Mob love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 huu Sasa ndio ushairi sio michezo na ujinga zingine ziko humu Kenya. #NEYwamitego never disappoints. Piga like kama wakubaliana Nami 💥💥
@@salimmussa9719 awez andk ila michano yake iko wazi wazi so atafunika kwa uwezo wake wa uwaz Atufanani ila tunategemean kwa kile anachofany kila mmoja
Nakwenda jela hatuogopi duu Ney nime kuelewa sana hapo🤔 hii Ngoma inaujumbe mzito na mshamba hawez kuelewa-- nawa kubali kinoma nyie watu Mungu awaweke zaidi mzidi kutujuza maana sio kwa ujumbe huwo🙌🙌
Wakali wa hizi kazi hili kundi miaka buku litabaki kileleni rostam hivi vichwa vya moto havishikiki havikamatiki na havina mfano 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 tunaopenda cheko la roma la kidaku twende sawa
From kenya tunakubali ngoma za hawa washikaji 💯 ngoma imeweza tena kali sanaaa👌🔥🔥 basi kama pia wewe una skiza uki enjoy weka like tukisonga👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
😁😁😁 Hihop is in My Blood,, Ukweli Rostam pamoja na Nay Absolutely Salute so Much, Song Limetulia sanaa,Hawa ndo wanaharakati Halisii ,Keep on Moving Mabrothers
Aliweka brich za kikongo ( ) Alie achiwa mtoto akaolewa na mtoto akaachana na mtt na bado analea mtt IRENE UYOYA Spika mbovu ( ) Anae rudi kutoka belgiji ( ) Wote mama ntilie shilole Alie mlaza muumun kifo cha mende ( ) 😀😀😀😀😀😀😀
jasiri ameumaliza mwendo (ruge)aliye okota almasi(wema)aliye inunua (zari)dada waigunga shilole(aliye olewa na mtoto akaachwa na moto (uwoya)mwambani mnyanyasaji wa jinsia (diamond platnumz )pakati wakatokea maharamia (hamisa mobeto) TOP ROSTAM THIS DA REAL MUSIC FULL OF HIDDEN MASAGES AND ALL REAL STUFFS FROM 254 kalikartel 2 is out burning into flames
Dah hii ngoma nimeiangalia zaid ya Mara 15 wote walioikubali gonga like hapa ah hahahahaha uchaguzi unakalibia kaludi chama Tawala nawaelewa sana hawa jamaaa
Hii ndo list ya watu waliotajwa kwenye huu wimbo 1.Gwajiboy-alimlaza muhumini kifo cha mende 2.Lowassa-babu mwenye breach la kikongo 3.Shilole-dada yetu wa Igunga 4.Uchebe-Yule fundi gereji chawa 5.Irene Uwoya-Demu aliyeachiwa mtoto akaolewa na mtoto 6.Dogo Janja-alimuoa demu(Irene) aliyeachiwa mtoto 7.Amunike 8.Mkude 9.Ruge-Marehemu aliyemsema mnyonyaji 10.Diamond-Almasi iliyookotwa Mchangani na Miss Tanzania 11.Wema Sepetu-Miss Tanzania 12.Zari-Mganda aliyekuwa na nia 13.Hamissa-Haramia 14.Tanasha-Haramia 15.Lissu-Fundi wao anayetarajiwa kutoka ubelgiji 16.Nabii Titto 17.Dr.Shika 18.Mariam Biriani-Anapika na kupakuliwa(kuliwa tigo) 19.Amber Rutty 20.Wengine ongezeaaaaaaaa
Kama kuna anaesikiliza hii nyimbo had leo gonga like
Wah! Hip hop Juu Tanzania, naomba likes zenu watanzania mimi natoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pia Mimi mkenya ila Bongo noma
Asanteni Wakenya kwa kuikubali sanaa ya Bongo, gemu letu bado halijaiva ila soon mutaielewa zaidi.
