JE!UNA VIGEZO VYA KUINGIA MBINGUNI AMA UTAISHIA TU JEHANAMU?|Sikiliza na upate jibu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- SOMO HILI LIMEANDWALIWA NA:Jesus Reigns Restoration Ministry. 👇 / @jesusreignsrestoratio...
Group la Telegram 👇 t.me/+lvfmd9jl...
Group la What'sApp na ushauri👇
chat.whatsapp....
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV
Hata Mimi nimejaaliwa kuisikia sauti ya mungu siku zote mungu huniambia omba Sana mwanangu maana ni karibu kurudi na sauti hii hunikemea kuvaa nguo fupi au vitu vya bandia amesema Hawa wanaotumia mavitu ya bandia yaani nywele nguo za ajabu makucha makope kujichubua wote watabaki hata kama walimtumikia mungu Mimi nimeacha kila kitu sauti hii ni meanza kuisikia toka mwaka jana mwezi wa tano mpaka Sasa
Jaman. Mbn makanisani watu wanavaa masuruali na kujipodoa. Ivi Mungu yupo pale kweli au kiini macho
MUNGU yupo hakuna mchungaji asiyejua hivyo vitu ila ni wanashingo ngumu ... tu wanaogopa kufundisha kweli wanaogopa kukimbiwa na waumini ila MUNGU wa mbinguni hataki
@@josephaniset4999 nikwasababu waliopewa dhamana ya kuziokoa hizo roho wamegeuka na kuiacha injili ya kweli ole wao
Asante Bwana Yesu kwa ujumbe ambao umemtuma mtumishi wako hatuwezi peke yetu Bwana tusaidie
Ubalikiwe mtumishi wamungu ushuhudahuu umenifundisha mengi naomba maombiyako ukiombee niweze kusimama katika kwer nakumtumikia mungu kwaroho na kwer
Ujumbe huu ni wa kweli kabisa!!! Nimeguswa kabisa na huu ujumbe;I'm really concerned. Ni samehe Yesu,mimi ni mchafu sana,sistahili mbele zako Bwana wangu. Nijulishe njia zako Mfalme wa amani nami nitakuishia Mwokozi wangu.Uko vyote kwangu Yesu. Nina lia saana mbele zako Baba yangu ni rehemu.Mimi ni mdogo sana mbele zako Yesu,niokowe sawa sawa na fadhili zako. Nawa shukuru sana watumishi wako kwa neno hili,uzidi kuwatumikisha kwa kiwango cha juu Baba sawa sawa na mapenzi yako. Utakapo rudi kulichukuwa kanisa lako,wakumbuke watumishi wako,wote wenye kusikia ujumbe huu naku ushika,namimi usinisahau. Nakutumainia Bwana
Ubarikiwe dada ujumbe wako unatutoa mahari nakutupeleka pengine natamani Sana nikaingie katika mlango mwembamba
Amen Mtumishi. Mungu aendelee kutushika mkono
Asante Sana Mtumishi wa Mungu nabarikiwa Kila siku kwa neno lako
Mungu akubariki Sana mpendwa
Namimi niko hapa US ila nasikiya Mungu anasema namimi
Ubarikiwe saana sana sana
Mungu atusahidiye maana sisi peke yetu atuwezi
Amen
amina dada nimekuelewa,je ninapomuomba msamaha niliyemkosea naye akakaa kimya je kwa MUNGU nitakuwa nimesamehewa
Samahani swali lako nweza kujibu unasamehewa kazi inabaki kwayule uliemwomba msamaha kama hajakusamehe
Tunabarikiwa Amen
Mungu akubari sana amen
Asante sana Dada barikiwa sana. Najisikia faraja kusikia ujumbe wako Bwana Mungu wetu Mtakatifu akubariki
Barikiwa Mtumishi wa Mungu.
Haleluya natamani sana niingie kwenye mlango ule mwembamba
Dada Asante kwa kumbe nimependa Sana nipo dar, jijin
🙏
B blessed
Uwafundishe watu waache mapambo pia .
Ujumbe ni mzuri lkn kwkuwa una nafasi ya kuja kusema na wazungu huku kwetu achana na kiingreza
Balikiwa jamani dada mim hapa nasikiliza shuhuda nying zinakataza kusuka lakin me nasuka kila nikitaka kunyoa moyo mwingine unagoma alafu nilivoanza kusuka nguvu yamung ikaisha ndani yangu na natamani mung anipe nguvu tena lakin sipati sijui hata nifanyeje
Natamani nisikie sana ya mungu mno
dada nikupe kazi naomba niombee kwa MUNGU NIWEZE TU KUURITH UFALME WA MUNGU
Amen 🙏 🙏 🙏
Omba mwenyewe ndipo utapata mzigo wa kuomba
Ombi zuri sana lakini na wewe pia ingia gotini Juhudi yako pia ni muhimu sana. Hiyo ni ushauri tu
Tunaomba Ongea kiswahili ili tukuelewe
Naomba number yake ya simu Nina maswali binafsi
Amina Amina tunaomba naomba za simu
Amen