Harmonie baba wewe ni tchombo kwa ajili ya kutangaza upendo na umoja katika dunia na ya kwamba unagusa mioyo za watu kupitia maneno ya nyimbo zako. Endelea baba god bless you a nother
Congo wana tamani uyi nyimbo na harmonize anafanya vizuri saana tunaanda ajefanya tamasha Kinshasa munipe likes zenu kama harmonize anauwezo wakufanya tamasha Kinshasa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
This song is so inspiring 😢I feel like crying 😢koz I once went through this but I thank God for helping me to understand how human beings are…🫡 big up @kontawa and harmonize for this inspiring story much love from Kenya 🇰🇪
Maana ya neno comment, kukielezea au kuelezea maudhui uliyo yatazama iwe kusifu au kutoa maoni kwa kazi iliyo fanyika nzuri au mbaya ndo tu comment ,,,,,,,, Sasa mijitu inataka like .Sasa sijui hizo likes inalipwa wakat😂😂😂 hata mia haipat " Mimi wakwanza Leo naomba like zenu" kwani umelazimisha kuangalia maudhui 😂 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮?
Team konde boy JAMAA HAJAWAHI KUJIRUDUA KWA CONTENT I mean hakuna vitu ati baikoko mara sijui zombie, harmonize is an international artist wacha mbwa Koko wakulazimiza sanaa,music is spiritua,ansestors talks only in music and night dreams😂😂😂😂😂 bomboglad
Ila binadamu wanahujuma Sana hi Ngoma NI Kwa ajili yangu mazima nategemewa mie ila kuna watu dah mungu awape uelewa wanvyo nfanyia dah tuoneane hurumah basi
Big big big big up Tembo #jeshi wa majeshi #mwanaume shukrani kumpigia dogoo kipawa mbele zidi kutustua pindi to tuamkapo jeshi aitwe jeshii alaaa 🚨🚨🚨🚨🚨
Kama unaamini huu ndio mwaka wa KONTAWA kuchukua tuzo za TMA kupitia hii collabo nipe LIKE
Like zinakusaidia nn mwanangu
🙌🙌
😢😢❤❤
ila harmonize
😂😂😂
Harmonie baba wewe ni tchombo kwa ajili ya kutangaza upendo na umoja katika dunia na ya kwamba unagusa mioyo za watu kupitia maneno ya nyimbo zako. Endelea baba god bless you a nother
Ukizani unanikomowa mimi nyuma kunawengi usowajuwa usiombewapigegoti chini wakusomee duwa❤❤penda sana kweli🇨🇩🇨🇩🇨🇩kwetu❤
Usi nletee uchawi me mwenyew illuminate
Kontawa kaweka wazi 👌🏾
🎉🎉🎉🎉
Konde unajua kuimba kuliko wasanii wote Tanzania
HAINA KUPINGWA
best one harmo 🎉
Sure❤
Congo wana tamani uyi nyimbo na harmonize anafanya vizuri saana tunaanda ajefanya tamasha Kinshasa munipe likes zenu kama harmonize anauwezo wakufanya tamasha Kinshasa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🔥🙌
🔥🔥🔥
Hivi mnajuwa NITAKUWA wa kwanza kuitazama hii nyimbo kati ya mamilioni ya watu kama na we nimmoja wapo gonga hapa❤
th-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/w-d-xo.htmlsi=OiTyR_yq8870J3jv
Like zinakusaidia nn 😂😂😂
@@FredOdemba-rw1usKwan hii comment inakusaidia nn😂😂
th-cam.com/users/shorts8zQXZmIB8N4?si=8waDTMd91AOEuhfx
Nayooo hiii tunaiepesha mpaka top tennnn
Wa Kwanza kuyoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nipeni like hata kidogo
th-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/w-d-xo.htmlsi=OiTyR_yq8870J3jv
Ww jamaaa wa hapa bongo Burundi wapi 😅😅
Eneo ya buterere hapa
Umetisha sana
Amakuru yawe
On Behalf of my Family, my Village people, my Ancestors and also my Wicked Landlord, we approve this Song #Binadamu Wana makonde tupatane hapa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mimi wa kwanza Léo kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩 naomba liké zangu plz 🇨🇩🔥
th-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/w-d-xo.htmlsi=OiTyR_yq8870J3jv
fundiiii
HIVI KWA NINI WAKONGO NI WASHAMBA SANA LAKINI MNAJIONA WAJANJA
Wimbo mzuri ingawa ujumbe ni mfupi sana kuna room ya kuongeza mashairi zaidi,. Hongera Kontawa na Harmonize
Konde gang team gathering here ambayee ana hustle pande za kariyako onyesha upendo kwenye hilì song❤❤❤❤
th-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/w-d-xo.htmlsi=OiTyR_yq8870J3jv
2 OF THE BES T STORY TELLERS IN AFRICA, in one song, from KE , hust stumbled on this gem of a record....... fayaaaa mbayaaa....
