Whoever reading this, Mungu atakuinua na kukupandisha juu ,God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
Mtumishi huu ni wimbo wa kinabii kabisa kwa ajili ya watu waliokosa tumaini... Ninaamini hakika Mungu ataniinua kwa kadiri apendavyo. Barikiwa kwa kazi njema
Be blessed Kaka Christopher....bongo la wimbo...!! Aisee...sina la kusema. Na nyimbo zako nyingi ni nzuri sana. Mimi binafsi nabarikiwa na nyimbo zako...!
I've listened to this song like more than 10 times. Saw it on TV and decided to download it and to come hear watch. How beautiful it is to desire being in the presence of God all the time. Ooh Lord teach me how to dwell in your presence.
I can't get enough of this song my brother, it's ministering to me in a way i can't explain, it's taking me direct to THE THRONE OF THE MOST HIGH GOD, i went to holiday the other day in ROTERDAM and i was listening to it the whole journey, it has changed my prayer life, may JEHOVAH keep you safe for us at all times 🙏, ULINDWE SANA NA MUNGU thank you brother.
Whoever reading this, Mungu atakuinua na kukupandisha juu ,God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
AMEEN YARABI 🤲...🇰🇪🇰🇪
Amen
Amen🙏
Amen amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Uniinuee Yesu Niipandishe juu saana 🙏 Nice song
Nimebarikiwa mtumishi...napenda sana nyimbo zako🇰🇪
Yesu sitamani kutoka hapa🙌🙌🙏🙏🙏🙏yesu nikungoja Baba, 🙌🙌🥺🥺i really love these song😍😍
Wow!Wimbo msafi sana,Roho mtakatifu aendelee kukunenea Mtumishi wa Mungu....
Nimebarikiwa Sana Mungu Akutunze Sana
Natamani kukaa na wewe Yesu. Niinue Yesu nipandishe juu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Amen kubwa sana, hii ndo maana ya kumuimbia Mungu kwa roho moja kabisa, God bless you more man of God
This man knows exactly what he's doing....am blessed
Being in the presence of God is the most beautiful thing in life...may the Lord lift someone somewhere who's reading this in Jesus mighty name
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Aa
I'm blessed yes in Jesus name
Mungu azidi kukuinua dady Christopher
th-cam.com/video/t06jLilYlmI/w-d-xo.html
Amina hakika Nyumban mwa Bwana kuna kila kitu
,,, and a time will come that the true worshippers will worship in truth and in spirit ✍🏼🙏🏼
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Uweponi kuna raha jaman💃 nabarikiwa Sana na huu wimbo endelea kuinuliwa mtumishi
Natamani nikae madhabahuni pako mile🙏🔥🙏
Anavyo nibariki mtumishi wa mungu 😭😭😭
Mungu akutie nguvu kazi Yako nzuri mtumishi
In the house of Lord I get peace ,mercy and more more blessing ,barikiwa sana bro go go Mungu akuzidishie neema
th-cam.com/video/t06jLilYlmI/w-d-xo.html
Go to see with my message for God
May the good lord bless u
Natamani nikae hapa uweponi mwako, unaposhuka Yesu unikute hapa🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika, kuna watu humu duniani Mungu anajivunia uwepo wao!!!
Ubarikiwe mtumishi Christopher Mwahangila.
Hakika mungu azidi kukutumia kubadilisha Maisha ya watu wake
Ubarikiwe mtumishi nyimbo hii umebadilika sana na hapa unaonesha ukubwa wa Mungu ndani yako nabarikiwa sana
Ubarikiwe mtumishi, Mungu amekupeleka kiwango kingine katika sifa na kuabudu.
