- 139
- 276 748
Godfrey Mwalongo
เข้าร่วมเมื่อ 4 พ.ค. 2023
LIMONTI MBADALA/UNIVERSAL TV
NDOTO UNAPIGANA NA MTU AU WATU Maana Yake KIBIBLIA.
NDOTO UNAPIGANA NA MTU AU WATU Maana Yake KIBIBLIA.
มุมมอง: 205
วีดีโอ
NDOTO MAFUTA UNAYAONA PAHARI,AU SHERI, KIBIBLIA Maana yake ni Hii.
มุมมอง 3119 หลายเดือนก่อน
NDOTO MAFUTA UNAYAONA PAHARI AU SHERI KIBIBLIA Maana yake ni Hii.
NDOTO UPO UCHI NA CHUPI,BRAUZIA, BOXER,SIDIRIA KIBIBLIA Maana yake.
มุมมอง 41210 หลายเดือนก่อน
NDOTO UPO UCHI NA CHUPI, BRAUZIA, BOXER, SIDIRIA KIBIBLIA Maana yake.
NDOTO PAZIA KWA DIRISHA AU KWA MLANGO UNALIONA KIBIBLIA Maana yake ni Hii.
มุมมอง 25410 หลายเดือนก่อน
NDOTO PAZIA KWA DIRISHA AU KWA MLANGO UNALIONA KIBIBLIA Maana yake ni Hii.
NDOTO MIMBA UMEITOA AU UMEIKATAA MIMBA KIBIBLIA Maana yake ni Hii.
มุมมอง 15811 หลายเดือนก่อน
NDOTO MIMBA UMEITOA AU UMEIKATAA MIMBA KIBIBLIA Maana yake ni Hii.
NDOTO MTOTO UNANYONYESHA MAANA YAKE KIBIBLIA NI Hii.
มุมมอง 2.4K11 หลายเดือนก่อน
NDOTO MTOTO UNANYONYESHA MAANA YAKE KIBIBLIA NI Hii.
NDOTO UNAKUNYWA POMBE AU NGANO YA KINYWAJI KISICHO NA KILEVI KIBIBLIA Maana Maana yake.
มุมมอง 52311 หลายเดือนก่อน
NDOTO UNAKUNYWA POMBE AU NGANO YA KINYWAJI KISICHO NA KILEVI KIBIBLIA Maana yake.
NDOTO UNASIKIA SAUTI ZA FILIMBI,MUZIKI, 🎺 🎺 TARUMBETA, 🥁 🥁 NGOMA,GITAA,ZEZE, Maana yake KIBIBLIA.
มุมมอง 314ปีที่แล้ว
NDOTO UNASIKIA SAUTI ZA FILIMBI, MUZIKI 🎺🎺 TARUMBETA, 🥁🥁 NGOMA, GITAA, ZEZE Maana yake KIBIBLIA.
NDOTO UNAOKOTA PESA AU KITU NA KUMPATIA MWENYE NACHO ALOKIPOTEZA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 200ปีที่แล้ว
NDOTO UNAOKOTA PESA AU KITU NA KUMPATIA MWENYE NACHO ALOKIPOTEZA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO YA NYAMA YA NGURUWE AU 🐔 🐔 KUKU, MBUZI AU KONDOO UNAKULA AU UNAWACHUNFA. Maana yake KIBIBLIA.
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
NDOTO YA NYAMA YA NGURUWE AU 🐔🐔 KUKU, 🐐 MBUZI AU KONDOO UNAKULA Maana yake KIBIBLIA.
NDOTO YA WEZI AU MWIZI UMEKUTANA NAYE AU UMEIBIWA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
NDOTO YA WEZI AU MWIZI UMEKUTANA NAYE AU UMEIBIWA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO YA ELFU 1,000=NI KIPATO CHA ELF 10. NA SHILINGI 💯 =NI KIPATO CHA ELFU 1,000. KIBIBLIA.