Oyaaaaaa nimechelewa Leo ila wote wanao mkubali Harmonize tujuane kwa like ❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤
I am Congolese but really this song of courage really konde boy you are the best if Tanzania and agree with me give me love🇨🇩🇨🇩
Oya wale wadau wa harmonize tujuane kwa like😅
Ukiniletea ubigy ❤❤❤❤❤ nakuletea upack usinitishie uchawi me mwenyewe ruminati binadam wanambo ya kiwaki unaweza ukang,oka meno wakakuretea muswak
Nadhan katika ngoma kali ya mwaka hutoacha kuitaja hii apa all the best kontawa ila mmakonde🙆🏼♂️ hawezekan
th-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/w-d-xo.htmlsi=OiTyR_yq8870J3jv
Anayekubali huu msitari unasema kwamba
Binadamu anaweza kupa madhibabu n'a alafu kwenye dua zangu anasema usipone
Nipe like kumi tu
Me ni kama maji ukighairi kuninywa lazima utaniogaaa.❤❤❤❤❤
🔥
Wakwaza mimi nipeni like zangu hapa binadamu bwana ety ye ndokakupa upo na yupo adhalani anasema kua uyaone 😅
th-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/w-d-xo.htmlsi=OiTyR_yq8870J3jv
hivi umuhimu wa likes kwenye comments ni nini? kama kuna mafao mnapata share with us
Wewe za Nini hizo like 🙄
Wa kwanza n maarifa pekee wewe labda wa pili
Toa wimbo wako
Team konde gang umetisha saaana tembo ila apo kwa kutishiwa uchawi na ww mwenywe n laminate konte😢😢love from 🇰🇪🇸🇦♥️
Tem konde boy tujuwane hapa kwa like maana mwezi huu trending tunashusha sensema, tunapandisha Binaadam, hit song
Thenkyou my Best Star i live in Kisangani drc ilakwetu sote ni Bukavu mushi mwenzako big up nyirangongo
Unyama mwingi mzee kond ebu nipeni like zangu wanangu wa mtwara
🔥
This song is so inspiring 😢I feel like crying 😢koz I once went through this but I thank God for helping me to understand how human beings are…🫡 big up @kontawa and harmonize for this inspiring story much love from Kenya 🇰🇪
Mimi wa kwanza toka Congo DRC 🇨🇩 nipeni like zanguu ❤❤
Daah!!! Huyu kijana mpka kanitowa machozi Anajuwa kuimbua na kupangilia mashaili big up saaana
My favorite song 2024 ❤ much love from 🇲🇼 malawi
Kiukweli hii Ngoma nawakubaki sana mmetisha sipendi mapenz. Tu hii imetujenga sanaa wanangu
One love
Mimi naitwa Erick, Wimbo hii mpya wa Binadamu inakuhusu mungu amenisaidia tu isiyo dhuluma
th-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/w-d-xo.htmlsi=OiTyR_yq8870J3jv
Une chanson très éducative. Nous aimons des chansons comme-ça , le chansons qui enseignent.
