BINTI SARAPHINA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2023
  • Sarafina akiwa ameketi pale sebuleni, akanyanyua macho yake na kutazama saa iliyoko ukutani.
    "Saa tisa na nusu! Mmmh, mbona siyo kawaida yake?, Japo siku hizi anachelewa kuludi lakini hajawahi kufika saa hizi". Akaongea kimoyo moyo huku hofu ikiwa imetawala. Saa tisa usiku bado alikua sebuleni akimsubili mumewe, alikosa usingizi kabisa. Muda wote alikua akimpigia simu mumewe lakini simu iliishia kuita tu bila kupokelewa,, "mume wangu jamani! Sijui amepatwa na nini usiku huu. Eeh Mungu, mlinde Nicholas wangu, mlinde mume wangu".
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 313

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 8 หลายเดือนก่อน +45

    Wooow so sweet voice 😍 jaman ambao tukisikiliza hii saut tunasahau stress zetu zote gongen like tujuane 😉😉 na tu enjoy 🎉🎉

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน

      Kawaida yake,alijaliwa na maulana

  • @victoriaedfonss727
    @victoriaedfonss727 8 หลายเดือนก่อน +16

    Atimae Leo nimekua WA Kwanza,like zenu wapendwa,wa Anko yay 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-wh9ug1cj2s
    @user-wh9ug1cj2s 7 หลายเดือนก่อน +5

    Simulizi tamu❤ mwandishi Sabra,Anko Jay Mapesa n wanafamilia wa Anko simulizi ,mzigo mtamu Sana n pia n km binti Cinderella,shukrani sana

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน

      Mmmh,ile ya cindelela ilisikitisha kweli

  • @subirajuma7252
    @subirajuma7252 7 หลายเดือนก่อน +5

    Simulizi nzuri sema matangazo mengi sana ❤😊

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 8 หลายเดือนก่อน +9

    Wow kazi nzuri Anko,listening from Kenya,much ❤ from 🇰🇪

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asante pia kwa story tamu mungu azidi kukubariki sana kaka yetu, JE waendeleaje na maisha ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @winnywinklhofer1487
    @winnywinklhofer1487 8 หลายเดือนก่อน +4

    Beautiful story darling tupe pia za walio kwa doa dia kwa wingi

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ahsante sana Anko kwa kitu kipya kabisa,tuko pamoya.

  • @phillismonyangi7196
    @phillismonyangi7196 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nimewai aki wakenya nipee like

  • @sarahhagai8191
    @sarahhagai8191 8 หลายเดือนก่อน +5

    Nakutegea jicho anya time anko, nione tu ukitupatai mambo, nashukuru sana anko simuliz zako zimenitoa ktika upweke , asnte sana ❤❤❤❤

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 8 หลายเดือนก่อน +1

    Uncle jay tupe mambo mvuaaaa tutulie zetu sie kimyaaaa na kishushio cha simulizi tamu unapata joto ghafla

  • @dinahnamalwa
    @dinahnamalwa 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona Doreen alioneka na kama mwenye hataki kuenda hospital???? Nina Imani Sarah si tasa.

  • @ayubu_jc
    @ayubu_jc 8 หลายเดือนก่อน +4

    Story inafunza sana
    Ahsante sana broo 🎉

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 8 หลายเดือนก่อน +3

    Very nice story ❤❤❤ shukran

  • @NasmaAthuman-fu1ke
    @NasmaAthuman-fu1ke 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri anko jay

  • @user-np8ol7bd4r
    @user-np8ol7bd4r 7 หลายเดือนก่อน +2

    Anko j simulizi zako za tufundisha sana ❤❤❤ kutoka hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️

  • @aishapogwa2916
    @aishapogwa2916 6 หลายเดือนก่อน +2

    Imeniuma san hii imegusa maish yangu mungu tupe subra wanwake wote tunopitia hiii changmoto

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 7 หลายเดือนก่อน +2

    So amazing hujawihi kutubwa ako jay yetu ❤❤

  • @salmamwangi4343
    @salmamwangi4343 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amazing ❤❤

  • @user-sx5tz5cz4c
    @user-sx5tz5cz4c 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wow aki maisha ni magumu kweli mimi siwezi kuteseka Ivo na mtoto wa mtu eti kisa mapenzi la pole sarah

  • @user-ki8dh3tk6g
    @user-ki8dh3tk6g 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yani hadi raha Ankojey hongera kwakutowa simulizi kwa saut yko yani mm suwez kuskiliza km hujasimulia wewe❤❤

    • @user-eu5ip6lt2x
      @user-eu5ip6lt2x 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mwenyewe asiposimulia anko jay Siwez sikiliza, Bora nilale.

