Uyu baba umri wake ni sawa na mama yangu lakin nikimuangalia utasema analingana na kaka yangu tuliozaliwa baba mmoja ye amezaliwa 92 lakin yupo kama huyu baba😂
Asee kuna mwingine juzi nimuona mika 70 lakinii asee huamini yaan ni mdg kwa muonekano yaan anakwambia yuko Spanish toka 1976 aseee 2018 akja tz asee kama anamiaka 40
Bro your doing amaizing job n very unique interviews!! Nakufatilia sana mimi traveller pia nilisepa miaka mingi sana so nakukubali sana bro!! Keep it up n good job.
Nimetoboa humo huyo kichaa simpati sema mabaharia anaowataja nawajua, mimi nimetekenya mtumbwi na dogo mmoja wa buguruni teravivu alikuwa anaitwa Savoo, nimeingia nae mpaka hapa Germany mimi nikamwagika mwanangu karuka bongo complain za kudondoka zilimshinda, sema mungu amrehem kajitia tena beach ndio alipokwenda kudedi, Daah huyo jamaa anakumbusha kitambo sana, mimi nimenasa Germany hapa nimetokea Richardbay Terminal mtu mbili na mwanangu marehemu mchanga wa chuma maneno Holland first port tukaja kudondoka Germany
Nipo munich hapa na masela boti wapo hapa kuna J4 wa kariakoo watu wa mitumbwi kibao tu hapa, goma lilifunga Hamburg Port mambo ya complain mwanangu karuka palepale Hamburg alikomplain age ndogo, tukatenganishwa yeye kapelekwa jela ya watoto huko ndipo alipokwenda kudunda, mimi nikatusua kesi yangu sema nilikunja kama ezi 2 pale Hamburg kutoka nikajitia munich kitambo sana, kipindi maboti yanapandika kwa kabulu.
Story nzuri sana, tujuane tunaoangalia episode zote 4 kwa mara ya pili😂😂❤️Hii ndio maana halisi ya simulizi. Alikuwa na miaka 10 miaka ya 1986 maana yake kazaliwa 1976. Miaka 46 leo. Siamini huyu kaka ana miaka 46? 🤯🤯😳
Toa kitabu kitasfiri lugha za nchi mbalimbali ulizofika tafuta mawakala nchi hizo mtapata pesa nyingi Sana. Hata kampuni za documentary duniani ununua simulizi hizi kwa pesa ndefu tu.
Nyie madada acheni uchawi nyinyi yaani hata hamuogopi kipindi cha mabaharia nyie mnatuletea ushirikina. Jitajirisheni wenyewe sisi tunatafuta kibishi.. yaani nyinyi ni wa kuchinjwa tu
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA .,.*# th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA .*#..*# th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
lol umenikumbusha kabange wa ilala boma 🤣😅nilikuwa nasoma pale chuo cha uandishi wa habari lakini kabange tumemkuta kisha tulia kitu kama miaka ya 2005, 2006 mzee wa bonga bar bangi kwa sana ila alikuwa mtu powa sana 😂😂😂
BROTHER NAONA HUIJUI HISTORIA YA MABAHARIA TZ . WATOTO WA KITANGA NDIO MABAHARIA WA KWANZA NCHII HII HATA UKIENDA MA ULAYA UTAWAKUTA WATOTO WA KITANGA KITAMBOOOOO
Wewe acha wa kusini. Tupo ulaya kitambo. Sikatai nishaka na watoto wa kitambo. Wakina caros hiyo Richard bay. Lakini watoto wa kusini tupo ulaya kitambo

th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA,,.*# th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA,,..*# th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA,,.*# th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
Uyu baba umri wake ni sawa na mama yangu lakin nikimuangalia utasema analingana na kaka yangu tuliozaliwa baba mmoja ye amezaliwa 92 lakin yupo kama huyu baba😂
STORY TAMU SANA KAMA YA KINYOGOLI ,MWAMBA ANA KUMBUKUMBUKU HADI RAHA
Mwana tunataka muendelezo wa huyo Baharia, Baharia story yake tamu sana
Dah mzee story kama ya kwangu ila zare tuu mwana nawapa hii kutoka uholanzi 🇱🇺
Vip man bdo upo uholanz
Hahahah jamaa mkubwa ila ukimuangalia kama kazaliwa 1990
Asee kuna mwingine juzi nimuona mika 70 lakinii asee huamini yaan ni mdg kwa muonekano yaan anakwambia yuko Spanish toka 1976 aseee 2018 akja tz asee kama anamiaka 40
mashaAllah he's running 50s and he seems like early 30s
Bro your doing amaizing job n very unique interviews!! Nakufatilia sana mimi traveller pia nilisepa miaka mingi sana so nakukubali sana bro!! Keep it up n good job.