❤❤❤
Compose encore, encore et encore. Va plus plus loin
sijawahi kupata hata like 10;kwa kontawa ngoja nione na leo
Maana ya neno comment, kukielezea au kuelezea maudhui uliyo yatazama iwe kusifu au kutoa maoni kwa kazi iliyo fanyika nzuri au mbaya ndo tu comment ,,,,,,,, Sasa mijitu inataka like .Sasa sijui hizo likes inalipwa wakat😂😂😂 hata mia haipat " Mimi wakwanza Leo naomba like zenu" kwani umelazimisha kuangalia maudhui 😂 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮?
@@charleskibiki217 🤣🤣🤣
Umeona Hermonise ni masta of writing and singing...damn Konde for life🥰🥰🥰🥰🥰
Konde geng on love ✌️♥️🔥🔥🔥🇨🇩
Any kenyan 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 .let's gather here
Sisi tuko kwa reject na wewe unatuleta huku😂
Hey
sanaaaa
Uzuri umeniumba Tembo na sio Kungur 😢😢
Naku fata vizuri kontawa 🙏🏻 ku toka DRC 🇨🇩🇨🇩
From Kenya with love wapi likes za Kenya harmonize jeshii🎉🎉🎉
Courage Harmonize, napendaka nyimbo zako n'a iyi inanifurahichaka sana. Que Dieu vous bénisse
Oya wachimba madini like hapa kama umeukubali huu mzigo chunya street 🎉🎉
th-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/w-d-xo.htmlsi=OiTyR_yq8870J3jv
🇯🇲🇯🇲🎉🎉Jamaica we in deh gud music 🎵 big up mi bradah from tz wagwan ❤
Wanao toka 254 🇰🇪 nipeni likes zangu... Ngoma iko 🔥
Maadui kuwa wengi na vita vya hapa na hapa kumuandama harmonize
Ndo vinampa hasira ya kuendelea kufanya vizuri.
Halfu ndio kinacho endelea tz salamu kwa viongozi
Congratulations kwake mais ajitaidi ku changamka kama msani aussi atumike sana sauti all in all congratulations
Kutoka Congo timu konde towa like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
Konde boy,ft kontawa,nawapenda sana,muzidi sana na na marioo
Team konde boy JAMAA HAJAWAHI KUJIRUDUA KWA CONTENT I mean hakuna vitu ati baikoko mara sijui zombie, harmonize is an international artist wacha mbwa Koko wakulazimiza sanaa,music is spiritua,ansestors talks only in music and night dreams😂😂😂😂😂 bomboglad
Fo me this is the best song of the year,no cap.say whatever u wana say but this is dope
Mimi Romeo Huwa sipewi likes naomba likes Tano pekee🙏🙏
Like 👍 ndo hyo ata ingine.....
Un clip propre pour une chanson calme et douce / sensationnelle / Big up Fadream mon artiste de luxe🎉🎉🎉
Ni mafunzo ndio mengi kuliko wimbo,,, keep shinning Konde Boy ❤️🐐🐐🐐🐐
Je viens de la République démocratique du Congo une magnifique chanson j'adore ça❤
Kama unawatch ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂
#RejectFinanceBill2024☠️🇰🇪
A
Gachagua is impeached mazeee kwani kenya kwaendaje??😅
From Arusha City. This is the song of the year🫡🫡🫡
Wakwaza Toka afrika ya kusini 🇿🇦🇿🇦🇿🇦 like zangu
Nipeni like za harmonize n'a kontawa Niki wakilisha toka DRcongo 🇨🇩🇨🇩
Harmonize na Kontawa ni watu wabaddy❤❤
When you hear that "cough" you know it's a banger! My love for harmonize...