    • @user-rm2lk8se3w
      @user-rm2lk8se3w 7 หลายเดือนก่อน

      Basi wewe c mpenzi wa simulizi

  • @Mrsmick712
    @Mrsmick712 8 หลายเดือนก่อน +3

    Aaaisee anko j inabid kuw na tunz za muwaiji bola maan kuna wat balaaa😂😂😂❤

  • @carosamwel2006
    @carosamwel2006 7 หลายเดือนก่อน +3

    Acha alee mimba hewa huyo,Sara atapata mtu na atabeba ujauzitotu ataumbuka huyo Nicko

  • @aminah9557
    @aminah9557 8 หลายเดือนก่อน +10

    Hii simulizi inahuzunisha kwa kweli 😢😢😢😢

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ukiona comment ni mimngi utajua msimulizi ni nani😂😂😂 maashala sauti ya mfalme Ankojay❤❤❤

  • @FatmaHemed-qk5lu
    @FatmaHemed-qk5lu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani anko j hii simulizi naomba pati2

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hii simulizi imenikumbusha mbali sana machozi imenitoka 😭😭😭 ❤❤❤

  • @user-ly6we7ig1x
    @user-ly6we7ig1x 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤🎉🎉 tuma x pia sarafina mwendelezo😊

  • @user-np8ol7bd4r
    @user-np8ol7bd4r 7 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks ankoj Mungu akupe Maisha marefu ❤❤❤❤

  • @marynavrillah70
    @marynavrillah70 7 หลายเดือนก่อน +2

    So sad story with much lesson 💖💖

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sanaa ankojay kwa simulizi hii tamu kweli kweli ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ from 🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 8 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤🙏🙏🇴🇲daah tamu hyoo nataman utumeleohii mwendelezo wake

    • @user-ki7ms2ol4e
      @user-ki7ms2ol4e 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ndiyo hata Mimi nausubili kwa hamu

  • @BethMdoe
    @BethMdoe 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mmmh aya nipeni namimi like zenu sijui nazipeleka wap😮

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nko na swali anko jay naomba unijibu samahani lakini kwani hauwezi achilia simulizi mbili kwa siku?? ❤❤❤❤

  • @liwandashamsi-ov6ij
    @liwandashamsi-ov6ij 8 หลายเดือนก่อน +2

    Àsante

  • @user-ui6rf8yx7s
    @user-ui6rf8yx7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooooooo tupo tim strong a.k.a. magaid😊😊

  • @SHAMIMNABENIERE-th8vk
    @SHAMIMNABENIERE-th8vk 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimewahi leo anko jay🤗
    🤗🤗🤗🤗🤗

  • @user-uk9he5zx6b
    @user-uk9he5zx6b 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe ma,mkwe siku huyo doreen atakuja kukugeuka utamkumbuka huyo saraphina, yaani ma,mkwe wengine ni washenzi sana pumbavu

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wanafamilia tupo tunarelax na kuinjoy 😂😂😂😂😂😂😂

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 8 หลายเดือนก่อน +1

    Finaly leo tuko poa ankojay ❤❤❤❤

  • @RubySamuel-rt8ln
    @RubySamuel-rt8ln 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤ anko j tunakumic ujue usituweke sana ivo bhana 🥺🥺🤣

  • @user-dx5tn3mp3s
    @user-dx5tn3mp3s 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa simulizi nzuri ankojay

  • @SumayyaahMuzzammil
    @SumayyaahMuzzammil 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asnte mkuu🎉🎉🎉🎉

  • @AshuraMwachembe-wq2pj
    @AshuraMwachembe-wq2pj 7 หลายเดือนก่อน +1

    AmaZing❤❤❤❤

  • @user-pr1uy3sh3o
    @user-pr1uy3sh3o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wow,,, Amazing sana Ankojay shukran kwa simulizi tamu

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asate ankojay pamoja ❤❤❤🎉

  • @ghanimajongo7817
    @ghanimajongo7817 8 หลายเดือนก่อน +2

    Njengin pat 2 tukonge moy

  • @dianamboya7203
    @dianamboya7203 8 หลายเดือนก่อน +4

    Jamn hii simuliz inahusu maisha yangu kabisa

  • @user-le6dn3dd1m
    @user-le6dn3dd1m 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nice story🎉

  • @user-zj7hd6sg3y
    @user-zj7hd6sg3y 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asant sana Ankojay ❤❤❤

