Christopher Mwahangila - Mungu Hawezi Kukusahau (Live Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 310

  • @rulebudodo2301
    @rulebudodo2301 29 วันที่ผ่านมา +1

    Kati ni genuine gospel singers tulionao TZ ni pamoja na Christopher Mwahangila. Mungu azidi kumsaidia,sio rahisi kubaki OG

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 ปีที่แล้ว +4

    Asubuhi nimemaliza kukumbuka nyimbo zako nikazitafuta Mungu hawezi kunisahau Haleluuya Ubarikiwe

  • @Danny254
    @Danny254 2 ปีที่แล้ว +51

    The song has been pushing me foward..Even when i feel like giving up..Mungu hawezi kukusahau..Likes za Wakenya hapa.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @abedndolo2764
    @abedndolo2764 2 ปีที่แล้ว +13

    For those of us trusting that God hasn't and wont forget and will be with us all through,
    Show love with a like

  • @ianlukanu2386
    @ianlukanu2386 2 ปีที่แล้ว +15

    This song makes me feel great when I lost my job and family through alcohol may wife left me because I can't change in my life and characters but God stood up with me glory to God.Amen 🙏

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akuinue kwa viwango vya juu Sana MUNGU hawezi kukusahau

  • @gaudenciamaghanga
    @gaudenciamaghanga 2 ปีที่แล้ว +10

    Amina mtumishi. Nyimbo zako hunibariki sana, I have literally mastered them all word by word. More grace 🇰🇪🇰🇪

  • @dinah_wanjohi
    @dinah_wanjohi 2 ปีที่แล้ว +3

    Nikikumbuka magonjwa uliniponya,anasa za Shetani ulizoninasua,kubarikiwa umenibariki, huduma ulinipa na sasa ninarudi nchini kwetu nikiwa nimebarikiwa sitaomba omba kwa marafiki na familia daima.... Kweli hukunisahau na hutawahi milele.... Asanti Mungu Wangu 🙏🙏😢

  • @harryzimba6317
    @harryzimba6317 2 ปีที่แล้ว +2

    Chiuta watumbikike chififukwa wakutonfeka yayi🇲🇼🇲🇼🇿🇲🇿🇲 glory be to God indeed

  • @haningtonkabuta9387
    @haningtonkabuta9387 2 ปีที่แล้ว +11

    Nimeipenda live version. Ipo vizuri kaka Christopher. MUNGU azidi kukutunza mpendwa wangu

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

    • @timothmarko132
      @timothmarko132 2 ปีที่แล้ว

      Nimependa Re mix ya huu Wimbo nimzuri kuliko wa Kwanza.

    • @abrahamdanger1133
      @abrahamdanger1133 ปีที่แล้ว

      Ip😅pphp

  • @nolascodonat2609
    @nolascodonat2609 2 ปีที่แล้ว +2

    Daah sio pow nyimbo inaingia hadi rohoni mungu akubariki kaka

  • @Rachael_Callista
    @Rachael_Callista 8 หลายเดือนก่อน +3

    Can someone type Amen .

  • @hellenadhis6822
    @hellenadhis6822 ปีที่แล้ว +3

    God is always faithfull, He cant leave nor forsake us. In every situation is in our midst. The Alpha and Omega, The Beginning and the End. He is worthy of all the praises. Thank you Jesus

  • @mariastella1878
    @mariastella1878 2 ปีที่แล้ว +1

    My brother Mungu azidi kukuinua nyimbo zako zina mguso wa kipekee saana.....kila nikiskiliza huu wimbo nainuliwaaaa saana

  • @canalnampula
    @canalnampula 2 ปีที่แล้ว +16

    Que mensagem linda. Deus não te esqueceu, lembre-se de Daniel na cova de leões.... Louvado seja Deus, o todo poderoso. Deus abençõe a quem ler este comentário.

    • @xadammwandete6779
      @xadammwandete6779 2 ปีที่แล้ว +2

      Mungu akubariki mtumishi tunabarikiwa sana

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

  • @doreenmwandiki
    @doreenmwandiki 2 ปีที่แล้ว +3

    Wow! Really touching. Mtu wa nne yupo kunitetea- YESU MWENYEWE. Huwezi kunisahau Yesu.

