Asante Sana mtumishi,nimeota najisaidia nimekunya mavi mengi sana Na Choo Ni ya Zamani inataka kuanguka nikaponyoka Na kutoka kushuka kidogo nikaa tena Kwa shamba nimekunya Sana.
Ndoto ingine:tuliachana 2yrs ago, nimeona tumetoka kwa mamake kuelekea mahali tulikuwa tumejenga na bwanangu.Alikuwa nyumba yangu akiwa uchi wa mnyama na Mimi mbele na watoto wetu wawili, Kufika karibu nikaona kichaka kimeanguka kwa njia hakuna pakupitia.mda si mda ,akaja akapita akiwa uchi akaniambia,nifuate tupitie apa.Akainama chini ya icho kichaka pia Mimi na watoto ndoto ikaisha
Hawezi fanikiwa, kuvaa kiatu nilichovaa kwa jina la YESU,kuchukua kazi yako kwani kwani Hiyo kazi MUNGU Anatoa kila mtu na namba yake akijaribu itakuwa ni aibu kiatu ya kuazima hiyo kiatu ya kuazima na watu watamcheka hivyo sana.
Mtoto ni huduma, na kazi yako unayofanya, viatu vipya ni utayari mpya wa hiyo kazi,viatu vipy unabadilishiwa, viatu kwa kazi (mtoto)ingine, tena na 👜 ni hiyo kazi za mikono yako.
Mtumishi,, leo nmeota tenaaaa nmejisaidia choooni nikamwita mama yangu aje anisaidie manaa nilitoa minyooo wa kwanza kwenye makalio,, wa pili akawa amebaki akaniambia nimtoe,,, nikaogopa kumshika akarudi ndaniiiii
@@RosemaryJoseph-p9n unaandamwa na roho ya miungu ya kwenu inayowazuia watu wasijisaidie (kufanikiwa) na hata wakifanikiwa wabakie wakijiuguza, na umaskini na kurudi nyuma kimafanikio.
Asante Mungu. Wiki hii nimeota najisaidia haja kubwa niliogopa na kujisikia vibaya nikajua ndoto ya kuhaibika sababu nilipokuwa najisaidia kuna watu wawili wananiangalia nikaona ndoto ya fedhea.
Mm nimeota kuwa nilikuwa najisaidia haja kubwa chooni na mbele yangu kulikuwa na umati wa watu .kisha nikafunga pazia ili wasinione baadae wakatokezea watu wawili wakaanza kuniongelesha nikiwa najisaidia ina maana gani
Nimeota nimejisaidia kwenye kopo halafu nikalibeba hilo kopp kwenda kumwaga chooni lkn eneo hilo lilikuwa na watu wengi sana mtu mmoja akachungulia akona kinyesi
Nimeota nimejinuea tena kwakuhalisha nkaenda choon nkakakuta maji hakuna nkarudi ndani kuchukua maji mara yakawa yanatoka humo ndan nikawa nazoa nayatupa mbel yamlango namara nabibi yangu akaamza kuhalisha akaenda choon akarudi amejichafua lakin kwanje kwambali kidogo kulikuwa naumati wawatu nsaidie mtumishi nin maana yake
Poti la mtoto ni mafanikio yanahusu kazi kipato au ni huduma yako, kuna mafanikio ulitakiwa uyapate katikati ya watu, kwa sababu yakuwaonea aibu watu, na ukiwaonea aibu watu hutajisaidia utashindwa kufanikiwa
Mimi nimeota nimejisaidia katikati ya watu walikuwa na sherehe mara pale pale nikawanaulizia samaki walikuwa wanauzwa nikawa nachagua mara wakafungua shampen nikapewa nikawa nakunywa
mtumishi mi nimeota najisaidia chooni kinyesi muda mrefuu alafu nilipomaliza nikamwaga maji choon choo kikajaa kinyesi kikaanza kupita adi kweye shimo la choo
@@RachelMisango-b5u kuna eneo ulipokuwa unafanikiwa au kusaidika hapo unajulishwa muda wa kuendelea kusaidika hapo umeisha tunza ulichopata kitakusaidia mbele bali usilazimishe kuendelea kujaribu uendelee na hapo hapata kusaidia
@@EmanuelLema-wl8ir ndoto yako imejirudia mara mbili, MUNGU amekusudia ufanikiwe duka,ni mfumo unaukuluhusu kununua na kuuza,chumbani ni kwa usiri,au kwa ndoa.
