MMHH SITAKI NDOA JAMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Napenda kusema nawapenda wote, namuomba mwenyezi Mungu awatangulie kwa kila jambo pia msichoke kumuomba yeye kwa vile ni kila kitu kwetu, asanteni sana.

ความคิดเห็น • 310

  • @user-jc2es5xt5v
    @user-jc2es5xt5v 6 หลายเดือนก่อน +57

    Tulio miss bint lissa tujuane hapa😢😢😢😢

    • @shahrayn93
      @shahrayn93 6 หลายเดือนก่อน +7

      Mm ata nimelia na nkanyamaza2 ili cku isonge muimu nimeckiaa sauti ya uyu mchawi wetu alituroga sasa anatunyanyasa😢

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 6 หลายเดือนก่อน +2

      Wallah me hadi usiku nachungulia kama Anko Jay ameachia mzigo😢

    • @mwajumasimai2165
      @mwajumasimai2165 6 หลายเดือนก่อน +2

      Anco Jay anatuboa

    • @mwajumasimai2165
      @mwajumasimai2165 6 หลายเดือนก่อน +1

      Anco Jay anatuboa

    • @hidayamanda-gk7nf
      @hidayamanda-gk7nf 6 หลายเดือนก่อน +1

      Anatunyanyapaa ankojay

  • @user-zu2dc2bj6z
    @user-zu2dc2bj6z 6 หลายเดือนก่อน +15

    Haya Jamani Karibuni darasani Mwalimu mwetu Ni anko jy ❤❤❤❤

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 6 หลายเดือนก่อน +12

    Kazi nzuri kaka,listening from Kenya(Eldoret),much love.

  • @jokhajj
    @jokhajj 6 หลายเดือนก่อน +16

    Mapenzi yataniua bora nitafute pesa nianze jishauwa😂😂 asante anko jay kwasimulizi mpya🎉

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli bora pesa zina fariji😂😂😂😂😂

    • @user-fu6ew1jb6e
      @user-fu6ew1jb6e 6 หลายเดือนก่อน +1

      Tafta pesa lkn usizitafte kma mason na kelvin 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @jokhajj
      @jokhajj 6 หลายเดือนก่อน

      @@saumunyadzua umeona eee🤣🤣🤣

    • @jokhajj
      @jokhajj 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-fu6ew1jb6e 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti

  • @user-tv6ii7pc4z
    @user-tv6ii7pc4z 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mwisho wa ubaya ni aibu 😢😢🔥 Ngoma bado nzito Anko Jay shukran

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli hivyo ndivyo ilivyo 🎉🎉❤from KENYA 🇰🇪

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 6 หลายเดือนก่อน +14

    ❤❤❤❤.niko single na enjoy.naoshea waarabu machoo zao nalipwa na nafurahi.someone took my love for granted

    • @user-xl6qp8pr7b
      @user-xl6qp8pr7b 6 หลายเดือนก่อน +1

      😁😁tupo wengi tunajifarij siku za endaa

    • @user-ku3ud4qb7c
      @user-ku3ud4qb7c 6 หลายเดือนก่อน +2

      😅😅😅tumejaa telee

    • @user-uq6pb7yh6e
      @user-uq6pb7yh6e 6 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli shagala mwenzangu

    • @user-cm6xi7lx9x
      @user-cm6xi7lx9x 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mashagala hoyee tunaenjoy😂😂

    • @user-oz9xi3dc7y
      @user-oz9xi3dc7y 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hivi shagala ndo nn jamn

  • @salmamohamedi5405
    @salmamohamedi5405 6 หลายเดือนก่อน +5

    Wooo asante sana mpendwa wetu Allaah akulinde akupe umri mrefu ili uzidi kutusimlia simlizi zako nzuri sana ❤❤❤❤

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 6 หลายเดือนก่อน +5

    Asante sana ako jay kwa simulizi nzuri yene mafunzo much love from Burundi❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน +6

    Msululu wa matatizo yote ya ndoa hiyo,yalisababishwa na mwanamke mmoja tu ayekosa hekima akaanbukiza upumbavu kizazi chake chote,ni mama mkwe,Asante mtunzi,asante msimulizi,nawapenda wote kwa mafundisho mujarabu❤❤❤❤

  • @ReginaMwenzelatifah
    @ReginaMwenzelatifah 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ameeeen Ameeeen Ameeen nashukuru Kwa simulizi nzuri yenye mafunzo namaumivu ya ndoa

