PENGINE NIPENDE KUTANGULIZA SHUKRAN ZANGU ZA DHATI KWENU MASHABIKI ZANGU NYIE NDO MMEFANYA NIFIKE HAPA ✅✅✅ NA NYIE NDO MTAFANYA SEGEREA IKAFIKE NAMBA MOJA HAYA TWENDENI KAZI WANANGU SEGEREA LINK
Nime hakiki hi ndio nyimbo bora ya hiphpo mwaka jana na mwaka huuu.. But nasikitishwa kuziliwa katika taifa lisilo na sikio la mziki mzur....endapo hii nyimbo iinge imbwa na wamrekani basi ingekuwa na tuzo zaid ya 1000..
Umetisha sana broo hii ngoma ni kali sana yan umekuja tofauti sana na mashabiki zako tulivyo kuzoea hii ni suprize kwa mashabiki zako love so much broo bando hii ngoma kali sana broo umetisha sanaaaaaaaaaaaaa broo kazi nzuri let's goooooooo
Hao ndio ndugu zetu wakati wa shida awakujui na wakati wa mavuno yako wao ndio wakulima wa mbele kujufanya wanakubebea mavuno😎..... 📌Usiposikiliza wimbo kwa umakini autauelewa BANDO kaimba Nini na utaona nyimbo ndogo Sana lakn this Song is Big 💥👐👐👐📌
watu au mashabiki wanapenda mtu ambae ni msikivu na mtoa mafundisho kwa people wote na kueleweka sisi tuseme wew ndo mwalimu wetu ambae kila siku unatufumbua mambo mengi kupitia nyimbo zako hatuna budi kuku sport na wew tutakua hatujakutendea haki...
Waoo good song wote mmeandika mistari mizuri verse na melod zimetulia sauti poa sana mmetisha sana ujumbe mzuri sana ipo ndani ya ngoma mmeonyesha kweli sanaa ni kioo cha jamii
PENGINE NIPENDE KUTANGULIZA SHUKRAN ZANGU ZA DHATI KWENU MASHABIKI ZANGU NYIE NDO MMEFANYA NIFIKE HAPA ✅✅✅
NA NYIE NDO MTAFANYA SEGEREA IKAFIKE NAMBA MOJA HAYA TWENDENI KAZI WANANGU
SEGEREA LINK
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.htmlsi=umEQQjiNUHGiMeIF
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.htmlsi=umEQQjiNUHGiMeIF
Kakaumetishaaaaaaa
@@BandoMC ❤ umetisha sana bro nakukubali nikiwa home shy town pande za ndala
Unyama bro ❤❤
Bando ni mnyama siku zote kama unamkubali piga hapa like 200 tufunge hiii kesi
Thanks fam
You such a looser man ,will you sell them likes ,we all like him that's why we here ,why do tanzanians fans tripping all day 😂💔
🎉
@@BandoMC thanks 🙏
Mwamba anajuaa
Bando na kontawa wakishikana waneza leta chemestry flani ivi kali,wote wanyama sana,,,#segerea inaskika hapa kenya
Aiseee kaka Kwa tunzii sikuwez noumaaa sanaa umetshaaa respect my brother
Thanks
Niko hapa baada ya kutoka jela, daa hii wimbo mtamu kama nini
🎉🎉 hii itafika mbalii sanaa
Unyama ndugu yangu ujawahi kuwa na kazi mbovu
Wajomba soon mnaenda kutishia hiphop ya Bongo keep it up 🔥💣
Nime hakiki hi ndio nyimbo bora ya hiphpo mwaka jana na mwaka huuu..
But nasikitishwa kuziliwa katika taifa lisilo na sikio la mziki mzur....endapo hii nyimbo iinge imbwa na wamrekani basi ingekuwa na tuzo zaid ya 1000..
