Hakika MUNGU ni wa ajabu,, ni neema kuu na ajabu kubwa ambayo MUNGU ametupa kua hai leo na kushuhudia maajabu yake, kama unaamini ni ajabu wewe kuwepo leo nipe👍tubarikiwe pamoja🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani yeye ni wa ajabu.... Nashukuru ata kama hajatenda naamini nikitoka mlimani atatenda maajabu ambayo hayana kipimo.... Tenda maajabu Bwana! Pahali ambapo nangoja utende tenda wewe Mungu Wa Ajabu 🙌🙌
😭😭😭😭😭this song makes me cry not coz am hurt 😭but coz of what God has done to me , he removed all shame from my life🙏🙏chris may God bless the work of your hands❤❤❤❤❤
It's true we Ni MUNGU waajabu Kuna mahali pagumu huwa napita alafu nione Kama ndoto kumbe sivyo, baada ya kunivusha ndio huwa nasifu hakika huyu Mungu waajabu sijawah ona
Hakika Mungu wa ajabu sana ahimidiwe na kutukuzwa siku zote, neema yake imekirimika sana maishani mwetu, hatustahili chochote ila bado anatupenda, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mtumishi, ubarikiwe. Huwa sichoki kusikiliza huu wimbo, huwa unanipa amani na faraja kubwa sana. Kweli mungu wa ajabu kwa matendo mungu anayotutendea mimi na familia yangu.
Jambo mutu wa MUNGU nilitaka sema tu gingi iyi nyimbo MuNGU WA AJABU manake inaniya sama moyo na inanikumbusha sana maisha yangu . Mungu akuwezeshe na akubariki sana kwa kazi nziri ya uimbaji
Barikiwa sana kwa nyimbo zenye nguvu ya ajabu sana,,hakika MUNGU aendelee kukutumia nyimbo zake kila nikizisikiliza lazima niingie rohoni Hadi machozi MUNGU akukumbuke kazi yako siyo bure mtumishi,,
Hakuna wakumu fananisha naye hakika Mungu niwa adjabu sana tena sana zaidi ya sana asante Mwenyezi Mungu tunaku shukuru baba mubariki mtumishi wako Christophe mwahangila
Hakika Mungu wa Ajabu..
Nipe Like 1000...
Kudhihirisha ukuu wa Mungu 2022..
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hakika MUNGU ni wa ajabu,, ni neema kuu na ajabu kubwa ambayo MUNGU ametupa kua hai leo na kushuhudia maajabu yake, kama unaamini ni ajabu wewe kuwepo leo nipe👍tubarikiwe pamoja🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen ubarikiwe sana
Ameeen 🙏🤝
@@rechoemid2835 52
Amen
Asante mungu
Shukrani mtumishi wa Mungu.kweli ni Mungu wa ajabu.viewing from +254
Wimbo wa kiswahili ila comment nyingi za kingereza..sema wimbo umenibariki sana.
Amen
Nikiona notification kutoka kwako najua ni nyimbo nzuri hujawahi toa nyimbo mbaya, barikiwa sana kaka. 🙏🙏
Hakika Mungu ni waajabu sana maana ayatendayo kwetu ni ya ajabu mno mnooo 🙏
Ndio ndio kweli Mungu ni wa ajabu barikiwa baba Mungu azidi kukunkarisha
Yan nikisikiliza nyimbo zako barikiwa xna mungu akutunze na familia yako
Amen
❤ C
Nimebarikiwa saaana kutoka Congo lubumbashi ,mungu azidi kukulinda
Jamani yeye ni wa ajabu.... Nashukuru ata kama hajatenda naamini nikitoka mlimani atatenda maajabu ambayo hayana kipimo.... Tenda maajabu Bwana! Pahali ambapo nangoja utende tenda wewe Mungu Wa Ajabu 🙌🙌
Pumuzi ya uhai ya tosha , pia nimatendo yake ya ajabu
Mungu aiko mulimani, anakaa ndani ya watoto wake. Matayo 6:5-8
Ubarikiwe sana kwa nyimbo Mtumishi namtukuza Mungu hiu nyimbo🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ukwelii🎉wa ajabu ajabu ajabu
@@neemakidungu1344
⁰0⁰
Hata Mimi Ninasema MUNGU wa AJABU AJABU AJABUUUU
😭😭😭😭😭this song makes me cry not coz am hurt 😭but coz of what God has done to me , he removed all shame from my life🙏🙏chris may God bless the work of your hands❤❤❤❤❤
Amen 🙏 mungu ni WA ajabu thank u brother god bless u 🙏🙏 nice job 👍🕺🕺💃💃🤲🤲
Yes, very good... Barikiwa Sana mtumishi
Kweli kabisa Mungu ni wa ajabu Saana Maana wengi hatukustahili ila katupenda hivo hivo na udhaifu wetu😭😭❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹
Barikiwe sana mtumishi Kazi iko nzuri ✍️
It's true we Ni MUNGU waajabu Kuna mahali pagumu huwa napita alafu nione Kama ndoto kumbe sivyo, baada ya kunivusha ndio huwa nasifu hakika huyu Mungu waajabu sijawah ona
Barikiwa sana kaka🙏🙏
Kweli Mungu wa ajabu.Ameen barikiwa sana bro🙏
Kazi nzuri kakangu...nyimbo zako zanibariki sana
Kweli MUNGU niwa ajabu🙏🙏
Ujumbe mzuri Mungu azidi kukubariki na azidi kuku tunza.
