UKIOTA UNAJISAIDIA HAJA KUBWA | AU UMEIONA | HII NDIO MAANA YAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 227

  • @nzirubusakhamissi3329
    @nzirubusakhamissi3329 2 ปีที่แล้ว +12

    Ustadh unatafsir vizur san lakin unazunguz san yaan unaelez huk na kul unawez ukamsif allah nakumsalia mtum juu yake rehm na aman nakuingia moj kwa moj kweny mad inshallah

  • @mkingaboy550
    @mkingaboy550 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe unachelewa sana mazungumzo ya akuwa mengi Sana tafadhali shekhe🤝

  • @Matiherbalist
    @Matiherbalist 2 ปีที่แล้ว +28

    Jamani bando litaisha kabla kuskia maana ya ndoto, kuwa na kauli fupi fupi . Una strori nyingi Sana

  • @alimussahimidi8185
    @alimussahimidi8185 ปีที่แล้ว +2

    Allah akubariq san ustadh wangu nimekuwa nikioa japo mara moj kwa mwez subhanallah

  • @WinifridaKabelege-ip4dq
    @WinifridaKabelege-ip4dq ปีที่แล้ว +1

    Shukuran sana sheikh,,Allah akujalie kheri🙏

  • @anliomaromar7163
    @anliomaromar7163 3 ปีที่แล้ว +5

    Shukrani sana mualimu somo adhimu kabisa mungu akulinde milele daima

  • @saidjoka1282
    @saidjoka1282 2 ปีที่แล้ว +15

    UNAONGEA SANAAA

  • @africansmile101
    @africansmile101 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana kwa kuelewesha jamii kuhusu njozi tunaoya

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani shekhe

  • @euniceeregwa5002
    @euniceeregwa5002 2 หลายเดือนก่อน

    Good advice 💯

  • @ااجج-ط5د
    @ااجج-ط5د 4 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana sheikh kwa mafunzo yako

    • @nyumbayatibanadua737
      @nyumbayatibanadua737 4 ปีที่แล้ว

      Amina yaarabiy

    • @fatumastani2712
      @fatumastani2712 4 ปีที่แล้ว

      Barikiwa saana shikh mafunzo yako Mimi nimeota mtoto mdogo ambae ni alubino ananialishia kwa mfurulizo kama mpolomoko maana yake nini

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 3 ปีที่แล้ว +5

    Baarakallah fiika

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 ปีที่แล้ว +5

    Asante Shekhe mwenyezi mungu akubarik

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 2 ปีที่แล้ว +2

    Sitori nyingi tatizo Hira ni nzur

  • @rahmaabdulrahmaabdul1781
    @rahmaabdulrahmaabdul1781 4 ปีที่แล้ว +2

    Asalam alekum. Shukran sheikh kwa kutupa elimu allha akubariki na akutie katika pepo yake kwa rehma zake mimi nimeota nimejisadia kwetu njee ya choo lakini kwenye yale mabakuli ya watoto lakini lilikua kubwa na hiyo haja kubwa haina harufu yoyote

  • @FatmaPandu-n8m
    @FatmaPandu-n8m 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani sema bas nimeunga buku tu😢😢

  • @ronasapura3517
    @ronasapura3517 3 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuri maalim

  • @hadijamohd6028
    @hadijamohd6028 หลายเดือนก่อน

    Shehe unazunguka sana

  • @shadiahborandi2687
    @shadiahborandi2687 4 ปีที่แล้ว +4

    Walaykum salama warhmatullahu wabarakatuh sheikh

  • @MalikiHashim-bb6uh
    @MalikiHashim-bb6uh ปีที่แล้ว

    Kuota njozi shekh na watoto wadogo wanasoma qulani kwa furaha ndani ya moy

  • @redymbuba111
    @redymbuba111 3 ปีที่แล้ว

    Asante Kwa kutufundisha

  • @lushingeemmanuel1088
    @lushingeemmanuel1088 4 ปีที่แล้ว

    asante kwa tafsri hyo, mmi niliota nakusanya kinyesi sjui itakuw na maan gan hyo ndoto samhn lkin

  • @qwnlynuzlah3115
    @qwnlynuzlah3115 4 ปีที่แล้ว +4

    Shukran Sheikh,,,JazzakaAllahu Kheyr,,Na Kama Umeota Umepigana Na dadako Inamaanisha Nini Sheikh,?