  • @irenemwamfupe8994
    @irenemwamfupe8994 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni baraka hujawahi niangusha kakaangu nyimbo nzuri sana

  • @EzataruHarriet
    @EzataruHarriet ปีที่แล้ว +1

    Be blessed

  • @MaingwaInvestment
    @MaingwaInvestment 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona nikisikia ihii nyimbo uwembo wamungy unashuka na roho wa mungu anabubujika ndani yangu na ingia kwenye maombi mungu kweli uwezi kunisahau 😢

  • @EmeldahOminde-gc3nt
    @EmeldahOminde-gc3nt 4 หลายเดือนก่อน

    From TikTok to here 🥰🥰 indeed 'Mungu hawezi kunisahau '🙏🙏

  • @jacklinechepngeno7039
    @jacklinechepngeno7039 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God this song reminds me 2022 when my life was in darkness but God really came through for me. Thank you almighty am forever grateful 🙌🙏

  • @calynseylyndsey9538
    @calynseylyndsey9538 2 ปีที่แล้ว +6

    Am always in love with this song..Coz sometimes i feel like giving up bt wen i hear this song it reminds me that i came here in this world with a purpose and there is one person that guides and cares me always and giving me strength as well.And that is my creator and my God

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว +1

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

    • @agnesmwanzia7795
      @agnesmwanzia7795 2 ปีที่แล้ว

      Thanks for the encouraging

  • @berthatz
    @berthatz 2 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mzuri sana kaka yangu..Nyimbo zako zinanibariki siku zote..Mungu akutunze ndugu yangu..👏🏾👏🏾

  • @chrispendo1120
    @chrispendo1120 ปีที่แล้ว +1

    God is faithful I remember this song carried me through covid 19 when I lost hope on my mom

  • @aumasophia9675
    @aumasophia9675 3 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN

  • @mercykendi4723
    @mercykendi4723 2 ปีที่แล้ว +1

    mungu awezi kunikimbia kabsa ndugu love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @georgenyongesa-xz7yr
    @georgenyongesa-xz7yr ปีที่แล้ว

    Barikiwa na mungu mtumishi. Ni PST George.

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 2 ปีที่แล้ว

    kaka Mimi nakufuatilia sana natamani sana siku moja tufanye corabo, MUNGU akubariki Sana

  • @stephanomwinyi2
    @stephanomwinyi2 2 ปีที่แล้ว

    Najivunia kukufahamu brother umetisha sana Mungu akutunze

  • @georgenyongesa-xz7yr
    @georgenyongesa-xz7yr ปีที่แล้ว

    Ni PST George nabarikiwa na wimbo huu mungu akubariki.

  • @cesiliasanjah4119
    @cesiliasanjah4119 2 ปีที่แล้ว

    Amina Asante sana Mtumishi wa Mungu Ubarikiwe mnoo jamani umemba vizurii sana live Barikiwa Mpendwa .

  • @perischari3630
    @perischari3630 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mungu hawezi kunisahau.Ijapokuwa ninapitia magumu ntazidi kumshkuru Mungu.Be blessed man of God

  • @editorkathoni7550
    @editorkathoni7550 7 หลายเดือนก่อน

    Trusting God who never fail us 🙏 He is always there for us and He will never forget His people 🙏🙏🙏

  • @lavinleo2000
    @lavinleo2000 ปีที่แล้ว

    Thank God for everything i pass through right now i believe in God it will come to end in Jesus name 🙏

  • @shadrickmwambazi196
    @shadrickmwambazi196 2 ปีที่แล้ว

    Christopher napenda sana nyimbo zako Mungu awabariki zaidi

  • @kefaJmalimali
    @kefaJmalimali 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana baba

  • @pachekoshivambo9794
    @pachekoshivambo9794 2 ปีที่แล้ว

    Mbali na kwamba Danieli
    Alikwa kati ya simba hatari
    Ahaaaa Wanne ni Mungu
    Much blessings from Nairobi Kenya

  • @annakinyashi1578
    @annakinyashi1578 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu hawezi kukusahau Mungu akubariki kwa KAZI njema

  • @milkahwairegi8528
    @milkahwairegi8528 2 ปีที่แล้ว

    Aaw ....Best song of the day mungu haezi nisahau haijalishi ni yapi napitia sasa havi gulf country ako pamoja namimi .mungu kupitia hua wimbo niregeshee amani ..

  • @margaretmaina3301
    @margaretmaina3301 ปีที่แล้ว

    Hawezi. He is a promise keeper .... Very encouraging, God bless man of God.