🙌🙌 HUYU MUNGU ana maajabu kama nini🤝
Ubarikiwe sana mtumish Mungu akuinue zaidi
Amen
Amen Amen Amen 🙏 ahsante Mtumishi wa Mungu nyimbo nzuri inabariki
Ameni barikiwa sana 🙏
Ni Mungu wa Ajabu♥️♥️💯
Hakika Mungu wa ajabu sana ahimidiwe na kutukuzwa siku zote, neema yake imekirimika sana maishani mwetu, hatustahili chochote ila bado anatupenda, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amen 🙏🙏🥰🥰
Kweli Mungu wa ajabu amenipenda na mimi ameniinua Amen Amen
Amen my best brother wimbo mkubwa
Ubarikiwe San umenifarij huo wimbo munguakuongoz zaid
Mungu wetu ni mkuu sana na ni WA ajabu barikiwa San🙏🙏
Baba WA Mbinguni azidi kukuinua kwa viwango vya juu juu zaidi,Napata Faraja nisikilizapo nyimbo zako'
Sina cha kusema,ombi langu kwa mungu,mungu aendelee kukuinua na akupe maisha marefu
Mungu wa ajabu Sana mtumishi mungu azidi kukuinua viwango vya juu Sana Kwa jina la yesu
Amen
Wooowh. Wimbo mzuri sana. Melody imetiki✔️ Barikiwa Baba
Amina Amina And Amina again. ni MUNGU WA AJABU SANA
Hakika Mungu ni wa ajabu mnooo barikiwa sanaaa kwa wimbo mzuri
Barikiwa Sana Kaka Mungu mwema azidi kukuinuwa
Mungu azidi kukuinuwa manake wafanya kazi bila maringo
Nashukuru Mungu anakutumia kuwafikia wanadamu kwa njia ya kipekee
Kweli Mungu ni Wa ajabu...anawainua wanyonge kutoka Chini...🎶🎼 Mungu akuweke Sana that's ma prayer to you MTUMISHI WA MUNGU.
Amen
Ubarikiwe sana
Wimbo Mzuri Utukufu Kwa Mungu
Wimbo mzuri sana. Mungu akubariki.
Hakika Mungu ni wa ajabu kabisa.🙏🙏🙏
Amen Sana,Mungu waajabu hata kwangu
MTUMISHI WA MUNGU
MUNGU WA AJABU WIMBO UMENIBARIKI MNO
Wooow ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ be blessed broh
Zidi kutumika vessel of God
Kweli ni mungu was ajabu. Asante mungu.
Naamini katika mungu wangu 💝💝💝
Hakika MUNGU ni waajabu sana,maana alikonitoa ni mbali sana,ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa nyimbo nzuri.
Mungu wa ajabu 🔥🔥🔥🔥
Ngoma safi ✓✓✓
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Hoyeeeee
Barikiwa sana
Hakika kweli Mungu ni wa ajabu maisha mwangu
Haleluya Mungu niwaajabu 😘😘😘❤❤❤
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu By James R Donard
Wimbo nzuri sana barikiwe na bwana, unabariki mno mungu wetu waajabu 🙏🙏🙏
Hallelujah 🙏🙏 mungu wetu niwa ajabu.. nakupenda buree mtumishi Chris... receive more grace and favor by fire 🙏🙏🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I love the . music more so the dressing code
th-cam.com/video/Bw5QkNnaQzo/w-d-xo.html God bless you
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Hallelujah 🔥🔥
Kweli Mungu ni wa Ajabu mno
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤@ christopher my all time favourite gospel artist, barikiwa sana baba, tunakuombea😊
Mungu wetu wa ajabu sana, be blessed man of God @Mwahangila
Oooh My God, kweli wewe ni wa ajabu...asante sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa mno
Very true huyu Mungu ni wa ajabu sana
mungu wajabu kabisa amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 🙏🙏🙏 amen
Your songs🔥🔥🔥🔥,Mimi hubarikiwa Sana na nyimbo zako zote.ubarikiwe Sana sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kweli mungu ni wa
Ajabu amenifanyiya menge nabarikiwa sana MAUREEN kutoka Kenya
Amen Mungu Akubariki sana
Mungu kweli ni wa AJabu🙏🙏🙏
MUNGU WA AJABU..Endlea kututendea...Tuinue BABA....BALIKIWA MTUMISHI WA MUNGU...CHRISTOPHER....