Jinalangu julia samuel niko moçambiq.Mim nimeota naoga cumbani badae nikajisaidi ukouko aja kubwa badae nikaenda choni nikajisaidia tena,nikarudi tena chumani nikakuta kinanuka sana nikachukua naendakukitupa nika stuka. na iko kinhs kilichnganika na yale maji nlioyaoga. Manaek nin? Nielewe vizuri kwasababu sijui kuandika kishuail.
Kuoga ni utakaso kusafishwa 🌟 KIMAFANIKIO, kinyesi ni kufanikiwa kutoka hapo, 🏠 nyumbani lakini na chooni kazini kwako utafanikiwa,sasa kwa nini? Kinanuka uwe makini utasaidika hapo nyumbani lakini ukatupa kuwekeza kwa biashara ikapotelea huko, au ukamkopesha WATU wengine, Usiitupe HAJA yako ni HITAJI lako ( haja hitaji). Omba Rehema toba adui asipate kutumia mikopo yako kupoteza haja au hitaji lako.
Pia uwe makini wakati unaenda kufanikiwa(kusaidika au kujisaidia haja yako(, ni HITAJI lako) Epuka kuwa mgomvi wala maneno maneno yataweza kusababisha hiyo haja yako ukaitupa (kunuka ni kukuchafua kiugomvi. utakaopelekea ukaitupe na kupoteza HITAJI lako au haja yako kwa maneno maneno yako(mikono yako).
@@RosemaryJoseph-p9n upo kipindi cha kufanikiwa jambo ila unahitaji msaada wa Mungu kwani kuna upinzani wa nani awe zaidi ya mwengine kufanikiwa ndivyo ilivyokuwa kwa Yakobo na Esau.
Mm nimeota nimejisaidia ktkt yawatu yakadondoka kdg mengine yakashindwa kutoka nikajikuta niko nyumbani bafuni yakanitoka tena mafungu mafungu nikataka kuyazoa mdogo wangu? akaingia choon kisha ndoto ikaisha inamaana gani
Kujisaidia, ni kufanikiwa kazini au kazi ni nguo,kufanikiwa kunakotokana na kazi safisha pia ni vizuri baada ya kuwekewa zuio kwa mda sasa unafanikiwa vizuri,ndio kuoga.
Kujisaidia umesimama kupata msaada kimafanikio huku ikiwa imara isioyumbishwa hali unasimamia imani yako na unachoamini, kusafishwa kuondolewa makosa au hatia au usijichafue wakati unafanikiwa kwa hicho utakachosaidi usibakie na makosa au lawama, hatia
Mimi nimeota nimejisaidia kwenye nguo za mume wangu nikafutia kwenye koti lake nikaweka kwenye ndoo naenda kusafisha nikaweka pemben sijui inamaana gani
Kuandamwa na roho ya kuzuia usifanikiwe, na kucheleweshwa, kusubirishwa, omba toba kwa MUNGU kama kuna maneno yatalitamkwa popote maishani ili usifanikiwe, yavunjwe hayo kwa Damu ya YESU.
Mm nimeota kuwa nilikuwa najisaidia haja kubwa chooni na mbele yangu kulikuwa na umati wa watu .kisha nikafunga pazia ili wasinione baadae wakatokezea watu wawili wakaanza kuniongelesha nikiwa najisaidia ina maana gani
Asante Sana mtumishi,nimeota najisaidia nimekunya mavi mengi sana Na Choo Ni ya Zamani inataka kuanguka nikaponyoka Na kutoka kushuka kidogo nikaa tena Kwa shamba nimekunya Sana.
Ahsante sana mtumishi wa Mingu
Very powerful and inspiring be blessed abundantly
Amina.
