Chris Mwahangila - farao Gospel Song

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @ConsilataAkinyi
    @ConsilataAkinyi 8 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu akutie nguvu Chris zaidi napenda nyimbo zako sana zina mafunzo mema

  • @bennytyrant9805
    @bennytyrant9805 10 หลายเดือนก่อน +15

    2024 here listening…….God will Judge them let me continue to relax in his Grace….May God bless you and continue to give you revelations to help in healing our souls….God will fight and continue fighting with anyone who is against us…
    We r chosen Generation…
    2024🙏🏾

  • @thomasmorara5960
    @thomasmorara5960 3 ปีที่แล้ว +8

    Walionitakia mabaya kazini na maishani sasa wanabaki wakijiuliza how come am alive and having job ,God is faithful

  • @MamuAbdallah-x4t
    @MamuAbdallah-x4t 3 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu kwa kuwapiga wakina farao walio kuja kwenye maisha yangu 2024....ni Imani yangu kwako Mungu utanipiginia zaidi 2025❤❤❤❤❤❤

  • @faithharon7880
    @faithharon7880 9 หลายเดือนก่อน +7

    I know kuna mingi,,God I need your grace,favour walk with me ndo maadui wanashagae

    • @MargueriteKanzi
      @MargueriteKanzi 6 หลายเดือนก่อน

      Pour communiquer avec moi 😂❤

  • @aumafranckline8719
    @aumafranckline8719 9 หลายเดือนก่อน +4

    We serve a living God, He always fight our battles. I will continue serving Him till my last breath. God bless you all. ❤❤❤❤

  • @rehematikotiko4002
    @rehematikotiko4002 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Farao alikuwa na ujeuri wa kipekee lakini kwa YESU kila goti litapigwa🎉❤

  • @clementinemuvumbi2135
    @clementinemuvumbi2135 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu pikana nao

  • @vivianponsian8188
    @vivianponsian8188 4 ปีที่แล้ว +3

    Amina nakupenda sana baba yangu mungu akubalk sana nyimbo zako nataman nikae naskiliza mungu akuinue zaid

  • @moniqueslawrence2718
    @moniqueslawrence2718 6 ปีที่แล้ว +5

    Hakika mungu naazid kukuinua nabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @molleadah6756
    @molleadah6756 5 ปีที่แล้ว +47

    Yeyote aliye kinyume na maisha na mipango zangu atapigwa na mungu kwa mapigo kumi kama yaliyompata farao ndiposa watambue uwepo was mungu.Ameena

  • @andrewflorian3649
    @andrewflorian3649 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimebarikiwa sana na wimbo huyu. Naomba minipatie nambari ya Mwahangila nimupatie hata soda moja tu.
    Mungu aendelee kukutendea mema

  • @mkapaliberatus1624
    @mkapaliberatus1624 5 ปีที่แล้ว +4

    Chris nakubal sana kaz zako noma sana

  • @imbrosmadeghe6174
    @imbrosmadeghe6174 4 ปีที่แล้ว +8

    Kama umekubali ngoma hi bx gonga like hapa na kama unamkubali mwimbaj huyu

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 3 ปีที่แล้ว +91

    I love it when someone decides to sing scriptures. Mungu azidi kukupa kibali.

  • @theresiashilla9535
    @theresiashilla9535 5 ปีที่แล้ว +3

    Aiseee nyimbo za huyu baba huwa zinanisogeza pale ninapokata tamaa ubarikiwe

  • @lucywilliam3912
    @lucywilliam3912 ปีที่แล้ว +5

    Farao ashindwe kabisa motoo ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @muhimpundunourah8021
    @muhimpundunourah8021 5 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe mungu anapigana na adui zetu amin amin,adui zako watapigwa na mungu

  • @mutabazijonathan7278
    @mutabazijonathan7278 4 ปีที่แล้ว +9

    Kila mwanadamu anajipendelea wenyewe na wanafanana si mzungu au mweusi wadogo ndiyo wazuri wachache saana lakini Mungu abaki baba yetu site na tunabaki tuko sawa

  • @RoseMarry-r9u
    @RoseMarry-r9u 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba upigane na wanaopigana na mimi😢😢🙏

  • @elm8244
    @elm8244 5 ปีที่แล้ว +25

    Let me add my voice: I was amazed that each and every PLAGUE that God performed was ATTACKING a certain god worshiped in Egypt! Including Pharaoh who was supposed to be a god! 10 gods of the Egyptians shown they were totally NOTHING! And still after this proof the Isrealites still tried God in the wilderness! OH MY!
    God have mercy on us because we're the same! We're no different... We quickly forget the battles you won for us. God have mercy on us...

