NANDY NANDY WEWE NI MWANAMKE NA NUSU DADA HICHO ULICHOKIFANYA NI WACHACHE WENYE MIOYO KAMA HIYO MMY UNAMOYO WA PEKEE MUNGU AKUJALIE UWE NA MOYO HUO HUO DADA ❤❤❤ HICHO KITU ULICHOKIFANYA NIWACHACHE WATU WA AINA HIYO HAPA DUNIANI WENYE MOYO KAMA HUO DADA NANDY UBARIKIWE WEW NA MMEO NANDY NI MMOJA2 💖💖❤
Maarifa yapo katika vitabu,,,,UPENDO upo tuinjoi....OA wewe nidhamu iongezeke miaka 30 ijayo hakutakua na WATOTO kwenda kusalimia Bibi na Babu Tena....ndio Mana vijana tunakufa wazee tunawaacha Mana tunajitia wajuaji kumbe HATUJUI😂😂😂
KIWANDA CHA MUZIKI EAST AFRICA KIPO TANZANIA KUNA WASANII WAZURI WANAIMBA SANA AISEEEEE PIGA KELELE KWA WATANZANIA WOOOOOOOOTE MNAPEPERUSHA BENDERA YA MUSIC YANI MMESHINDIKANA GOOD MUSIC IPO AISEEEEE
Nishakuvua Urais .Bachela hawezi kuwa Rais.Wewe ni raia Tena raia asiye na Maana ambaye anaeweza kuongoza familia.Alafu anajiita Rais labda ndiyo Rais wa mabachela.
Kwenye nyimbo za nay wa mitego sija wahi pata like zaidi ya kumi "10" naomba like zangu hata "1k" hapa ❤❤❤😢
th-cam.com/video/hYCgjflkAwE/w-d-xo.html
Hiyo hapo bro. Hii ngoma ni kali.
Hiii tena
Nakubari
❤❤❤
ney uliwaza mbali sana chukua maua yako❤❤🎉🎉🎉
Ma bachela from Burundi tujuwan hapa jaman nipen like hata 20 ntalifhika 🇧🇮 is 🇹🇿
Tupo bachelaBd
Tupo🇧🇮
👌🇧🇮🧚♂️
mambo
tupo mabachela
siku zote mfaamu neno king ii aiji kwakila mtu yamanisha king ni MOJA tu tupia comment kama unakubali ili goma ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ilo kama zote ove
Mabachelaaaa
Nmeplay zaidi ya 10x hii Ngoma brouh umetisha huu mwaka Kwa upande wangu si dai kazi kwako🎉🎉🎉🎉🎉🎉 great job Mr nay❤❤
Kwenye harusi hata mimi nachangaga Nay
Controversy tu ndio za nay
Mr ney hizi ndio nyimbo tunazozitaka na sisi shabiki zako tumezimiss sana
Umeachana nae😅😅😅rais nakupenda sanaa
Me nimependa ni nyimbo bora katika kunishauri❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Rahisi wakitaaa kaupiga mwingi
Ma bachelor tulio single hebu niachie like zenu
👍
Tuendelee kuenjoy hii song na yetu kwa ajali ya ma bachelor 🎉
Nimependa hiyo sehemu ya hamo na nandi uzeeni yule alifanya make up big up
Mabachela tujuane kwa like weka hapa zote za nay wa mitego ❤❤❤❤❤
bachela ngoma kali sana nasikiliza kila siku
FREDDY GRAPHICX kutoka Mozambique Maputo
Tupo tena wengi kaka
Nami nimo baba
Acha ujinga oa😂
Mabachela kutoka east Africa nipe like zangu ❤❤Let them marry , thx Brother Nay love from Moscow 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kama unahisi Nay ni kama alikuimbia ww hili GOMA hebu nipe like hapa!!!! NO NDOA NO STRESS 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪GOMA LA MATAIFA.
Vichwa vina mambo mengi🎉🎉
th-cam.com/video/kMsceXqEL0w/w-d-xo.htmlsi=_pVQPY98QMXPqcqc
oi oi nimeachia nyimbo yang mpy wanangu wa kenya nawakubali san nawaombeni san support yenu dulla baisa one six tamu ipo you tube❤😂
Sema Idd ilitakiwa
Awe kama Nagwa ingependeza zaidi
Ila nyimbo nzuri
Siwezi kuchoka kuusikiza wimbo huu ama kweli sisi ndio mabachela bonge la hit Nairobi Kenya 🇰🇪 tumekubali!!!!
wanangu wa kenya nawakubali san t nimeachiya nyimb yang dulla baisa ft one six ..tamu ipo you tube naombeni leke zenu
Uakika%
😮
Ma Bachela From RWANDA tujuwane Hapa Ndungu zangu! Munipe hizoo likes Wabachelaa. 😅🇷🇼❤️❤️❤️❤️🇹🇿
From Kenya❤
oyoo ngoma kali wanangu kama unakubaliana namimi gonga like hapa
Nay.....igweeew
Ukweli Mzee hii ngoma uneitendea haki kuanzia audio mpaka video. Kifupi. Acha iwe ngoma Kali ya mwaka huu
Bachela wa DRC mupooo!!!!