Powerful, God bless you
Amina God bless you all
HALELUYAAAA!!! MUNGU!! UTABAKI KUWA MUNGU❤
Thank you God bless mtu wa mungu na akuongezee
Amina, God bless you
Ndoto ingine:tuliachana 2yrs ago, nimeona tumetoka kwa mamake kuelekea mahali tulikuwa tumejenga na bwanangu.Alikuwa nyumba yangu akiwa uchi wa mnyama na Mimi mbele na watoto wetu wawili, Kufika karibu nikaona kichaka kimeanguka kwa njia hakuna pakupitia.mda si mda ,akaja akapita akiwa uchi akaniambia,nifuate tupitie apa.Akainama chini ya icho kichaka pia Mimi na watoto ndoto ikaisha
Thank you, God bless you.ndoto ingine..kutoka adui wako anavaa kiatu ulichokivaa wewe nini maana yake
Hawezi fanikiwa, kuvaa kiatu nilichovaa kwa jina la YESU,kuchukua kazi yako kwani kwani Hiyo kazi MUNGU Anatoa kila mtu na namba yake akijaribu itakuwa ni aibu kiatu ya kuazima hiyo kiatu ya kuazima na watu watamcheka hivyo sana.
@@GodfreyMwalongo-yg7tq kuota mtoto wako amepewa viatu mpya na vimepigwa rangi na wewe umepewa mfuko au handbag
Mtoto ni huduma, na kazi yako unayofanya, viatu vipya ni utayari mpya wa hiyo kazi,viatu vipy unabadilishiwa, viatu kwa kazi (mtoto)ingine, tena na 👜 ni hiyo kazi za mikono yako.
@@GodfreyMwalongo-yg7tqk
Amina
Ubalikiwe mwana wamungu nimeelewa
Ahsanteee mungu
Ubalkiwe sana mtumishi
Amen 🙏🙌
Amen
Emeen asante Yesu kwamaana umenifungua nasasa ni huru🙏🏾🙏🏾
Mtumishi,, leo nmeota tenaaaa nmejisaidia choooni nikamwita mama yangu aje anisaidie manaa nilitoa minyooo wa kwanza kwenye makalio,, wa pili akawa amebaki akaniambia nimtoe,,, nikaogopa kumshika akarudi ndaniiiii
@@RosemaryJoseph-p9n unaandamwa na roho ya miungu ya kwenu inayowazuia watu wasijisaidie (kufanikiwa) na hata wakifanikiwa wabakie wakijiuguza, na umaskini na kurudi nyuma kimafanikio.
Amiin amiin amiin
ameen
Amen nimeshinda jina la bwana lipewe sifa
Amen barikiwa.
Jamani mi nimeota natema kinyesi kupitia mdomoni@@GodfreyMwalongo-yg7tq
Asante Mungu. Wiki hii nimeota najisaidia haja kubwa niliogopa na kujisikia vibaya nikajua ndoto ya kuhaibika sababu nilipokuwa najisaidia kuna watu wawili wananiangalia nikaona ndoto ya fedhea.
@@HappyKletus utakuwa ukifanikiwa huku watu wakishangaa, wanakutazama.
@@GodfreyMwalongo-yg7tqmimi niliota najisaidia ila kuna mwanamke moja na mwanaume nikawq na jipangusa uku naitisha
Aaamen
Mm nimeota kuwa nilikuwa najisaidia haja kubwa chooni na mbele yangu kulikuwa na umati wa watu .kisha nikafunga pazia ili wasinione baadae wakatokezea watu wawili wakaanza kuniongelesha nikiwa najisaidia ina maana gani
Nimeota nimejisaidia kwenye kopo halafu nikalibeba hilo kopp kwenda kumwaga chooni lkn eneo hilo lilikuwa na watu wengi sana mtu mmoja akachungulia akona kinyesi
Nimeota nimejinuea tena kwakuhalisha nkaenda choon nkakakuta maji hakuna nkarudi ndani kuchukua maji mara yakawa yanatoka humo ndan nikawa nazoa nayatupa mbel yamlango namara nabibi yangu akaamza kuhalisha akaenda choon akarudi amejichafua lakin kwanje kwambali kidogo kulikuwa naumati wawatu nsaidie mtumishi nin maana yake
Bwana Yesu asifiwe mtumishi mimi nimeota najisaidia kwenye nguo hii ina maana gani??