มุมมอง 184ปีที่แล้ว
NDOTO YA ELFU 1,000=NI KIPATO CHA ELFU 10.NA SHILINGI 💯=NI KIPATO CHA ELFU 1,000. KIBIBLIA.
NDOTO MIDORI UNAIONA AU WATU WAFUPI NA MIDORI Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 365ปีที่แล้ว
NDOTO MIDORI UNAIONA AU WATU WAFUPI NA MIDORI Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO JINA LAKO AU JINA LA ISRAEL AU PALESTINA NDIO SABABU YA HICHO WANACHOKIPITIA KWA MAISHA.
มุมมอง 477ปีที่แล้ว
NDOTO JINA LAKO AU JINA ISRAEL AU PALESTINA NDIO SABABU YA HICHO WANACHOKIPITIA KWA MAISHA.
NDOTO YA TRENI AU GARI MOSHI AU LERI UNAIONA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 2.2Kปีที่แล้ว
NDOTO YA TRENI AU GARI MOSHI AU LERI UNAIONA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO VYOMBO UNAVIOSHA AU VYOMBO UNAVIONA PAHALI Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
NDOTO VYOMBO UNAVIOSHA AU VYOMBO UNAVIONA PAHALI Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO PICHA ZAKO,CD ZAKO, FRASH KWA T.V, ZINATAZAMWA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
NDOTO PICHA ZAKO,CD ZAKO, FRASH KWA T.V, ZINATAZAMWA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO MEZA TUPU AU MEZA IMEJAA VYAKULA AU MEZA ILOZUNGUKWA WATU NA BARAZA.
มุมมอง 363ปีที่แล้ว
NDOTO MEZA TUPU AU MEZA IMEJAA VYAKULA AU MEZA ILOZUNGUKWA WATU NA BARAZA.
NDOTO MKE AU MUME KUTOKA KWA MUNGU NDIYE MCHUMBA AU X-WAKO WA ZAMANI.
มุมมอง 972ปีที่แล้ว
NDOTO MKE AU MUME KUTOKA KWA MUNGU NDIYE MCHUMBA AU X-WAKO WA ZAMANI.
NDOTO TABIA 2, UKIZIONA KWA MCHUMBA (X -WAKO)MKE AU MUME WAKO, UJUE KUNA MSALITI KAINGIA,
มุมมอง 623ปีที่แล้ว
NDOTO TABIA 2, UKIZIONA KWA MCHUMBA (X -WAKO)MKE AU MUME WAKO, UJUE KUNA MSALITI KAINGIA,
NDOTO UMEISAHAU AU NDOTO ZINAJIRUDIA RUDIA NA HUZIKUMBUKI Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 461ปีที่แล้ว
NDOTO UMEISAHAU AU NDOTO ZINAJIRUDIA RUDIA NA HUZIKUMBUKI Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO HIZI UUTAJIRI,UTAKUWA 👑 TAJIRI NA KUTAWALA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 589ปีที่แล้ว
NDOTO HIZI UUTAJIRI,UTAKUWA 👑 TAJIRI NA KUTAWALA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO UNA MIMBA AU MJAMZITO UNAMUOTA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 1.7Kปีที่แล้ว
NDOTO UNA MIMBA AU MJAMZITO UNAMUOTA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO MAJI,SODA, AIC CREM, BARAFU, JUISI BARIDI UNAKUNYWA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 3.7Kปีที่แล้ว
NDOTO MAJI,SODA, AIC CREM, BARAFU, JUISI BARIDI UNAKUNYWA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO HAJA KUBWA YA MTOTO ANAIONA MZAZI NA HAJA YA MZAZI ANAIONA MTOTO Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 267ปีที่แล้ว
NDOTO HAJA KUBWA YA MTOTO ANAIONA MZAZI NA HAJA YA MZAZI ANAIONA MTOTO Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO UNAOKOTA PESA,NOTI,NOTI, AU SARAFU,SHIRINGI,SHIRINGI Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