Tupo😂😂😂
Tulio na wake majumbani na tunamkubali nay wa mitego like hapa
Kali san
th-cam.com/video/hYCgjflkAwE/w-d-xo.html
Kkkk tupo tu tuna mkubali zaïdi
Hi ladies and gentlemen tusidanganyane muniamini uzinifu,uchawi,chuki ndiyo chanzo cha majanga duniani sio kwa tunakumbshana tu asanteni.
Sema Nay wa Mitego tunamchukulia poa sana bongo ila huyu mwamba ni mtu na nusu
Kumbe bachela bisigura célibataire ndize agaswahili gakeyi uwize nkanje ampe like 🇧🇮🇧🇮❤❤ tunakula ujana
Mabachela tumefika toka🇲🇿🇲🇿🇲🇿naombeni like
Which country is this
@@Paulleta Mozambique
😊😊😊😊 ni🎉🎉🎉🎉🎉 daaaaa ❤❤❤
Nay wa mitego hawez kupotea kwenye game anabadilika kila kukicha... Kot la blue na cap🎉🎉🎉
❤❤❤
Bachela
Representing the great Bachelors of Kenya Association BKA. Wapi likes za mabachelor in the house
Mi nataka ndoa😂😂😂😂
Wa congo tujuwane hapa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 weka imoja ya bendera ya inch yetu
It's something Good ney toa vituu kalii kama iziii well represent @254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nipe like zangu shabiki namba1 wa nay hap from mbezi terminal
Tupo Kama woteeeeee. Yahani cc bado tupoooo
Bachelas tunaingoja kwa ham fanya chap
Huyu ndo RAIS/wetu wa kitaa gonga like kama unamkubali huyu mwamba 3:04
th-cam.com/video/kMsceXqEL0w/w-d-xo.htmlsi=_pVQPY98QMXPqcqc
Likes za ma Bachelor from DRC and Kenya 🇰🇪 tujuane hapa plz😂😂😂
😂😂ndoa changaaa❤❤
Mziki@Greysonmongi
Zuchu
Wangapi mmefurahi kumuona nanga kwa hii video
2024 tuko huku kama umeskiza more than 5 times nipe likes
Ngoma Kali haise huku Kenya bachelor WENGI pia
Ok bachela namba moja Africa mashariki🎉🎉🎉
NANDY NANDY WEWE NI MWANAMKE NA NUSU DADA HICHO ULICHOKIFANYA NI WACHACHE WENYE MIOYO KAMA HIYO MMY UNAMOYO WA PEKEE MUNGU AKUJALIE UWE NA MOYO HUO HUO DADA ❤❤❤ HICHO KITU ULICHOKIFANYA NIWACHACHE WATU WA AINA HIYO HAPA DUNIANI WENYE MOYO KAMA HUO DADA NANDY UBARIKIWE WEW NA MMEO NANDY NI MMOJA2 💖💖❤
mabachela toka mbeya gonga like hapa🎉🎉🎉
Xw
Original bachela depuis République démocratique du Congo mon Star préféré Ney wamitego
Naisubiri kutoka Kenya 🇰🇪 nipeni likes jamani ❤❤❤
th-cam.com/video/hYCgjflkAwE/w-d-xo.html
Ndoa yangu c imekuwa ndoano nisaidien jmn navuliwa 🐟🐠
Wanangu mabechela ngoma letu hiili hebu tulicheki liwe top one kwenye ten
Naaammu tupo wengi
Unyama🚴🏽🚴🏽🚴🏽
Maarifa yapo katika vitabu,,,,UPENDO upo tuinjoi....OA wewe nidhamu iongezeke miaka 30 ijayo hakutakua na WATOTO kwenda kusalimia Bibi na Babu Tena....ndio Mana vijana tunakufa wazee tunawaacha Mana tunajitia wajuaji kumbe HATUJUI😂😂😂
En tout cas ce chaud même si je suis congolais🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 j'écoute tous les jours ses chanson depuis que j'ai 14ans🎧🎧🎧🎧🎧🎤🎤🎤👁👁👁
mimi ndio bachela, staki ndoa, proud bachela here in kenya😊
Jamani wanaopenda mziki mzur huu hapa bachela bonge la movie 🎥 ney wa mitego bachelor
Burundi 🇧🇮🇧🇮 tunakupenda sana Mzee❤️❤️🙌🥰
Nani karudi kuangalia bachera agonge like make inazidi kusonga mbele na kuhit🇧🇼🇧🇼🇧🇼
NAKUKuBAri sana🇹🇿🤣🇹🇿🇹🇿♥️🇺🇬🇷🇼🇷🇼🇷🇼 nikorwanda nimeyipendahiyo
1st August nani ako huku 😂😂
Hii nimeikubaliii mr nayy❤❤. Kenya tunakutambua mzee❤🇰🇪🇰🇪
Tukuone jamani mabachela Mimi wakwanza basi kama wewe bachela piga Copa ❤hapo
❤
Chupa kali mzee kwel mziki unakuwa day to day Mr Nay to the onother level ❤❤❤❤
Hii nyimbo nairudia mara ya 10
Hiyo pisi imepita hapo mpaka pastor kaduwaa ukisikia kununua BITO alafu gafla unaona Bugati zinapaki karibu yako ndio hiyo sasa
Wa Congo mpo wapi ? 🇨🇩 Lk zenu kwangu Niza maana sn hata 5 zinatosha
NAIPENDA SANA TENA SANA SISI MABACHELA RESPECT ❤🌺🥀💯NIKO FROM RDCONGO UVIRA 🇨🇩 C'EST TJR PHILANTHROPE
When someone comes back to us it means we had an impact, and when someone leaves it was time to let them go.
