Ee Mungu utusaidie haya maisha sio mazuri (maana dunia hii ni bahara)bora hata nimushukuru Mungu kwahivi nilivyo maana heri umaskini kuliko mali isiyo halali
Yaan kwa mkasa huu umezidi kunipa nguvu na juhudi yakuwasafishia wazungu choon nakuwatandikia vitanda nile jasho langu but sikwakudhulumu roho za watu mungu niepushie na tamaa zakidunia Amina 🙏, anko Jay tunashkuru kwa simulizi yenye mafunzo
Simulizi za namna hii we jamaa unatisha sana hongera sana na mungu akubaliki kwakuendelea kutuelimisha vijana tunao pambana na tuendele kupambana kwa jasho bila tamaa
Jameni turizike na tunacho pata tuache taamaa na kupend a makubwa ambayo Allah hakutuajalia ,imeniuma sana , shukran Ankojay kwa kisa hichi chenye mafunzo
Simulizi nzuri sana imeifunza mengi...mungu wetu ni mungu wahuruma natumai hata kakangu kwa yale amepitiya mungu atamsamehe tujifunze kuomba mungu atatupa maana kwake kunakila kitu ,thank sana ankol jay kwa simulizi nzuri sana tunakupenda ❤❤❤❤❤❤
Hakika simulizi hii ni funzo tosha tujifunze kurizika na kidogo japo tu cha halali kule kuwa na utajiri na Amani huna 🥺🥺🥺 Ahmed mwisho wake ka ivo kaambulia kifo daaah inauma kweli 🥺🥺🥺😌
simulizi hii ni ya kusisimua maisha yanasili kubwa sana kwny maisha yetu sisi binadamu tusitamani mali ya mtu mwengine maana uwezi kujua sili ya uyo mtu aliyo fanikiwa ni nini
Kuna mtu kwa familia na yeye tunamshuku kweli maana na yeye hawezi kusaidia mtu yeyote bora akununulie chakula ama kitu ila sio pesa😢😢😢😢😢eee mwenyezi Mungu ninkuomba unipe moyo wakuridhik na unachonipa🙏🙏🙏🙏
Watu hawafanyi kwa kupenda, ni maisha Ndio yanasababisha kufanya😢😢😢 turidhike na tulivyokuwa navyo, maana hii story inaogopesha na inaumiza sana, Ee Mwenyezi Mungu tunaomba utuonyeshe mwanga wa mafanikio
🎉asante sana anko jay😅😊😮🎉😂
Waakwanzaa jmn mb'n sipati like za kutosha wadau 🎉🎉
Weweeee I like it anko jay penda sana wewe jmn ❤❤❤
Simulizi hii imenipa nguvu ya kupmbna...kwa halali na si kwa haramu eeh mungu nisaidie
Ee Mungu utusaidie haya maisha sio mazuri (maana dunia hii ni bahara)bora hata nimushukuru Mungu kwahivi nilivyo maana heri umaskini kuliko mali isiyo halali
Senkyu anko j mapesa ❤❤❤
Yaan kwa mkasa huu umezidi kunipa nguvu na juhudi yakuwasafishia wazungu choon nakuwatandikia vitanda nile jasho langu but sikwakudhulumu roho za watu mungu niepushie na tamaa zakidunia Amina 🙏, anko Jay tunashkuru kwa simulizi yenye mafunzo
Kwel kwel kabsa
@@OnesmoMwipopo-co8dr inasikitisha san jaman tutosheke na kidog alichotupa Allah
Pole mungu ailaze mahali pema peponi
Yani mkasa huu umenipa nguvu mpya ya kusugua choo cha mwarabu bora nile jasho langu na pia asante ankoo mapesa 🎉🎉🎉
Acha tusugue dear
😂😂😂😂😂
@@rehemajuma56Naomba namba zako plz
Kabisa my wangu
Wow. Afadhali umetukumbuka leo Anko j
Asante anko Jay japo roho imeniuma na kukosa raha hadi mda huu
Nimejifunza mengi Asante
Napenda sana ichi kimlio ukitumiA kwenye simuliz
Huwa tunapitisha hukumu kwa watu bila huruma mara nyingi Mungu tusamehe sana
Amen
Amen 🙏🙏
Anko J mapesa,,,,asante kwa smlz acha niende nayo nnjue yalo jiri
Jamani wa tisa tabarak Allah
Mobisko hongera zako me ni muandishi Hila Kwa hii story imenitoa machozi ongera zako mtunzi mwenzangu
Asante sana ..yaani nitaishi kumtegemea Mungu kwa mahitaji yangu
Nice story na tumejifunza kitu wale wenye tamaa watakuwa wangalifu sana congratulations my love wetu ankooooo
Waaa hii simliz inahuzunisha sana janani daa
Mungu atusaidie sana sana na haya maisha
I miss simulizi alot, i was away but am back tena kwa mpigo, mambo anko..