  • @CatherineMbinya-l4i
    @CatherineMbinya-l4i ปีที่แล้ว +2

    God bless you

  • @clairemuchai623
    @clairemuchai623 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu wangu nipiganie maana ww nimwenye vita,,,be blessed

  • @janetndukwe4112
    @janetndukwe4112 2 ปีที่แล้ว +2

    Am seriously sick in the bed l was attacked by demons bt mungu ni nani nilishinda vita l know God will heal me farao hatanieza

  • @enockshayo9688
    @enockshayo9688 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akutie nguvu mtumishi wa Bwana unanibariki sana kwa nyimbo zako. Pia karibu sana Nairobi.

  • @ochamunaromano9839
    @ochamunaromano9839 ปีที่แล้ว +1

    Many pharaohs are still existing

  • @ignacekubuya8451
    @ignacekubuya8451 2 ปีที่แล้ว +3

    Tena eti Mungu achunge zaidii kipadji chako maishani n'a jamaaa lako piya.

  • @assumptamwende-vv4vt
    @assumptamwende-vv4vt 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nguo zako Mwahangila zinakufit sana sana❤❤✌️

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +3

    Namm nasema hivi farao kazi unayo mungu wangu wa MBINGUNI atakushughulikia

  • @peterkioko6816
    @peterkioko6816 6 ปีที่แล้ว +25

    Eee Baba Yangu wa Binguni huu Mwezi nipiganie ,Piga maadui wangu wote katika Jina Kuu La Yesu Kristo ,8:10:18 Siku Ya Ukombozi wangu Katka Jina Kuu La Yesu ..

  • @binakimani9058
    @binakimani9058 ปีที่แล้ว +9

    AMEN AMEN AND AMEN! The battle is not ours but God's ❤❤❤. I thank GOD for how your songs bless me and i believe many can attest to it❤

  • @lakiabalozi5633
    @lakiabalozi5633 3 ปีที่แล้ว +2

    Najifunza meeengi kwa huu wimbo amin

  • @gladysjeboskwony3495
    @gladysjeboskwony3495 4 ปีที่แล้ว +3

    If somebody hate him wimbo mungu watapikwavna mungu

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 21 วันที่ผ่านมา

    wow you are wonderful man for songs amen ❤️♥️❤️ hallelujah may God continue to bless you Chris 💞💞💞 ooh mungu kweli 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 amen

  • @judithwekesa308
    @judithwekesa308 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu apigane nao kabisa hawo madui Amen

    • @MargueriteKanzi
      @MargueriteKanzi 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu djo chefu🙏🙌🇨🇩

  • @sbhsvsbshhs1704
    @sbhsvsbshhs1704 5 ปีที่แล้ว +9

    ❤❤❤👌👌👌Let me shout abiiiiiiiig Ameeeeeeeeen .....wacha maadui wapigwe na Mungu kweli kweli👍💪💪💪💪✌

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 4 ปีที่แล้ว +4

    To all my 2018-2020 enemies, I surrender you to the Almighty Lord, what I can tell you is this MTAPIGWA NA MUNGU PAMOJA NA UZAO WENU WA NNE AMINA 🙏🏿

  • @mayayazbeck5212
    @mayayazbeck5212 6 ปีที่แล้ว +47

    Walionipiga vita 2014...wakaninenea laana God is still fighting with them. .I thank you Lord. You never ashamed me.pigana nao .You're wonderful God
    .

