#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Jiandae na maisha ya milele ya akhera kwa ibada na kusikiliza muongozo wa masheikhe mbalimbali hapa Miraj khan online
    ⚫️ WASILIANA NASI MIRAJ KHAN ( WHATSAPP +255 713 730 907), ( +255 766 445 024)
    ⚫️ Email: buikhan21@gmail.com

ความคิดเห็น • 193

  • @GraceKakule-pw8rz
    @GraceKakule-pw8rz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ni mwana wa mungu kwa mujibu wa maandiko matakatifu, mwalimu ndasha Mungu wa mbinguni akubariki sana

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 ปีที่แล้ว +4

    Walimu wakiisilamu mmetisha sana MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan 🙏

  • @peterrhagite5097
    @peterrhagite5097 3 ปีที่แล้ว +6

    Tutabishana sana muhimu tauche dhambi tutende mema.

  • @rafaelbern2630
    @rafaelbern2630 3 ปีที่แล้ว +17

    Mwalimu Ndacha 🔥🔥 Yuko vyema sana

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 3 ปีที่แล้ว +1

      WALIO MFUNDISHA KUHUBRI WAMESILIMU 😂😂😂 Mmoja Akafariki Miezi 2 tu Baada ya KUSILIMU Alikuwa Anaitwa POUL NDUNDI

    • @rafaelbern2630
      @rafaelbern2630 3 ปีที่แล้ว +2

      @@shabbymakapaneshabby5000 ni uchaguzi wao .... Mimi namuongelea Ndacha

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 3 ปีที่แล้ว

      @@rafaelbern2630 😂😂😂Waliomfundisha UDONGO Kugeuza geuza QUR'ANI WAMESILIMU Walichoka kudanganya Mfano BIBILIA -3 Ndio KITABU GANI? 😅😅😅😅AU Andiko GANI???

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 3 ปีที่แล้ว +3

      @@rafaelbern2630 Na Ukitaka Kujua NDACHA MUONGO Chukua QUR'ANI Na BIBILIA Kaanazo Akitoa Andiko Msikilize Anavyo Sema Halafu FUNGUA KITABU Zaidi QUR'ANI Angalia Andiko na Alivyosema Ni Sawa??? Ndio Utamjua Anadanganya

    • @rafaelbern2630
      @rafaelbern2630 3 ปีที่แล้ว +1

      @@shabbymakapaneshabby5000 ukitaka kujua mazinge Muongo chukua Quran na biblia weka. Pamoja alaf mfuatilie kwa uzuri

  • @alnasirdatoo7412
    @alnasirdatoo7412 3 ปีที่แล้ว +10

    John 20:17, Jesus said to her, “Do not cling to Me, for I have not yet ascended to My Father; but go to My brethren and say to them, ‘I am ascending to My Father and your Father, and to My God and your God.’ ”.

    • @abuamso3390
      @abuamso3390 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwa hiyo yesu sio mungu kwa sababu mungu kishasema huyu ni mwanangu hapo wenzetu mwajichanganya mwabadilika badilika kimada hivi tukibadilisha mada mutasema yesu mungu na hapa mwasema mwana

    • @alnasirdatoo7412
      @alnasirdatoo7412 3 ปีที่แล้ว +2

      @@abuamso3390 yes ndio maana yake ya iyo verse.

    • @alnasirdatoo7412
      @alnasirdatoo7412 2 ปีที่แล้ว

      @humud soud hamna hata verse moja ambayo explicit yesu anasema yeye mungu, na kama mwana wa mungu kuna wana WA mungu zaidi ya kumi katika Bible, mwana WA mungu ni term iliyotumika Kwa heshima lakini watu wameichukilia tofauti,Exod 4:22, lakini kuna explicit verse nyingi amabazo from yesu ambazo anasema kuhusu mungu, All knowing, all living, independent, all powerful, no beginning and no end. kuna vitu vingi ambavyo haviingi akilini kama 3 in 1, ni topic amabayo mkristo anashindwa Ku explain. Ndio maana wakiristo wengi wana kuwa revert, Ambao wanasoma na kuelewa vizuri bibilia.