Verse one mtumishi apo sina usemi..nyimbo nzuri ya kuinua..barikiwa
Mtumishi ubarikiwe sanaa kwa kazi nzuri sanaa mungu azidi kuku inuwa kilamahali unapo pita
Nyumbani mwa Bwana kuna uzima 😢😢🙏...nakutegemea uniinue,unipandishe juu sana
Mtumishi huu ni wimbo wa kinabii kabisa kwa ajili ya watu waliokosa tumaini... Ninaamini hakika Mungu ataniinua kwa kadiri apendavyo. Barikiwa kwa kazi njema
th-cam.com/video/t06jLilYlmI/w-d-xo.html
Oooh glorrrrrry 🙌 natamani nikaye apa mazabawoni mwako baba mubarikiwe zaidi 🙏
Najua utatenda JEHOVAH nakungojea hapa MUNGU WANGU....ooh HALELUYAAA
Amen... Wimbo mzuuri....... Nipandishe juu Sana yesu.... Amina.
Love the song
Congrats ni NICODEMUS kimeu msaanii kutoka Kenya.
Binafsi acha nikubarki Mtumishi kwa kazi hii Asante pia kwa kuwa pmj nami
Uniinue kiuchumi , kibyasharaa sana niwewe tu YESU Wangu nakutegemeya MUNGU Wangu akuna Kama wewe
Amen saana,,,Na Mungu atuinue atupandishe juu saana,,,More Grace Mwangila
Na barikiwa sana na nyimbo zako Mungu azidi kukutunza wewe na familia yako
Mtumishi ! Nime Barikiwa sana na wimbo . Natamani nikae hapa kwa uwepo wako unaposhuka yesu ukutane nami. 🥲🥲🥲🥲 hapo tu . Asante kwa wimbo huu .
Hata me natumain kwako mungu... Umekuwa Bora kwa viumbe wote...Niinue mungu wangu
Umepambana kaka mungu akutie nguvu🤲🤲🤲🤲
Very encouraging. Uniinue Mungu I surrendor my Self to YOU Lord nataka hio Furaha yako EEh Bwana
Matendo ma kubwa ya Mungu, Mungu akubariki mtumishi lindeni iyi mafuta ya Roho wa Mungu ❤ thank u Jésus
Nice song mtumishi,ubarikiwe
Amen nami nitabaki hapa uweponi pako Baba. Be blessed LORD
May God uplifts us from Glory to glory 🙏😥this song touched me 😭😭....God has good plans for us 🙏 mtumishi ubarikiwe and your team
Woooow, nice song.Love from 🙌🙌🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nabrikiwa kupitia huduma yako kaka Christopher Mwangila. Bwana wa majeshi azidi kukuhifadhi. Kenya twakupenda.
Wao...First time to hear of you..I subscribe.... Nyumbani mwa Bwana sitoki mimi....
Najua utafanya, najua utatenda! Uniinue Yesu! Ameeeeen!!
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Ongera sana mpendwa. Umependeza sana. Hii suti nzuri. Mungu akubariki SHALOM
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Unaimba vizuri sana ila Mungu hashuki maana tunaye tayari yaaani Mungu roho mtakatifu.
Uniinue YESU unipandishe juu nikae uwepon mwako 🥰🥰🥰🤝🤝 Asante 🙏🙏 mtumish baraka zote ziwe nawe sikuzote Amen 🙏🙏
Wakati sina natumaini kwako Mungu......NAJUA UTATENDA MUNGU
Moyo wangu unafurahia Sana ninapo sikia sauti yako ya upako ikiimbaa BARIKIWA SANA MTUMISHI WAMUNGU
Mungu azidi kukuinua katika huduma yako Chriss
Yaani huu wimbo unanibariki sana sichoki kuusikiliza muda wote, yaani sitamani kutoka hapa
Kila ninapo skiliza nyimbo zako huwa nakuta machozi ya furaha yanatiririka tu nafarijika tu Mungu akupe maisha marefu kaka
Amen, nyumbani mwa bwana kuna uzima, am blessed uniinue
Amen zaidi kwamaana anazidi tuinuwa ubarikiwe mon vieux
Oooohhhh lord lift me up,,,, nakutumaini bwana, 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Mungu wangu niinue🙏🙏
Wimbo umenibariki sana,barikiwa sana mtumishi wa mungu
Unaposhuka yesu unikute hapa...uninue I decre n declare Amen
One of my best Gospel artist ... wish I understand everything
HONGERA SANA MTUMISHI KWA HUDUMA TUNATUMAINI KWA MUNGU TU. UNANIBARIKI MTU WA MUNGU.