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 6 หลายเดือนก่อน +9

    Yan nimechelea lakini sio sana Acha ni 🪑🎧 jameni Fulaha Nikai join Ankojay ahsante Mungu wetu wambinguni akubalki 🙏

  • @user-sp9tq8mq6q
    @user-sp9tq8mq6q 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ndoa zinaitaji uvumilivu sana ndoa za siku izi azikaii kabisa kwa sababu zinamambo mengi ndoa za ss hv ❤❤❤ tumuombe mungu sana maana ndoa siyo lelemama 😂😂

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 6 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana Mama Jacky wanawake km hawa tuko wangapi. Wanaume wamepotezea Watu muda na hata kuharibu maisha kupigania penzi feki. Usipopendwa sepa Mungu hawezi kukuacha. Sasa Baba Jacky ameishia wapi? Laana inaleta kifoooo!!!

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kula chuma hiko ❤❤❤kaka tuko nawe kila mahala❤️❤️🌹

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 6 หลายเดือนก่อน +5

    Asante anko jey Yani ndoa wee achatu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 6 หลายเดือนก่อน +6

    Tupo ndani shukran sana Anko Jay, tumemiss binti Lisa tukumbuke tafadhali

  • @monicahndirangu6764
    @monicahndirangu6764 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ndoa zimegeuka kuwa kama jehanamu eeh mungu tusaidie

  • @saidomar3291
    @saidomar3291 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana, Mimi yalinikuta ndani ya ndoa lakini sikuletewa ndani ya nyumba.ila ndoa ndoana na bila kuwa na subra utabadilisha waume. ambao hawajaingia kwenye ndoa musikate tamaa. Bali tumuombeni Mungu atupe aliowema na kutuepuaha na mabalaa ya mawifi na mamamkwe ama babake. Kwani unaweza kupata mama mwema baba akawa balaa. Asante sana.

  • @user-lq4op1bv5c
    @user-lq4op1bv5c 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wow jamn nimekuw wa top 30 n uxhehe asante anko j unatupatia utamu kil siku mmmwaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 6 หลายเดือนก่อน +1

    Haa jamani wazizi wa kike mungu hawasaideye roho mbaya ya shatani ndani ya watu asente Sana ANKO JAY

  • @NancyMmbone-gh9kg
    @NancyMmbone-gh9kg 6 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani huku kwetu watoto wakike ni wamaana sana,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 6 หลายเดือนก่อน +2

    Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ahadi zako za kweli twende kazi

  • @user-zj7hd6sg3y
    @user-zj7hd6sg3y 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ndoa zinamitihani kama halijakukuta utaona ni uongo lakini kama lilikukuta kama mimi kamwe siwezi kusahau kabisa lakini mungu ni mwema sana kazi ni kujipa moyo tu

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 6 หลายเดือนก่อน +7

    Wakwanza mim jamn nipewe maua yangu hata kumi tu tafadhali 😂😂😂😂

    • @user-ui6rf8yx7s
      @user-ui6rf8yx7s 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wajna umetisha sana❤

    • @elizabethfrank271
      @elizabethfrank271 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-ui6rf8yx7s asanteeee kipenzi changu 😘

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante saana Anko Jay mungu akubariki kwa kazi unaofanya baba. Nakuona unajua kucheza ngoma be blessed.❤❤❤❤❤❤

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 6 หลายเดือนก่อน +6

    Nimekuwa wa 33 Leo Asante ankojay 🥰🥰

  • @Nashmwanah
    @Nashmwanah 6 หลายเดือนก่อน +3

    Leo nmewah jmni❤❤❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 6 หลายเดือนก่อน +2

    Thank youuuuuuu so much anko Jay wetu kwa simulizi nzuri tumejifunza kitu kwenye ndoa ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NancyMmbone-gh9kg
    @NancyMmbone-gh9kg 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo baba mkwe apewe 💯💯❤🇰🇪

  • @esternashon4706
    @esternashon4706 6 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah nimejikuta nalia juu ya hii simulizi😭😭😭

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน +8

    Hao mawifi wanaoshughulika na ndoa za kaka zao,hakika hao kaka wa hivyo ni kama maiti zinazotembea,mtu asiyetumia ubongo wao japokiwa ni viongozi wa familia ngoja hilo toto la kiume liwe la mwanaume mwingine

  • @user-be2nx5ks2l
    @user-be2nx5ks2l 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ankoj utusaidie TU tusamehe saba mara sabini hukumu iwe kazi yaMUNGU❤

