Waoh ...we have alot of lesson to learn from this. WOMEN:we should learn to be patient and not to be a nugging woman.patient pays and who laugh last laughs the best.SALAMAis a role model indeed TO MEN:This goes to you,you move around with sidechicks,disrespecting their wives but at the end they go to their wives at a point of death .so shameful
Thank you Anko Jay ❤ yani sauti yako yanimaliza MUNGU kakubariki na sauti zururi kweli yani ukiongeya nasikiya roho inadunda kwa furaha tele na hizo simulizi wacha tu zanimaliza kabisa ❤😂
Thanks Ankojay beautiful story Hivi Mtu anaposema naomba turudiane kama Zamani. Kama mwanzoni haikuwa kama zamani sasa leo kipi kinaweza kuwa kama zamani Watu wana mizaha jamani!!!!
Tunkupenda sanah ankojay Kwa simulz tamu tunakutakia maisha maref pia Mung abari kazi ya mikon yako ❤🙏🙏
Simulizi tamu much love this
Asante sana Anko jay nimejifunza mengi sana sana Anko very nice one thanks 🙏🙏🙏❤much 💕💕💕💕
Congratulations sana, anko j nazipendasana simulizi zako much appreciated to you 🙏
Uzuri wa mke sio sura ni tabia Asante sana kwa simulizi tamu
Nimependa snaa ako j mungu akuwek maisha marefu jamn😘😘😘
God has bless u with a gd sound anko nasikiliza bt nikamanaiona story😊
Waoooo tunaenjoy na tunajifunza anko j mungu akupe maisha marefu
Na wewe pia
Waoo kumb STELLA 😁😁nimeinjoi ankojay mashabik tunakupend
😢😢jaman nlipotea nkawa naskiliza adi isiyo kumbe hiii jaman
Simulizi nzuri sana much love this
Merci ankojay l'histoire de bonne leçon❤❤❤❤
Jamani Anko J simuliz zako Zinashawishi kusikiliza na mafundisho shukrani Sana mpendwa ubarikiwe
Ankojay na enjoy simulizi nzuri kutoka kwako uncle wetu❤❤❤❤
Asante Sana anko jey yani nililala saut yako Kam naisikiy kila mara sorry Lakin nakupend Kam msimuliaj wetu nzuri ❤❤❤❤❤
Jaman anko j nmejifunza sana kuvumilia hakika unatufundidha
Safi sana anko jay kwa burdani nzuri
Yaani leo top 20 kweli🤣🤣 haya tunasikiliza huyo binti isabela kamfanyanini mkaka wa watuu🥰🥰🥰🥰
😀😂😂😂😂 Pole sana
Waoh ...we have alot of lesson to learn from this.
WOMEN:we should learn to be patient and not to be a nugging woman.patient pays and who laugh last laughs the best.SALAMAis a role model indeed
TO MEN:This goes to you,you move around with sidechicks,disrespecting their wives but at the end they go to their wives at a point of death .so shameful
Asante kwa funzo zuri ❤❤❤
Hii story kama nishaiwatch kwa Nigerian movie is a nice story 😊😊
Napenda San simuliz zako na kiukwel unawez mno 🔥🔥🔥
Much love ankojay kwa simulizi tamu tunakutakia maisha marefu
Ahsante sana 😊🙏 na wewe pia maisha marefu tuwe pamoja
@@ankojay_ thanks ♥️♥️♥️
Jaman yaan kla sku mm ndo wa mwisho 🤣🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔 Asnte Anko J 😅
Anko jay hizi sauti kama mnasimulia watu Wawl tofauti 🙌 unajua bro
Ahsante sana paulina 🌹
Za kutoa nyoka pangoni wacha tu
Asante sana anko Jay kusema ukweli nimejifunza mengi na ninaendelea kujinza kupitia kwa hizi simulizi barikiwa sana
Nawapenda wote lakini mnalala kwa group bana😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Anko j mungu akupe maisha marefu jaman siyo kwa simulizi hizi tamuuuu🙏🙏
Simulizi tamu Anko j hongera nikupe tuzo kwa simulizi
Anko hii simulizi ushawah isimulia Sema n mda ...lakin n hii hii aky
Penda wew ank Jay unanipa lahaaa❤❤❤❤
Shukran anko J simulizi nzuri sana ❤❤
hivi uyo dada mbn mzuri sas
Wa 381😂😂😂 ipo Siku nitakuwa wa kwanza😅😅nipeni vi like vyangu basii😅😅
Jitie moyo
@@epmarkchami2536banana
Namm unipe hat hiv vileki man siy nikupe ww Kila sik
Awww 💯 ❤️ thanks uncle J
Enjoy 😊
Ciingeitwa salama hii❤❤❤
Yaani usingizi kdg tu ankojay ❤ kashatupia mambo mazuri! Haya ngoja tujifunze na leo
Ankoja 😊mdada waleo isabela ni mrembo aise❤❤❤thanks ankojay
😂😂😂😂😂
Nipo hahaaa
😂😂😂😂
@@ankojay_hay
Anko hizi stori unazipata patanga wapi,,zinani pendezangasanaa😂😂😂❤❤
Thank you Anko Jay ❤ yani sauti yako yanimaliza MUNGU kakubariki na sauti zururi kweli yani ukiongeya nasikiya roho inadunda kwa furaha tele na hizo simulizi wacha tu zanimaliza kabisa ❤😂
😂😂😂😂😂
Tabu sana kupenda usipopendws
Isabela alikua kitonga😅😅😅
Karibu mumewangu 😊😊😊❤
Ekhee acha nienjoy ntarudi kukomment 💜💚💙
Wanaume na tamaa poooooo
Thanks Ankojay beautiful story Hivi Mtu anaposema naomba turudiane kama Zamani. Kama mwanzoni haikuwa kama zamani sasa leo kipi kinaweza kuwa kama zamani Watu wana mizaha jamani!!!!