  • @isabellemufula4942
    @isabellemufula4942 11 หลายเดือนก่อน

    Glory be to God. More blessings upon you servant of God, and your group in Jesus' name♥♥♥♥♥

  • @TABBYHEAVEN-kg1qo
    @TABBYHEAVEN-kg1qo ปีที่แล้ว

    Ameeen..Mungu wetu ni mwaminifu hawezi kutusahau kamwe

  • @eonikeruzilo4764
    @eonikeruzilo4764 2 ปีที่แล้ว

    Wanadamu wanaweza kunikimbia lakini sio Mungu🙏🙏

  • @farajakikoti4238
    @farajakikoti4238 2 ปีที่แล้ว

    Kuna wakati ni Giza Kuna wakati majaribu 😭😭😭🥰

  • @iyvonneiyvonne8018
    @iyvonneiyvonne8018 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Mungu hawezi kunisau 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @evanslivumbatsi8587
    @evanslivumbatsi8587 ปีที่แล้ว +1

    Servant of God you're blessed 🎉

  • @Williamskenya5228
    @Williamskenya5228 2 ปีที่แล้ว +1

    This guy 🤗

  • @kefaJmalimali
    @kefaJmalimali 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen ameen mkuu nimeipenda hii

  • @hillarykhavaha9204
    @hillarykhavaha9204 ปีที่แล้ว

    Amen Amen,,indeed awezi kututoraka
    Blessings bro

  • @NadineNiyonzima-e7k
    @NadineNiyonzima-e7k 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda nyimbo zako papa ubalikiwe sana sana

  • @iddytave4763
    @iddytave4763 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amekuinua mtumishi wake ,ubarkiwe na Bwana

  • @Hummingbird709
    @Hummingbird709 2 ปีที่แล้ว

    Nilihitaji hii. Asante sana mtumishi. Jeanie

  • @clainchesco9167
    @clainchesco9167 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana baba nabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @pastorgracewairimu
    @pastorgracewairimu 2 ปีที่แล้ว +2

    This song is really ministering to me in this season 😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌that moment when you have lost everything and starting everything from scratch....

  • @nellymaweu2288
    @nellymaweu2288 ปีที่แล้ว

    God you are the fourth man in my life... JESUS YOU ARE MY SAVIOR

  • @richardpatrick8305
    @richardpatrick8305 2 ปีที่แล้ว

    Touching song God bless my role model nakukubali sana kaka mwahangila unaimba nyimbo zenye uwepo wa MUNGU na zinagusa sana ubarikiwe sana kaka

  • @victorswilla8691
    @victorswilla8691 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze wakati wote mtu wa MUNGU, hongera kwa hatua nyingine ya live version performance, hii nzuri kwasababu inakupa muda mwingi na uhuru wa kumsifu Mungu utakavyo,barikiwa sana.

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

  • @NadineNiyonzima-e7k
    @NadineNiyonzima-e7k 3 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe sana papa mungu agusayidie

  • @ELATI-Tv.
    @ELATI-Tv. ปีที่แล้ว

    Amina Amina tunaomba nyimbo kama hizi za live video ili tubarikiwe sana
    From Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @DerickNdonge
    @DerickNdonge 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka yangu

  • @francisayodi6788
    @francisayodi6788 ปีที่แล้ว

    Baraka sufufu kwa kazi kuntu!!! Biabia!!!!

  • @samuelgatuku3379
    @samuelgatuku3379 ปีที่แล้ว

    Mchungaji God bless u,,,coz every tyme l listen 2 u I get bless by ur songs,,,all d way 4rm kenya

  • @faithdashianfamily1593
    @faithdashianfamily1593 2 ปีที่แล้ว

    Felt like giving up sometime back bt I remembered that God is not a man . Hawezi kunisahau

  • @kepoitasha9278
    @kepoitasha9278 2 ปีที่แล้ว +1

    Dieu Fidèle 😭...Celui qui a commencé une bonne œuvre en vous la mènera sûrement à son terme ! Il n'abandonnera jamais les Siens.

  • @gidionanthon9945
    @gidionanthon9945 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kazi nzuri

  • @nellyarlenekaneza8962
    @nellyarlenekaneza8962 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana nyimbo zako ninzuri saan mungu akubaliki

  • @CharlesNgambia
    @CharlesNgambia 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Brother,,,nice song

  • @PaulMusonda-z3q
    @PaulMusonda-z3q 4 หลายเดือนก่อน

    Brothers and sisters am passing in hard times am just hearing to this song please help

  • @Mr.joshua19
    @Mr.joshua19 2 ปีที่แล้ว +1

    For sure he will never😪🙌🙌

  • @roseemmanuel2350
    @roseemmanuel2350 ปีที่แล้ว

    Mmmmh hawa wadada hapo kiroho kabisaaa😏

  • @angelmsuya7423
    @angelmsuya7423 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Mungu kazi nxur sana