    • @nyumbayatibanadua737
      @nyumbayatibanadua737 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni amali ya shetani

    • @qwnlynuzlah3115
      @qwnlynuzlah3115 4 ปีที่แล้ว

      @@nyumbayatibanadua737 amali yake kivpi inamaana iyo ndoto sio nzuri shekhe

    • @seifbashir6393
      @seifbashir6393 4 ปีที่แล้ว

      Ana imanisha Hainaut maana ni naoto tu ya shetani

  • @MelissaSaidy-q8i
    @MelissaSaidy-q8i 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nimeota nimemkuta mume wangu anajisaidia haja kubwa choon nyingi Sana kufungua mlango akastuka

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 3 ปีที่แล้ว +7

    Baba unazunguukaa Sana, mpaka kero, nenda moja moja kwenye Mada, unapoteza mb zetu

  • @anthonycleophace8064
    @anthonycleophace8064 3 ปีที่แล้ว +1

    Akika unafanya kazi vzr Sana Kaka,

  • @alawahmad7848
    @alawahmad7848 2 ปีที่แล้ว +4

    Maneno mengi zungumza lilokusudiwa

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว +6

    صلى الله عليه وسلم

    • @rosemerengary1834
      @rosemerengary1834 3 ปีที่แล้ว

      Maneno ni mengi mnoo ungekuwa unaenda straight to the point

  • @mariammariam642
    @mariammariam642 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani

  • @JamilaOmarl-j7d
    @JamilaOmarl-j7d 7 หลายเดือนก่อน

    Mim nimeota boss wangu akijisaidia haja kubwa chooni.inamaana gani

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว +5

    Amiina yaarabbi

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 4 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sna sheikh wetu

  • @RuthMwaikaja-p1b
    @RuthMwaikaja-p1b 28 วันที่ผ่านมา

    Tatizo maelekezo mengi ila upo vzr

  • @mariamkizanga9573
    @mariamkizanga9573 ปีที่แล้ว +2

    maneno mengi shekhe tafadhal

  • @habari5802
    @habari5802 ปีที่แล้ว

    Shekhey Mimi najisaidiy ndani

  • @ShadidashafyTv
    @ShadidashafyTv 3 ปีที่แล้ว +2

    Warrykum Salam wallahmatullah wabarakat

  • @karimbhai1980
    @karimbhai1980 10 หลายเดือนก่อน

    Nataka kujua maana y ndoto yangu, nimeota nikienda chooni n familia n hapali penyewe ni pachafu sana, alafu baba yangu pia ametoka chooni n mmi nimeingia hadi nashindwa kujisaidia juu y uchafu n naona wengine wanarusha maji chafu y choo n mkono, mmi nikatafuta maji y kujisafisha nikapata maji y mvua ikitoka kwa mabati nikatumia kujiosha nikiwa nimesimama n nikaanza kutawadha pia nao

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante xana sheikh lakini ukiota umepata haja kubwa kwa nyumba

  • @anethzephulin490
    @anethzephulin490 3 ปีที่แล้ว +6

    Unahadisi mpaka hamu ya kusikiliza inaisha punguza maneno

  • @muragizinourah1042
    @muragizinourah1042 ปีที่แล้ว +1

    Allahu akbaru

  • @PriscaShilinde
    @PriscaShilinde หลายเดือนก่อน

    Ustadh mm mimeota natapisha choo Cha jiran Tena kile kinyesi kilikuwa tepetepe kinajulizika kama maji nn maana yake ustadh?

  • @elestinadagadaga1706
    @elestinadagadaga1706 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh stor ndefu had nasinzia

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @OmanOma-xi3hm
    @OmanOma-xi3hm ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @aysherkitoi1845
    @aysherkitoi1845 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nimeota mara ya 2 sasa mara ya kwanza nakunya kitandani na kuna watu waliyapokea lkn ckuwaona na nikashtuka mara ya 2 nimeota nimeenda shambani nikaona mavi nikayaruka nikanya pembeni mara4 sehemu tofauti

  • @OmanOma-xi3hm
    @OmanOma-xi3hm ปีที่แล้ว

    Shekhe namba yko tafadhali

  • @AntoniaRyoba
    @AntoniaRyoba 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unakera sana unamaneno mengiunatumalizia muda hatuhitji kiarabu hicho jalibu kupunguza maneno

  • @janethmunisi5024
    @janethmunisi5024 4 ปีที่แล้ว +16

    Mbona me nilishoota najisaidia mara kwa mara ila sijwi kupwa na mikosi hiyo me kwanza ndio huwa napta pesa sana