  • @umi-je4qm
    @umi-je4qm 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
    Tutumie x tuko hoyi tumesubiri

  • @user-fu7qw8oi4q
    @user-fu7qw8oi4q 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mh mama mkweh kamauyo atali

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน

      Na ndio waliobaki baada ya wale wenye moyo wa uzazi kufa wote

  • @elivilahenry4590
    @elivilahenry4590 8 หลายเดือนก่อน +1

    simuliz nzur sanna hii 🥰🥰 anko tupe mwendelezo wake bac

  • @user-yb1qf9yv5o
    @user-yb1qf9yv5o 8 หลายเดือนก่อน +8

    Much love ankojay ❤

    • @ashleymohamed6935
      @ashleymohamed6935 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wakwe wanachqngia sana kuharibu ndoa za watoto wangu

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sawa Kaka nakuelewa sana asante.

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 khaaaa,unaacha huku unataka tena,nini hicho😂😂😂,na mama mkwe huyu ni shetani wa mguuu mmoja

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 8 หลายเดือนก่อน +10

    Amazing story Mr jay ❤❤❤❤❤

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nimechelewa Leo wapenzi

  • @dinahnamalwa
    @dinahnamalwa 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nicolas mbona una wasiwasi,,,,inaonekana wewe ndio mwenye shida ya kutosababisha uja uzito

  • @user-qv5cx2er5s
    @user-qv5cx2er5s 6 หลายเดือนก่อน

    Simulizi tamu San onko j mungu akubariki jaman hata kupika nasahau

  • @hadijambaule7366
    @hadijambaule7366 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaniii ngoja tumsaidie saraphina kumsubiria mumewe😂

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa mateso hayo siwezi kwakweli eti kisa mtu hazayi 😂😂😂

  • @user-sp9tq8mq6q
    @user-sp9tq8mq6q 8 หลายเดือนก่อน +1

    Eti Mwanaume anasura nzuri km mwanamke nimecheka sana😅😅

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nmechelewa wanafamilia wa anko J❤❤🎉🎉

  • @khadijaaliy7287
    @khadijaaliy7287 8 หลายเดือนก่อน +2

    2 ❤❤❤❤

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yani ubusy mpaka nimekua late kusikiliz bt heri kuchelewa kuliko kupitwa😊

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 8 หลายเดือนก่อน

    Haya hii tumeimaliza achilia part 2 leoleo plzzz anko jay Leo tufurahishe basi mashabiki zako tunakupenda sanaaaaaa ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-je2gk5jb4e
    @user-je2gk5jb4e 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nice👍

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 7 หลายเดือนก่อน

    hila na ss wanawake tukiona mapenzi yana kwenda sio tujalibu kujiongeza kwani Kuna msemo wa kwamba ukisema chanini na mungine anasema nitakipata lini ona Sasa maisha Sara alikubali matokeo mm hongera Sana Ankojay mapesa na mwandishi tujifuze kupenda na kuacha pia kwani bei Gani kula Bata zamuyako tunakupenda mnooooooo jamani simulizi ni pambe ❤❤

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nice ❤❤❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  8 หลายเดือนก่อน

      Thanks 🤗

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 8 หลายเดือนก่อน +2

    Anko asante sana ubarikiwe nimehawahi leo wakwanza jananii😂😂😂😂😂

  • @user-vq2uw7bd8m
    @user-vq2uw7bd8m 8 หลายเดือนก่อน +2

    amizing❤

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi 7 หลายเดือนก่อน

    Asante pia Anko
    Simulizi tamu msimuliaji uko vzr Ankooo❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 8 หลายเดือนก่อน +2

    kumbe dawa ya X kumtafuta zaidi yake 😂😂aliye mzidi kila kitu

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua 8 หลายเดือนก่อน

      Bwanawe😂😂😂

  • @samiaabdu5879
    @samiaabdu5879 8 หลายเดือนก่อน +2

    Woyooo ❤❤❤

  • @sarahhagai8191
    @sarahhagai8191 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nimewahi, ujae nyuma usiseme we wakwanza

  • @user-dx5tn3mp3s
    @user-dx5tn3mp3s 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mwanamke mwenzetu

  • @LeylaBwitu-wq1fc
    @LeylaBwitu-wq1fc 8 หลายเดือนก่อน

    Thanks anko jay love you Kwa story nzur

  • @sarahhagai8191
    @sarahhagai8191 8 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pokea maua yako😂😂😂

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-bu4ew6re3h
    @user-bu4ew6re3h 8 หลายเดือนก่อน +9