Unaposhuka Yesu unikute hapa😭😭😭😭🙏🙏🙏
Mungu azidi kukupa ujumbevwake Kwa mataifa na waumini wengine
I love this Man Of God.He is annointed.Passionately singing for God.
Mungu akubariki baba mashozi ina nitoka kusikiya wimbo nzuri kama uyu
Penda sana mtmish wa MUNGU Aliye Hai
Keep lifted for ever and ever by the Grace of Jesus Christ The Lord
Aiseeee!! We jamaaa unajua hakika Mungu anajivunia Sana uwepo wako hongera Kwa kaz zako nzuri na zilizo na nguvu ya Mungu
Yes na juwa uta fanya baba 🙏🏾
What a beautiful song!!!!’
Hakuna kama wewe Yesu
Yesu uniinue unipandishe juu sana
Baba hujawai bahatisha!!
Mungu azidi kukuzidishia
Be blessed Kaka Christopher....bongo la wimbo...!! Aisee...sina la kusema. Na nyimbo zako nyingi ni nzuri sana. Mimi binafsi nabarikiwa na nyimbo zako...!
what a blessing and wonderful spirit message, dear God natamani nikae uweponi mwako
Amennnnnnnnnnnn niinuye yesu nikae na wewe bwana barikiwa mtumishi kwa wimbo ya upako
nasikiliza napata upako sana. Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
Narifurah waliponiambia twende nyumban mwa Bwana
Nipandishe juu sana Mungu
Juu sana kama Tai
Nabarikiwa na huduma yako mtumishi wa Mungu. Mungu akuinue zaidi..kaza kumpenda Mungu mtumishi wewe ni wapekee💞
th-cam.com/video/t06jLilYlmI/w-d-xo.html
Blessings,Blessings servant of God. 🙏
Mungu akubariki sana kwa kuimba vizuri na kwa upako wa rho mtakatifu
Kazi safi Mungu akuinue viwango vingine mtumishi
Amina Amina Ndio ❤️❤️❤️
Baba uniinuwe yesu wangu❤❤❤🇨🇩
Wakati Sina natumaini kwako yesu🙏you know us better ❤️you gat good plans for us🙏tunajua utafanya
Ubarikiwe sana
Nafalijika sana na nyimbo zako mwahangila mungu akubariki sana
So torching, una mipangilio mizuri ya nyimbo zako
Barikiwa kaka hongera kwahuduma nashukuru Mungu kwaajili yako
Only Him lord can lift you up in whatever worst situations you are in uniinue Jesu ......
I've listened to this song like more than 10 times. Saw it on TV and decided to download it and to come hear watch.
How beautiful it is to desire being in the presence of God all the time.
Ooh Lord teach me how to dwell in your presence.
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Wimbo tamu kabisa!!! Asante Ndugu, na ubarikiwe. Salaam nyingi kutoka Kampala.
Amen ubarikiwe sana
Hii machine nyingine kabisa
Uniinue bwana pamoja saana kutoka rungwe tukuyu mbeya
😭😭😭 The song is a blessing in my life
"Amani inapatikana nyumba mwa Bwana😭😭"
My best song of the year. Ubarikiwe sana mtumishi
Mtumishi huwa unanibariki Sana na ujumbe wako. You are the true psalmsit.
I can't get enough of this song my brother, it's ministering to me in a way i can't explain, it's taking me direct to THE THRONE OF THE MOST HIGH GOD, i went to holiday the other day in ROTERDAM and i was listening to it the whole journey, it has changed my prayer life, may JEHOVAH keep you safe for us at all times 🙏, ULINDWE SANA NA MUNGU thank you brother.
Bkuvv
th-cam.com/video/t06jLilYlmI/w-d-xo.html
Bonjour merci
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
may GOD continue lifting you up in prayer to new levels
Amen 🙏🙏🙏 Mbarikiwe sana
Mungu akutunze kwakweli Hua unanibariki Mungu akuinue
Wow huu wimbo unanguvu ya Mungu ndani yake