    • @Ashsultana
      @Ashsultana 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ndoto za mavi najua ni kupata pesa

    • @catherineelias5108
      @catherineelias5108 4 ปีที่แล้ว

      Mimi mwenyewe nikiota mavi lazima nipate pesa

    • @husnamohammed8199
      @husnamohammed8199 3 ปีที่แล้ว

      Sadakta na mm ndo napata pesa naota nimeingia mavi gauni langu napata pesa

    • @husnamohammed8199
      @husnamohammed8199 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Ashsultana kweli mm nikiota lazima napata pesa hahahaha

    • @leahleverian
      @leahleverian 8 หลายเดือนก่อน

      Hizi tafsir mungu atusaidie Kila mtu anatafsir zake sijui tumwamin nan

  • @gorretmarynasike9803
    @gorretmarynasike9803 4 ปีที่แล้ว +14

    Story ndefu sana naweee aah

  • @hamiduahmadi3854
    @hamiduahmadi3854 ปีที่แล้ว +1

    Nenda kwenye hoja ya msingi,

  • @allymuhammad325
    @allymuhammad325 3 ปีที่แล้ว +1

    TAtizo la huyu jamaa anazunguka sana

  • @LoveEzekia
    @LoveEzekia หลายเดือนก่อน

    mmh maneno mengi jaman

  • @azizahassan939
    @azizahassan939 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe mm nimeota najisaidia chumbani kwangu chini ya sument kisha nikaizoa kwenye karatasi nyeupe nikawa naipereka chooni ila nilipofika ukumbini ikadondoka nikaizoa tena ila nikaacha kidogo pare chin ukumbin kisha nikaenda kuipereka chooni inamaana gani iyo

  • @eshashamu7663
    @eshashamu7663 2 ปีที่แล้ว +1

    Ustadh je ukiota umekatwa na paka manaeke nini

  • @halimafimbo4890
    @halimafimbo4890 ปีที่แล้ว

    Asalam aleykum shekhe nimeota nimenyewa kinyesi na mtoto nilie mbeba mwli mzima

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah atujaalie salama inshaallah

    • @notbrugakiwia3565
      @notbrugakiwia3565 2 ปีที่แล้ว

      Je anayeota kunya ofisini maana yake Nini?

  • @MariamMavuo-yq4zc
    @MariamMavuo-yq4zc ปีที่แล้ว

    Assalam aleikum..samahani kaka mimi nimeota watu wamebeba mithili ya jeneza halikai kama jeneza unavyoliona ila limebebwa juujuu kama watu wanavyobeba jeneza kumaanisha ilo ni jeneza lkn sijui kama ndani mna mtu wala hamna na watu waliolibeba hawapokezani kama watu wanavyofanya limeenuliwa juujuu na watu kama watatu hivi kisha wengine wanatembea tu kando huku wakiongea stori zao na kucheka..naomba unitafsirie

  • @maryshiko2380
    @maryshiko2380 2 ปีที่แล้ว

    Mm nimeota nakunya na wenzangu walikuwa kisha nikaifunika vizuri. Haikunuka na n mingi mapunde matatu

  • @latifasuleiman7527
    @latifasuleiman7527 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mimi nimemuota mtu kajisaidia kwenye siruali halafu nikakisafisha

  • @ahmadally243
    @ahmadally243 4 ปีที่แล้ว +2

    Nenda kwenye tropic mbwe mbwe nyingi mpaka mtu unachoka

  • @jenniferevaris5216
    @jenniferevaris5216 ปีที่แล้ว

    Me nimeota nimeona kinyesi ndan kwangu

  • @ayubugeorge2168
    @ayubugeorge2168 3 ปีที่แล้ว +2

    SHEHE UNATUFUNZA SANA LAKINI JITAHIDI KUPUNGUZA UREFU WA VIDEO JARIBU KUPUNGUZA UREFU WA VIDEO

    • @bakarifakih4228
      @bakarifakih4228 ปีที่แล้ว

      anamaneno mengi kisha anaongea polepole

  • @adamsnyakundi4427
    @adamsnyakundi4427 4 ปีที่แล้ว

    Mafunzo poa.but mimi uota nikiona watu wakijizaidia au mtoto wangu amejizaidia kwa sahani na plis sijui maana yake.naomba kujua

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 2 ปีที่แล้ว

    Shkh anzisha group la telegram

  • @zaituniabdallah
    @zaituniabdallah ปีที่แล้ว

    Mm nimeota marehemu alokufa zamani ndo amehara kwenye sinki jeupe

  • @nadiaharoon9648
    @nadiaharoon9648 ปีที่แล้ว

    Asalamu Aleikumu Allahu akuhifadhi,nauliza ukiota umebeba choo kwakichwa naiko nakinyesi ndani manayake nini?