Daaaa umekata utamu daaa!sema mwana apo irish ungepata maisha daaaa sema ya Mungu mengi ✌️⚓️
Nimetoboa humo huyo kichaa simpati sema mabaharia anaowataja nawajua, mimi nimetekenya mtumbwi na dogo mmoja wa buguruni teravivu alikuwa anaitwa Savoo, nimeingia nae mpaka hapa Germany mimi nikamwagika mwanangu karuka bongo complain za kudondoka zilimshinda, sema mungu amrehem kajitia tena beach ndio alipokwenda kudedi, Daah huyo jamaa anakumbusha kitambo sana, mimi nimenasa Germany hapa nimetokea Richardbay Terminal mtu mbili na mwanangu marehemu mchanga wa chuma maneno Holland first port tukaja kudondoka Germany
Upo mji Gani?
Nipo munich hapa na masela boti wapo hapa kuna J4 wa kariakoo watu wa mitumbwi kibao tu hapa, goma lilifunga Hamburg Port mambo ya complain mwanangu karuka palepale Hamburg alikomplain age ndogo, tukatenganishwa yeye kapelekwa jela ya watoto huko ndipo alipokwenda kudunda, mimi nikatusua kesi yangu sema nilikunja kama ezi 2 pale Hamburg kutoka nikajitia munich kitambo sana, kipindi maboti yanapandika kwa kabulu.
@@MrWavu mzuka mwingi mno, nilikua Regensburg na Bayreuth.
@@manwoka4078 okay pa1jah
Salute malume...
Huyu jamaa ana memory kubwa sana kukumbuka mpaka majina ya watu wote na mitaa wanayotokea. Huyu pia namweka group moja la mabaharia wa uhakika.
Esco nakukubali Sana kwakweli ani nafulai sana kusikiliza sms kwakweli from France 🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇾🇹
Nakubali bro Mimi mi mzanzibar nataka kujua France unadill na kazi gani kaka
Kjjj
Huyu jamaa yupo vizuri kuelezea
Mtumzima mwenzangu mwega baharia Og. huyo vyote Atakufamisha kitu na box🇹🇿🇬🇷✌
Mwamba alizaliwa 76💪
Dah natamani ifike muda wangu aise. Ubahari rahaa sana. Halafu wasafiri wengi story zetu zinaendana..
Nakubali broh kwasasa uko nchi gani sasa
Usisubiri, nenda kasome , chukua madokoment panda meli, situation ya Sasa tofauti na kitambo , ..!
Yeah tunakipenda sana iki kipindi
I love this story for mabahariya watching from Netherlands
Mambo
Ukitoka masia kuna mji mwingine maralwene ndi unafika Maputo
Oya umetaja likavenga, wamakonde tunapenda Sana 🤣🤣🤣
Hiki kipindi nakipenda sanaaaaa
Maisha kwel ni safari kwel kwel
Mzee Baba afto sto istolia perni leftaa ii jaba ? kholizi leftaa yadii sto istolia polii oleya bravoo
Zuber kakaangu mungu ampe kauli thabit uko alipo🥲🥲🥲
Alifanya nini
Lete mastori na elimu ✌️⛴🛳⚓️
Story nzuri sana, tujuane tunaoangalia episode zote 4 kwa mara ya pili😂😂❤️Hii ndio maana halisi ya simulizi.
Alikuwa na miaka 10 miaka ya 1986 maana yake kazaliwa 1976. Miaka 46 leo. Siamini huyu kaka ana miaka 46? 🤯🤯😳
nimeamua kurudia hii story 😂
Daa hii story ni ndefu mtanisimulia badae mlioimaliza😂😂
Nawapata kutoka 🇧🇷🇧🇷🇧🇷🙏
Uko mbali sana broo
anajua kuadisia kwenye bahalia wote uliowaoji
Mkulu mwega 🙌
Toa kitabu kitasfiri lugha za nchi mbalimbali ulizofika tafuta mawakala nchi hizo mtapata pesa nyingi Sana. Hata kampuni za documentary duniani ununua simulizi hizi kwa pesa ndefu tu.