Usiogope 👗 nguo ni kubadilishiwa kazi na kusaidika au kufanikiwa kwenye kazi mpya au huduma au unachokifanya kwa watu.
@@GodfreyMwalongo-yg7tqbwana Yesu asafiwe mtumishi mi nimeota nimetema kinyesi kupitia mdomoni nini mana yake🙏
Nimeota najisaidia kwenye poti lamtoto la bluu mbele zawatu lakin haja kubwa haikutoka nikaacha hapa nyumban kwangu kibalazan maana yake nin
Poti la mtoto ni mafanikio yanahusu kazi kipato au ni huduma yako, kuna mafanikio ulitakiwa uyapate katikati ya watu, kwa sababu yakuwaonea aibu watu, na ukiwaonea aibu watu hutajisaidia utashindwa kufanikiwa
Nmeona najisaidia haja kubwa kwenye Choo Kisha wakati nmemaliza mlango ikawa nyembamba yenye mtu hawezi pita .lakini nilijizukuma mpaka nikatoka nje
@@FaithNgazi Adui alikuapiza au alikufunga kuwa hata kama ukifanikiwa usitoke kimafanikio au usiendelee.
Mimi nimeota nimejisaidia katikati ya watu walikuwa na sherehe mara pale pale nikawanaulizia samaki walikuwa wanauzwa nikawa nachagua mara wakafungua shampen nikapewa nikawa nakunywa
mtumishi mi nimeota najisaidia chooni kinyesi muda mrefuu alafu nilipomaliza nikamwaga maji choon choo kikajaa kinyesi kikaanza kupita adi kweye shimo la choo
@@RachelMisango-b5u kuna eneo ulipokuwa unafanikiwa au kusaidika hapo unajulishwa muda wa kuendelea kusaidika hapo umeisha tunza ulichopata kitakusaidia mbele bali usilazimishe kuendelea kujaribu uendelee na hapo hapata kusaidia
❤❤❤❤
Shalom mtumishi nmeota ndoto najisaidia kwenye duka ndoto yapili kujisaidia chumbani katkati ya watu nini maana
@@EmanuelLema-wl8ir ndoto yako imejirudia mara mbili, MUNGU amekusudia ufanikiwe duka,ni mfumo unaukuluhusu kununua na kuuza,chumbani ni kwa usiri,au kwa ndoa.
Jinalangu julia samuel niko moçambiq.Mim nimeota naoga cumbani badae nikajisaidi ukouko aja kubwa badae nikaenda choni nikajisaidia tena,nikarudi tena chumani nikakuta kinanuka sana nikachukua naendakukitupa nika stuka. na iko kinhs kilichnganika na yale maji nlioyaoga.
Manaek nin? Nielewe vizuri kwasababu sijui kuandika kishuail.
Kuoga ni utakaso kusafishwa 🌟 KIMAFANIKIO, kinyesi ni kufanikiwa kutoka hapo, 🏠 nyumbani lakini na chooni kazini kwako utafanikiwa,sasa kwa nini? Kinanuka uwe makini utasaidika hapo nyumbani lakini ukatupa kuwekeza kwa biashara ikapotelea huko, au ukamkopesha WATU wengine, Usiitupe HAJA yako ni HITAJI lako ( haja hitaji). Omba Rehema toba adui asipate kutumia mikopo yako kupoteza haja au hitaji lako.
Pia uwe makini wakati unaenda kufanikiwa(kusaidika au kujisaidia haja yako(, ni HITAJI lako) Epuka kuwa mgomvi wala maneno maneno yataweza kusababisha hiyo haja yako ukaitupa (kunuka ni kukuchafua kiugomvi. utakaopelekea ukaitupe na kupoteza HITAJI lako au haja yako kwa maneno maneno yako(mikono yako).
