PART 1 USO KWA USO NA YUDA KUZIMU ALIYE MSALITI BWANA YESU USHUHUDA WA EMMANUEL SENAYON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 ปีที่แล้ว +6

    Ee YESU naomba msaada wako maana bila wewe mimi c chochote nakuitaji ndani ya maisha yangu Amen Amen 🙏 🙌

    • @damasmayanja2930
      @damasmayanja2930 ปีที่แล้ว +2

      Ukimpenda Amna Baba yake atakupenda nao watakuja Kwako na kufanya makao Milele Yohana 14:23 wakishakuja ndani yako watafanya yote bila hata kuomba na utashangaaa.

    • @damasmayanja2930
      @damasmayanja2930 ปีที่แล้ว +1

      Ukimpenda Yesu utashika Neno lake na Baba yake atakupenda nao watakuja Kwako na kufanya makao Milele Yohana 14:23

  • @dadaz4653
    @dadaz4653 ปีที่แล้ว +4

    Ee Mungu wangu tusaidie

  • @jorambranchofmud6299
    @jorambranchofmud6299 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa mtumishi

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 ปีที่แล้ว +3

    Amen BWANA YESU Asante kwa uvunuo huu ,na awabariki wanao Amina

  • @lilianmajana5032
    @lilianmajana5032 ปีที่แล้ว +5

    I like you voice sister thank you so much for the nice testimony God please forgive me and help us to make HEAVEN AMEN 🙏 🙏🙏🙏🙏

  • @jacklinekhayechia4362
    @jacklinekhayechia4362 ปีที่แล้ว +6

    Eeh mungu atusaidie kama mtoto wa miaka 6 ako kuzimu inatubidii kila mara tuishi kwa toba

  • @lucylumasho9317
    @lucylumasho9317 ปีที่แล้ว +3

    Asante na ubarikiwe sana Kwa ukweli,

  • @NellyDeborah77
    @NellyDeborah77 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana

  • @emmanulmbembati
    @emmanulmbembati ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu akufunike akutetee kwa kazi kubwa ya shuda hiz tunakuwa kiroho

  • @namvurasikitu791
    @namvurasikitu791 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atupemwishomuzuri. Amena

  • @elizathomas7442
    @elizathomas7442 ปีที่แล้ว +2

    Amen Jina la YESU linanguvu zaidi ya sana

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu ปีที่แล้ว +1

    Eeh Mungu nisaidie kuyafanya mapenzi yako,barikiwa mtu wa Mungu nmetiwa nguvu mpya

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 ปีที่แล้ว

    Jamn cku hiz nakosa vtu vngi vya mbinguni kwa ajil ya kuwa bz n mikaz YESU nisaidie dunia isinifanye nikusahau bal nikupendee milele.siku zote za maisha yngu😢

  • @VumiliaMwakamisa
    @VumiliaMwakamisa ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @UpendoBadi
    @UpendoBadi 8 หลายเดือนก่อน

    Ee yesu tusaidie

  • @samuelshikari3937
    @samuelshikari3937 ปีที่แล้ว

    Kweli Mungu yu mwema asante kwa ushuhuda

  • @elizathomas7442
    @elizathomas7442 ปีที่แล้ว +9

    Ee MUNGU tulikuwa vipofu lkn sasa umetufanya tuone maana kumbe yote yapo kwenye Biblia ,sasa naona nitie nguvu nifike kwenye ufalme wake

  • @user-zu5gf8zf1g
    @user-zu5gf8zf1g ปีที่แล้ว +4

    Ee MUNGU tusaidie watoto wako, Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU

  • @lucywilson5875
    @lucywilson5875 ปีที่แล้ว +3

    Ee Yesu wangu

  • @NellyDeborah77
    @NellyDeborah77 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @lukasemmanuel4614
    @lukasemmanuel4614 ปีที่แล้ว +1

    Amina Nzuri sana hii

  • @bazurimwemdi9060
    @bazurimwemdi9060 ปีที่แล้ว

    Amena

  • @babafranco3366
    @babafranco3366 ปีที่แล้ว

    Una maneno mengi sana

  • @didacenjungani5629
    @didacenjungani5629 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa na UJUMBE huu!!! Ubarikiwe.

  • @StrongWomen-ob8yq
    @StrongWomen-ob8yq ปีที่แล้ว

    Mungu tafadhali tuokoe na turehemu mungu wetu hatuezi mbele zako

  • @amandaangie4806
    @amandaangie4806 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe hizi

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว

    MUNGU wetu naomba msaada wako niishi maisha matakatifu ya kuku pendeza.