@@RamadhanAli hip hop ya Bongo naipenda
Mmefany
Nawapenda sana Wakenya.. karibuni kwetu Tanzania
Mafans wa Rostam Kutoka Kenya mpitie apa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Rostam kila time.. Msd respect from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mob love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 huu Sasa ndio ushairi sio michezo na ujinga zingine ziko humu Kenya. #NEYwamitego never disappoints. Piga like kama wakubaliana Nami 💥💥
Tupo hapa. Ngoma ngumu!
Kama unaamini Roma & Ney ni wasema kweli Gonga like japo sio Kiroho Mbayaaa... 😂😂😂
nice
Hawa majama nay angepewa ves ange arubu sana naisi munge tukanwa watu ndani
Jamani kama umeuona huu wimbo zaidi ya mara moja nipe like zenu kwa Roma Stamina na rais wa manzese Nay
Nimekubal jamaa wakali
Kama ungependa Ney wa Mitego ajiunge Rostam ili tupate ngoma Kali kama hizi gonga like
Salute mwanangu
Ney hawezi kumatch na level za Rostam ... Rostam wanaandika sana
Na jina liwe rost............
@@salimmussa9719
awez andk ila michano yake iko wazi wazi so atafunika kwa uwezo wake wa uwaz
Atufanani ila tunategemean kwa kile anachofany kila mmoja
Eric Tinx
Bonge la ngoma
Wauni wa 3 wa TZ... Mr Nay ka fanana na ngoma ndo kisa cha kushirikishwa kwenye ngoma hiyo...like kama umekubaliana na mimi
Walorudia hii ngoma kuicheki zaidi ya mara moja tujuane 😀😀😀 ni fire
Suni wao anakuja kutoka uberigiji
Like za Rostam ft Nay
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿
Goma kali
th-cam.com/video/Xmqd_GtIhqY/w-d-xo.html click link hii
Kuna dem aliachiwa mtoto akaolewa na mtoto akamwacha mtoto kabaki analea mtoto.
Dogo nakukumbuka. Mozambique warap!!🇲🇿
Kwemaaaa
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo Kali Tz.... Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS👐
Yaani huu wimo neno
😂😂😂 cheo changu hicho braza
Utunzi uko sawa kabisaa.... kwanza hapo kwa unyanyasaji wa jinsia. watching from Iraq. Hata mm mnipe like hata kama nime subscribe leo
Hawa jamaa sio watu wazuri
NAOMBA LIKES 50 kwa ajili yao 🙏🏿😂😂😂🇹🇿
Nzur san
Ngoma nzuri rostam
Dats much great
Noma San
Rostam watamu
Sijui kama tuta pata tena watu kama hawa katika historia ya Tanzania...
Aliyelielewaa tako la mama ntilie kwenye hii ngoma kama mm gonga like twende sawaa
Hatar fire...nimeirudia ngoma kwa udhamin kwa tako la mama ntilie
Mimi sijaelewa nieleweshe
kapinga george 😂😂👏
Baharia ww😂
kapinga george 😀😀😀😀🙆🏿♂️
Kuna demu Aliachiwa mtoto.. akaolewa na mtoto..akaachana na mtoto ..akabaki anamlea mtoto.... Aaah noma sana hiki kipengele
Jamani Hata like moja, bongo ndo nchii pekee inayo sapot ujinga
Noma kweli
Mhu ukisema kutekwa kupo jarbu uone
Kweli
imenoga sana nimependa sn
😂😂😂😂 HAWA Wapuuzi sio poa eti wote mama ntilie UCHEBE 💪💪
Tuipeleke #1 Trending Kabla basata hawajafanya üpuuzi Wao 🔥🔥
Christopher Soty 😅😅😅😅 truuu that man
@chrisopher soty ww shari kweli😂😂😂😂
😂😂😂😂Audio inatrend natamani intrend video yan wamekutana
Nay namba moko
IRENE UWOYA... aliachiwa mtoto, akaolewa na mtoto DOGO JANJA, akaachana na mtoto na saa hii anampatia mtoto LAVALAVA... hiphop in my blood
Nilikuwa nasikia sikuelewa ila umenielewesha
@@lupetamhagama2145 hahahahahaha hiz comment yaan mbav mpk zinaumaaaa!