Shukurani san ❤❤❤❤🎉
Mungu tusaidie sana na haya maisha, maana yanamambo mengi sana yakuhuzunisha na kujifunza
Sijachelewa sana antiii😂😂😂😂
Daaah.mungu atusamehe san sisi wakosefu.tamaa mbaya sana jamn.🙏🙏🙏🙌🙌
😢mmmmh mbn 🎉🎉🎉Asante Anko j Mungu wetu n mwenye kusamehe kwa kila jambo
Simulizi za namna hii we jamaa unatisha sana hongera sana na mungu akubaliki kwakuendelea kutuelimisha vijana tunao pambana na tuendele kupambana kwa jasho bila tamaa
Ahsante sana ndugu 🔥👍
Ncccc
Ankojay tunahitaji story za namna hii maana tunajifunza sanaaa anko🙏🙏@@ankojay_
Jameni turizike na tunacho pata tuache taamaa na kupend a makubwa ambayo Allah hakutuajalia ,imeniuma sana , shukran Ankojay kwa kisa hichi chenye mafunzo
Kabsa kbsa
Mwenyezi Mungu atuepushe na tamaa na mitihani kama kama hii InshaAllah 🤲
Ndugu Hamid juma MUNGU ailaze roho yako pema peponi na hata mimi apa nakusadia kuomba MUNGU akusamehe
Asante san inafundisha mno
Yan familia ya anko jay ni wachoyo knoama awatak ata kunipa like
Asante sana Anko j jana mmetuamulia ww na bro Lucas lumbas tumefurahi na hata hivyo sijachelewa sio wa mwanzo wala wa mwisho 😂😂😂❤❤❤❤❤
😭😭😭😭😭jmn jmn hiii Dunia inamengi ehhhh mwenyezi Mungu naomba Uwe n'as sikuzote zamaisha
Simulizi nzuri sana imeifunza mengi...mungu wetu ni mungu wahuruma natumai hata kakangu kwa yale amepitiya mungu atamsamehe tujifunze kuomba mungu atatupa maana kwake kunakila kitu ,thank sana ankol jay kwa simulizi nzuri sana tunakupenda ❤❤❤❤❤❤
Nimechelewa sana leo thank anko🎉🎉❤❤
Wow thanks anko jay kwa simulizinzuri. Nipenilikes zenu
Hatimai tumepatatei ahsante anko Jay simulizi ❤❤❤❤😂😂😂
Wow amazing
Hakika simulizi hii ni funzo tosha tujifunze kurizika na kidogo japo tu cha halali kule kuwa na utajiri na Amani huna 🥺🥺🥺 Ahmed mwisho wake ka ivo kaambulia kifo daaah inauma kweli 🥺🥺🥺😌
Thanks anko jay
pole hamad 😭😭yote ayo umeyafanya kwasababu ya mateso uliyo yapata utotoni kwa sababu ya umaskini
Sawa Kaka mlikuwa likizo nn sio Kwa jana kusubiri mpaka basi
Fundisho zuri mashalla kwa binaadam hongera ancojay ❤❤❤❤
Asante sana Anko mapesa all ❤❤
Tupo dear ❤❤❤
Ankojay mapesa naomba ata like 5
Vyenye nlikuwa nimeboeka nkisubiria until forever Kwa hamu🎉🎉🎉Asante Kwa kigogo kipya❤❤🪑🎧
Wow nimewahi leo❤❤❤
Nimewahi na mm 😂😂
simulizi hii ni ya kusisimua maisha yanasili kubwa sana kwny maisha yetu sisi binadamu tusitamani mali ya mtu mwengine maana uwezi kujua sili ya uyo mtu aliyo fanikiwa ni nini
EEh Mungu nisamehe😢😢 simulizi hii nifuzo kubwa jameni 😔 ahsante AnkoJay 🙏
Jaman jaman🎉
Heri nife maskini Niishi maisha ya raha kuliko niwe tajiri niishi maisha ya shida jamani pesa ni sabini ya roho❤❤❤❤u ankojay
