Ubarikiwe Sana Mimi Kuna Mtu kaniitia kazi Mombasa Kenya but Jana nimeota nipo shule ya msingi ambayo nilisoma naokota sarafi nyingi mchanganyiko Mia moja mia tano sijajua ina maana gan please nijue kabla sijaenda👏👏
Barikiwa sana Mtumishi. Nimeota mnyama mkubwa sana sana amefungwa kwenye shamba la baba yangu na wanyama wengine aina hiyo hiyo wanakula majani kwenye shamba la wazazi wangu.
Asante kwa kunisaidia kuhusu kumwota mchumba niliyeachana nae mwaka 1997.yeye ameoa na familia ila mm mpaka leo sijawai pata mume mpaka leo .naomba msaada ss tuliahidia kwa kutumia maneno ya Mungu
Mimi niombee pastor, nimekuwa nikifuatilia tafsiri ya ndoto na shangu sote naona tu siko mbaya, yaa jusi niliona naokota mashilingi na sikasibadilisha sikakuwa noti mingi, but sikuwa na hofu.
Bwana Yesu asifiwe mtumishi Leo nkaota nkifungua mlango kwenda kwa room ingine nkapata mbwa mweusi alikua na uoga fulani nikamuliza aliingia aje na kulikua kumefungwa akaanza kutoka akaenda zake alafu pahali nyumba niliokua naishi ni kama nyikani na kulikua mchana na kulikua kunanyesha kinundu ❄️
Ubarikiwe sana mtumishi.mimi.nipo.singida.nimeota.naokota.sarafu.nyeupe nyingi sana.lakin.ziko.juu.ya.meza.na kunawatu.wamezunguka ile meza lakini wale watu.wakizitazama.sana lakini mimi.nikazichukua zoote
Mm kipindi chanyuma nilikuw nikiona Mia na ansini lakini juzi nimeota naokota njiani wakati natembea nimeokota miatano na miambili zikiw SEM moja alafu zilikuw nyingi Sana nilikuw kila nikiokota azishi Baba nisaidie
From Tz nimeota napewa coins alafu nikawa natembea na mdogo wangu nikamwambia naingia restroom naye akanifaata pale sehemu tunakojoa wote ku likuwa na coins tatu za silver ug shillings. Mdogo wangu akakataa kuziota na mimi nikakataa tukaziacha hapa restroom chini. Ina maana gani hii
Nimeota naona nyota nyingi angan zpo katka mpangilio wa sayar na pia zngne zpo na rangi nyekundu na kjan na zngne rang nyeupe ya mng'ao sana je inamanisha nn?
Me nimeota nipo katika uwanja nazitafuta Ila kila ninaposhika chin naipata katika mchanga nikigusa pengine naipata katika vumb nilijikuta ninazo sarafu nying Sana tofaut tofaut za Sasa na zaman Ila kipind nazitafuta sarafu izo kweny mchanga tulikua wawil pamoja na mdogo angu wa kike ambay ni marehem lakin yy marehem alikua azipat kila akitafuta Ila me tu ndo nilikua nazipata
Tiite sayun tz mie niliota nachota sarafu Kwa kitu Kama box yaan ninyingi mno yaan nilichotaa naninavochota hata sichoki bas kunamtu akaja kuniamsha nivoamka nilikuwa na furaha na tabasam mnoo na mikono yangu ilikuwa imekunja Kama kweli nikezishika 😅 yaan Ile ndoto ilikuwa tamu Sanaa Hadi nikaona yule aloniamka kaniboa tuu 😢
Gaudensia nilikutana mume wangu anaendesha gari ya abiria nawakati kwenye maisha ya asili ajaajiliwa kwenye magari.nikapanda tukakutana na baba nae akapanda lakini mume wangu akawa anaendesha lakini baba akauliza mbona anaendesha Kama Lena na kweli alikuwa anaendesha Kama anajifunza kuendesha lakini Mimi nikamwambia baba tangu ajifunze udereva ajawai pewa gari.atimae tulimshusha baba aende kwangu tulifika stend ambapo nikawa Naondoka mume wangu akamtuma mpiga debe anipe hela silver sita lakini wakati narudi nirishindwa kurudi mpaka nikamwona jirani tunaekaa nae tukasema tukawa tunasubiri gari wote niliamka.
mi nipo dar nimeota nilikuwa na coin nyingi mkononi za mia pamoja na mia 200 na hamsini nikashtukia nimezitupa zikavuka ukuta zikaangukia kwenye nyasi sehemu ambayo huwezi ziokota tena sijaelewa naana yake nini!
