mbili champion na sio kwa ubaya fa...........kontawaaaaaaaa.boys
This song is to another level 🔥
🙌
🔥
💥
Kali sana,,, napenda kuona champion akifaulu na kua more champion big up #Kontawa
Kigali Rwanda 🇷🇼🇷🇼 Is well represented… Keep it up
🔥
🙏
Kama unaamini Ney amefunikwa kwenye hii nyimbo like za kutosha
Kama umekubalii hii ngoma gonga like🙌🙌🙌🙌🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Huwezi kufeli ukiwa umemshirikisha Ney hata siku moja. Big up Kontawa, big up Rais wa kitaa.
Best song of all time
Kenya 🇰🇪 we love u
Hongera sana kontawa,hizi ndio nyimbo za kuimbwa,utagika mbali
Mwanaume umeeuaaaaa nakubali kinyama 🔥🔥🔥🔥
Arooo
The audio on its self its a classic. Manze how I wish everyone understood swa 💥💥
Though i don't understand the language but i enjoyed listening smiling and believing am a Champion
Underdog’s life
Kama umerudia uu wimbo zaidi ya mara 5 basi wee ni champion..
Kontawa akuna wakumpinga
But this song is a real vibe ..hitting all life realities..I've never subscribed to ant account but for the love of kontawas content I had to for the first time.
ngoma kali sana kaka💥💥, pia nimependa kuona baadhi ya scene zikiwa ni za kitaani kwetu kweli💪
Spreading Kenyan love ❤️ in Tanzania
🔥
🙏
Si tumetokea bongo na maisha yanasonga tu..............mstari wangu pendwa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