  • @asmasaid-ln2fc
    @asmasaid-ln2fc 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota nimeona haja kubwa kwa shimo la choni na alofanya hiyo haja kubwa ni ndugu ya wa kiume na kwenye hiyo haja kubwa iko miguu ya kuku.

  • @ZainabuKassim-l1c
    @ZainabuKassim-l1c 3 หลายเดือนก่อน

    Asalaam alykum, mi nimemuotea mdogoangu amejisaidia haja kubwa na alikua ammesimama mgongoni kwa mama, na alipoanza kujisaidia mi ndo nilikua wa kwanza kuona na kikaishika na nikaenda kunawa mkono kwa haraka. Sijui inamaana gani?

  • @theresiandumbaro7862
    @theresiandumbaro7862 ปีที่แล้ว

    Ukiota umepata haja kisha ukaisangaa

  • @aishaha3890
    @aishaha3890 3 ปีที่แล้ว

    Salam aleikum mmi nimesha wota ninekwenda sehem nikauta Iyo fasi pakubwa pote Pana haja kubwa Ila ayato harufu

  • @fatmasaiderick1935
    @fatmasaiderick1935 4 ปีที่แล้ว +5

    A,aleykum shekhe,m nimeota mtoto wangu kajisaidia haja kubwa kitandan kwenye mashuka nikawa nakusanya kuyatowa haja ikawa imenitapakaa na mm,nn maana yake

    • @nussramussa5507
      @nussramussa5507 3 ปีที่แล้ว

      Mm Nikita hivyo napata pesa nyingi sana

  • @royalroyal8633
    @royalroyal8633 2 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @azizahassan939
    @azizahassan939 3 ปีที่แล้ว

    Nimeota watu wengi wanajisaidia kwenye mchanga mm nikazoa kwa mkono nikatia kwenye mfuko mweupe nikaondoka nayo ile haja kubwa zenyewe zilikuwa ngumu zingine lain lakin sio sana zote nimebeba nikaondoka uku nacheza yani nachekerea na ule mfuko nimeubeba nn maana yake

    • @faidamuhamed3011
      @faidamuhamed3011 2 ปีที่แล้ว

      Hela hizooooooo jmn ukishazifuma nistue

  • @suzyjoseph2367
    @suzyjoseph2367 2 ปีที่แล้ว +1

    Punguza simulizi, elekeza kwenye lengo husika

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota hajakubwa inanitoka lkn nnanguo zang watu wananishangaaa lkn mimi naenda mbio kubwa na ona haya jeee inamana gani

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu 6 หลายเดือนก่อน

    Asate

  • @dianarichardkiri1318
    @dianarichardkiri1318 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota najisaidia kwenye sinki la choo lkn liko wazi ila nilihisi hamna anaye niona kumbe nilionekana nikasahau kuflash nikaondoka baadae nikapita tena maeneo hayo watu wakanivaa na kunichamba kisa cjaflash choo niliona aibu Sana na kuwaomba msamaha kwamba kichwa kinamamambo mengi nilijisahau wakanielewa

  • @MejumaaJuma-l4l
    @MejumaaJuma-l4l 9 หลายเดือนก่อน

    usthani mm mara ya kwanza niliota nanguka choni ama shimo la choo lakini nikaingiya mguu moja Kisha nikang'ana nikatoka mara ya pili najaita najisaidiya lakini kando ya lile shimo la choo mara ya tatu nikaota najisaidiya pahali ambapo sipajui Kali nilikuwa na rafiki yangu Kisha akakifinika kile choo alafu nikamka lakini choo kile kimekuwa kama muharooo

  • @sarahwanjiru6121
    @sarahwanjiru6121 2 ปีที่แล้ว +1

    Ewe nawe waongea sana,kitambo ufikie hu

  • @mr.macintosh5687
    @mr.macintosh5687 3 ปีที่แล้ว +1

    Punguza story shekh unaboa

  • @zahraalfani1845
    @zahraalfani1845 ปีที่แล้ว

    Mim nimeota najisaidia chumban kwangu mavi nimengi sana yani nimengi mno

  • @fatumathabit6498
    @fatumathabit6498 3 ปีที่แล้ว +18

    Nzur lkn stori nyingi😁😁

  • @elizabethg.mwaijande5030
    @elizabethg.mwaijande5030 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimeota ndoto kuhusu kinyesi lakn nimefatilia kuhusu tafsiri ...kila mmoja ana tafsiri ya pekeake mpaka sasa sijapata tafsiri sahihi.