Mim nimeota nanyanyuwa bido ya litle 20 imekatwa katikati ila kile kipande cacini ,et kimeja pesa zasalafu zakila aina ,yani za duniya nzima ,mulikuwa za langi ya olo,argent yani langi zote ,nataka unifafa nuliye kaka yangu, haya shukran,
Mtumishi kuota ndoto kitu kimetoka tumbon baadae mwenzangu akachukua kilichoko kwenye box akatupa. Nikasononeka sana nikamwambia nitaishije bila hilo linyama lililo toka tumbon
Mimi nimeota nahesabu shilingi zinazo tumika sasa na shilingi zilizo kwisha wakati wake kama vile shilingi tano,kumi na ishilini ndoto hii ina maana ghani mtumishi.
Mtumishi Mimi nimeota naokota pesa miatano za shilingi zikiwa pembezon mwa barabara Yan zilifukiwa lakini zilikuwa upande mmoja zinaonekana Mimi nikaziona

Pastor you are helping many, Asante
Barikiwa sana Mtumishi. Nimeota mnyama mkubwa sana sana amefungwa kwenye shamba la baba yangu na wanyama wengine aina hiyo hiyo wanakula majani kwenye shamba la wazazi wangu.
Poasto mungu akubariki sana somo lako ni nnzuri sana ila sasa nenda kwenye point kwa wakati
Asante.
Yes you are right
Mimi niko dareslaam ninaona nikiokota shilingi mia moja na mia mbili zikiwa kwenye mafungu ina maana gani
Asante mtumishi nipo tanzania ubarikiwe Sana mtumishi
Asante kwa kunisaidia kuhusu kumwota mchumba niliyeachana nae mwaka 1997.yeye ameoa na familia ila mm mpaka leo sijawai pata mume mpaka leo .naomba msaada ss tuliahidia kwa kutumia maneno ya Mungu
Amen mtumishi 🙌🙌🙌
Amen mtumish
Mungu akubaliki mutumishi wamungu tukopamoja kithunguli
Ubarikiwe sana Mtumishi
Watching from Saudi Arabia
Mungu akubariki
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Asante pastor
Asante sana 👏👏
Mtumishi Mimi nimeota naokota silver .nipo south Africa
Mimi niombee pastor, nimekuwa nikifuatilia tafsiri ya ndoto na shangu sote naona tu siko mbaya, yaa jusi niliona naokota mashilingi na sikasibadilisha sikakuwa noti mingi, but sikuwa na hofu.
Ameeeeeeen 🙏 nipo dar kurasini
Naomba niombee mtumishi me naota naokota chino silva mungu niokoe
nikweli kabisa mtumishi barikiwa sana nimeota natoa hizo sarafu leo nimepata pesa nyingi
Bwana Yesu asifiwe mtumishi Leo nkaota nkifungua mlango kwenda kwa room ingine nkapata mbwa mweusi alikua na uoga fulani nikamuliza aliingia aje na kulikua kumefungwa akaanza kutoka akaenda zake alafu pahali nyumba niliokua naishi ni kama nyikani na kulikua mchana na kulikua kunanyesha kinundu ❄️
Na kutazama nikiwa naivasha I'm angnes
Be blessed
Amina mtumishi mm nimeota nilikuwa na coin Nampa mtu chenji
🙏🙏
Mm nilikua kumwagiwa salafu mchanganyiko kwenye biashala yangu nimezikuta sikuota
Mm niliota nikipewa n my sister in-law nipeleke kanishani hizo shilingi
Napenda sana kusikiliza kipindi chako
Amen from Saudia Arabia
Riyadh Amen
From Tanzania
Mm nimewai OTA nakota sarafu
Mm mauwa nipo kivule daa
Mtumishi nimeota naokota sarafu karibu na kanisani zilikuwa nyingi na za noti zilizo Isha nisaidie mtumishi wa mungu nimeogopa kweli
Ubarikiwe sana mtumishi.mimi.nipo.singida.nimeota.naokota.sarafu.nyeupe nyingi sana.lakin.ziko.juu.ya.meza.na kunawatu.wamezunguka ile meza lakini wale watu.wakizitazama.sana lakini mimi.nikazichukua zoote
Mm nimeota naokota miambili nyingi naomba kujua maan yake
Amen I claim it
Mm kipindi chanyuma nilikuw nikiona Mia na ansini lakini juzi nimeota naokota njiani wakati natembea nimeokota miatano na miambili zikiw SEM moja alafu zilikuw nyingi Sana nilikuw kila nikiokota azishi Baba nisaidie
Mtumishi bwana asifiwe tupO pamoja,Mimi nimeona cins za Silva tu Tena mpya zinagaa Sana nyingi ziko kwa kimfuko
Mimi nimeota niko kwanyumba mashilingi zinanimwagikia macoins mengi zamiminika ninimaanayake
Amina Mimi nipo morogoro naota sana hizo ndoto niliota Randi elfutano na sijawai ziona
From Tz nimeota napewa coins alafu nikawa natembea na mdogo wangu nikamwambia naingia restroom naye akanifaata pale sehemu tunakojoa wote ku likuwa na coins tatu za silver ug shillings. Mdogo wangu akakataa kuziota na mimi nikakataa tukaziacha hapa restroom chini. Ina maana gani hii
Nimeota sarafu ya silva ooh Amen baba
Nimeota naona nyota nyingi angan zpo katka mpangilio wa sayar na pia zngne zpo na rangi nyekundu na kjan na zngne rang nyeupe ya mng'ao sana je inamanisha nn?