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 2 ปีที่แล้ว +2

    Masheikh Maashaallah, Yaani munaeleweka hassaa

  • @medi222alrajhi9
    @medi222alrajhi9 2 ปีที่แล้ว +1

    Msishindane na waislamu nyinyi wa kiristo jifunzeni vizuri

  • @iddimkande2817
    @iddimkande2817 2 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah mashekh mumejibu vyena

  • @rodgersndagije
    @rodgersndagije ปีที่แล้ว +1

    Ndacha mmoja tu ni sawa na hao wote mashehe hoja zake zina mantiki mashehe wanaruka ruka hamna kitu hapo

  • @reubenndege
    @reubenndege ปีที่แล้ว +1

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 okosswa

  • @manuchoepics779
    @manuchoepics779 3 ปีที่แล้ว +5

    Yesu anazidi kuwa mwana wa Mungu yeye ndie Mungu... Yohana1:1_3

    • @abuuharuna8820
      @abuuharuna8820 2 ปีที่แล้ว

      Mungu sio mzazi sawa tumia vizuri kiswahili jua vizuri maana ya mwana maana yake ni mzazi Wa kiume au wakike

    • @khadijamohd9076
      @khadijamohd9076 2 ปีที่แล้ว

      mwana wa mungu ni yesu na baba ake ni nani?

    • @mohammedrajabumwamba1322
      @mohammedrajabumwamba1322 2 ปีที่แล้ว

      😀😀😀umewapinga wachungaji wako?

    • @dasilvajr9647
      @dasilvajr9647 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu ni Baba yake Yesu

    • @BarakahLago-qs7nf
      @BarakahLago-qs7nf 7 หลายเดือนก่อน

      @@abuuharuna8820 kwan kuna tofauti gan kati ya mwana na mtoto(nipe tafasiri ya mtoto

  • @kabarezephanie3573
    @kabarezephanie3573 2 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge wame muzinga kbsa

  • @user-dl8tv7xs9u
    @user-dl8tv7xs9u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nawaonea huruma waislamu eti ibirisi anawana afu mungu Hana yaan hata wenyewe anajikana

  • @amidainarukundo6731
    @amidainarukundo6731 3 ปีที่แล้ว +3

    TAKBIIR::ALLAHU AKBAR::Allah hakuzaa wala kuzaliwa .

    • @Believersgospelmusic
      @Believersgospelmusic 3 ปีที่แล้ว +1

      Allah ndio lakini Mungu wa Wakristo aliumba na tuna mpatia heshima ya baba.

    • @mchopaluka4319
      @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว

      Aibu kwako

  • @joachimmapunda4125
    @joachimmapunda4125 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu sio Mkristo. Wala sio Muislamu. God is too big to be pinned in those divisions of thoughts. God is love.

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwanazuoni wa kikristo yuko vizuri saaana, anahoja nzito

  • @izoomwenyewe1547
    @izoomwenyewe1547 2 ปีที่แล้ว +2

    Exodus 6:2-3 shows the Father and son is one i.e, The Lord and
    Almighty God is one.

  • @robertluvanda1632
    @robertluvanda1632 3 ปีที่แล้ว +6

    YESU nimwamba

    • @muslihmohd3685
      @muslihmohd3685 2 ปีที่แล้ว

      Ata akiwa jiwe ila sio mwana wa mungu

  • @msafiriibrahim5104
    @msafiriibrahim5104 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtu anaitwa Ndacha huwa Kigeugeu sana
    leo Yesu ni mwana wa Mungu Kesho Yesu ndiye Mungu mkuu
    sasa akisema anakubali Yesu ni mwana wamungu lakini siye Mwana wa Pekee si anapingana na ile aya ya Yohana 3:16 kuwa Yesu ni mwana wa Mungu wa Pekee

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +5

    NDACHA Tunakukubali sana waoneshe maneno yao kwenye vitabu vyao watabatizwa tu. wakikataa aibu ya duniani je aibu ya milele wataiwekawapi?

    • @ayshausman5898
      @ayshausman5898 3 ปีที่แล้ว

      Dacha. Hana. Chakuwaonyesha. Waisimamu. Lamda. Awe. Hanaimani. Yakweli. Kama. Waoo. Waloagamiya

  • @asilclub
    @asilclub 3 ปีที่แล้ว +3

    بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ (1) الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ (2) الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ (3) مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ (4) إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ (5) اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ (6) صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ (7)” ...٢١‏/٠٣‏/٢٠٢١

