BAHARIA YUZO: MAISHA YA MELINI/ NILICHOMWA MOTO/ WALIJUA NIMEKUFA/ NILIENDESHA MELI PEKEE YANGU-01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Ni historia ya kustaajabisha ya kijana aliyepata misukosuko ya kimaisha tangu akiwa nchi kavu, baba yake mzazi alimtamanisha maisha, kutokana na hali ngumu ya kiuchumi ya nyumbani kwao.
    Aliishi na mama yake kwa kipindi kirefu huku baba yake mzazi akipotea kwa zaidi ya miaka miwili, alisoma kwa tabu mpaka alipoamua kujitoa kafara kwa ajili ya familia yake, ili iishi vizuri.
    Maisha yake ya shule hayakuwa rafiki sana, kutokana na uhalisia wa kilichokuwa kikimsibu tangu nyumbani kwao, endelea kuifuatilia story hii kwa undani, ili kujua nini kilimtokea kijana huyu aliyependa maisha ya melini tangu akiwa na umri mdogo!
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #baharia #mbanga #dupamdupange

ความคิดเห็น • 22

  • @dar24media
    @dar24media  ปีที่แล้ว +3

    Kwa mahitaji ya nguo zenye chapa ya "Kabunyau" wasiliana nasi popote ulipo kupitia namba zetu,...0764368113...na ..0717 066207...&..0653127761

    • @modricnoma3686
      @modricnoma3686 ปีที่แล้ว +1

      Bro kabla ya mzigo kwenda mjini fanya marekebisho ya hilo neno sio kabunyau ni kabinyau

    • @abrahammlangwa5038
      @abrahammlangwa5038 ปีที่แล้ว

      sahihi ni KABINYAU

  • @Mwamba-hc1jy
    @Mwamba-hc1jy ปีที่แล้ว +3

    Mwandishi anapenda story kinoma😂😂😂

  • @demolenebooysen2085
    @demolenebooysen2085 ปีที่แล้ว +2

    Interview imenyooka maana #Yuzo Mtundu anaongea history ya maisha yake Salute #SIMBA WABAHARINI

  • @alhajitawakal6063
    @alhajitawakal6063 ปีที่แล้ว +1

    Balozi Dupa kuna wanetu wana play zaidi ya ndugu 🎉🎉 reality feedback

  • @abubakarallyzam7224
    @abubakarallyzam7224 ปีที่แล้ว

    fanya uweke nyengine bro part 3 we are dying waiting

  • @fredadam7692
    @fredadam7692 ปีที่แล้ว

    hongeren story nzur. jitahdini play list na caption iwe fupi ili kulahsisha mtu kusach na kuelewa kilahs

  • @rayabuna5761
    @rayabuna5761 ปีที่แล้ว

    Sunday hp pole sana dady

  • @NabeelIdrisah
    @NabeelIdrisah ปีที่แล้ว

    Really niggah big up broo💪💪💪

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว

    Pamoja sana My Brother🔥🔥

  • @lailahmohd9395
    @lailahmohd9395 ปีที่แล้ว

    Nimependa ridhiki popote🔥

  • @jamaicakyalo4166
    @jamaicakyalo4166 ปีที่แล้ว

    Tupe full

  • @ibrahimabdallah4858
    @ibrahimabdallah4858 ปีที่แล้ว +1

    Number One

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    Big up maisha sikitoto aisee

  • @dottowache5149
    @dottowache5149 ปีที่แล้ว +1

    Dupaaa mbona tambala limepoooaaa mrudishe kabinyau mzee wa mchele jogoo mzee wa New castle au mlete baharia mwega au gamba mla chake agriiiiiiii agriiii

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 6 หลายเดือนก่อน

    Hlf huyu mshkaji kama namjuwa pale tazara

  • @kasimumudy0269
    @kasimumudy0269 ปีที่แล้ว

    We dupaaaa umesemaje apooooooh

  • @husseinhussein9971
    @husseinhussein9971 ปีที่แล้ว

    Yesu😂😂😂

  • @bakarimakota-ei8sw
    @bakarimakota-ei8sw ปีที่แล้ว

    Ili tambala linaweza likawa Kali mbeleni DuPa Hua huna kazi mbovu nakuaminia

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 ปีที่แล้ว

    Mmekata utamu mjue😮

  • @dottowache5149
    @dottowache5149 ปีที่แล้ว

    Dupa tuleteeni tambala bhana hii stori za bongo jau tu tunataka story za mtoko mzazi sisi sote waendao na tushatoka sana amigo to do bee Mozambiquekano mwito bandimu