  • @simonmduda8507
    @simonmduda8507 ปีที่แล้ว +4

    Ee bwana naomba mwaka huu upigane na wale wote wanisemao vbaya ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeniiiiiiiiiiii na ubalikiwe

  • @MwanaibulaMachemba
    @MwanaibulaMachemba 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba nipiganie maaduwi zangu wanaoniandama

  • @collinsrutenge6449
    @collinsrutenge6449 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubarikii xana mtumishi

  • @Chemuu2030
    @Chemuu2030 2 ปีที่แล้ว +37

    Be Blessed,I like how humble you are,video shooting in places Naturally made by God,no show off from helicopters or big houses,Songs come from Scriptures.Be Blessed please don't change

    • @ngenyveronicah9073
      @ngenyveronicah9073 2 ปีที่แล้ว

      Sure🙌🙌That shows how humble he's..God be with Him

    • @martha7941
      @martha7941 ปีที่แล้ว

      I like humble pple indeed chrs u deserv it,,,, simple but message at home

  • @pamelasomola5714
    @pamelasomola5714 4 ปีที่แล้ว +13

    Brooooooo!! Unanichanganya sana yan sio wewe ni Roho wa Mungu anaandika hiyo mistari.........ubarikiwe

  • @rosediana1512
    @rosediana1512 ปีที่แล้ว +1

    Watapigwa na mungu ❤

  • @giftshoo8107
    @giftshoo8107 5 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akipanga Jambo maishani mwako hakuna wa kupinga
    Always believe in God amen

  • @RhodaMkaluma-ih7wi
    @RhodaMkaluma-ih7wi หลายเดือนก่อน

    I wake up this morning singing this song in my heart that's why I'm here to watch and sing ❤

  • @rosemarykolimba3043
    @rosemarykolimba3043 4 ปีที่แล้ว +15

    Who is listening this powerful song in 2020. Be blessed brother

  • @SindinkaboAthanase
    @SindinkaboAthanase 2 หลายเดือนก่อน

    Amen nakuprnda sana baba yangu mungu akubalk wetu❤️🌲🌲🌲👍

  • @joanwafula4613
    @joanwafula4613 ปีที่แล้ว

    This is my prayer tonight lord wapige wanao nisumbua katika maisha yangu 😢

  • @hannahmwambela1135
    @hannahmwambela1135 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awapige wote wanao pigana nami

  • @jeanmarietuyizere7496
    @jeanmarietuyizere7496 2 ปีที่แล้ว +2

    kabisa atapigana na aduizetu

  • @lizzmoraa9056
    @lizzmoraa9056 ปีที่แล้ว +5

    Glory to God

  • @reginalionjo6531
    @reginalionjo6531 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli Yani nikisikiriza nyumbo Izi napata ujazo mpya wa Roho mtakatifu nakuzid kusonga mbele umebarikiwa mtumish baraka zote za Rohon na mwilin 🙏🙏🥰

  • @giftqueen4868
    @giftqueen4868 4 ปีที่แล้ว +21

    Who is here with me 2020 🥰🥰🥰🥰 I’m really in love with this song jamani ❤️❤️❤️🙏🙏

  • @IreneKerubo-z6r
    @IreneKerubo-z6r 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wapige wanao nipiga vita visivyo vya halali

  • @lynnetgathoni2940
    @lynnetgathoni2940 3 ปีที่แล้ว +48

    This song helps in school to answer the 10 plague. Be blessed cris

  • @JEANLEONARDNzabakurikiza-b5f
    @JEANLEONARDNzabakurikiza-b5f 3 หลายเดือนก่อน

    Either I have a child who love your songs and always he ask me how he will find you.

  • @tymansphiri4351
    @tymansphiri4351 3 ปีที่แล้ว +21

    This song reminds me to be strong and accept God as our saver. Thanks Chris for teaching word of God through your music. Am from zambia 🇿🇲

    • @briannjira7145
      @briannjira7145 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @joseamado3300
      @joseamado3300 3 ปีที่แล้ว +2

      José Amado tchivinda

    • @liliankessy5541
      @liliankessy5541 ปีที่แล้ว

      ​@@briannjira7145😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅tff😅cj

  • @estherlimo5419
    @estherlimo5419 ปีที่แล้ว +2

    I leave all the battle to God 🙌🙌

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 4 ปีที่แล้ว +19

    I lack the words to explain through this song,, thank you God for fighting with my enemies 🙏🙏🙏2020 🤝