Katika maisha tujalbu kushukuru kwa kidogo tulchopata kulko kutaka mambo makubwa wakati hatuna uwezo
Anko jay ❤
Thanks Mr jay kwa simulizi mpya
Better late than never🎉🎉🎉
Thx anko j❤❤❤❤❤
Na mimi wa kwanza leo ❤❤❤❤❤❤❤
Alaru anko jay simulizi nyingine ni zakupboesha hata hazina raha yoyote
Thanks anko jay kwa simulizi za kuelimisha na kutufundisha allah akuweke uzidi kutupa burudani
Daaah bora nifee masikini ila so kwautajiri kama hivi 😢😢😢
Kuna mtu kwa familia na yeye tunamshuku kweli maana na yeye hawezi kusaidia mtu yeyote bora akununulie chakula ama kitu ila sio pesa😢😢😢😢😢eee mwenyezi Mungu ninkuomba unipe moyo wakuridhik na unachonipa🙏🙏🙏🙏
Jamn yupo kama mtot wa ba mkubwa angu huruhusiwi kwenda bila taarifaaaa jamn mtohani walah 😢😥 acha walah
Wa tatu❤❤❤
Jmn Lucas ako wapi??? I miss his voice😍, Thank you Anko Jay
😮asante sana ❤❤❤💐💐💐
Tunajifuza ili kwesho yasitukute tuweze kuyaepuka.shukrani
Amen
Hii simulizi inanitowa machozi
😢😢😢😢Tamaa nibaya sana asate sana ako Jay ubalikiwe sana
Mh,inaumiza 😢😢
Story nzuri inafundisha❤❤❤❤❤
Mungu nisaidiye nibaki maskini parka mwisho wauhai wangu nalia mimi jamani
Heri ningangane na warabu 😢😢
Uko wap mway unipe na mie connection ya waarabu
Top 20 today, thanks anko mapesa❤❤
Pesa za majini hizo😂😂 zina mashiriti kuto saidia family..mungu tupe riziki zilizo za halali
Amiin
😮😭😭😭 it's too much
Mungu tusaidie na haya maisha
Mbona unit foreva hutuletei bat 2 vip
Inauma Sana pole 😭😭😭
Watu hawafanyi kwa kupenda, ni maisha Ndio yanasababisha kufanya😢😢😢 turidhike na tulivyokuwa navyo, maana hii story inaogopesha na inaumiza sana, Ee Mwenyezi Mungu tunaomba utuonyeshe mwanga wa mafanikio
Tama mbele mauti nyuma aise😢😢
Asante kwa simulizi tamu ❤
wamwisho lakini hii simulizi inanitowa 😭😭😭😭😭😭nasijafika katikati jamani
Fundisho kubwa kwa wale wanaopenda mambo makubwa big up Anko
Leo nimepata majibu mengi sana kupitia hii simulizi,
Yapi hayo tuambie
Tuambie nasi tupare
Daah mungu atupambanie katika ndoto zetu Ila huku tusifike kabisaa 😢😢ii😭😭😭
Hii simukizi imenifungua akili kumbe ndugu wakiwa matajiri na wagumu kusaidia ndugu zao huwa kuna mambo dah 😢😢😢
Yani mpaka naogopa kusikiliza hii simulizi inaogopesha sana jana
Yani hiii na daraja Ra salenda nazipenda sana sio poa Jaman
Simulizi ni funzo kubwa sana kwenye maisha❤
😢😢😢 daaaah nimeliya sna
Mmh nimejifunza duuh asante anko jey
Bravo bro u inspire me to be like you coz I love narrating stories
To be continued
Lakini lamek kwann ulimwingiza mwenzio matatizoni ,bora ungemsaidia tu
Sad story 💔😭
Duuu Ahmed uliyatimba mungu akusamehe😊
Niçe simuliz