  • @Mduba68thedon
    @Mduba68thedon หลายเดือนก่อน

    Mmmhhhh❤❤

  • @SabrinaSabrina-dr6mv
    @SabrinaSabrina-dr6mv 2 หลายเดือนก่อน

    Takibrii Allah Akbar

  • @JOHNMWACHOFI
    @JOHNMWACHOFI หลายเดือนก่อน

    Allha.wakipari.takibiri.allha.wskibari

  • @bakarimagoma6237
    @bakarimagoma6237 2 ปีที่แล้ว +2

    Biblia Inasema kwamba wanao muamin mungu wote ni wana wa mungu hivyoo ata ww ni mwana wa mungu

    • @mchopaluka4319
      @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว

      Saaafi

    • @mchopaluka4319
      @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ni muelewa bakari

    • @mwanahamishamad2335
      @mwanahamishamad2335 2 ปีที่แล้ว

      Munguhakuzaa Wala hakuzaliws nyingi vichwa Nani huyu hafananishwi na chochote

  • @kusweymohamed
    @kusweymohamed ปีที่แล้ว

    Wa kirristo mulio toa maoni katika ukumbi hi munakubali ya kwamba mungu alikua na mimba akazaa mtoto wa kiume nani alie mjaza mungu mimba hi nikufru kubwa astaghfiru llah soma isaya 66/6 mpaka 7 jee hiki nikitabu Chamungu kweli wacheni ushabiki tafuteni haki

  • @kabarezephanie3573
    @kabarezephanie3573 2 ปีที่แล้ว +1

    Kbsa mchungaji ubarikiwe ndani ya jina yesu Cristo kbsa tumeelewa , Sheh amekawuka kbsa

  • @sumbamkali8435
    @sumbamkali8435 11 หลายเดือนก่อน

    Jazaka Allah

  • @johanessmwijage1192
    @johanessmwijage1192 3 ปีที่แล้ว

    Naomba niulize swali kama we mwanadamu uliumbwa na unakufa je nani ajuaye sili hii kumhusu mungu na kitugani anashindwa asa kwa mwanadamu

  • @user-kh5rx4xr6l
    @user-kh5rx4xr6l 7 หลายเดือนก่อน

  • @enosbahati223
    @enosbahati223 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Amen

  • @damsonmywanga4405
    @damsonmywanga4405 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndachi mwalimu hakika

    • @muslihmohd3685
      @muslihmohd3685 2 ปีที่แล้ว

      Ukiwa mjinga ukipata mtu muongo kidogo tu lazima akuchukue mazima

  • @jacksonnchimbi1966
    @jacksonnchimbi1966 ปีที่แล้ว

    Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu
    Kwa andiko hilo linaonyesha wazi kwamba mwana ni mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu na yesu ni nani?

  • @wachirabrian3616
    @wachirabrian3616 2 ปีที่แล้ว

    The main theme here is to seek the kingdom of God /Allah from either side

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha ni mwl kabisa

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah mungu awaongoze 💓

    • @carter7375
      @carter7375 2 ปีที่แล้ว

      Makosa kusema hivo. Huezi sema Allah mungu awaongoze

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 ปีที่แล้ว +2

    Inna ja alnaa alaa kuluubihim akkinatan an yafkahuuhu wafii aaadhanihim wakraaa. Wain tad uhum alal hudaaa walan yahtaduu idhan abadaaa

  • @annaamani4436
    @annaamani4436 ปีที่แล้ว

    Miii nawahulumia Sana wanaopingana na yesu

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawawezi kukubali kwaajli kule kanisani ndo wana pata pesaa? Ani hapo wanahis mnawahalibia

    • @BarakahLago-qs7nf
      @BarakahLago-qs7nf 7 หลายเดือนก่อน

      Yaani kwani msikitini hamtoi sadaka?

  • @craigalfred-sz1ho
    @craigalfred-sz1ho ปีที่แล้ว

    Ndacha ni high level

  • @zungubarbers2809
    @zungubarbers2809 2 ปีที่แล้ว

    Wenzetu kujifunza jinsi kutengeneza madawa na kumaliza njaa na kwenda kwenye sayari zingine, sisi ubishi kuhusu vitabu hata hatujuwi viliandikwa na akina nani na vilivyotumiwa kuwaweka mababu zetu watumwa. Amkeni Waafrika. Tusipo achana na hivyo vitabu, hatutaendelea

  • @wizdannymoshi3132
    @wizdannymoshi3132 2 ปีที่แล้ว

    Ndacha kaelekeza vzr

  • @mtanzaniamwenzangu181
    @mtanzaniamwenzangu181 3 ปีที่แล้ว +3

    Kiujumla nimewaelewa waalimu wote wapo vizuri wanatajua maandiko vizuri sana, lakini kuna muda wanatupotosha kwenye maandiko wanasoma maandiko nusu nusu na kupoteza maana ya maandiko

    • @alexkayagula4797
      @alexkayagula4797 3 ปีที่แล้ว

      Mimi nilichojifunza hapo ni kwamba, wakristo wanauelewa mpana juu ya maandiko. Lakini waalimu wa waislamu wanatumia ulaghai yaani wanakata maandiko, na lengo lao ni kupotosha, na wanajua.

  • @joelmwirigi1741
    @joelmwirigi1741 3 ปีที่แล้ว

    Hakika mko sawa walimu wetu.Lakini kumbukeni njia za allah zii kama njia za wanadamu.yote yawezekana kwake,aliumba Dunia na viote vilivyomo,yeye nmweza wa yote.

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 2 ปีที่แล้ว

    Hawamfati yesu hata kidogo. Wanamtukana Mungu na manabii. Makafiri hawa

  • @michaelmwambire358
    @michaelmwambire358 2 ปีที่แล้ว

    Apo Ndacha kunapahali amesoma kuwa mnamfanya shetani na kizazi chake sasa akasema mwalim wa kiisilamu atakapo panda ataje jina la bibi ya shetani mm cjaskia wakitaja

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

    wana macho lkn hawaoni
    wana maskio lkn hawaskii MUNGU Awasamee sana. na awaoneshe njia iliyonyooka

  • @mafuja1991
    @mafuja1991 3 ปีที่แล้ว +15

    Mm ni mwislamu ,lkn walimu wa kiislamu mnapwaya Yuko sahihi huyo mkristo

    • @madinahusen4163
      @madinahusen4163 3 ปีที่แล้ว +2

      nikweli kabs mungu hana mwana.na wala hakuza wala kuzaliwa

    • @ayshausman5898
      @ayshausman5898 3 ปีที่แล้ว

      Hamnahoja. Mumeishiwa.

    • @ayshausman5898
      @ayshausman5898 3 ปีที่แล้ว +2

      Mungu. Hakuzaa. Wala. Hakuzaliwa. Hamumpati. Mtu. Tazanina. Naatakaye. Wafata. Kaangamiya. Kama. Mulivoangamiya. Nyiyi. Walimu

    • @ayshausman5898
      @ayshausman5898 3 ปีที่แล้ว +1

      Humbatizi. Mtu. Hapo. Siyo. Mtoto. Wamungu. Yesu. Naatawakanusha.

    • @ayshausman5898
      @ayshausman5898 3 ปีที่แล้ว +2

      Rudikenya. Ukasome. Didi. Yakiisilamu

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 2 ปีที่แล้ว

    Wanajua ukiristo sio dini Lakini makusudi tu. Wanalipwa na wazungu kutetea BATIL

  • @SteveWissa
    @SteveWissa ปีที่แล้ว

    Iv anaelewa

  • @kabarezephanie3573
    @kabarezephanie3573 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasilamu wanakwepa

  • @mc-shaulinsingeristmsomi3903
    @mc-shaulinsingeristmsomi3903 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh hamna kitu hpo

  • @johanessmwijage1192
    @johanessmwijage1192 3 ปีที่แล้ว +1

    Mi ombi lamgu kubwa tunapeana elimu ili tuweze kumfikia mhuumba wetu si kwa kunyosheana vidole

  • @timothyskama6793
    @timothyskama6793 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu Ndacha wape ujumbe wakweli wabaki tu nakuamwa tu, yesu ni yote ndani ya yote

  • @reubenndege
    @reubenndege ปีที่แล้ว

    🎉🎉😢😢😢 maskini waisalmu😂😂😂😂

  • @alpha0megapropheticchurcht858
    @alpha0megapropheticchurcht858 2 ปีที่แล้ว +1

    Franco ndacha barikiwa

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 2 ปีที่แล้ว

    Yaan wachungaji wababaishaj hatari, maneno yao ya kipuuzi tu

  • @innocentthomas5148
    @innocentthomas5148 ปีที่แล้ว

    Mhh huyu ndacha atar🔥🔥🔥

  • @jacksonnchimbi1966
    @jacksonnchimbi1966 ปีที่แล้ว

    Mtazunguka lakini ukweli ni kwamba yesu ni mwana wa Mungu hata nyie hilo mnalijua na ndio maana siku ya mwisho yeye ndiye atakuja duniani na wote tutamuona uwe muislam au mkiristo na sio mtu mwingine

  • @myself4128
    @myself4128 2 ปีที่แล้ว

    NI WAPI KATIKA QURAN MUHAMMAD ALIJIITA NABII????NA NI WAPI KATIKA QURAN ALLAH KAAMRISHA WAISLAM WASWWLI SWALA TANO???

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db ปีที่แล้ว

      Unavchekesho kwel,Mohammad Hawez kujiita Yye Nabii,Yye Tayar Allah Amesha Mtaja N Mtume Wa Mwisho Ktk Mitume Yake,Na Tofautisha kat ya Nabii Na Mtume,hta Yesu Pia Ukubal Ni Mtume Katumwa Kw Wana Wa Izrail,Na Ww utwambie wapi Yesu Kasali Kanisani Na Wap kafundisha Mafundsho Yake Kanisan Utueleze, cc ndio Ahlu Kitabu Al Quran

  • @emmanueldeus-rz6ot
    @emmanueldeus-rz6ot ปีที่แล้ว

    Niangalie ukwel unavyopatikana kupitia mandiko.

  • @samwelimasumbuko1829
    @samwelimasumbuko1829 ปีที่แล้ว

    Bado mna pwaya waisilamu

  • @njiaya6833
    @njiaya6833 2 ปีที่แล้ว

    ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @petermhina6535
    @petermhina6535 2 ปีที่แล้ว

    Boya anakufa boya anazaliwa kweli maboya hayataisha duniani

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว

    Yesu ni mwana wa Mungu na haina ubishi

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba mwamba kabisa

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 ปีที่แล้ว

    Waalimu wakiisilamu mnafundisha maneno mazuri yenye kueleweka

    • @BarakahLago-qs7nf
      @BarakahLago-qs7nf 7 หลายเดือนก่อน

      Maneno yanayoeleweka ni yepi?anavyosema mwenzake kaacha mada kwan kuna tofauti gani kati mwana(mtoto wa Mungu?)

  • @saidosaido5647
    @saidosaido5647 3 ปีที่แล้ว +4

    Hawa makristo wako mashakani sana yani hii biblia imechezewa vibaya sana paka mungu ndio akamleta Muhammad (pbuh)arekebisha mambo Machafu yatokao kwa biblia natufate Quran kitabu kisafi kabisa

    • @titokwareh1852
      @titokwareh1852 2 ปีที่แล้ว +1

      Nani kakudanganya.

    • @saidosaido5647
      @saidosaido5647 2 ปีที่แล้ว +1

      @@titokwareh1852 wewe umedanganywa ndugi yangu soma biblia vizuri usidanganywe isome wewe mwenyewe

    • @rehemamost444
      @rehemamost444 2 ปีที่แล้ว

      Saudo rekebisha kauli biblia unaichezea wewe! Utake usitake biblia ni maneno matakatifu ya mungu

    • @saidosaido5647
      @saidosaido5647 2 ปีที่แล้ว

      @@rehemamost444 wewe kama kweli hio biblia ni maneno ya mungu vipi ilimuita mungu mkumbavu? Wajua hilo neno ama unalipuza nakuka kimya ATI mungu mkumbavu,alafu biblia ni maneno ya mungu

    • @daudibomani1940
      @daudibomani1940 2 ปีที่แล้ว

      Mungu gani ashindwe kulinda vitabu vitatu viharibiwe alafu aweze kulinda kimoja tumia akili2

  • @apollorutamucero6971
    @apollorutamucero6971 29 วันที่ผ่านมา

    Sawuti

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Fanyeni KAZI za maendeleo.

  • @khadijamohd9076
    @khadijamohd9076 2 ปีที่แล้ว +1

    anjitahidi kutetea ukafiri

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว

    Sasa kusema Mungu ana watoto unamtenga vipi Yesu?

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 2 ปีที่แล้ว

    Waislam wanatumia nguvu kulazimisha Jambo hatuwezi Muslim kirahisi hivyo. YESU NI MWANA WA MUNGU. nendeni mkasome John. 20: 17 mumsikie Yesu mwenyewe anasema nini.
    Msingi wa mjadala huu ni Biblia na Quran period.

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 ปีที่แล้ว

    NDACHA wewe ni Mwalimu mzuri ambaye kila anaihitaji kujifunza anafundishika na akaelewa,

  • @kabarezephanie3573
    @kabarezephanie3573 2 ปีที่แล้ว

    Yesu nimwana wa mungu kbsa Tena ni yesu nimungu 1timoteyo 3:16

  • @aminiyussuf6945
    @aminiyussuf6945 2 ปีที่แล้ว

    Ace🤲🤲🤲🤲🤲💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜🧘🧘🧘💚💚💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤝🖤poa

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu wa kiislam wanatia aibu

  • @choba7101
    @choba7101 2 ปีที่แล้ว

    WAKRISTO MNAYO KAZI KUBWA KUEPUKANA NA MOTO WA ALLAH

    • @njiaya6833
      @njiaya6833 2 ปีที่แล้ว

      moto unakuhusu weee usiyejua kweli

  • @saidosaido5647
    @saidosaido5647 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo twamjua sisi wakenya hana maana kabisa ATI atasilimu mombasa debate alisema Maryam simamake yesu apinga asema hakuna andika akasema ikitoka andiko atasilimu Kasim akatoa andiko ndani yabiblia mnafiki huyo mkubwa hana maana hata kidgo mnafiki huyo ATI pastor na anakata Maryam simamake yesu huyo ni mtu wakufatwa kweli kafiri mkubwa

    • @omarbyz8695
      @omarbyz8695 3 ปีที่แล้ว +1

      Allah atamuongoza huyu kafiri mkubwa huyu

    • @qerysir4410
      @qerysir4410 3 ปีที่แล้ว

      Usihusishe wakenya wote, mimi sina upuuzi wa dini yeyote!!

    • @saidosaido5647
      @saidosaido5647 3 ปีที่แล้ว +1

      @@qerysir4410 wewe umejihusisha mwenyewe sasa usinge ingia hapa ni pahali PA dini

    • @qerysir4410
      @qerysir4410 3 ปีที่แล้ว

      @@saidosaido5647 tambua ya kwamba unaposema 'sisi wakenya' umewahusisha wakenya wote.
      Unatakiwa ufahamu kwamba wakenya wengine hawapo katika tabaka hilo la udini. Kwa hiyo unapoongea basi fanya hivyo kwa niaba yako na wadini wenzako sio kujumuisha wakenya wote. Alaaaah!

    • @saidosaido5647
      @saidosaido5647 3 ปีที่แล้ว +1

      @@qerysir4410 wewe nini ilokuleta hapa ikiwa simtu wadini siitakua wewe ni mnafiki unajiingiza pahali hapakuhusu wewe kwa hivo wewe ni mnafiki

  • @aziziissa7497
    @aziziissa7497 2 ปีที่แล้ว

    Uyu mchungaji anaumwa au

  • @amirilupembe2164
    @amirilupembe2164 2 ปีที่แล้ว

    Sheeheee unafeli.wapi wewe ndacha.yuko.sahiiii

  • @timarusia8637
    @timarusia8637 3 ปีที่แล้ว +1

    Astaghfiru Allah

  • @sophiasophia4668
    @sophiasophia4668 3 ปีที่แล้ว +1

    yesu ni mwana wa yusufu

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha kiboko wako ni yusuf wambugu

  • @yassinm69
    @yassinm69 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Ndacha anavuka mada hana muelekeo kabisa

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 ปีที่แล้ว

    WEWE HUFAHAMU KICHWA CHAKO KIBOVU HICHO WEWE MKRISTO

  • @frederickroman3080
    @frederickroman3080 3 ปีที่แล้ว

    Bmzv

  • @user-dl8tv7xs9u
    @user-dl8tv7xs9u 11 หลายเดือนก่อน

    Nawaonea huruma waislamu eti ibirisi anawana afu mungu Hana yaan hata wenyewe anajikana

  • @user-dl8tv7xs9u
    @user-dl8tv7xs9u 11 หลายเดือนก่อน

    Nawaonea huruma waislamu eti ibirisi anawana afu mungu Hana yaan hata wenyewe anajikana

  • @user-dl8tv7xs9u
    @user-dl8tv7xs9u 11 หลายเดือนก่อน

    Nawaonea huruma waislamu eti ibirisi anawana afu mungu Hana yaan hata wenyewe anajikana

  • @user-dl8tv7xs9u
    @user-dl8tv7xs9u 11 หลายเดือนก่อน

    Nawaonea huruma waislamu eti ibirisi anawana afu mungu Hana yaan hata wenyewe anajikana