Amen 🙏
Mm nateseka Sana na ndoto na sizielewi kabisa naomba namba zako
Zamana sana niliota naokota sarafu barabara nzima hadi zinanishinda
Mm jana tu nmeota naokota masarafu mpk sas sina amani kabca
Mm mtumishi nimeota nikiwa naota mia miambili na miatano Lakin nilipoamka asubh skua na hofu ila ilipofika jioni wazo likaniijia nitafte Maan ake
Me nimeota nipo katika uwanja nazitafuta Ila kila ninaposhika chin naipata katika mchanga nikigusa pengine naipata katika vumb nilijikuta ninazo sarafu nying Sana tofaut tofaut za Sasa na zaman Ila kipind nazitafuta sarafu izo kweny mchanga tulikua wawil pamoja na mdogo angu wa kike ambay ni marehem lakin yy marehem alikua azipat kila akitafuta Ila me tu ndo nilikua nazipata
Tuko pamoja mtumishi
Daddy Mimi nimeota nikapewa box ya macoins za rangi ya dhahabu na zilikuwa zimeandikwa nr 777.
usiku ya Jana nimeota nimeokota 20bob but 10 10..alf kuamka mm sinaga pressure ya pesa nikiwa nayo nisikuwe nayo Niko tu sawa.
Pastor ukiota naokota coins za aina moja tsh 500 zote nyingi zingine napewa mpka watu wakajua natumia dawa inamaana gani
Mtumishi niombee roho ya umaskini iniondokee
Nakutazama nikiwa kahama shinyanga Tanzania
Mie mala nying huota namiliki pesa lakini nikiamka maisha yang ni duni tu,
Mie niliota nimepata shilingi zile za zamani nying sana mchanganyiko nying kweli
Tiite sayun tz mie niliota nachota sarafu Kwa kitu Kama box yaan ninyingi mno yaan nilichotaa naninavochota hata sichoki bas kunamtu akaja kuniamsha nivoamka nilikuwa na furaha na tabasam mnoo na mikono yangu ilikuwa imekunja Kama kweli nikezishika 😅 yaan Ile ndoto ilikuwa tamu Sanaa Hadi nikaona yule aloniamka kaniboa tuu 😢
mtumish mm nimeota nimepewa koni mbili za miambil mia mbili
Amiina
mi nmeota narudishwa chenji sarafu za kigeni
Nipo Dar Yombo
Baba mm niliota nilikuwa nazo nyingi kwenye Kiribati nikatoa sadaka sillva
Baba leo nimeota na sarafu za dhahabu nimezipanga kwenye dresng table yanguni nyingi nimezipanga kwakwenda juu ni nyingi
Mimi nimeota hii ndoto several times
silver ni shaba pastor
Mimi niliota mtu ambaye atuko in good terms na yy anapea mtoto wangu 30 shillings kisha akanipa 450 coins .na atuongei na hyu mtu.
Nimeot tupo wawili lakin Mimi tu naokota nyingi mwenzangu anaolot kidog 16:30
Gaudensia nilikutana mume wangu anaendesha gari ya abiria nawakati kwenye maisha ya asili ajaajiliwa kwenye magari.nikapanda tukakutana na baba nae akapanda lakini mume wangu akawa anaendesha lakini baba akauliza mbona anaendesha Kama Lena na kweli alikuwa anaendesha Kama anajifunza kuendesha lakini Mimi nikamwambia baba tangu ajifunze udereva ajawai pewa gari.atimae tulimshusha baba aende kwangu tulifika stend ambapo nikawa Naondoka mume wangu akamtuma mpiga debe anipe hela silver sita lakini wakati narudi nirishindwa kurudi mpaka nikamwona jirani tunaekaa nae tukasema tukawa tunasubiri gari wote niliamka.