Nawa kubali sana kutokea Congo contawa Ana che gaga tu FT tembo Conde boy jeshi
From democratic Republic of Kenya wacha tuandamane na hii song❤
Jamani leo nimechelewa ila naombeni like hata kumi tu
🔥🔥
😮😮😮
Muziki sehemu sahihi,Muziki kwa Watu sahihi,Muziki wakati sahihi kwa Watu sahihi 💪🏼
Kma umeelewa konde alichoimba gonga like
Boa tarde, eu não intendi. Estou a pedir traduzir em português
Kenyaa representing the Bunger 🔥👊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Siwezi ludi nyuma sija kalili njia😭😭😭😭😭👍😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Kontawa my bro you’re not just a star , you’re a story teller and writer,, I love the lyrics ✅✅✅✅✅✅❤approved🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Namba moja hapa, wakigoma tujuane hapa
Yoooo, ❤❤neno. Irudiwe baada ya hit kadhaa kutoka, tuimbe sote nyie jamaa
Kutoka Stuttgart Germany hapa mmakonde bila Gang nipeni LIKE jamani..❤
🤣🤣🤣🤣
dah ... wimbo huu unafanya tuzidi kupambana zaidi wazee.....👏
Daa kama ume angalia zaidi ya mala 2 kama mm like 😢
🔥🔥
Ila binadamu wanahujuma Sana hi Ngoma NI Kwa ajili yangu mazima nategemewa mie ila kuna watu dah mungu awape uelewa wanvyo nfanyia dah tuoneane hurumah basi
Watapoteza muda kawa waliomtahiri shoga😂😂🙌
Big big big big up Tembo #jeshi wa majeshi #mwanaume shukrani kumpigia dogoo kipawa mbele zidi kutustua pindi to tuamkapo jeshi aitwe jeshii alaaa 🚨🚨🚨🚨🚨
Unyama mwingi from mbeya Tanzania like zangu hapa❤❤❤❤
Yooh,, Magic,, family Hii Acoustic Video Moja Kali Kanaaa, KUBWA KUBWA, Best Acoustic 🎉 KUBWA.
Majemeni na mm basi naombeni likes. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤ chukua
Ola ola ola ola, kitu safi #Kondeboykontawa🎉🎉🎉
Mimi nachekaga tu 😊😅😅kontawa 🎉🎉🎉
A nice drop 🫲🏻
Hatari kabisa ujumbe wa huu wimbo. Big up sana Tawaa ft Tembo
Congratulations mwamba 🎉🎉🎉🎉🎉
Mwaka wa lahaaaa good music 🎵🎶🎶🎶
Tanzania ndio nchi pekee ukisema ukweli unakuwa adui sasa hapo baya lipi uliloimba mpaka uundiwe tume.... nyimbo kaliiiiii
ivi hz like uwa mnazifanyia nn maan kil mtu anatak like😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ety nami na shangaaa
Tayari samelike comment yako vip umepata nin
Konde naye nitamfata kila mahali bazega Kenya locked in 🇰🇪
Kama unaamini binadamu wenzako ndomaadui zako gonga like km zote apo
th-cam.com/video/Ts6MWufd-e0/w-d-xo.htmlsi=OiTyR_yq8870J3jv
Kabisa yani😢
Konde boy ur the number one indeed..... AL the way from Malawi 🇲🇼 🙌
Mpaka wasseme ❤❤❤❤
Beti ya pili ina vibe kupitiliza hasa huyo Dj n noma balaaa
Kontawa.African Kendrick Lamar the kind of rapper who knows how to put out a story
Kantawa ni hatari imekubalika Irie 🎯🎯🎯
song kali top 2024❤❤❤ toujour brother song poa
thanks
Hii nyimbo ni bora kabisa bombo craaa! Is konde music❤ 🇬🇦
Kama wewe team konde piga like tukisonga🔥💪
Such a strong song strong message wadogo zangu tufanye hizi mawe bhana zinaishi sana zile za misimu hazikawii kuchuja
Hata niki komenti hapa wa kongomani hatuonekani maana sipate hongera zangu🎉
From Nairobi Kenya
Mmenikumbusha wimbo wa Harmonize "Matatizo"
Like kwa konde jaman kondawa kauwa atali❤❤❤❤