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 6 หลายเดือนก่อน +4

    Wawoooh Anko J ❤❤🎉🎉

  • @christinemwendejuma4401
    @christinemwendejuma4401 6 หลายเดือนก่อน +2

    Anko 🔥 🔥🔥🔥

  • @user-yk6dg4kl3s
    @user-yk6dg4kl3s 6 หลายเดือนก่อน +7

    Nipen bc like ata moj

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 6 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran sanaa kaka Jay

  • @user-xv5ld1zy5q
    @user-xv5ld1zy5q 6 หลายเดือนก่อน +11

    Mi wakwanza team lisa naombeni like zenu 🎉🎉🎉😂😂😂😂😂 anko j tupe31 achaza hivyo

  • @IkupaNgetelwa-cc5dl
    @IkupaNgetelwa-cc5dl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndoa weeee siku nikikushika ivi✊✊utanikoma😂😂sema tuletee tu binti lissa anko j hizi ndoa baba zitatutoa roho😢

  • @user-ki8dh3tk6g
    @user-ki8dh3tk6g 6 หลายเดือนก่อน +37

    Nimekuwa wa kwanza leo naomben like japo 10❤😢

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pa 1 kutega masikio kusikia sauty yko muruwaaaah Anko J mapesa 🎉🎉🎉

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 6 หลายเดือนก่อน +3

    Tm Anko jay❤🇴🇲

  • @nashwaaabdullah3412
    @nashwaaabdullah3412 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nilipochtuka uchingizini😂😂😂 ila ako j unaongea sanaa mpk unachapia ila uko vizur❤

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh ndoa imefanya nn mpk haitakiwi wacha ni kae nisikilize mkasa huu❤❤❤🎉🎉🎉

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waaaoh vizur San wacha tusikilize ❤❤❤❤

  • @user-pj1vo8eq7g
    @user-pj1vo8eq7g 5 หลายเดือนก่อน +1

    aisée na liya jamn wanaume ebu muwe waaminifu kwa wake zenyu 😭😭😭😭😭

  • @BissaumathyCassim-vn5ux
    @BissaumathyCassim-vn5ux 6 หลายเดือนก่อน +1

    😰😰😰😰kwa ndoa hizi acha nitulize komwe langu

  • @kibibi7826
    @kibibi7826 6 หลายเดือนก่อน +6

    Wakwanza❤❤❤❤

  • @brigdk
    @brigdk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimewai leo 😂😂😂❤❤

  • @user-yg8yo3ul8h
    @user-yg8yo3ul8h 6 หลายเดือนก่อน +3

    Katika simulizi nilizowahi kusikiliza kiukwer hii imeshika sehema ya kwanza Yani namba Moja imenigusa mno Yan niuhalisia kabisa duh aisee wewe mtunzi na msimuliaji nawaahidi kuwapa elfu 50 nipongezi kwenu kiukwer imenigusa pakubwa

  • @mwanamisiabdalla5551
    @mwanamisiabdalla5551 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallh anko ubarikiwe❤❤😊

  • @shukururamadhan6721
    @shukururamadhan6721 6 หลายเดือนก่อน +2

    simulizi nzuli

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 6 หลายเดือนก่อน +3

    Namhurumia Alvin 😢simpendi Kelvin ni pretender😢😢

  • @fatimejamal1686
    @fatimejamal1686 6 หลายเดือนก่อน

    WA kumi na tano leo... Yaani Ina 14mints mshajaa😂😂kweli nyie mwapenda anko jey😂😂

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 6 หลายเดือนก่อน +6

    Wapi bint lisa

  • @user-nr1jo5js5v
    @user-nr1jo5js5v 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa upende😢 wangu imenifunzaa kitu mie nilio na ndoa bichi upande mwengn imenifunza kitu furani😢

  • @user-lw5uh1hs5m
    @user-lw5uh1hs5m 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa darasa Ankojay mapesa

  • @user-rc3om5hs9i
    @user-rc3om5hs9i 6 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉 Asante ngoja tulie kusikliza❤❤❤❤

  • @joyellie5089
    @joyellie5089 6 หลายเดือนก่อน +1

    Duh! huu simulizi ni kama ni sehemu ya pili la simulizi ya dada fulani aliyetaka kujua ndoa ikoje,akaanza upelezi kwa dadake,mamake mdogo,kisha akaolewa akasema anaishi maisha mazuri kwa ndoa changa