    Always love you Anko jay

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman tunamis sauti ii adi tunaumwa usitufanyie ivyo kaka Siku znakuwa ndefu tusiposkia ii saut ❤❤❤❤❤❤

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tuliimiss hi sauti.wacha niburudike.Anko jay family hy

  • @Mrsmick712
    @Mrsmick712 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ankoooooooooo muendelezoooo

  • @annahmwenda
    @annahmwenda 4 หลายเดือนก่อน

    Hii simulizi imejaa mafunzo mengi aiseee kwa kweliii Mungu huleta jaribu na mlango wa kutokea

  • @ShukuraniMapunda-lz3un
    @ShukuraniMapunda-lz3un 8 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉😂😂❤❤

  • @user-ip6hb1nq2u
    @user-ip6hb1nq2u 8 หลายเดือนก่อน +1

    part 2 plzzzzzz

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mama mkwe nae ni mtu mzima kisheti ana roho mbaya kama sio mzazi mama na mawifi nitadili na nyie acheni roho mbaya kwani ww umepigaje hapo 😂😂 ww mungu anakuona hongera Sana mwandishi wa hii simulizi ni tamu na hinauzunisha wazazi wenyewe watoto wakiume jamani tunakwama wapi haaaaa tuache kuzaa ni majaliwa ya mungu tuwe na off ya mungu jamani

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kwaxa Nicheke huyu nicholas ameingizwaa chakike nahuyu dorine hamna mimba wala mtoto mimba.haya amepeleka picha sawa lkn kwann hukumpamkeo mda ajielezee talaka bi dada ka sigh sasa sijui nn imetokea hapo huyu nico atakuja kulia nakusaga meno wakati huo atakuwa amechelewaa😂

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 4 หลายเดือนก่อน

      We mwache tu

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 4 หลายเดือนก่อน +1

      Siku zote wajinga ndiwo waliwao,chochote atakacholipwa ni haki yake, maana mtu apandacho ndicho atakachovunai

  • @zawadtwahirusuleyman1392
    @zawadtwahirusuleyman1392 8 หลายเดือนก่อน +1

    Cjachelewa sana Anko jay wangu❤❤❤❤

  • @zainabjordan5659
    @zainabjordan5659 8 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥

  • @jamilanahimana-wc4nd
    @jamilanahimana-wc4nd 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante san anko jay kwasimulizi

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nice story❤❤

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 7 หลายเดือนก่อน

    hongera San mwandishi wetu hila ww mama mkwe ulipigajw hapo naona bola umejiukumu mwenyewe mwanga wa milele ukuangazie sheni mama ww acha roho mbaya amekupa hadi figo Bado una mchukia kama ujazaa ww mama

  • @user-wc7zu8zo3b
    @user-wc7zu8zo3b 5 หลายเดือนก่อน

    Amazing

  • @user-yi1hb1hb2p
    @user-yi1hb1hb2p 8 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-hr9ji5ql6h
    @user-hr9ji5ql6h 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nimechelewa leo😢😢

  • @stellahrobert5
    @stellahrobert5 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja sana anko j

  • @Official_ree0
    @Official_ree0 4 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah yan Matangazo yanakera jaman yaan yanakera too much😡😡

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 8 หลายเดือนก่อน +3

    Aiseee hakuna kulala asante xn ankoj ❤❤❤❤

    • @fatmahmkuzi
      @fatmahmkuzi 7 หลายเดือนก่อน

      Tuko pamoja mana Ankojay natupa raha hivo basi hatuna bundi kulala usiku yani usiku wa manane tuko kwa Ankojay nakupenda sana kaka basi tu ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂

    • @agnesagnes5288
      @agnesagnes5288 7 หลายเดือนก่อน

      @@fatmahmkuzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣walai ucngizi hamna tunakesha mbk bac🤣🤣

    • @fatmahmkuzi
      @fatmahmkuzi 7 หลายเดือนก่อน

      @@agnesagnes5288 ila mm sijuwi ni kwann mana kilanikiaza hio simalizi lazima nimalize😂😂😂😂😂😂

    • @agnesagnes5288
      @agnesagnes5288 7 หลายเดือนก่อน

      @@fatmahmkuzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fentafesh9790
    @fentafesh9790 7 หลายเดือนก่อน +3

    Congratulations 👏👏👏

  • @hellenodhiambo4342
    @hellenodhiambo4342 8 หลายเดือนก่อน +2

    Anko Jay mbona unamtaja jina ya huyo Nicholas na madoido hivo 🙄