Anko jay nawanafamilia fraha ienderee au mnasemaje🤣🤣🤣👍
Kweli na edumu daima
ahsanteee anko jay
wooow ❤ nimepeda sana ufumilifu wa dada
Salama tumpe 💐🌹🌹🪻 yake kwa uvumilivu huo ana moyo wa kipekee sana.
Nakuaminia xana anko jey upewe mauwa 🌿🌿🌿🌿🌿
Asante anko jey
Tuna.subiri❤
Haki huyo mdada salama ana moyo anko niulizie huyo mdada salama kama kwao bado wako n mpe kakangu😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
Yaan mim nimemuonea Hadi huruma kiukweli amekinywea kikombe haswaaa
Yaan mim nimemuonea Hadi huruma kiukweli amekinywea kikombe haswaaa
Oyoooooo jamn Leo nimewahi💃💃💃💃💃😂😂😂😂
Wacha weeeee 😂😂😂😂
@@ankojay_ 😂😂😂
Tuko hapa sasa kwa binti Isabella , Asante Anko Jay kwa mambo matamu
❤❤❤unatuweza
Simulizi🔥🔥🔥🔥🙏🙏
Unajua kufundisha mapenz
Eiiish Anko eti (una ha mu ya nini)😂😂😂😂
Ankojay sawa bhn sio kwa bandika bandua hii
Wawoo leo mm wa kwanza etii shukrani anko jay 😍❤️
Waoo anko mwenyewe
Thanks anko jay Kwa simulizi tamu
Ankojay huwa siaangaliagi profile yako duh kumbe wewe unafanana na sauti yako🥰 Mungu amekupa kipaji cha kusimulia akutunze sana kaka
Ahsante sana
@@ankojay_ karibu, together brother niko nasikiliza mzigo mpya
wa pili 😂😂😂
Weeeee kweli.? 😂😂
Tumepigwa jaman vipi unaona status za mwenzio wakat namba yako Hana 😮😮😮
Mchangao 😂😂
Naslfulahishwa sana na simulizi zako
Anko jay siwote tunapenda magari na walasiyo maharange ya mbeya 😂😂😂
Moto 🔥🔥🔥
Ulipo tupo anko jay
Denis mpumbavu Dunia inajua kufunzwa mpumbavu
Daaaah,Salama ana sifa za mke mwema,,,,wanawake kama salama tujuane,uvumilivu huo upo?
Nimeipenda sana hii story asante Anko j ❤
🤣🤣🤣kabla niendelee kuskiza hii simulizi wacha nicheke kwanza
0:50 ❤ vipi anko. Mbona yunaboeka. 3
Ipo siku nitawahi tu namm😁😁😁
Nilkua nawaza Leo anko anatuachaje😂
Siwezi Kuwaacha 😀😀
@@ankojay_anko J mungu kakujalia bhna🔥🔥🔥
Hongera salama ❤
Jamani Denise huogopi kama kuna maradhi ? Wakusanya mabinti kiholela 😢😢😢😢
Ankoo jay❤❤❤
Nzuri sana 🥳🪑🎧
Jamn maish hay mung atusaidie
Nibola kuowa mwana mke mbaya awe naeshima kwer ankojei
The story is full of lessons, thanks Anko j kwa story tamuu ,part 2 please
Haina Part 2
Kweli uvumilivu una matunda
Asanteee anko
Very stor so much ❤❤
Dadeki alooo uyu kijan ana hatari
😊😊😊
Mimi mbona siwahi kila siku nachelewa jamani 😅😅
Ohoooo Pole Sana 😂😂
Simulizi inaanza muda gani?
Weee nayo kali mume wake anamsalimia shikamoo
Ngoja nisilikize Mambo ya Isabela
Mh jamani,utasemaje mke wako aliteseka kwaajili ya Isabela,siyo hivyo ila aliteseka kwaajili ya huyo mume asiyejielewa kuwa ni mume wa mtu
Jamani lupiro nyumbani huko mahenge
Thank you Ankojay😍😍😍
Yaan we kaka utakuja kujuta mpuuz kabisa mpe Salama haki yake
Asante 💞
Nimejifunza kitu kimoja kutoka Kwa wanaume, kumbe wanaume wanaweka akilini mwanamke na Sio moyoni direct
Asante sna ❤❤
Ango naomba Binti Isabela 2
Mwanamuke ni uvumilivu
Asa mm niwangap mbn watu mnakuw hiv😳😳