  • @faithmwende4059
    @faithmwende4059 3 หลายเดือนก่อน

    God is in control of everything .Mungu anipigania mwenyewe

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 ปีที่แล้ว +6

    Amen ni kweli Sana mtumishi wa mungu barikiwa sana kwa Jina La yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen

  • @hawaparis8899
    @hawaparis8899 3 ปีที่แล้ว

    Hiinyimbo kwangu nimoja ya jibu tosha kwa Adui yangu Asantee mtumishi , alinitukana Mimi sikumjibu mungu Ali nijibia hapohapo , aiseeee MUNGU alinitumia Shujaa wangu wakuni futa maumivu yangu

  • @FRANKRWABUSHUBI
    @FRANKRWABUSHUBI 9 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu naomba upigane na wanaopigana na mimi

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 4 หลายเดือนก่อน

    amen hallelujah yesu wangu niokowe amazing songs amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are only my father in heaven hallelujah 🙏🙏🙏 amen 💕💕💕💕💕💕💕💕 amen wonderful song may God bless you amen 💪💪💪💪 hallelujah Jesus 💝💝💝💝💝💝💝 amen

  • @mwendwakenya5458
    @mwendwakenya5458 4 ปีที่แล้ว +10

    How can someone dislike this song?

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 5 หลายเดือนก่อน

    ooooh mungu wangu nitetee emba Chris nice song amen 💪💪💪👍🏽

  • @Masoka_Noella
    @Masoka_Noella 5 ปีที่แล้ว +11

    Ubarikiwe sana kaka yangu wimbo zako zanijaza, hold on very tight to the gift God has bless you with, your music is bringing a lot of souls to Jesus Christ

  • @vailethsilas5340
    @vailethsilas5340 3 ปีที่แล้ว +2

    Eee mungu naomba upigane naadui zangu siku zote wanaoniendea kwawaganga nawalioninenea mabaya upigane nao huwa nabarkiwa sana niiangalia hii nyimbo

  • @hopesalim7034
    @hopesalim7034 6 ปีที่แล้ว +4

    Nimebarikiwa sana.all the way long from mombasa baraka zatufikia

  • @LeonardNGENDAKUMANA-zq3gy
    @LeonardNGENDAKUMANA-zq3gy 8 หลายเดือนก่อน

    Amen!nashukuru MUNGU Kwa kuwa alikuwezesha kutushikiliza nyimbo hii

  • @georginacleveland7885
    @georginacleveland7885 4 ปีที่แล้ว +9

    When God wage your war, Victory is always yours.Amen

  • @mohamedmaulidi7348
    @mohamedmaulidi7348 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongezee nataka zake uendeleze kazi yake na ubarikiwe katika yeye

  • @sangalojimmy4466
    @sangalojimmy4466 4 ปีที่แล้ว +7

    Chris you are just a blessing to all believers in Christ Jesus our lord and Savior

  • @Grace-ih1zj
    @Grace-ih1zj หลายเดือนก่อน

    Mungu pigana nao wanaopigana nami Psalm 35

  • @meshackmadegwa5316
    @meshackmadegwa5316 4 ปีที่แล้ว +3

    nimebarikiwa

  • @marylumumba2123
    @marylumumba2123 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen ,adante brathe be blessed inuliwa sana uendee kututia moyo na tumaini maishani

  • @cynthiajune685
    @cynthiajune685 ปีที่แล้ว +46

    Who else is here in 2024. This song always finish my enemies to the ground

    • @faisimukade
      @faisimukade 4 หลายเดือนก่อน +1

      0:29 0:29 0:29

  • @joellaniyonkuru8908
    @joellaniyonkuru8908 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kbs Mungu ni aduwi wa aduwi zetu.atakaye nibaki atabalikiwa atakaye ni lani na kwenda kwawaganga watapigwa na MUNGU vita siyo ya kwangu tena wajipange kupigana na Yesu kwa kweli 11.11.2022

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 23 วันที่ผ่านมา

    ameeeeen 🙏🙏🙏 hallelujah that's true very powerful song amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️ amen

  • @gulainemopero1195
    @gulainemopero1195 6 ปีที่แล้ว +76

    Who is listening to this powerful song in 2019?