Sailor
Jama mkwel story Deben to cape tonw na meli anasema kwel
Nakubali nipo zangu Guyana George town ⛴️🛥️🇬🇾🇬🇾🇬🇾🇬🇾🇬🇾🇬🇾
Hiyo memory card GB~64
Msumbiji huyo jamaa anaijua sana
Na hiyo safari ni ndefu si mchezo
Simen never say goodbye
My friend.. Hahah
Eebanaeee jamaa ananigusa engo asa nipo Sailor hapa
.the true sailor
Mimi ndio Upcoming baharia🤣🤣
😂😂😂😂au sio 🤣🤣
Story nzuri sana
, good
Nawakilisha🇬🇧mabaharia msichoke
Daaaaahh hatuchoki mwanangu mikazo na speed 2 one day
Tamu sanaaaaaaa
Nyie madada acheni uchawi nyinyi yaani hata hamuogopi kipindi cha mabaharia nyie mnatuletea ushirikina. Jitajirisheni wenyewe sisi tunatafuta kibishi.. yaani nyinyi ni wa kuchinjwa tu
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA .,.*#

Tunao rudia rudia like hapa
mtangazaji mpka saiv najua unaweze enda South Africa mana chocho zote unazijua😀😀mi mwenyewe nishawaza natafuta wenzangu wa tatu tuzamie
Tuondoke lini
Tuzame mwanangu me sielewi natafuta tagi ubavu
😂😂😂
@@frankdanford8245😂bora muwaze Falme za kiarabu ..south jau tu 😢kakazetu wanaalibika
Kilimani ni mji mmoja ktk mkoa wa ZAMBEZIA Huyu MQ
Part 2 mzee
Haha et wanakuchukua km chupa ya chai 😆
😂
Msailor....
Elimu tusipuuze jama !!!!
endelea tu kusoma hujakatazwa
Muhuni anajua kuhadithia
Kweli uyo sea mean kamtaja mpaka nyanda na ukiona mboda aijui katembe sio uyo
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️
Mtafute tena huyu jamaa aendeeleze story anamengi sanaa
Sema nn huyu baharia mbona hafunguki kila kitu bhana.
He looks very young
Kabisa bado ni young man
Tunaomba Part-2
Mtaani likoni mwinyi babu road
Ukitaka uzoefu wa maisha kuwa traveller
Kabisa
Kariope n no moma
Wapi part 2??
Unaelezea vzur Baharia
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA .*#..*#

POA
lol umenikumbusha kabange wa ilala boma 🤣😅nilikuwa nasoma pale chuo cha uandishi wa habari lakini kabange tumemkuta kisha tulia kitu kama miaka ya 2005, 2006 mzee wa bonga bar bangi kwa sana ila alikuwa mtu powa sana 😂😂😂
😁😁😁
Basi hata hyo stori ni uongo
Kama mmesema ninyi mabaharia waongo
we mtu mzima kishet pita uko
boy ana rap kama chid benz😂😂
Men alone as usual
BROTHER NAONA HUIJUI HISTORIA YA MABAHARIA TZ . WATOTO WA KITANGA NDIO MABAHARIA WA KWANZA NCHII HII HATA UKIENDA MA ULAYA UTAWAKUTA WATOTO WA KITANGA KITAMBOOOOO
Wewe acha wa kusini. Tupo ulaya kitambo. Sikatai nishaka na watoto wa kitambo. Wakina caros hiyo Richard bay. Lakini watoto wa kusini tupo ulaya kitambo
Watoto wa kizenji ulaya kitambo braza tupo mda mrefu sana mambo ya meli
Acha Utanga utanga wewe
MA DONGA YOTE YA MAANA YA MAANA YALIKUWA YANAKUJA KULETA MBOLEA TANGA MIAKA HIYO 70s SIKATAI KUSINI NA ZANZIBAR ILA WA KITANGA WANA ROHO NGUMU
Watanga kama wote
Mtwara mabaharia ni wengi xana❤❤❤
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA .,.*#
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
yani izi video nazirudia kila nikiweka bando
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA .*#..*#
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Dn8saxAgIaE/w-d-xo.html
FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA,,.*#

FAHAMU PESA ZA MAJINI NA PETE ZA MAJINI ZENYE KUVUTA MALI NA UTAJIRI MKUBWA,,..*#