KWA HUZUNI: KIKWETE Asimulia - "NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2021
  • KWA HUZUNI: KIKWETE Asimulia - "NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU"
    LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 31

  • @mcmambo8774
    @mcmambo8774 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mungu akupe maisha marefu sana, NAOMBA IKUMBUKE BARABARA YA MANDERA, MIONO HADI SADAN ,,NAJUA UWEZO UNAO

  • @albertngailo7102
    @albertngailo7102 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana kikwete baba

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 2 ปีที่แล้ว

    Kaone kana sura nzuri yenye kuvutia na tabasamu safii Ila roho yake aiendani na muonekano wake Kinachotakiwa mzee utubu kwa Mungu wako kwa yote mabaya uliotufanyia Watanzania ili ukiondoka uende salama

  • @hatibumdachi5457
    @hatibumdachi5457 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawaona wazee tu! Tena hamkuvaa barakoa. Aidha mnaeleza stori tu. Nini hatma yetu????

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 2 ปีที่แล้ว

    Ila sio siri nakupendaga sana mzee kikwete mtani wangu

  • @NyakiMollel
    @NyakiMollel 4 หลายเดือนก่อน

    Kwendaaaa.

  • @paull8659
    @paull8659 2 ปีที่แล้ว

    Nitafurahia kama utaongelea Katiba Mpya.

  • @faridymkojera6144
    @faridymkojera6144 2 ปีที่แล้ว

    We Samson Hilo swali kamuukize Mungu wako

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 2 ปีที่แล้ว +4

    MZEE MUWE MNATUPA NA SISI HIZO CHANGAMOTO NA MAMBO MLOPITA TIJUE HISTORIA YA NCHI YETU NYIE NDIO MMEBAKI WAKUTUSIMULIA KWA UPENDO

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 2 ปีที่แล้ว

    I remember he

  • @marrymenas
    @marrymenas 2 ปีที่แล้ว

    Eti anaongea kwa huzuni, labda ww unayemrecord ndio unamsikiliza kwa huzuni. Mzee kaongea kawaida tuu fresh baridi

  • @fantsonmpango7502
    @fantsonmpango7502 2 ปีที่แล้ว +1

    Wenzenu kina Mbowe mmeweka segerea mnatafuna keki ya nchi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 ปีที่แล้ว

    Nitafurahi sana kama utaongelea bandari ya bagamoyo Vinginevyo wasiwasi wetu uko palepale.. Media ulizeni mambo ya maana.Bandari ya bagamoyo NI maisha Yetu

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 ปีที่แล้ว

    Mmmm mmezeeka hadi mnatisha

  • @mtumishimathias7762
    @mtumishimathias7762 2 ปีที่แล้ว +1

    Upendo upi ?

  • @lidiagodfrey5786
    @lidiagodfrey5786 2 ปีที่แล้ว

    Upendo up sasa huku wananchi mnatunyanya

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 2 ปีที่แล้ว

    Wote mtaondoka ndio dunia ilivyo hamuwezi kuishi milele.

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 2 ปีที่แล้ว +1

    Upo baba letu

  • @saeedally268
    @saeedally268 2 ปีที่แล้ว

    Halina maana huyu ndio hasida wa tanzania

  • @kingbuddah6372
    @kingbuddah6372 2 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ndio wanaoifanya tanzania isisonge mbele watanzania tumekwama wapi hawa wachache tu Wanatutabisha tumo milioni 60

  • @kingbuddah6372
    @kingbuddah6372 2 ปีที่แล้ว

    HAWANA MPANGO WOWOTE ULE HAWA WANATULUDISHA NYUMA WALIPOTOKA WAO

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 ปีที่แล้ว +1

    Kila kiongozi akisha staafu anakua na usatarabu. Sijui inatokana na nani

  • @samsonzacharia2329
    @samsonzacharia2329 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee, kwa nn ni viongozi Marais wastaafu wa kkristo tu ndio wanakufa

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 ปีที่แล้ว +5

      Broo hilo swali sio la kumuuliza mtu,Kufa ni amri ya mungu so usiingilie mipango ya mungu

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 2 ปีที่แล้ว

      Ngoja nikae kimya kwa mdomoni lakini moyoni nazungumza.

    • @slowclimbertothetop4572
      @slowclimbertothetop4572 2 ปีที่แล้ว +1

      Muulize mungu analo jibu

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 ปีที่แล้ว

      @@slowclimbertothetop4572 Yaaaap

    • @franknaiv8513
      @franknaiv8513 2 ปีที่แล้ว +1

      Siku zao za maisha zimekwisha

  • @staralive9260
    @staralive9260 2 ปีที่แล้ว

    Kwanza: kwa nini ulimuondoa JPM!?
    Pili: Kwa nini unaisumbua nchi?
    Tatu: Kwa nini unaendelea kuiongoza nchi wakati ushastaafu.?
    Nne: Kwa nini unalazimisha Bandari ya Bgamoyo ijengwe!?
    Tano: Kwa nini wananchi wanakutaja kam ni jasusi wa Taifa l Tanzania.!?

    • @franknaiv8513
      @franknaiv8513 2 ปีที่แล้ว +1

      We kakojoe kwanza ndio ulale usije kuchafua mashuka

  • @adelineminzi4203
    @adelineminzi4203 2 ปีที่แล้ว

    Kuna viongozi wengine ni vichwa maji wanapaswa wabatizwe kwa moto. Hawana huruma na wananchi wala nchi