😬😬😬📢📢📢
Lazima utumie akili sana kuimba hip hop lool
Bongo bana
Mmetisha aiseee hii ni yakufungia mwaka 2019 km umeipenda km mim gonga like twende sawa!
nyie majaaa mnaimba alafu kama mnapiga story . . nzuri sana . asee . KUBALI MNO IO STYLE .. viva ROSTAM ft NEY
Wazee wa video 2liokuwa 2naingoja 2juane apaaa
Yaani aliyeokota almasi mchangani alikua miss tanzania
Ney kaua haumu au sio kama na wewe umemuelewa gonga like wana jangwani
FUNDI WAO ANAKUJA SOON KUTOKA UBELGIJI .. TUNDU LISU .. wooooooooooza . NANI KAELEWA KAMA MIMI APO ??
kiduku kilikuu wew ndio umenifungua ubongo
@@mohamedmpogoro3058 haha sawa sawa mr.
duh huu wimbo lazima uelewa TZ inaendaje
Dah nilikua sija elewa Asante bwana dah.
@@nessa4899 karibu tena Mr.
Goma lishafikisha views 1.2M ROSTAM achilieni goma tunalingoja kwa hamu...niko na ukoko wangu hapa...anae subiri goma la ROSTAM GONGA LIKE HAPA zikifika 500 goma linaachwa...kutoka kenya hapa
Nakwenda jela hatuogopi duu Ney nime kuelewa sana hapo🤔 hii Ngoma inaujumbe mzito na mshamba hawez kuelewa-- nawa kubali kinoma nyie watu Mungu awaweke zaidi mzidi kutujuza maana sio kwa ujumbe huwo🙌🙌
Kama kuna aliyeirudia hii ngoma zaidi ya mara kumi alike hapa tujuane
Mimi hapa niliyirudia zaidi ya mia
@@innocentmanirakiza2328 Mimi richadi kutoka mosh ngoma nikal
Now 2023
@@anitag.laswai6800 mh we nae
Mie toka KE 🇰🇪
hii siku ya 5 ndo leo naelewa ngoma 😆... ROSTAM 🙌🙌
Mim sijaelew
Hahahaha fasihi ni hatar
sifatiliagi hip-hop Leo hii imenikosha naombaaa like 200 Kwa ajili ya watu hawa
Ngoma tam haina mfano kwa mwaka huu
Saf
Kali sanaaa
tsm tsm ikosawa
Og
Mziki mtamu
Tumechoka na kupepeta mara tetema mara kanyaga mara vumbi Duuh.... Hao vikuku huwez waona hapa
duuh hili lina FAA kuwa grup maana sio pw, anae kubali nilichosema Na kina FAA , aache like yake ,twende sawa
All tha way from USA🇺🇸 tunawaombea rostam msivunjike tuu 🙏🙏🙏
Nice
pacha milionea nakubali babaangu
Hatar san kak
Click link hiith-cam.com/video/Xmqd_GtIhqY/w-d-xo.html kuona kipaji kingine hiki
From USA🇺🇸 too.. I love this song
Ila fundi wao nakuja soon kutoka ubedgiji 😂😂😂 like zang wadau
🇳 🇦 🇰 🇺 🇧 🇦 🇱 🇮
Šhöw qâľîî
Hamjawah niangusha qwenye kaz zenu show respect kwenu rostam mkojuuuuuuuuuuuuuuuuuu Mia mia
Furahieni music kabla Wazee wa BASATA kuuelewa maana yake. Maana wote Ni VILAZA wale.