    • @user-wb4nn3pd3b
      @user-wb4nn3pd3b 6 หลายเดือนก่อน

      Binti sundi dear 😊

  • @user-vj9tt8wt6d
    @user-vj9tt8wt6d 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen hatutochoka kumuomba mungu

  • @user-wc7md9nu4v
    @user-wc7md9nu4v 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wowoooo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @user-ip6hb1nq2u
    @user-ip6hb1nq2u 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana akojay nimesubiri hatimaye umeleta nimejufuza sana❤❤❤

  • @rosekariuki9145
    @rosekariuki9145 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi ndio Nina week moja tangu nijoin lakini nitahakikisha nimesikiliza story zote.... good job Anko Jay God bless you always

    • @fatimejamal1686
      @fatimejamal1686 6 หลายเดือนก่อน

      Karbu tuenjoy na anko jey❤

    • @fatimejamal1686
      @fatimejamal1686 6 หลายเดือนก่อน

      Karbu tuenjoy na anko jey❤

    • @user-sb4fj9iq6f
      @user-sb4fj9iq6f 6 หลายเดือนก่อน

      Kalibu sana

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 6 หลายเดือนก่อน +6

    Niko single na enjoy na waarabu Hadi Raha na watoto wangu wanapata kila hutaji lao la msingi sitaki shida mm na mtoto wa mtu Yani ndoa msikiye mweziyo tu 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @user-yl4zp5qd7t
      @user-yl4zp5qd7t 6 หลายเดือนก่อน +2

      👏👏👏Masinger mother kujeni hp Af 🇴🇲🇴🇲🇴🇲raha sana kila kitu bureeee kikubwa Uvumilivu tu😂😂😂tunasubir Ramadhani ( taalii) kachor sambusa vitumbua chapati nk tunashibaje krb jmn

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-yl4zp5qd7t
      Umesahau hobs sagiri😂😂😂😂😂😂 na hobs 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @FatmaHassankhamisi
      @FatmaHassankhamisi 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mwezangu wee achatu sibaduki Kwa muwarabu chezea riyal 🎉🎉🎉🎉🎉🎉hizo ndoa zipo tu 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @magrethjilya7663
      @magrethjilya7663 6 หลายเดือนก่อน

      Ebunielewesheni nami wanarabu wamewafanikishaje dear

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 6 หลายเดือนก่อน

      Hamna kuenjoy nikujikaza tu .hujui vile inaumaga mtoto anapoona watoto wengine wakiita baba

  • @omanmajan9438
    @omanmajan9438 6 หลายเดือนก่อน

    Asant san anko jei❤❤❤❤

  • @salmahasani5169
    @salmahasani5169 6 หลายเดือนก่อน

    Anko jey na dada lisA mmenigusa sana moyo wangu mmegusa maisha yangu kbs yani mimi pia nina watoto watatu wa kike na mume wangu hawapendi kbs na tayali kazaa njee ya ndowa nakapata amtakae naumia sn 😭😭😭😭😭

  • @Shadia544
    @Shadia544 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tunasikiliza hili tujuwe kimemkuta nini tena kwenye hiyo NDOA KILA MTU WAKWANZA NIMEONA NIFUTE TUU 😂😂😂😂😂

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana anko J kwa kitu kipia 😊😊🎉🎉

  • @user-jesca-2004
    @user-jesca-2004 6 หลายเดือนก่อน +1

    Siku nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-xv5ld1zy5q
    @user-xv5ld1zy5q 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndoa nikutangaza vita nappa siorahisi😢😢😢😢😢😢

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤ankojay mauwa yako jamani 🎉🎉🎉

  • @user-bf2fi2ic3n
    @user-bf2fi2ic3n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuuh ndoa bhn!!

  • @donaldchacha3059
    @donaldchacha3059 6 หลายเดือนก่อน +1

    Anko Jay kwenye hii simulizi sauti yako imetulia sana na pia Kiswahili kimekuwa fasaha na kuonyesha umairi wa kutumia methali

  • @RahmaNiyonkuru
    @RahmaNiyonkuru 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jmn jmn Ankojay mimi nataka lisa 😢

  • @user-fp8gf3ik8p
    @user-fp8gf3ik8p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante. Anko. Kwadarasa. Lakin. Tukumbuke. Ten. Palepengin. KwaLISA❤❤