  • @aminimirambo2452
    @aminimirambo2452 3 ปีที่แล้ว

    ACHA UJINGA SHEKHE WEWE...MJINGA WEWE. UNASOMA QURAN UTAFIKIRI UMEMEZA MAV

  • @ruqaiyyalema2945
    @ruqaiyyalema2945 4 ปีที่แล้ว

    Ustaz nimeota ngamia mweupe anatoka juu anakimbia anakuja kama chn

  • @mariamumakala6146
    @mariamumakala6146 2 ปีที่แล้ว

    Nimeota nimejisaidia haja kubwa nikazoa kwa mikono yote miwili nikatia kwenye mfuko nikatupe lkn sikuwai kwenda kutupa

  • @rahmadizer1744
    @rahmadizer1744 3 ปีที่แล้ว +1

    Mi naota naona sana haja kubwa

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu bwana anakula mb kwakitu kidooigo had hovyo jirekebishe bwana

  • @ZawadiBenjamin
    @ZawadiBenjamin 5 หลายเดือนก่อน

    16:30

  • @hidayah1295
    @hidayah1295 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe naomba unijibu Mimi niliota najisaidia chooni ila choni kwenye we ni chumbani ninapo lala ila hapana choo. Yani ni chumba NA choo chake ila sikwenda chooni nilijisaidia chumbani ila najuwa nipo chooni BOSI wangu akaingia NA mtoto wake mdogo akaniita Mimi sikuitaka ila alivyo ingia chumbani akaniona nimekaa katika choo yule mtoto akataka kunifwata ila mama yake akamwambia nipo najisaidia chaajabu kulikuwa hakuna halufu baosi akatoka Mimi nikawa najiuliza kwanini sukuenda kujisaidia chooni nipo hapa chumbani.. Naomba unijuzee

  • @tzinvestigate5002
    @tzinvestigate5002 ปีที่แล้ว +1

    tatizo huendi kwenye poit unazunguka saaaana
    mtu anashindwa kukusiliza mpaka ,mwisho

  • @mariamkitwana6148
    @mariamkitwana6148 2 ปีที่แล้ว +1

    tatizo unamaelezo meengi hadi tunaishiwa kifurushi hata mada hatujaiskia

  • @nailamohamed206
    @nailamohamed206 3 หลายเดือนก่อน

    Fupisha kidogo

  • @hawamohamed4281
    @hawamohamed4281 4 ปีที่แล้ว +1

    Sheikhe je ukiota nyuki

  • @MejumaaJuma-l4l
    @MejumaaJuma-l4l 9 หลายเดือนก่อน

    27:33

  • @tantinebahati8031
    @tantinebahati8031 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalam alaykum
    Mimi nimeota kma mwanangu anajisaidiza afu Mimi njoo nakizowa mana yke Nini??

  • @SharifaWaridu
    @SharifaWaridu 9 หลายเดือนก่อน

    napenda chanel yako ila me nimelia kwa kumuhurumia mjukuu wa dada yangu ambaye n mgonjwa ila nkamuona anajichoma sindano mwenyewe maeneo ya pajani ndio nikaanza kubujikwa na machozi huku nkisema Allah atamfanyia wepec

  • @AishaAlrawahi-p4d
    @AishaAlrawahi-p4d 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamna ndoto ya kujisaidia chooni kama kawaida tu je ina maana gani?

  • @zaitunichibako1214
    @zaitunichibako1214 4 ปีที่แล้ว

    Asalam alykum m nliota dada wa mama alkwa anaenda haja kubwa ya laini alafu mama anayakinga kwa mkebe na kila akiendesha ndo anapata nafuu coz alkwa hawezi na sehemu alkwa anafanya haja napajua lkn nyumba ndo ilkwa imechakaa sana je sheikh ii ndoto inamaana gani

  • @harousali7578
    @harousali7578 2 ปีที่แล้ว +1

    She tunakuomba ukiamuwa ktoa maana ya ndoto basi nenda moja Kwa moja kwenye ndoto SS wengine tunakusikiliza hata humallizi kutowa maana bando linaisha Kwa maneno mengi na m pozi

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว

    👌👍