Wabongo nyie mnashida gani ASE mbona mnawaza mbali sana???? Salute aloyce ngoja tuenjoy mapema🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Basata wakifungia hii ngoma baraza tunalifuta rasmi. Gonga like kama uandishi unaamini umetumia akili kubwa
🤣🤣🤣🤣
😆😆
hahahaahaa
Daaaah sina la kusema kwa kweli
Basata hawawezi kuifungia hii ngoma
Tunao angalia ngoma hii mpa Sasa 2024 gonga like . Vichwa vilivyopo ndani ya hii ngoma ni hatar ogopaa
Nani anayeangalia video na kusoma comments kama mim 💓✌🙏 good music kakazangu
Na sijaona comment mbaya mpaja now....yaan the song is lit🔥🔥
Pmj
Akuna
Kazi nzuri
Munira Ahmed Mimi pia munira
Ba bado akamlaza muumin kifo cha mendee
😁😁😁😁😁😁😁
Huu mstar nomaaa
Like zenu wa tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
rostam is in another level💥💥sema Roma nakukubal waimba huku wacheka 😂😂ney kafanya mazishi ya kijesh stamina we n 🔥🔥🔥
safi
😂😂😂
Najua nikisema much love from Kenya hamtagonga likes ju tumezoeana sana
Kama na wewe umerudia kuitazama Mara tano km Mimi ndio ukaelewa kua mlezi wa watoto ni uwoya na fundi speaker za bunge ni lisu gonga LIKE
fire hii ngoma
Jmn yhn hawa nishid
Mmmmh kumbe nimeangilia nilikuwa sielewiiii now nimeekewa
@@peterkyese4516 nni sasa umeagalia mbna sjakuelew mchiz wang
Kumamamazenu Rostam &ney nakueleweni sana mkimba mtindohu kuliko mapenz nmekusifuni cjakutukaneni 😂 munajua mpaka mnakera from 971
BASATA wakiifungia MA REAL NIGGAZ MTAANI tutaisambaza kwa nguvu zote kama unakubaliana ni mimi weka like yako hapo
Ameeni
🍌🎤🎼🎶🎙🎸🎻🥁🎺🎹☎
Kama unakubali nay.roma.stamina .like hapo
Wakali wa hizi kazi hili kundi miaka buku litabaki kileleni rostam hivi vichwa vya moto havishikiki havikamatiki na havina mfano 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 tunaopenda cheko la roma la kidaku twende sawa
hii ndo maana halisi ya hip hop ukitishwa tu unaimba kibamia uwe serious za kaz zako goma kali sana hili
Wangapi tumeipenda. Hii nyimbo gonga like twende saw
hawa jamaa n moto ! me cjawah kupata like ht moja leo naomba japo kumi tafadhal
Wangapi tumekubar kama hii ngoma kali togonge like hapa tuonane
✈🐵
Weh🔥 yani ngoma ukweli mtupu ahhh hawa watu wamewezaaa dondosha tu 👍🏾👇🏽 ukisomanga comments
Fundi toka ubergij tam sana
Nasema kweli sijawah kufikisha LIKES 1500 leo silali
Hahahah poa we usilale subiri zifike likes 100
Zinakarbia
nyieee acha tuuu ni noma
Hatar sasa 80
Bado 20 jaman
Kwel hiki kijiwe noma umbea hadi kwao wao wenyewe
Huu ni usanii wa hali ya juu!.kioo cha jamii kweli..napenda sana kutoka Kenya!
Anaeangalia na kuusikiliza huku anatabasamu kama mm gonga like twende sawiaaaaa
Hwa jaamaa wapo sawa kweli jmn
Awa nikihoo chajamaii
alikuja kama masia
Nitumie number ako
ma best song ever.. love Tz music😍😍😍😍. from Kenya
Kutoka Kenya, Roma & Stamina.... RESPECT!
Aliyeokota almasi mchangani alikuwa miss Tanzania, na aliyekuja inunua dukani ni Mganda aliyekuwa na nia..
Mad love Rostam!!
Kama unakubaliana na hawa PURE NIGGAZ weka like hapo
mbona wako pw nawakubali sana wajama
Show kali
Waliorudio kuangalia zaid ya Mara mbili huku anasoma comment tujuane hapa
Mi Mara 5 kabisa
Ahahahahah
Yaani mim ni mara tano hii
Noma sana bonge la mkwaju
Nakubal
Gonga like basi hapo chini twende mbele kama unapendeza na hii ngoma ya rostam
KAZI SAFII SANA....lori imeandikwa MICHARAZO
From kenya tunakubali ngoma za hawa washikaji 💯 ngoma imeweza tena kali sanaaa👌🔥🔥 basi kama pia wewe una skiza uki enjoy weka like tukisonga👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Hey chill man sina majibu deal done hawa watu nowmaa kweli that s why nawakubali kinomaaa✌
😁😁😁 Hihop is in My Blood,,
Ukweli Rostam pamoja na Nay Absolutely Salute so Much, Song Limetulia sanaa,Hawa ndo wanaharakati Halisii ,Keep on Moving Mabrothers
Alieokota almasi (diamond).... Miss Tz (wema)..... Mganda aliekuwa na nia (zari)....