Mm nimeot najisaidia choon kabisa
UKIOTA UNAJISAIDIA HAJA Chooni ni hivyo hivyo unaenda kufanikiwa kuanzia hapo ulipoota mpaka kwenye kazi yangu.
Naniliota kalibu safar tatu mtoto wangu anatembea lakini ana umri wa miezi 5 inamaana gani?
@@HusnaKassim-h7p mtoto ni kazi yako au unachokilea na kukisimamia ni kazi au kuhudumia.
Asante
Niliota nataka kujisaidia ila ndugu yangu alinizingira nikashindwa... kwa hiyo ndoto iliishia nikiwa nimebanwa haja.
@@RosemaryJoseph-p9n upo kipindi cha kufanikiwa jambo ila unahitaji msaada wa Mungu kwani kuna upinzani wa nani awe zaidi ya mwengine kufanikiwa ndivyo ilivyokuwa kwa Yakobo na Esau.
Leo nmeota numekunya mnyoooo mrefu,, ila akabaki mmoja makalioni,,,,
Ni utakaso unatoa uchafu😅
Mm nimeota nimejisaidia ktkt yawatu yakadondoka kdg mengine yakashindwa kutoka nikajikuta niko nyumbani bafuni yakanitoka tena mafungu mafungu nikataka kuyazoa mdogo wangu? akaingia choon kisha ndoto ikaisha inamaana gani
Mm niliota nimejiharishia kwenye nguo nikiwa nimelala nilivyo amka nikaenda kuoga
Kujisaidia, ni kufanikiwa kazini au kazi ni nguo,kufanikiwa kunakotokana na kazi safisha pia ni vizuri baada ya kuwekewa zuio kwa mda sasa unafanikiwa vizuri,ndio kuoga.
Amina zaidi nilivyooga nikavaa nguo nyeupe nilivyo amka nilikuwa nafuraha sana
Mimi sijaota nipo choon ila nmeota ndo naenda choon ina maana gan
@@HeriOmary-v1l unaelekea msimu wa kuingia kufanikiwa jambo na bado ndoo unaenda.

Nisaidie nimeota najisaidia kwa mstuni hapo kulikuwa na mti wa mapera mbichi na zingine zimeiva
Mapera ni harufu nzuri ya kufanikiwa katikati ya watu (msitu)walo kusonga ili usifanikiwe
Sio Shauri! Ni Sauli
Jina lake halisi ni Shauli
Kiukweli nimeotaa saana hii ndoto imenitesa Mika kalibia 11 nimetafutamaanaa saivi ndio nimeelewa ni mala ya pili now
Kuota unajisaidia huku umesimma
Alafu mtu anakuja kukuchukua anakupeleka sehemu ukaoge ujisafishe
Kujisaidia umesimama kupata msaada kimafanikio huku ikiwa imara isioyumbishwa hali unasimamia imani yako na unachoamini, kusafishwa kuondolewa makosa au hatia au usijichafue wakati unafanikiwa kwa hicho utakachosaidi usibakie na makosa au lawama, hatia
Ukiota kaka ako anajisaidia haja KUBWA na kisha ukamsafisha kwenye MTO mkubwa ambao yale maji yanaenda hii ina mana gani
NAOMBA unitoe tafsiri
Kufuatilia mafundisho ya kiroho(maji) yanayoenda kwa watu katika maneno utakayotamka hakika mafundisho haya ya kiroho ni safi ni sawa.
Mtumishi nipe tafsiri tafadhali, nimeota mtu ananiambiya niweke cheti changu chashule vizuri kisichafuke japo nimeacha shule kitambo nasija maliza shule
Mimi nimeota nimejisaidia kwenye nguo za mume wangu nikafutia kwenye koti lake nikaweka kwenye ndoo naenda kusafisha nikaweka pemben sijui inamaana gani
Ukiota umejisaidia haja kubwa mbele za watu kwenye sherehe tena kwenye kiti inamaagani kisha mamaangu akafuta
Mimi nliota natafuta pa kujisaidia kila ninapotaka kujisaidi watu wanatokea naacha