  • @IsayaModest-nx7kp
    @IsayaModest-nx7kp ปีที่แล้ว +1

    AMEN

  • @VumiliaMwakamisa
    @VumiliaMwakamisa ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @consolatamakonjo3271
    @consolatamakonjo3271 ปีที่แล้ว

    Jesus name is powerful 🙏🙏

  • @hajimnzava1972
    @hajimnzava1972 ปีที่แล้ว +1

    Wesema umeamua kutufundisha Neno lamungu hii habari ya kusema umeenda mbinguni,acheni kutudanganya,bana

    • @lukasemmanuel4614
      @lukasemmanuel4614 ปีที่แล้ว

      Kama wewe unasema unadanganywa kaa hivyo hivyo siku moja utaamini

  • @jorambranchofmud6299
    @jorambranchofmud6299 ปีที่แล้ว +3

    Kuna part 2 au itahishia tu hapo

    • @Nenolamaarifa
      @Nenolamaarifa ปีที่แล้ว

      Part 2 ipo

    • @jesusmercytv2801
      @jesusmercytv2801 ปีที่แล้ว

      Duuuuuu Mungu atujalie kufika

    • @stevenkambindu5914
      @stevenkambindu5914 ปีที่แล้ว

      Aliyeninyonga ndiye Yuda Iscariot kitabu Cha Biblia ya kikatoliki kiliandikwa na Yuda Makabayo kama kitabu Cha historian ya mapambano yake aliyofanya dhidi ya Antiokasi Epifanisi alieiondoa serikali ya kiyahudi na kulinajisi Hekalu Kitabu hicho hakikupitishwa kwenye Kanuni ya maandiko matakatifu miaka 200 BC Wakatoliki walikichukua miaka mingi baada ya Kristo na kukifanya kuwa kitabu kimojawapo Cha vile 72 vinavyounda Biblia ya Wakatoliki

  • @EsauBakari
    @EsauBakari ปีที่แล้ว

    ame andika pat 1

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 ปีที่แล้ว

    Duu! Yuda! Shetan akamdanganya amsalti BWANA YESU sasa tena mateso yake ni makuu kwa sababu kukubali kwake kumsaliti BW.YESU ss tunaokoka! Ni km ya kuchekesha! ... Tulie tulie tulilie dunia BW.WETU Analia anatulilia pia hadi atakapolinyakua kanisa! Basi tulie naye

  • @damasmayanja2930
    @damasmayanja2930 ปีที่แล้ว +1

    Uongo wa Mwisho, Yuda hawezi kuwa kuzimu, alimwamini Kristo Yesu Kwa kiwango kikubwa mnoooo, Kama Yuda yuko kuzimu Basi Kristo Yesu hakufufuka na hakushuka kuzimu, lakini kama alishuka kuzimu aliwafungulia wote waliotekwa mateka na Mkuu wa Kuzimu tangu Adam na aliondoka nao Mbinguni.

    • @rehemavickie6521
      @rehemavickie6521 ปีที่แล้ว

      Nimewaza hivyo pia. Hii kidogo napatq shida

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 ปีที่แล้ว

      Mungu sio mtu,hutimiza mapenzi yake yote kama apendavyo.hebu tujifunze kitu unapofanya dhambi mbele za Mungu Aliye hai ,bila kutubu anakuhukumu kwa haki .kumbuka hakuna mtu maarufu mbele za Mungu Mkuu.kumbuka utukufu aliopewa Lucifer,lakini Bwana wa Majeshi .kamlaani na kumtowesha Mbinguni akisubiri hukumu ya ziwa la moto.pia na malaika wengine walio kosa wamewekwa chini ya kifungo Hadi ije hukumu..kumbuka njia za Mungu sio njia za mwanadamu .

    • @shuhudazakweli3406
      @shuhudazakweli3406  ปีที่แล้ว

      Kifo cha Yuda alijinyonga baada ya kuona mambo yamekuwa ivyo je? Unazani mtu aliye jinyonga anaweza kuingia mbinguni?