@Gaudensia jibu lako liko hapa watch hadi mwisho nimetafsiri th-cam.com/video/LTWNgBfebgw/w-d-xo.html
Mimi nimeota kushambuliwa na mnyama aina ya komba kaningata kidole gumball ill nilfanikiwa kumquat j e nn maana yake
Mimi naotaga nasifukua chini kwenye udongo
Kama mimi
Naota salafu za zaman zimechangamana na za kileo zpo kwenye mchanga
niriota na coin 5bt moja iko na shimo katika bt sijui niritoa wapi hiyo macoin
mi nipo dar nimeota nilikuwa na coin nyingi mkononi za mia pamoja na mia 200 na hamsini nikashtukia nimezitupa zikavuka ukuta zikaangukia kwenye nyasi sehemu ambayo huwezi ziokota tena sijaelewa naana yake nini!
Mimi Rose nakutazama nikiwa Tanga Mjini
Cole from Tanzania nimeota naokota coin ya silver na gold kwa wakati mmoja
Ameen
Mimi nimeot juzi naokota mashiringi
Naitwa Merry Niko mwananyamala
Mm naotaga nazifukua kwenye kifusi cha mchanga rangi ya golod
Baba mm niliota usiku naziokota kwenye kifusi cha mchanga rangi ya golod
Baba ukiota unazifukua kwa kifusi cha mchanga rangi ya golod iyo vp
Baba Mimi nimeota silver coin akini nyuma nimegombana na mpenzi wngu niombee tukae sawa na tufanikiwe kuish pmj. Nipo mbeya
Ukiota umenunua samaki kwa ndoto halafu upewe change ya silver coins halafu zianguke chini halafu uziokote zote tena
Mm nipo dodoma kibaigwa
@Yohana Bwanahana Karibu sana
Mim nimeota nanyanyuwa bido ya litle 20 imekatwa katikati ila kile kipande cacini ,et kimeja pesa zasalafu zakila aina ,yani za duniya nzima ,mulikuwa za langi ya olo,argent yani langi zote ,nataka unifafa nuliye kaka yangu, haya shukran,
Mim nafata kipindi cako nikiwa Bujumbura,
Nimeota ndoto ninaoka pesa mchanganyiko wa silva na nyingine Gold.
Mtumishi kuota ndoto kitu kimetoka tumbon baadae mwenzangu akachukua kilichoko kwenye box akatupa. Nikasononeka sana nikamwambia nitaishije bila hilo linyama lililo toka tumbon
Mimi nimeota nahesabu shilingi zinazo tumika sasa na shilingi zilizo kwisha wakati wake kama vile shilingi tano,kumi na ishilini ndoto hii ina maana ghani mtumishi.
Mimi niliota naokota miambili nyingiii gunia linakaribia kujaa pembeni kuna ukuta wa makaburi
Bwana yesu asifiwe ninakutazama nikija manyara katesh nimeota nimepa mtu sh miatano ya sarafu na mia moja ya zamani
Natazama nikiwa saudi,mafundisho yako mtumishi ya na nibariki sana
Amen
Mimi nimeota shangazi yangu wa Zambia ananipa coin ya Silva ya kizambia.
Ukiwa kwa gari unaota unalipa na mashiringi inamaanisha nini
Ammmeeen
Nimeota ninaokita za sarafu za Kitanzania nyingi kutoka kwenye nyasi.nikaziweka mfukoni. Hii maana take Mtumishi.
Mimi nimeota nimechukua hizo sarafu kwenye mfuko wa shati nikazishika kwenye mkono
Mm usiku wa jana tu nimeota naokota Sarafu ya silver tena sio moja zilikuwa ni tatu na zinangara kabisa kama maana ni mpya kabisa.
Nimeota naokota sarafu na maana yake nimeisikia nimeogopa Sana........ nakusikiliza nikiwa morogoro
Tuko pamoja dady
Mimi niliota brother yangu amenipa 30 sh,,alafu akachukua Tena, na tulikuwa nyumbani kuziwa kwetu, Nini maana yake,
Niliota napata pesa nyingi zina tililika kitandani pangu
Mtumishi Mimi nimeota naokota pesa miatano za shilingi zikiwa pembezon mwa barabara Yan zilifukiwa lakini zilikuwa upande mmoja zinaonekana Mimi nikaziona
Nakutazama nikiwa mwanza
Nakutazama nikiwa kayole
@Kelvin Ndoga ubarikiwe sana
Amen from golf