HII NDIO HOSPITAL ANAYOITAKA 'RAIS DKT MWINYI' IJENGWE PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 717 619 834
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 14

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 7 หลายเดือนก่อน +9

    Mie kikawaida ni mpizani wa CCM. Ila kwa mambo anayofanya Mh. Mwinyi nampa hongera. Huyu mzee hatanii akisema anafanya jambo basi anafanya kweli. Yaani mambo aliyofanya ndani ya miaka mitatu ni zaidi ya hao marais waliokaa miaka kumi. Naamini ikimalizika miaka 5 ya utawala wake tutanona mabadiliko makubwa katika visiwa vyetu khasa katika sekta ya miundo mbinu. Hongera Muheshimiwa. Lakini bado CCM sina imani nayo ila nina imani na Dk. Mwinyi

    • @awatifomar5185
      @awatifomar5185 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ni mimi kabisa

  • @hajikhatibhaji9434
    @hajikhatibhaji9434 7 หลายเดือนก่อน +3

    ❤ hongera unaupigwa mwingi wenginwaliopita hawakuwahi kua na mawazo kama yako

  • @khalfanshahabakar7439
    @khalfanshahabakar7439 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana

  • @user-ft5gn8tw7x
    @user-ft5gn8tw7x 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Rais maendeleo tunayaona Allah akusimamiye ktk kazi zako amin

  • @user-nt3my1jf9t
    @user-nt3my1jf9t 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huduma zipo?

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani Hospital ya mkoa Unguja ni sawa na Hospital ya rufaa Pemba mbona hapa hakuna usawa

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 7 หลายเดือนก่อน

      Omer,usihadike na jina la hospital ngojea ulinganishe vifaa na watoa huduma ndio hapo utajua usawa

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 7 หลายเดือนก่อน +1

      Usawa upo mbona unguja kuna watu wengi mchanganyiko kutoka Bara, Na Pemba na waunguja wenyewe sasa Pemba hakuna watuu kuzidi huku mie mwenyeji wa Tanga pemba na unguja naijua uzur tuu iloo mbona liko sw Pemba kwa ukwel kimyaa watu hawapo wengi

    • @user-yx3ex4vy7o
      @user-yx3ex4vy7o 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@murattywamuratty9778ilikuwa zamani asaivi kumejaa wabaraaa

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 7 หลายเดือนก่อน

      @@murattywamuratty9778 walinganisha Dar es salaam na Muheza?Wapi !

  • @user-wz3tt4hw2h
    @user-wz3tt4hw2h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unataka usawa gani sasa wewe

    • @mozamohd8815
      @mozamohd8815 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤

  • @mohddelo
    @mohddelo 7 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana