Mtumish huu mstar wa niite nami nitakuitikia naupenda sana na unanipa matumaini kwana nilishawahi kuumwa mpaka nikakata tamaa ila nilimwita mungu na gafla ikatokea sauti na baada ya sauti kuondoka nilipona palepale. Mungu ni mkweli na anaponya. Mwite bila kuchoka utaponyeka na hitaj utapokea
I have listened to Christopher mwahangila inspiring songs i love❤❤❤❤❤❤❤ them, i like his dressing code (lukuu) iko juu !dress for success to God be All the Glory Amen 🙏.
Amen amen,,,hakuna Jambo ngumu mbele ya mwenyezi Mungu🙏🙏,,,a nice song brother,,, keep moving in Jesus name 👌👌,,wakenya mko wapi,,,nipe ata likes kumi tukisonga mbele kuabudu Mungu🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
nyimbo sako hunibariki sana chris ooooh mungu wangu nitetee amen 💪💪💪 hallelujah 💥💥💥💥 ooooh may God continue to bless you my brother 🙏🙏🙏 amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 well come in Kenya Chris we love you all ❣️❣️❣️ amen
kweli mungu wangu anaweza yesu wangu well done Chris for good songs hallelujah ❤️❤️❤️🌹 amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are wonderful God 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah 🙏🙏🙏 amen
Amen ..Bwana sitaacha kukuita ktk maisha yangu...Kama ambavyo nimekuona mwezi huu wa sita.umenionyesha Mambo magumu sn na makubwa ambayo kwa akili zangu sijawahi kufikiri
hallelujah yesu wangu niokowe amazing songs amen well done Chris amen 💥💥💥 ooooh mungu wangu 💪💪💪 anaweza amen ❤️❤️❤️❤️❣️❣️ amen 🖐️🖐️🖐️ very powerful song amen may God bless you Chris 🙏🙏🙏 amen
🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️ amen yesu wangu torch me one more time very powerful song amen ❤️♥️♥️ nyimbo sako hunibariki sana Chris may God continue to bless you my brother 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏 amen
anaweza yesu wangu well done Chris amen 💪💪💪 hallelujah very nice one song amen may God continue to bless you Chris 💞💞💞💞 ooh jesus jesus you are wonderful God amen 💪💪💪 hallelujah 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah ❤️❤️❤️ amen
thanks God for this morning hallelujah amen wonderful song may God continue to bless you Chris ❣️❣️ amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ that's true nice song 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah 🙏🙏🙏 amen
Amen amen nyimbo zako hutubariki sana hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi likes za wakenya
Amen
Amina
I love this song it really encourages me
Very nice 👍🙂👌🥰❤️
Bone mayiteh 2:02
Mtumish huu mstar wa niite nami nitakuitikia naupenda sana na unanipa matumaini kwana nilishawahi kuumwa mpaka nikakata tamaa ila nilimwita mungu na gafla ikatokea sauti na baada ya sauti kuondoka nilipona palepale. Mungu ni mkweli na anaponya. Mwite bila kuchoka utaponyeka na hitaj utapokea
Amina kwa ushuhuda
Amen yote yanawezekana be blessed man of God chris much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gonga like tukiendaga
Yu
Uy
@@celestineachieng573 yess
Nice song
Nyimbo zako hunibariki sana ..huniregeshea tumaini wakati nmefika mwishow
I have listened to Christopher mwahangila inspiring songs i love❤❤❤❤❤❤❤ them, i like his dressing code (lukuu) iko juu !dress for success to God be All the Glory Amen 🙏.
Nyimbo zinatufurahisha sana hapa Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mbarikiwe sana
Nakupenda YESU,,,,,, kwako yote yanawezekana
hallelujah yesu wangu niokowe amazing songs amen 💪💪💪 amen ❤️❤️❤️ well done Chris for good songs is blessing for me amen 🙏🙏🙏 amen
Wimbo wenye tumaini. Kongole sana ndugu Mwahangila. Mungu azidi kukutumia kuwasilisha ujumbe wake.
Nashukuru sana Mungu kwa nyimbo zako ubarikiwe sana na Mungu wangu nyimbo zako zimenibariki sana Mungu akubariki
hallelujah amen amazing songs amen may God bless your for good songs Chris ❤❤❤❤❤❤
we have blessed with you songs in Kenya Chris may God continue to bless you my brother 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you ❤️❤️❤️ amen
Amen amen,,,hakuna Jambo ngumu mbele ya mwenyezi Mungu🙏🙏,,,a nice song brother,,, keep moving in Jesus name 👌👌,,wakenya mko wapi,,,nipe ata likes kumi tukisonga mbele kuabudu Mungu🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Such a powerful song God bless this man he's such a vibe nice music 🎉🎉🎉 rate 10/10
ooooh God hallelujah amen wonderful song may God continue to you 💓💓💓💓 amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu yanawesakana kabisa 🤞🤞🔥🔥
nyimbo sako hunibariki sana chris ooooh mungu wangu nitetee amen 💪💪💪 hallelujah 💥💥💥💥 ooooh may God continue to bless you my brother 🙏🙏🙏 amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 well come in Kenya Chris we love you all ❣️❣️❣️ amen
Kwa MUNGU yote yanawezekana hata yaliyoshindikana kwa upeo wa wanadamu
Ubarikiwe sana kaka angu nimebarikiwa
Amen🙏kwahiyi hari ya corona tunahuzuni kwakweli japo kuwa tunajifariji Ila yote yatawezekana yataisha magonjwa haya💃💃💃💃💃💃💃
hakuna jambo kumu la kumushinda mungu kabisa amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️ wonderful song amen ❤️♥️♥️ amen
Kwa Mungu yote yawezekana hakuna LA kushinda Mungu. Chris nakupenda Bure, nyimbo zako ziko na uguso wa Mungu
Ameeen. Niite NAMI nitakuitikia na nitakuonyesha mambo magumu usiyoyajua barikiwa Sana mtumishi. Hakuna gumu kwako Jesus🙏🙏
Amen kubwa kk barikiwa San kwa kaz nzur
Kabisa kwa MUNGU kila kitu kinawezekana nmeamini ilo na nnaamin sku zote 🙏🙏
Huu wimbo unaifanya Mimi niokoke amina
Hakika kwa MUNGU yote yanawezekana, Ubarikiwe kaka🙏
kweli mungu wangu anaweza yesu wangu well done Chris for good songs hallelujah ❤️❤️❤️🌹 amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are wonderful God 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah 🙏🙏🙏 amen
Mwenyezi mungu aku bariki tatika enjili wako mzee wangu
hallelujah kweli mungu wangu anaweza amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️ wonderful song may God continue to bless you amen for nice song amen 🙏🙏🙏 amen
amen hallelujah very powerful song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu wangu
Wimbo mzuri,Sauti nzuri,video nzuri,message nzuri
Namaanisha kila kitu kizuri 😍
Ameen 📖🙏🏻... Kwa Mungu yote yanawezekana
Amen ..Bwana sitaacha kukuita ktk maisha yangu...Kama ambavyo nimekuona mwezi huu wa sita.umenionyesha Mambo magumu sn na makubwa ambayo kwa akili zangu sijawahi kufikiri
Safi sana mtumishi wa mungu
I love your music sir very much top fan from Zambia🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Huu Wimborne nasikia kila siku unaniponya roho
amen 🙏🙏 amen wonderful song may God bless you 💪💪💪 hallelujah ♥️❤️❤️❤️ amen ooooh mungu wangu nitetee emba Chris amen 🌹💐💐💐💐💐🙌 amen 🙏🙏❣️❣️
hallelujah yesu wangu niokowe amazing songs amen well done Chris amen 💥💥💥 ooooh mungu wangu 💪💪💪 anaweza amen ❤️❤️❤️❤️❣️❣️ amen 🖐️🖐️🖐️ very powerful song amen may God bless you Chris 🙏🙏🙏 amen
hallelujah kweli anaweza amen 💪💪💪 amen mungu wetu hallelujah yesu well done Chris amen 🌹🌹💐💐 hallelujah
Tunakupenda kabisa kwasababu unabyo imba ni ukweli na unapana mfano mzuli, Kwa kupenda mke wako,
Ubalikiwe Sana mutumishi
hallelujah yesu wangu niokowe amazing songs amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu wangu torch me one more time ❤❤❤ amen 💟💟💟❣️❣️
Bwana yesu Kristo akutumie Siku zote za Maisha yako n'a pia akuongezeye Siku za kuishi kaka
MUNGU MWENYEZI AKUBARIKI TENA SANA MTUMISHI.
Hata Apa Dr .congo tunabarikiwa sana na nyimbol zako.
Anayehisi kubarikiwa kama mimi kuusikiliza wimbo huu weka like yako hapa🙏
Amen mungu anajibu kwa kweli 🙏🏾🇳🇴🇰🇪🇹🇿ubarikiwe mtumishi 🙏🏾❤️hii nyimbo sabuhi inanipa amani.🙏🏾🙏🏾
kweli yesu wangu anaweza amen ❤️♥️♥️ amen 💪💪💪 hallelujah 🙏🙏🙏 amen hallelujah yesu well done Chris amen 🌹🌹💐💐💐 hallelujah amen amazing songs
Thank you God this song is blessed me 🇦🇪🇦🇪🇦🇪
hallelujah amen amazing songs amen 💪💪💪 hallelujah Kwa mungu yote yanawesekana amen 🙏🙏🙏
Ameen, Ameen,
kwa MUNGU yote yanawezekana.
Ubarikiwe Sana Kaka.
Nagupenda sana ukonanguvuzamungu🙏💖👏🙌🙌 napenda nyimbo zako sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️ amen yesu wangu torch me one more time very powerful song amen ❤️♥️♥️ nyimbo sako hunibariki sana Chris may God continue to bless you my brother 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏 amen
Barikiwa Baba
amen hallelujah yesu wangu well done Chris nice one song amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️ amen have nice time amen 🙏🙏🙏
Kweli kabisa ndugu kwa Mungu yote yanawezekana hakuna jambo gumu la kumshinda.
hallelujah yesu wangu niokowe ✋✋✋ amen fantastic songs amen 💪💪💪 amen ❤️❤️❤️❤️🌹 amen well done Chris 🙏🙏🙏 amen have nice day today Chris amen 🌹🌹🌹
anaweza yesu wangu well done Chris amen 💪💪💪 hallelujah very nice one song amen may God continue to bless you Chris 💞💞💞💞 ooh jesus jesus you are wonderful God amen 💪💪💪 hallelujah 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah ❤️❤️❤️ amen
Ameen Kaka nipo namuita saa hiii👏👏👏👏👏👏👏
amen kaka yetu ukiamini Mungu kila kitu inakuwa xawa unarikiwe xana
hallelujah anaweza yesu wangu ameeeeen 🙏🙏🙏 amen ❤❤❤ wonderful song amen 💪💪💪 hallelujah
Amen 🙏 amen wonderful song like it
Man of God full blessings haki watubariki sana,,,mama samwel kakuyuni mahindi Kenya
Napenda sana nyimbo zako mtumishi wa Mungu
hallelujah that's true nice song amen 💪💪💪 hallelujah 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah yesu wangu niokowe ✋✋✋ amen
Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Glory Glory Glory to God
Asante mtumishi wa mungu kwa wimbo mzuri unaongea kwenye miyoyetu 🇧🇷🇧🇷🙏❤
Mungu akulinde baba nimbo Zako zinanipa neuvième🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nampenda sana ndugu mpendwa Christophepher Mwahangila maana ananifariji sana
Je vous suis depuis la RDC Congo 🇨🇩
Asante sana mtumishi, umefanya IMani ya wengi isimame imara, kupitia nyimbo zako. ASANTE 🙏
😭😭😭😭 machozi nimengi kwangu nisaidie namimi nijibie baba
MashaAllah mwenyezi mungu akujaze khema
kazi nzuri nashindwa kuelewa kaka unafanyaje fanyaje mpaka unapata viuwaz kwa sekunde chache
Daaah ninakosa cha kusema juu ya huu wimbo we kaka Mungu azidi kukuinua juu ya karama yako katika uwimbaj 🙏🙏🌹
Feeling blessed althaway from Nairobi Kenya😇😇😇😇
MUNGU azidi kukuinua Kaka kwa huduma yako na unyenyekevu na hekima zako, wewe ni mfano wa kuigwa sana,
Kweli hakuna jambo ngum kwa mungu yote anaweza
Napenda Sana..nabarikiwa Sana na uimbaji wako.sauti nk... very unique..God bless you
Amen hakika huu wimbo unanitia moyo sana, Mungu akubariki bro
Kweli kwa mungu yote yanawezeka ameen barikiwa mtumishi wangu
The song is very nice and soo engaging expecly fro us as youths we just have to trust in God all the time
hallelujah yesu wangu well done Chris amen 💪💪💪 hallelujah 💖💕💕
Ahasanteni sana kwakutuimbia nyimbo nzuri zamngu.
Hakika mungu hua anakutumia zaindi mungu awabaliki sana mutumishi wa mungu naakunzindizie neema yake zaindi
Barikiwa mtumish wa Mungu endelea kutoa huduma Kwa kuomba Mungu anatufungua kupitia nyimbo zako barikiwa
My brother umetisha Sana ubarikiwe
amen wonderful song may God bless you Chris 🙏🙏🙏 amen 👏🏽👏🏽 hallelujah 💘💘💘 we love you all in Kenya ❤❤❤❤ ooh that's true nice song amen 💪💪💪👍🏽
thanks God for this morning hallelujah amen wonderful song may God continue to bless you Chris ❣️❣️ amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ that's true nice song 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah 🙏🙏🙏 amen
Nazidi kibarikiwa, much love from Kenya 🥰🥰
Kabisa, kwa Mungu vyote vinawezakana 🙏🙏 AMINA
Amen kwakutupa matumaini
Tena nagupenda saaaana na nyimbo Zote zako ni nzur
Ninajua Mungu Atanipigania, Sitaogopa ...🙌🙌🙌
very powerful song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are wonderful God amen 🙏🙏🙏 hallelujah ❤️❤️❤️ amen
Amen.. Nice song kweli yotr kwa Mungu yanawezekana.
Nabarikiwa sana ña mahubiri yako kupitia nyimbo zako hakika wewe jemedari.
hallelujah very powerful song amen may God bless you this morning Chris hallelujah yesu wangu well done 💪💪💪👍🏽
Mungu azidi kukuinua mtumishi. Nyimbo zako unijenga sana. Natoa machozi nikizisikiza.
Kaka safi San bwan akubaliki kwa ujumbe mzur. Kazi nzur San
Mwenyez mungu azidi kukuinua katika karama ako
Kweli kwa Mungu yote yanawezekana ubarikiwe nyimbo nzuri
amen 🙏🙏🙏 amen wonderful song may God bless you amen 💪🙏🙏 hallelujah that's true 💓💓💓 amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥
Nimebarikiwa kwa huu wimbo, Harry from Kenya
God is able...2024 july....strong with......kwa mungu yote yawezekana🤝🤝🤝
Nikweli aisee kwa mungu yanawezekana
Hahika huu wimbo umeniinua tena kiiman nilishaanza kukta tamaa jmn nisamehe Sana Mungu wangu nisamehe Sana 😭