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 ปีที่แล้ว

      mtu aliyejinyonga haingii mbinguni pia Yesu alishuka kuzimu kumnyang'anya shetani funguo ya mauti na kuzimu pia alienda kuwahamisha watakatifu waliokuwa wakikaa huko lkn hakwenda kuhubiri na neno linasema baada ya kifo n hukumu wala hakuna shaka andiko linajieleza Yuda yko kuzimu

    • @damasmayanja2930
      @damasmayanja2930 ปีที่แล้ว

      Kristo Yesu ni Roho si mwili, unaweza kuwa ndani yake naye ndani yako yaani mkavaana, hakuna adhabu ya kifo Kwa wao waliomvaa Kristo, Yuda alinyonga mwili wake na siyo Roho yake, Roho ni Mungu Mwenyewe na Roho haiwezi kutenda dhambi Kwa maana haiko chini ya sheria kama mwili, ulitambua dhambi Kwa sababu sheria ilisema, wale wote waliomvaa Kristo Yesu hawako chini ya Sheria bali wako katika Amri ya Pendo sawa na Baba, Kwa maana Kristo ndio mwisho wa sheria na Torati yote, ndani ya Kristo hakuna dhambi ,hukumu Wala mauti bali UZIMA WA MILELE KATIKA YEYE na utahesabiwa Haki Kwa KUMWAMINI yeye tu, ukijitenga ukawa nje ya Kristo rafiki yangu Kuna sheria na Torati yote ya Musa ambayo unapaswa kuifuata yote Ili uhesabiwe Haki Kwa jitihada zako za matendo ya kuzitii sheria na Torati yote 633, usipofuata sheria hizi Musa mwenyewe anakushitaki Kwa Baba Yohana 5:45, Tena nawaambia wamelaaniwa wote wategemeao uzima Kwa jitihada za matendo Yao ya mwili huku wakiiacha Neema ya Mungu ambacho ni kipawa chake mwenyewe kiletacho wokovu, wametengwa na Kristo Yesu wote watakaokuhesabiwa Haki Kwa Sheria Wagalatia 5:4
      Ndani ya Kristo huwezi kufanya Wala kutenda dhambi Kwa sababu hazipo. Kristo Yesu aliibeba dhambi ya ulimwengu ni mwanakondoo na sadaka iliyompendeza Baba kuondoa dhambi ya ulimwengu Yohana 1:29 na si kuifunika dhambi kama sadaka za mafahali zilivyofanya.
      Kristo Yesu ni Pendo na REHEMA ya Baba kufanya upya Agano na ulimwengu kutoka kuhesabiwa Haki ya uzima wa Milele Kwa matendo ya sheria na kufanya Agano jipya la kuhesabiwa Haki Kwa IMANI Kwa Yesu Kristo pekee. Baba Hana njia nyingine ya kuukomboa ulimwengu na kuwapa walimwengu uzima wa Milele nje ya IMANI Kwa Kristo Yesu.
      Yeye asiyeijua dhambi Baba alimfanya dhambi Ili ulimwengu wote uhesabiwe Haki ya Mungu Kwa IMANI 2:Wakorinto 5:21, wewe ndio Haki ya Mungu kupitia Kristo Yesu
      Wewe ni Mtoto wa pili wa Mungu kupitia Kristo Yesu.

  • @davidkitumbi6457
    @davidkitumbi6457 ปีที่แล้ว

    Wacha uwogo wako wewe unandaganya tu wale awajui, Mwalimu ni mmoja tu Zouloula 100 inaweza kusearch on TH-cam ama u search imani mchimbwa, mtasaidika nyote.

    • @lwijisotweve1225
      @lwijisotweve1225 ปีที่แล้ว

      Kwan lazima uccoment ungeweza kukaa kimya ni busara pia

    • @davidkitumbi6457
      @davidkitumbi6457 ปีที่แล้ว

      @@lwijisotweve1225 ni vizuri kuabiwa wezako kuabia wezako kuna ambo hawana huo ufahamu na sio eti niwajiga

  • @prospermatovu3334
    @prospermatovu3334 ปีที่แล้ว

    Huu ni uwongo wa wazi watu wanajitahidi kutafsiri biblia kwa kuruongopea walifika mbinfuni na kadhalika sasa kama hukumu alishIona sasa hukumu ipi hiyo ijayo??? Acheni uwongo.

    • @TabithaJimmy
      @TabithaJimmy หลายเดือนก่อน

      Ona hujui hata kuandika et mbinfuni acha ujinga

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 ปีที่แล้ว

    Duu! Yuda! Shetan akamdanganya amsalti BWANA YESU sasa tena mateso yake ni makuu kwa sababu kukubali kwake kumsaliti BW.YESU ss tunaokoka! Ni km ya kuchekesha! ... Tulie tulie tulilie dunia BW.WETU Analia anatulilia pia hadi atakapolinyakua kanisa! Basi tulie naye