  • @alphaxadrobert8160
    @alphaxadrobert8160 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU azidi kukuinua zaidi na zaidi mtumishi

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 7 ปีที่แล้ว +30

    I am so blessing it's wonderful song God bless you brother 💯❤❤ Mungu wa Musa ndia Mungu wangu ninae mwabudu. Yesu naomba moyo wa kusemehe wale walio nitendea mabaya😭😭😭😭

  • @MWANZAKENNEDY-nc3fj
    @MWANZAKENNEDY-nc3fj 7 วันที่ผ่านมา

    Best song,im not able to understand but my spirit is touched.

  • @akinyioketch4797
    @akinyioketch4797 4 ปีที่แล้ว +7

    Still listening to the beautifu song of teaching, God bless you man of God

  • @agnestwinaomubezi3385
    @agnestwinaomubezi3385 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo za kaka huyu zinaganga majeraha ya moyo kwakweli Mungu amlinde azidi kuponya viumbe vyake kwa mahubili yake katika kuimba Amina.

  • @upendokileo6713
    @upendokileo6713 5 ปีที่แล้ว +8

    Who brings this man.! I wonder how could he know my life temptations through his songs. You blessed me so much with your songs. Thank you. God bless you so much..

  • @glorykondo7061
    @glorykondo7061 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa ufuo huu, Mungu azidi kukuinua kutoka utukufu hadi utukufu!

  • @keshbravoh5572
    @keshbravoh5572 5 ปีที่แล้ว +10

    Mnao niwazia mabaya, i decre and declare mtapigwa na Mungu. Stay Blessed Mr. Chris

  • @vincentmoranga8641
    @vincentmoranga8641 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli mungu anatupigania kwa wale wanatupiga.... Please am blessed 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @masigomhoja5182
    @masigomhoja5182 5 ปีที่แล้ว +15

    Kama unasikia wimbo unapigwa kiswahili lakini watu wanacomment kingereza gonga like twende sawa

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 3 หลายเดือนก่อน

    hallelujah yesu that's true this song is pray 🙏🙏 amen ❤❤❤❤ hallelujah 💖💖 well done Chris amen 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah amen 🙏🙏🙏

  • @Purity719
    @Purity719 5 ปีที่แล้ว +69

    Have experienced this in my life many times and Yes, God fights ALL our battles. So, pray and take soda as you relax and watch God fight for you (It's a nice feeling and makes you love God more)....God bless you Chris. 2nd Chronicles 20:15 For the battle is not yours, but God's.

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว +1

      Ameeen be blessed

    • @vinavingi8460
      @vinavingi8460 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen, I will see the salvation of my God

    • @treziamgode9903
      @treziamgode9903 3 ปีที่แล้ว

      Wonderful song it's true guys

    • @lucyhayesi208
      @lucyhayesi208 2 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏🙏 napenda huu wimbo sana mungu akubariki sana na akupe miaka mingi uwese kumtukusa milele

    • @freedomnyathi5043
      @freedomnyathi5043 2 ปีที่แล้ว

      I love Swahili songs because this man, though I am a Tonga man who does not speak Swahili, I love it because of the English translations it makes me to understand and (( is scriptural)) , mungu akubariki

  • @sarahppp7976
    @sarahppp7976 4 ปีที่แล้ว

    Sure..nimeona mkono wa Mungu huu mwaka.Adui wangu wanashindwa katika jina la yesu..Wimbo poa sana

  • @carokutata6012
    @carokutata6012 6 ปีที่แล้ว +9

    yaani i love this song too much

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 5 หลายเดือนก่อน

    amen wonderful song hallelujah yesu wangu niokowe amen 🙏🙏🙏 amen

  • @mariamachocho7226
    @mariamachocho7226 6 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo huu naupenda sana jamani barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @mildredwekesa3357
    @mildredwekesa3357 3 ปีที่แล้ว

    Ameen,mpaka wamjue Mungu ninae abudu n wa kweli.ujumbe wakutia nguvu bro

  • @cindrellarkhayela5226
    @cindrellarkhayela5226 5 ปีที่แล้ว +10

    Nawapigwe kwa hakika,,,,u have blessed my evening

  • @julesngoie-t3r
    @julesngoie-t3r 27 วันที่ผ่านมา

    Pigana nao mungu