Duhhhh oyaaaaa kama umeniimbia mimi
Ayee
"Bongo ukitembea na mwanafunz unafungwa Ila yesu alitembea na wanafunz na hakufungwa". 🙌🙌🙌
Shule 😂😂😂
Kontawa Katisha mwingi hapo
😂😂😂😂
😂😂😂😂daaaa wasanii
Kama.kweli ww shabiki wa bando ngoja like hapaaa
Ewaa
Ewaa
Aaaaaah !!! Creativity ya hali ya juu!!!!! Jela unaingia ukiwa mwanaume ukitoka umesha left group 😂😂😂 Wajanja tushaelewa Much more love from 254🇰🇪
😂😂😂😂😂😂255
Tawaaa chalii ya Boxer BadmaN pon dis mamae wao kina nani tusishike 1 on trending let's Go
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
Generation yenye balàaaaa
karibu kuitazama segerea
BANDO X KONTAWA
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
Kama umekubali ngoma bando mc ft kontawa usipo nipa like zangu basi mnazinguwa
Ayee
❤❤❤big up sana bando mix kontawa yesu alitembea na wanafunzi daaah😂😂😂😂
Masanja
Dah kwamba yesu alitembea na wanafunzi lakn hajafungwa😅😅😅😅
Hii corus melody ya Sir Nature since those days ni konyo bigtime na black Maradona sana tu 🤝💯💯
Umetisha sana bando mwaka huuuu ni wa moto kwako
🔥
Kwamba Yesu hana haki kwenye utawala wa Pirato😂😂😂🙌🙌🤣🤣
Umetisha sana broo hii ngoma ni kali sana yan umekuja tofauti sana na mashabiki zako tulivyo kuzoea hii ni suprize kwa mashabiki zako love so much broo bando hii ngoma kali sana broo umetisha sanaaaaaaaaaaaaa broo kazi nzuri let's goooooooo
Unyama
Harmtariii yaani✊✊
Never dissapoint NDARO, TXDULLAH, KONTAWA, BANDO + XHOUR Greatest collable
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.htmlsi=umEQQjiNUHGiMeIF
Anjaua atar
Afande Ndaro katisha😂😂😂
Sema ao maasksri nawakubali sana @ndaro en @txdulla more love 2 kontawa from 254
Akuna yesu mwenye haki mbele ya utawala wa pilato
Oola nawafuwata kutoka inchini burundi tuwapenda sana
nakubali sana ngoma
Hao ndio ndugu zetu wakati wa shida awakujui na wakati wa mavuno yako wao ndio wakulima wa mbele kujufanya wanakubebea mavuno😎..... 📌Usiposikiliza wimbo kwa umakini autauelewa BANDO kaimba Nini na utaona nyimbo ndogo Sana lakn this Song is Big 💥👐👐👐📌
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.htmlsi=umEQQjiNUHGiMeIF
Bando ❤❤❤
@@harunageorge1039 💥💥💥
Hao ndio binadamu
Goma zuri ila muwape rostam maua yao ju goma mtindo yani kila kitu chatoka kwao vile much love from Kenya 🇰🇪
Naam
Kuna maniga waliingia malijali. Wametoka wameleft group. Kontawa baba umeua yesu alitembea na wanafunzi na akufungwa🫡🫡🫡
Kabsa
Bro wewe unaweza 😢🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Sege dasii
Umekaa zako Hauna hili wala Lile Mara paap Unabambikiwa Kesi Unakamatwa Unatiwa Mbaroni Haujakaa sawa Hukumu mahakamani Mara Unatupwa #segerea😢😢
KIDKIS
Nakuona mbali sana content imeshiba nyimbo kali sana
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
Its a great day.Toka kwa Mr Nay,tunalandi humu I say.Ahsante
Kinoma
Urafiki ambao utazidi TAKO na chupi
Umeskia hilooooo
Yes nimeskiaaa 😂
Aseh hii ngoma aki ya mom akuna yesu mwenye haki mble ya utawala wa pilato
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
I love the unity Tanzanians have all my favourites wako hapa tx Ndaro Kontawa bando❤❤❤
💯
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
😂
Ndaro bhana😂😂😂
Ndaro miyeyusho sana
Nimekubali unyama wanyama mmefanya unyama kwenye hii ngoma
Sumu
Hapa nimechelewa kufika ila wananGu hili pilau halijaisha..... HAPA KAMA NI BANDO bac lipo kama lote... FAN FROM TANGA TANZANIA
Tunamkubl huy ni mwambaaa
Kabsa
My name is Kontawa 🔥🔥🔥 huyu bando ni risasi
Hii ngoma ni nzuri sana
Sana
hii ngoma sijui 2 mmgempa pin na #maarifa ni moto saana Naqbar wazazi
Vitu alivyoimba kontawa Kwenye hii nyimbo 90% havina maana kabisa...daaah
Never disappoints my bloody hujawah kosea kwa sektaa hii love from Kenya
Kali
👊👊
❤😮
Saiv tunaenda on trending no 1
17
Goma ni #segerea unyanwez mwing 🔥🔥🔥🔥
Unyama
Twendeni wanangu namba moja on trending
Kabsa
Twende
Kwenye hip hop saiv huwezi muacha bando
Fire kabisa, ww ni hazina iliyojificha. Ipo siku watakuelewa tu . Keep it up! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥but KONTAWA you're Genius mzeeee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
@@BandoMC damu yangu mchiz toka shy town mwanao toka kitangili shy segerea lazima itimbe no moja
😂😂😂
@@BandoMC kabisa blood 🤞, mioyo yetu bado inaamini kwenye ushindi bila kujali ni chini kiasi gani tu lipo sasa!!