Mtumishi, ubarikiwe. Huwa sichoki kusikiliza huu wimbo, huwa unanipa amani na faraja kubwa sana. Kweli mungu wa ajabu kwa matendo mungu anayotutendea mimi na familia yangu.
This man never get Old 😂😂😂 Kwani Kuna nini ,,,,Toka mungu ni Mungu . he's still the same Apa Kenya tunakupenda Dad🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukiwa kwa yesu huzeeki🙏🙏
Kweli Mungu ni wa ajabu Amen 🙏 🙌 👏 ❤
Hakika Mungu wetu ni wa Ajabu kabisa, Nyimbo nzuri sana ,Mungu akubariki 🙏
Mungu wa ajabu,amen, keep shinning bro
This guy brings in a true praise, I love him I love all his songs Kenya loves you
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
True is such a blessed man of God 🙏🙏
Jambo mutu wa MUNGU nilitaka sema tu gingi iyi nyimbo MuNGU WA AJABU manake inaniya sama moyo na inanikumbusha sana maisha yangu . Mungu akuwezeshe na akubariki sana kwa kazi nziri ya uimbaji
@@henrindagano 7q
Mungu ni wa ajabu kweli
Mungu ajabu kweli mutumishi wamungu aku inuwe tena n'a akupe ufunuo ya nguvu kuzidi kweli uko mutumishi wa mungu 🙌🙌🙌mungu akubariki
Amen mungu wa ajabu ametuepusha kwa mengi,much love from Kenya
Jamani Mungu wa Ajabu.....kwa kweli ni wa ajabu,you never disappoint mtumishi....love from KEKE
Kweli mungu wetu ni WA ajabu nkikumbuka mahali amenitoa sioni haya kusema ni WA ajabu 🙏🙏
Nabarikiwa kwa wimbo
Ni kweli Mungu ni wa ajabu ametufanyia vitu ambavyo hatuwez eleza katika maisha yetu
Amina MUNGU ni wa A JABU halleluya yesu wangu na kupenda.mtumishi Asante kwa ujumbe mungu akubariki kutoka Kenya tunapenda nyimbo zako
The best love you from south africa
Naupenda sana huu wimbo, daima naona ushindi kupitia huu wimbo
May mentor here thank you for good message wapi like
kweli mungu wa ajabu Sana barikiw mtumishi
Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe sana mungu akuzidishie kipaji chako 🙏🏾🙏🏾mungu ni wa ajabu sana🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana kwa nyimbo zenye nguvu ya ajabu sana,,hakika MUNGU aendelee kukutumia nyimbo zake kila nikizisikiliza lazima niingie rohoni Hadi machozi MUNGU akukumbuke kazi yako siyo bure mtumishi,,
Glory to God, mungu wa ajabu kama si yeye hakika sijui mimi.... 😭😭😭
Barikiwa mtumishi nyimbo zako zinanibariki kweli mungu wa ajabu
Hallelujah Mungu wangu ni wa ajabu.Ubarikiwe mtumiishi wa Mungu na akuinue zaidi katika uimbaji
Hakika Mungu ni wa ajabu alikonitoaa ni mbali sana haielezekii acha ashukuliwe simba wa kabila la Yuda
Kweli.mungu.ni.waajabu.sanaa.matendo.yake.yashangaza
Hakuna wakumu fananisha naye hakika Mungu niwa adjabu sana tena sana zaidi ya sana asante Mwenyezi Mungu tunaku shukuru baba mubariki mtumishi wako Christophe mwahangila
You were born to do this. You're a blessing to this Generation Sir. Such an uplifting 🎵🎵
Kweli Mungu niwa ajabu atatukifa atabaki kuwa wa ajabu Mungu wa mbinguni ❤️❤️❤️
Kweli ni mungu wa ajabu najua siku mjo atanitendea kitu tu mjo Kwa maisha yangu enye umuomba Kila siku blessed pastor
Huyu Mungu kwa kweli ni wa ajabu🎉👌💪🙌👏🇰🇪🤍💃♥️🕊️🙏💯📌.
Aaaamina, mtumishi, ahsante kwa nyimbo zako za mahubiri, napata faraja sana.