KUMEKUCHA WAKATI WA SHAFII KUBATIZWA UMEFIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Numba ya Kenya +254705602959 FRANCIS NDACHA RATIBA
    +255757722557 JAFAR MASSAWE

ความคิดเห็น • 84

  • @Janemutakale
    @Janemutakale 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mwalimu wetu Dacha Nimaono kwamba Mwenyezi-Mungu amekutumia nyakati izi za mwisho ibilisi atawaleta wengi wakujaribu lakini sio wewe unajaribiwa ni Mwenyezi-Mungu na lasima uwe mshindi kama Yesu christo alijukiwa na ndio ametukomboa hivyo ndivyo ulivyo AMINA

  • @mathieuombeni4643
    @mathieuombeni4643 2 หลายเดือนก่อน +1

    From DR Congo 🇨🇩 Barikiwa Sana mtumishi Mwalimu NDACHA, Mungu akulinde.

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ndacha ni mualimo wa kweli ❤❤

  • @mussakalaja3052
    @mussakalaja3052 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha Ubarikiwe saaana. Unatufundisha saaana juu ya Dini ya Kikristo. Ubarikiwe saaana. Hakika mwanzoni tulikosa saana elimu juu ya hizi dini.

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 2 หลายเดือนก่อน +1

    WE ndacha achakupindua pindua maneno ya mungu.si jaona mdahalo hata mmoja umejenga hoja kikamilifu kwa ujanja wako si rahisi kuwapata WAISLAMU

  • @IbrahimIbrahim-r2x
    @IbrahimIbrahim-r2x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huo mdahalo nakungojea san namuomba Allah atufanyie wepes inshallah ila msifwnye mjadala kwenye ukumbi weken njee

  • @costantineevarist5110
    @costantineevarist5110 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Barikiwa Mwalimu ndacha. Fundisha watu waokolewe

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika mwalimu Ndacha Mungu ako na wewe peana ujumbe wa wakati ili watu waingoke

  • @funakoshtadash6163
    @funakoshtadash6163 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana akubariki mtu wa Mungu na atufanyie wepesi katika hili.

  • @winnieofutare5324
    @winnieofutare5324 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen twakuombea sana mungu akulinde

  • @alisiakeyz1508
    @alisiakeyz1508 2 หลายเดือนก่อน

    Wise words man of God, mungu akulinde

  • @CharlesMbise-hc2sz
    @CharlesMbise-hc2sz 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha ni moto,mungu ni moto ulao

  • @alphamboi4011
    @alphamboi4011 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Mr dacha MUNGU akulinde

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 2 หลายเดือนก่อน +1

    Et shafii kubatizwa😂😂
    hauwez kupingana na Quran ukawa salama kiakili abadan.

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen

  • @ShannyAtaaba
    @ShannyAtaaba 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mjoli...

  • @Khalidmwangwai4651
    @Khalidmwangwai4651 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acha uongo kutoka uislamu nikutojua maandiko huezi toka kwa dini ya Mungu uende mahali hakuna dini

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja mwalimu

  • @frankdenambaya2626
    @frankdenambaya2626 2 หลายเดือนก่อน

    Pr inanitisha izo misalaba apo juu

  • @danielmwakimi2416
    @danielmwakimi2416 2 หลายเดือนก่อน

    We noma

  • @Khalidmwangwai4651
    @Khalidmwangwai4651 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ata hajui anachoongea huyu mtu wayauudi ndio wanauuwa wapalestina

  • @josephkirimi5453
    @josephkirimi5453 2 หลายเดือนก่อน

    Nani aliyembatiza Mwalimu Ndacha na akamwekelea mikono awe kiongozi wa kanisa lake?

  • @PascalMbilinyi
    @PascalMbilinyi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha umevunja hoja kwa maandiko za mwalimu mazinge hakuna mwalimu anae kuwez unakweli yamungu

  • @benadethajohn2696
    @benadethajohn2696 2 หลายเดือนก่อน

    nenda kaninyooshee shafi 😂❤

  • @Bible-Medical-Missionary-Work
    @Bible-Medical-Missionary-Work 2 หลายเดือนก่อน

    Kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, sisi Wakristo hushidana tu tukitumia neno lillilo hai, tena lililo na nguvu kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho na ni jepesi kutambua mawazo na makusudi ya moyo, Waebrania 4:12, Waefeso 6:12. Ndacha hana haja ya ushindani bali kugawanya kweli na uongo. Nyeri Cetral changeni tufanikishe huu mjadala.

  • @mwajoamkuruto
    @mwajoamkuruto 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha, tunangoja hiyo siku

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB 2 หลายเดือนก่อน

    Shafi ajibu kwenye pastor mkorofi tutakapo kipata swali lipo ajibu

  • @danielmwakimi2416
    @danielmwakimi2416 2 หลายเดือนก่อน

    Maada iwe utume wa uongo wa Mhamadi

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha, Simba Ulanga, na mzee simba ulanga woote ni Nguruwe 🐖🐖🐖

  • @jimmymatheka2697
    @jimmymatheka2697 2 หลายเดือนก่อน

    Kwenye mada kati ya mwalimu ndacha shafii, naomba kati ya mada iwe , je majini ni wa dini ngani?

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli mtu asijisifu mtu asifiwe

  • @saimonsimiyu840
    @saimonsimiyu840 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani kwanza naomba nielewe huyu shafi ni mwislamu ama mchristo?yani kila anacho jitetea nacho,anatoa katika bibilia yan hata Qur'an akuna aya jamani?huyu ni mchristo international

  • @Kutaila99
    @Kutaila99 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwenyewe ndacha unajitosheleza poke yako?Sema kama unajitosheleza tujue ustadh shafi ni dhaifu

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi mbona waislamu wakianza kusali lazima wataje mashetani?