Mnyanyasaji wa kijinsia (🙊🙊🙊diamond) 🤸🤸🤸🤸🙌🙌byee. Kwa wale wasiojua kuelewa hip-hop.
Fred Ernest online hahaha kwani kabisa
Live baab nimekuelewa kumbe unaelewa hip hop
Aliweka brich za kikongo ( )
Alie achiwa mtoto akaolewa na mtoto akaachana na mtt na bado analea mtt IRENE UYOYA
Spika mbovu ( )
Anae rudi kutoka belgiji ( )
Wote mama ntilie shilole
Alie mlaza muumun kifo cha mende ( )
😀😀😀😀😀😀😀
Fred Ernest online umetisha
Hapo umenifunguwa 😳😳😳
Likes za Roma nizione hapa
👇👇👇👇
Tanzania Football Failures (TFF).....Ney Wamitego kaumiza Chorus..... Ngoma ya Mwaka hii 2019
jasiri ameumaliza mwendo (ruge)aliye okota almasi(wema)aliye inunua (zari)dada waigunga shilole(aliye olewa na mtoto akaachwa na moto (uwoya)mwambani mnyanyasaji wa jinsia (diamond platnumz )pakati wakatokea maharamia (hamisa mobeto) TOP ROSTAM THIS DA REAL MUSIC FULL OF HIDDEN MASAGES AND ALL REAL STUFFS FROM 254 kalikartel 2 is out burning into flames
Mlevi aliepelekwa kucheza namba ya mkude likwid😀😀
@@dannytiggy8610 conc likwid.....
Santaaa
😂😂bonge la ngoma hiliii...team rostam +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪pitieni hapa❤❤❤❤mob love 😍😍
Kwel
Hongeren Kwa hip-hop Kali...😂🔥🔥 Alie okota arimas mchangani aliekuwa missi #Tanzania missi mwenyewe ni #wemasepetu Njoo huku...😂🔥😂🙌🏽
Hatariii sana wazee.. Ila hii nyimbo ilitakiwa iwe na dk hata tano... Yan ni bonge la track...
Aliachwa na mtoto akaolewa na mtoto ivi nani alogundua ka uwoya
Oya nategemea mtoe ngoma mkiwa 3 yani ni nay rostam 🔥🔥🔥💪💪💪
South Sudan represented. ROSTAM are lit 💥💥
Dah hii ngoma nimeiangalia zaid ya Mara 15 wote walioikubali gonga like hapa ah hahahahaha uchaguzi unakalibia kaludi chama Tawala nawaelewa sana hawa jamaaa
miss tanzania nimeelewa wema sepenga na almasi ni daimond na mnunuzi wa almasi ni zari daa ndugu mnajua kutunga mashaili
I love this song from Somalia 🇸🇴. Listen 2024🎉🎉🎉
Sheria kawekewa mjinga ,mwerevu anaziishi..Rostam bado tunawahitaji
Mnatafuta Kiki na mumeipata kweli
tutabanana ata kama hapatoshi..... ipe lyk.
gwajima sipika wa bunge wema zali hamisa shishi Baby uchebe ireneuwoya dongojnja dudubaya Runge Nandi Tanasha diamond Ruwasa kama umekubali gonga like twende saw 🙌🙌
Umitisha
@@FarmChoiceLtd Asante
Kweli aisee umeweza kuitafsiri
munira Hassan 6
Ambaruty+mariam biriani+lowasa+mkude+amunike+ruge+nabi tito+dr.shika ilakwann harmonize ckumckia wasafi fetival mkitwa itanoga dadeq zenu
Hivi mimi kweli naona sitashindwa kuangalia wimbo huu maana unanipa maraha ajabu...kama upo kama mimi towa like yako hapo.