Noma
Unyamaaaaa mwingi goma tunalingojeaaaa🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aye
Kama umemuona Ndaro na tx dura gonga like
Ase huyu mdada katulia sana kauwa sanaaaa
Nakupendaga bando toka kitambo
from kenya nipewe likes za bando🍾🍾🍾
❤️🔥📱
Kumbe ni video kabisa bando keep it up
Kaja kivingine🔥
Oya weeeee ✊✊
🔥
watu au mashabiki wanapenda mtu ambae ni msikivu na mtoa mafundisho kwa people wote na kueleweka sisi tuseme wew ndo mwalimu wetu ambae kila siku unatufumbua mambo mengi kupitia nyimbo zako hatuna budi kuku sport na wew tutakua hatujakutendea haki...
Ayee
Yesu alitembea na wanafunzi alifungwa bana, yalisema mpeleken kwa pilato 🔥🔥🔥🔥kontawa nakubali
Kaua
Sana kaka
Tuendelee kufukuzia ❤❤❤❤ mpaka tufike namba 1
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
Kama ume appreciate hii segerea nipe likes zangu hata 500❤
Booobooo 🔥🔥 iyi kitu nakubari tokea Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nakubari my best Rapa Bando
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
Uyu jamaa ni very creativity kila ideal so good big up bro
Thanka
Umeendelea kutisha shytown boy❤
Sana
❤❤❤Bando ma home boi ,appreciate Ninja,Kontawa kipaji hikijifichi
Asant snaa
Tunawasubiri 🔥
Noma
Never Dissapoint Guys Kam Mnakubal Hili Goma Ni Kali Weka Likes Hapa Jamanii
Unyamaaa
Hataree
Hapo kwa yesu alitembea na wanafunzi na hakufungwa eeeeh jamani
Jaman
Waoo good song wote mmeandika mistari mizuri verse na melod zimetulia sauti poa sana mmetisha sana ujumbe mzuri sana ipo ndani ya ngoma mmeonyesha kweli sanaa ni kioo cha jamii
Sumu
Ukiona Mtu anaoga Ujue anaoga matusi...Naombeni like zenu jamn😢
Usikonde
Kama unasukiliza nyimboo hii 2024 likes hapa 😅😅
Sege kwa sege
Segw
Kali sana hii
Aaaah Kontawaaa😂😂..bongo ukitembea na mwanafunzi unafungwa na yesu alitembea navwanafunzi na hakugungwa😂😂😂
😂😂😂
Segerea
Arusha
@@BandoMC kisongo
Nyimbo ya Taifa 🔥🔥🔥#Bando family
Jela jaman
Nyimbo kubwaaa
Nyimbo kubwaaa
Tishaaaa saan oyaaa ni nomaaq
😂😂
Bando mashairi shadidi siku zote mpe Hi5 kontawa❤
Hili pini hisia zimezidi sana aisee Bando Mc umeua hili dude hii zaidi ya sumu aisee
Kontawa is another level
Ewaa
Ewaa
Sege danceeee
🔥🔥🔥🔥
My g
Bro Bando, tunamalizia kulichonga Sanamu lako huku❤❤🔥💯🔥💯🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯 🥰🥰
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
Kabisaaa😂😂😂
USHAURI wangu wasanii waropokaji Kila siku mapenz wachukue panga waende kijijini wakakate majani ya ng'ombe
Bando noma na nusu nakukubali big up
Kabsa
Tunasubiri song la Taifa😂😂😂😂
Umekaa zako Hauna hili wala Lile Mara paap Unabambikiwa Kesi Unakamatwa Unatiwa Mbaroni Haujakaa sawa Hukumu mahakamani Mara Unatupwa #segerea😢😢
Tayali unaenda kuishi Segedance bila kosa asee🙌🙌
Big up fam🔥🔥🔥🔥
#Segerea #segerea😭
Wafungwa Hatuna Furaha Muda Wote! ila Tunatabasamu Muda Wote Kuwapa Imani Wanaotutegemea😭😭
th-cam.com/video/02mCy4_38IQ/w-d-xo.html
🔥 🔥 🔥
Swahili rap to the world
Nomaaaa😂😂😂
Noma
Ma man we nikaka unajua na kontawa mwambie nimwamba sana 😢😢😢
Segedance .. .... ... Bando ee !!! Una daktari kweli ?
Aseee nipe Kaz niwe daktari wako . Mwanansheria najua unae
😂😂😂
Best male Artist of Hip pop🏆
Nakubali
💥🔥🔥🔥💥 another hit💪
Bando Mc
✊✊✊
Nyanda liyanda on this one 🎉🎉
Segerea yamoto mno
Hatariii
bando ni mmoja tu
Bongo ukitembea na mwanafunzi unafungwa ila yesu alitembea na mwanafunzi na hakufungwa 🔥🔥🔥
go, go, brother, open the way for us, your little ones
Soon ontrending
Never disappoints 😊❤❤❤Big up Bando Tz 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nomaaa
Uyu ni noma
Anatisha
Segerea💥🔥🙌
Yamoto
Ayeeeh!
Oyaaa bonge LA ngoma kubwa sana hii kwako na kwetu
Scaaa
Kontawa Nomaaa! umeuwa kinyama hadi yanga kufungwa na Polisi!