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 2 หลายเดือนก่อน

    Yule shafii nikibaka Kama vibaka wengine tu ,sema basii tu amevaa kanzu ya ushehe 😅 we mtu kama anayapinga majini kuwa sio waislamu, Kama anavikataa vitabu vyote vya kiislamu ,hata Hadithi sahihi vyote anavikataaa ,Sasa huyo ni muislamu au kibakaaa tu😅

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha una misimamo ya Kiyahudi pia, kama unasema waislam wako sawa na wayahudi, basi hata wewe uko sawa na Waislam tu. Halafu unasema Wakristo tukusikilize wakati wewe si mkristo ni muyahudi? Uwe mkristo kwanza ndiyo tuungane na wewe, ama uache kurumbana na walimu wa kikristo ndiyo tuungane na wewe kuwahubiria Waislamu kama unavyohamasisha madhehebu yote tuungane.

    • @HellenaMky
      @HellenaMky 2 หลายเดือนก่อน

      Hujalazimisha uungane nae. Kwa akilizaketu.ndacha anasoma maandikotu. Hunasababu yakutoa maneno. Wewe Soma biblia itakuelekeza wapi unapaswa kuwa.biblia. Inamwongozo ote. Ndacha Yuko sahihi. Niuamuzi wako kukaa jumapili. Au. Ibada takatifu ya biblia yaan. SABATO

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 2 หลายเดือนก่อน

      SomaJhn8:52-59 kaone tatizo walio kuwa nayo wayahudi swa na wislaam

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha we ni hatali

  • @AlbertMakori-u2l
    @AlbertMakori-u2l 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha wewe kazi yako ni kujisifu tu huna chochote kbisaaaaaaa bure

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 20 วันที่ผ่านมา

      Ajisifu kwa lipi ..njoo Hadharani tukusikie wacha vipembeni

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 2 หลายเดือนก่อน

    Leta andiko muyahudi ni mwislamu huna elimu shee

  • @MaddycobraMwita
    @MaddycobraMwita 2 หลายเดือนก่อน +1

    kwani mlikorofiana na msomaji wako paulo tena akarudi uisilamu

    • @stephen-S7n
      @stephen-S7n 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nani alikuambia?

    • @MaddycobraMwita
      @MaddycobraMwita 2 หลายเดือนก่อน

      @@stephen-S7n kuna video Fulani ametolewa akitamka shahadu na Bibi yake ule wa kotoka Kisii

    • @moonsix9827
      @moonsix9827 2 หลายเดือนก่อน

      Amna ila kuna mda kama miaka mitano aliludi uislamu alivyoona apafai akaludi tena ukristo kwenye uzima wa milele

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@MaddycobraMwitawanatumia ile video ya zamani zaidii ya miaka 6 iliyopitaa

  • @Janemutakale
    @Janemutakale 2 หลายเดือนก่อน

    Juliaskalama ntakujibu Mwalimu anatumia Biblia ama anatumia akili zake? Anaonya watu juu ya dhambi au anawaunga mkono wafanye? Sisi tunapenda tuambiwe Uongo kuliko Ukweli laiti ungemjua anafichua uongo......

  • @juliuskalama2746
    @juliuskalama2746 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shida yako wewe mwalimu ambayo nakulaum nayo ni kwamba unapenda kushindana hata na walimu wenzako wa kikristo kwasababu unapenda wawe ni wasabato kama wewe ukikosa kujua kwamba Mungu haabudiwi kupitia siku bali kwa jina la Yesu. Ungeungana tu na wenzako mngefundisha vizuri zaidi badala ya kutetea siku na kushindan tu na wakristo wenzako, ungeacha hayo ingekua vizuri kweli

    • @daudmtoba191
      @daudmtoba191 2 หลายเดือนก่อน +1

      Dini Moja ubatizo mmoja na siku ya sabato ndio siku pekee ya kumwabudu Mungu ni hiyo ni Kwa ajili yetu sisi wanadamu na Niya milele

    • @rashidgona1808
      @rashidgona1808 2 หลายเดือนก่อน

      Unaabudu siku gani ndugu

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. 2 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @rastakataka
      @rastakataka 2 หลายเดือนก่อน

      Sio kushidana ukielewaaa hakuna kushidana

    • @YusuphLyanga-e8j
      @YusuphLyanga-e8j 2 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu akisali siku yake basi hyo itakuw BABELI sasa,,nd maan inatakiwa ijulikane ipi ni sahihii ili tufate iliyo sahihi

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 2 หลายเดือนก่อน

    Shafii anakataa tu Quran bila hadithi haiwezi kusimama.huu ni ukweli usiopingika.
    Afu Hizo vitabu vya Pastor mkorofi na Yehova matatani Waislam wanatoa wapi? Hata kwenye makitaba zote hapa Tanzania hakuna hivyo vitabu.

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 2 หลายเดือนก่อน

    Sule amekushinda wee vip

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe si mkiristo ni msabato

    • @YassinHatibu
      @YassinHatibu 2 หลายเดือนก่อน

      Hujui chochote

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo ndacha ata ukioneshwa andiko lakweli hutaki kukubali shafii humuwezi

    • @Hshshsueue
      @Hshshsueue 2 หลายเดือนก่อน +3

      Usimsifu wacha wakutane sisi tutajua wenyewe

    • @BURUNDIB
      @BURUNDIB 2 หลายเดือนก่อน +2

      Shafi hana kitu hajui kweli hawezi NDACHA