Hili Jamaa linajua kuendana
Na time kinoma linajua
kuandika sana du! Duh
❤❤❤❤brow njo uwashe brow nc song top 2024 nakukubali Sana
❤❤❤❤
Daah, Hii Ngoma Nimeskiliza Zaid Ya mala4 Daah, nakwamaisha Haya mamae Ha2owi
Bachela from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Goma Kali Sana wimbo unaskilizika unachezeka pia
Tunaingoja kaka kwa hamu
Ngoma Kali Sana Kila nikiangalia natamani ni comment tena
Raisi wa kitaa anatuwakilisha 100 kwa 100
nay anajua kuimba toka kitambo sema wa2 walikuw hawamwelew coz studio nilikuwa low
Ma bachela from 254 kenya salute to the OG nay wa mitego
Natoka congo butembo ney wa mitego anatuchezesha nyimbo bachela ukosahihi Brown
Naona umeamua kutupa uhalisia wako Broz emma utaki kuowaa kabisaaa 😂🔥🔥🔥🔥🙌🏼ngoma Kali
Mabechera ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ila Kwa Malaya wenzake na Ney daah! Ni ngoma Kali, biti nimelielewa na vokali, angeimba UJUMBE tofauti na huo ukawa WA kuelimisha . Ingekaa POA Sana
Wacha makasiriko bb...🇰🇪
KIWANDA CHA MUZIKI EAST AFRICA KIPO TANZANIA KUNA WASANII WAZURI WANAIMBA SANA AISEEEEE PIGA KELELE KWA WATANZANIA WOOOOOOOOTE MNAPEPERUSHA BENDERA YA MUSIC YANI MMESHINDIKANA GOOD MUSIC IPO AISEEEEE
Goma la kweli hiloo
Wenye mziki wao jamani napitiia hii changamoto Mungu anisaidie
Ngoma yangu Pendwa 2024 kwa Nay miitego kama unakubaliana na mm nipe like twende pa1
Bonge la nyimbo mm sio mpenzi wa nyimbo za dunia lkn hiii ngoma kali kinyama ukiangalia qimbi la ndoa kuwa gumzo now days
Bachela wenzangu kutoka Kenya, nipitie na like
th-cam.com/video/hYCgjflkAwE/w-d-xo.html
DRC tunakukubali saana Nay. Ishi milele Bro.
Hii ngoma kesho itakuwa trening no 1
Let's Go Mabachela Tukaenjoy...❤❤🎉🎉🎉
Tupo hapa ma bachelor ❤❤❤❤❤ much love for you my big single usually ❤❤tuna kesha nao bars waliyo Howa nakuholewa❤❤❤
Much love Nay wa mitego from Mozambique 🇲🇿🇲🇿. A música foi bem trabalhada
Mwamba umetisha sana poli wanakuteka vituo vya polisi haupo halaf polis anapewa kazi amtafute polis watavuna wanachokipanda kweli
Bonge moja la mkwajua uyo ndo Nay mnyama
Mabachelaaa! Michango tutachanga chakula tutakula na pombe tutakunywa
Kama upo Bachela
Weka Like yako kweli
Toka Drc pacent'b misani mwenzio napenda Sana
Vraiment elengi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩le goût de ça
Nishakuvua Urais .Bachela hawezi kuwa Rais.Wewe ni raia Tena raia asiye na Maana ambaye anaeweza kuongoza familia.Alafu anajiita Rais labda ndiyo Rais wa mabachela.
Tupo makini xanaaa
kweli dada yangu nandy umetisha Ngoma nzury sana hata conde nae katisha
Ila wanangu anayeona mganga wa NANGA anafaa kutafutwa...anipe like nyota yake imeibuka ghafla na alipotea hadi joti anamtumia sasa hivi
Situnakula raha za ndoa nyie bakini kwenye ubachela kaaendeekena kula Kwa mama ntilie pumbavu zenu.
JAMAN KUOA NI JAMBO LA KHERII
ALLAH KATUAGIZA
MAKAFIRI HAWANA AKIRI
Ngoma ya mwaka hii imeenda naikubali sana ❤❤❤ from Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mabachela tujuane tuachange mpaka wa changanikiwe ma bachela wekeni like Hapa🕺