  • @user-dx5tn3mp3s
    @user-dx5tn3mp3s 2 หลายเดือนก่อน

    Usiogope kuingia kwenye ndoa unapambana na kumwomba mungu ndo mtetezi wetu

  • @imanwalid6549
    @imanwalid6549 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ankoj ❤❤❤❤waiting ✋️

  • @user-di5td5gt4u
    @user-di5td5gt4u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana ankojy waoooh❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @user-ln3nu4tt5y
    @user-ln3nu4tt5y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukipata nafas ya kuiyona coment hii unijibu anko j swali na wew hua unaachwa ama kuacha na kama ni hivo je kwann usiyaishi maisha kama ya simulizi maana binafsi nikama umenitoa tongotongo kupitia simulizi nimeamka na kubadilika sana haya sijahau kwamba nawe ni binadamu unamadhaifu yako lakn

  • @user-dc2vt1dt7g
    @user-dc2vt1dt7g 6 หลายเดือนก่อน +1

    Baada ya yote pole sana ila ume sema hutaki tena ndoa chaajabu shosti umeolewa tena unauhakika na alokuoa mana hata yule wa mwanzo alianza na kuwa na mapenzi Sana na ww mwisho ilikuwaje ama unataka kuumia tena shosti tek care

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 6 หลายเดือนก่อน

    Tumengoja simulizi tukaona kimyaa asante ❤

  • @user-zj7hd6sg3y
    @user-zj7hd6sg3y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja jamani Ankojay chuku maua 🎉🎉🎉🎉 na kupenda❤❤❤❤

  • @user-pb1ug4zr1j
    @user-pb1ug4zr1j 6 หลายเดือนก่อน

    Anko umenifunza kitu mimi pia nilikua nna mpango wa kurudiana na baba watoto wangu lkn kwa funzo hili hapana nishakansel 😂😂

  • @salmakim557
    @salmakim557 6 หลายเดือนก่อน

    Acha ndoa ikae niwe na amani na furaha nikiwa na wanangu🎉

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 6 หลายเดือนก่อน

    Pamoja sana anko jay 🇴🇲❤️❤️

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mtoto ktk ndoa ni zawadi toka kwa Mungu,siyo sehemu ya ndoa

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 6 หลายเดือนก่อน

      Ila.kiubinadamu ni ngumu kukubaliana na hali halisi.hata mama yetu.sarah.na baba yetu Abraham lilwashinda kumudu pia

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 3 หลายเดือนก่อน

    Mwendo wakobe anko jay anko jay kula 5 ww ni jembe ambola mkulima analiamini kuliko kit kingne🎉🎉🎉

  • @BethMdoe
    @BethMdoe 6 หลายเดือนก่อน +2

    Afadhali umetupatia kipozeo cha Bint lisa😊

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 6 หลายเดือนก่อน

    Very stor so much ❤❤

  • @user-ll4hl6gc9k
    @user-ll4hl6gc9k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ooookey ❤❤

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yni anko jay leo nimekulaani ww ungejua😂😂😂😂yni nilisubiria sna lisa31 nlijua leo utaibwaga mna VIP wko 24 uko,,hutufanyii swa ww kaka wa mihela yni naumwa apa nlipo pangekua na maali kwa voic ungekimbia na izo kelele nakuapia😅

    • @user-uq6pb7yh6e
      @user-uq6pb7yh6e 6 หลายเดือนก่อน +1

      Pole wangu sasa unadhani 2fanyeje?mi nawashauli 2jifunze kupenda kidogo maana a2na kimbilio lingine, kiukweli anko ana mpinzani ndo maana ana2weka nyuma cc ambao cyo wa v,I,p,kama matako.

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ebu tuskilize ili janga la ndoa maana Amna dalasa gum kama ili la ndoa

  • @monicahndirangu6764
    @monicahndirangu6764 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kuanza ndoa ni kama kuanza vita usianze vita ambavyo hutaweza

  • @fatumahaji-ei5hk
    @fatumahaji-ei5hk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Leo umetuamulia asante

  • @halimachande8451
    @halimachande8451 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mie ata simchezi anko j Mpaka atutumie Binti Lissa wetu.akituma ntamchezaq

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli tukupe mauwa 🎉🎉🎉🎉❤

  • @lautz6034
    @lautz6034 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Lisa mwalla ❤❤❤

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeni🙏🙏🙏

  • @user-dx5tn3mp3s
    @user-dx5tn3mp3s 2 หลายเดือนก่อน

    Siyo wazazi wote wakike wabaya mie mamkwe wangu ni rafiki kwangu