ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
kwa kweli Bwana Yesu Kristo Awabariki Sana, na Awapatie Nguvu Zaidi Katika Huduma Hii. nimependa Mwendelezo.
Nilisubiri mwendelezo kwa hamu kubwa, Glory to God
Nabarikiwa sana
Mungu awabariki shuhuda za kweli
Mwenye masikio na asikie kile Roho aiambia makanisa 😢😢AMEN AMEN 🙏 🙌
Amen
Amina.
Bado sijaelewa jinsi ya kumfukuza pepo huyu Jacklyne😢😢
Dah! Imeniuma kumbe walevi wana taabu jinsi hii jamani daaah BW.YESU SAIDIA WATU WAKO
Samahani mimi sijajazwa roho mtakatifu nifanyeje hatakusoma neno ningumu saana
Unatakiwa kupata kanisa na kubatizwa ili upokee Roho mtakatifu
Tafuta kanisa la MUNGU la kweli haraka uongozwe maombi hayo utapata mafundisho ya uzima na ubatizo sahihi.kwa YESU ni raha usichelewe.
Kujazwa Roho sio simple simple unatakiwa uikane dhambi haswaa
Nitafute nikusaidie
@@chumbachaneemaccnonlinetv6271 Nitakupataje mtumishi
Amen Amen

@@chumbachaneemaccnonlinetv6271
Nitakupataje mtumishi
Amen
Amen
Amen Amen
Amen