Mziki mzuri,utunzi maridhawa, uandishi mzuri na aliyeshirikishwa kaitendea haki.. Good music
Wadau wangu wamerudi,kwa mpigo tena📌💯
Hii ni hatari 🔥 kijiwe nonga
Acha iwe nongwa
Mmetisha saaaaana wanyamwez wangu... Japo kunayule manzi kamaindi ila sio kesi👍 Mko kilelen kama bendera ya chadema✌️✌✌✌✌
kama umesikia mlimpeleka mlevi acheze nafasi ya mkude gonga like twende sawa
Mlevi ndio yupi sasa nimepotea
Pierre liquid 🤣🤣🤣
Nyinyi jamaa dah 😅😅😅👍 kweli leo kipole hakilali sisi tunakipiga gonga like tusepe na kijiji oyooooooo
BASA🚦 subirin ngoma iwe #1 on trending ndo mpite nayo😂😂
Sema nini..kama ulitaka ngoma iwe na verse ya tatu gonga like...😏
Kgctu
Imechukua muda tangu nitazame hip hop TH-cam... Niliskia huu wimbo kwa msela nikaamua kuitafuta TH-cam... Natoka Kenya
Huyu Ney Bora Mmempa chorus mngempa verse hii ngoma ingefungiwa 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Kwel
Kweli mkuu🤣🤣
@@richardkabadi2691 hahahaha omeona eeeeee ney motoooo
Haa haa kaamua kujiita fagio la chuma
Fundi wao unakuja kutoka ubelejiji nipeni like zangu Kama umeskia tundu lisu humo ndani ngoma iko vizuli Roma katisha ,🇧🇮+257
views milioni 1 .2. tear ss 2nakio na ngoma kam ulivo ahidi. wangap mnanisapti gong like apo watuon. #Rostam 🎶
These Rostam guys are out of this world.Damn... the creativity in them is unrivaled... keep it up our bongo Bros
The creativity in these two guys is good.....i like the flow in the lines.....
Anaenda wp tena
From kenya ,this is fire,I love the way wanacheka katikati ya kurap,its like they are having a conversation ,so genius
Rhobi Doris hii inaitwa ngonjera katika fasihi
@@alhabibyussuf7495 🤣🤣 nimejua sasa
Yah so amazing
Real talent 👌🏿👌🏿
@@Roxymoll1 Eti ngo...nini ?
utashangaa amber rutty kawa balozi wa kinga😂😂😂,,nan kakielewa kama mimi salute 👊👊👏
kama umesikiaaa fundi wao anakujaa kutokaaa ubeligijiii naombaa laikii 500
From 254.ke🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hii ngoma kali... Raper wangu best Rostam🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hii ndo list ya watu waliotajwa kwenye huu wimbo
1.Gwajiboy-alimlaza muhumini kifo cha mende
2.Lowassa-babu mwenye breach la kikongo
3.Shilole-dada yetu wa Igunga
4.Uchebe-Yule fundi gereji chawa
5.Irene Uwoya-Demu aliyeachiwa mtoto akaolewa na mtoto
6.Dogo Janja-alimuoa demu(Irene) aliyeachiwa mtoto
7.Amunike
8.Mkude
9.Ruge-Marehemu aliyemsema mnyonyaji
10.Diamond-Almasi iliyookotwa Mchangani na Miss Tanzania
11.Wema Sepetu-Miss Tanzania
12.Zari-Mganda aliyekuwa na nia
13.Hamissa-Haramia
14.Tanasha-Haramia
15.Lissu-Fundi wao anayetarajiwa kutoka ubelgiji
16.Nabii Titto
17.Dr.Shika
18.Mariam Biriani-Anapika na kupakuliwa(kuliwa tigo)
19.Amber Rutty
20.Wengine ongezeaaaaaaaa
mlevi-piere liquid
spika mbovu- Spika wa bunge
Duuuh nimeelewa sasa
Saf
Kiba wife atumuoni nyumbani
Hahahhaha hii nyimbo moto naomb like kama ume enjoy kama mim
Ukijihic jua umeimbwa ww ROSTAM bana hatar sana