  • @edwardkisusuofficial
    @edwardkisusuofficial 2 ปีที่แล้ว

    Brother unajua unajua Tena hukoseag

  • @hmsk6344
    @hmsk6344 2 ปีที่แล้ว +2

    Thank you for the translation...God continue to keep you to the end...I love this song from Namibia 🇳🇦

  • @wycliffeochieng4657
    @wycliffeochieng4657 ปีที่แล้ว

    Mungu Aliaedi Ataniacha hadi mwisho wathahari Amen 🙏 And Ameen 🙏,

  • @dianensabimana4702
    @dianensabimana4702 2 ปีที่แล้ว +1

    Amèn hawezi mungu kudusahau Amen

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
      Please subscribe 🙏🙏

  • @noelimathis217
    @noelimathis217 2 ปีที่แล้ว

    Hakika nimzuri Sana hongera Sana

  • @endrewmhina3371
    @endrewmhina3371 2 ปีที่แล้ว

    Ubaki juu kaka.. ✊✊

  • @wisdomwasound9759
    @wisdomwasound9759 2 ปีที่แล้ว

    Amen. That's a big reminder, Mungu hawezi at all

  • @violetnyondo8055
    @violetnyondo8055 2 ปีที่แล้ว

    Kiukweli karama ipo ndani yako!Mara nyingi nisikilizapo nyimbo zako,nabubujikwa na machozi yaani na barkiwa saana..wimbo umekuwa mpya,mpya!Mungu akulinde akutunze na aendelee kukutumia zaidi na zaidi napenda kazi zako

  • @mutanushadrack8366
    @mutanushadrack8366 ปีที่แล้ว

    Trusting God for a job...am keeping the faith

  • @thomasnyagachara6450
    @thomasnyagachara6450 2 ปีที่แล้ว

    Broo barikiwa sana mabadiliko niliyo kua nakwambia ndo haya sasa sikuwai kufikiria kama unaweza paphom live 👏👏👏🙏

  • @aeafilim2025
    @aeafilim2025 2 ปีที่แล้ว

    Hii bimeipenda mno ubarikiwe kaka

  • @evamwahangila6708
    @evamwahangila6708 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akuinue Sana nzuri sana

  • @ananialijahe9957
    @ananialijahe9957 2 ปีที่แล้ว

    Yes viwango ni vya kuimba kwenye jukwa la mbinguni hongera sana kaka Christopher God bless you so much

  • @MariahG959
    @MariahG959 2 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Hallelujah Mungu najua huezi nisahau

  • @stewartmwakasege
    @stewartmwakasege 2 ปีที่แล้ว

    KAKA KAKA BARIKIWA SANA SANA

  • @NIYONAGIZEJonas
    @NIYONAGIZEJonas 10 หลายเดือนก่อน

    christopher God bless you 🙏 Rwanda 🇷🇼 we love you !

  • @nicemsokwa9774
    @nicemsokwa9774 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up Brother Mungu anatuhudumia sana kupitia nyimbo zako

  • @williammukabana3771
    @williammukabana3771 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu hawezi kukusahau🙏🙏

  • @naomimuthira4687
    @naomimuthira4687 ปีที่แล้ว

    May God grant u with great wisdom to continue ministering the world ur the trumpet let GOD only use u, more blessed.

  • @beatricemwashiti7763
    @beatricemwashiti7763 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukubariki sana baba🙏

  • @jacklinejepkirui1486
    @jacklinejepkirui1486 2 ปีที่แล้ว +2

    sure
    May God bless you
    Your songs be so inspiring😍

  • @margaretwanjiru9210
    @margaretwanjiru9210 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen. Your live band performance is quite a pleasant one. I do keep on watching it several times. Your songs do encourage me. Pastor! God bless you.

  • @andrewasagwile7162
    @andrewasagwile7162 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi

  • @gordonkogallohgkmusic
    @gordonkogallohgkmusic 2 ปีที่แล้ว

    Amina Amina, Mungu hawezi kukusahau.

  • @ministerfral3392
    @ministerfral3392 ปีที่แล้ว

    Hawezi kukusahau. I am a testimony

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 ปีที่แล้ว

    Saaaaaaaaaafi wimbo umebeba majibu ya mutu mmoja

  • @rachaelkylliane9168
    @rachaelkylliane9168 ปีที่แล้ว

    MUNGU Hawezi Kunisahau 😭😭🙏

  • @monicaurio8730
    @monicaurio8730 2 ปีที่แล้ว

    Ameen Umebariwa Mtumishi wa Mungu

  • @hurumambugi4637
    @hurumambugi4637 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu hawezi kunisahau, Barikiwa sana mtumishi kwa kazi nzuri