NDOTO UNAOKOTA PESA,NOTI,NOTI, AU SARAFU,SHIRINGI,SHIRINGI Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO PESA,SIMU,POCHI,CHOONI VIMETUMBUKIA AU MTONI NA VINGINE Maana yake ni Hii KIBIBLIA
มุมมอง 424ปีที่แล้ว
NDOTO PESA,SIMU,POCHI,CHOONI VIMETUMBUKIA AU MTONI NA VINGINE Maana yake ni Hii KIBIBLIA
NDOTO KUWASHWA AU KUUMA MIGUU,MIKONO, AU MACHO Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
NDOTO KUWASHWA AU KUUMA MIGUU,MIKONO, AU MACHO Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO UNAJISAIDIA HAJA KUBWA NA KUMPATIA AU KUMTUPIA MTU MWINGINE Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 2.1Kปีที่แล้ว
NDOTO UNAJISAIDIA HAJA KUBWA NA KUMPATIA AU KUMTUPIA MTU MWINGINE Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
NDOTO WATOTO WA KWANZA NA WA MWISHO NA TABIA ZAO ZA KUGOMBEA NAFASI,MALI,Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
มุมมอง 274ปีที่แล้ว
NDOTO WATOTO WA KWANZA NA WA MWISHO NA TABIA ZAO ZA KUGOMBEA NAFASI,MALI,Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
Naitimie kulingana na mapenzi ya mungu,,,,Ameeen
Praiz God mtumishi. Me nmeota naenda kudai vitu vyangu kwa wantu.ina maana gani???
Siku zote Bora umuombe Mungu akupe tafsiri ya ndoto yako, maana hata watafsiri ndoto wa biblia waliomba Mungu kwanza kabla ya kufasiri
Thanks alot
Aminaaaa
Amina. Sana
Bwa yesu asifiwe . nimeota mama yangu aliyekufa anamwambia MTU mwingine kwama Mimi sipo peke yangu. Ghafra nikaamka. Ina maana gani Mtumish.ahsante
@@charlestravis91 roho ya mauti inaitisha na wengine waongezwe, hilo ni lango unajulishwa limefunguka kwa kinywa, omba Rehema na toba kwa makosa ya kupitishwa kwa hilo lango ili MUNGU aingilie kati.
Praise God. Mtumish. Niliota nalia ila nachokumbuka ni alikuwepo MTU ananihubiria ila nami nilikuwa katika maombi na Julia kwa uchungu. Ina maana gani??
@@charlestravis91 Kuna mambo ya yana ukweli juu ya mafundisho haya na yamekufikia kwa msaada wa uelewa wa mafumbo na ndoto na maono, yanakuhusu na MUNGU Akusaidie ili usaidike kwa mafundisho haya.
Ko mi ninefungwa😢😢😢nimeota hii ndoto😢😢
@@GracePeter-o6b jambo lolote la kumuahidi mtu au watu pia ni kifungo, usipende kuweka kumuahidi mtu au MUNGU bila kujua kama utatekeleza ahadi zako,pia hivyo ni vifungo.
Ukiota unaoga Kwenye sufuria ya kupika ugali ,kwa nyumba 😮 inamanisha nini
@@JosphineAchieng-s3g unarudishiwa hali yako ya kukubalika kama chombo au mtu anayefaa.
@GodfreyMwalongo-yg7tq okay Asante mungu akubariki 🙏
Kuota unafany biasharà na mvua inanye
@@EmanuelLema-wl8ir jitahidi kufanya biashara na wekeza imani yako kwa MUNGU ili majaribu yasikushinde wakati unapokea baraka kwa kazi yako. (IMANI KWA MUNGU Kwanza).
Me nimeota ndoto hivyo baba naomba uniombee
Me niliota pochi nyeupe nataka kununua nzuri ila ilikuwa bei kama 39elf nami nilikuwa na 22elf
@@carolinamponji4294 unajulishwa anatamani vitu au mambo makubwa uyape, basi mwombe MUNGU ili kipato chako kiweze kuongezeka ili uvipate unavyovihitaji, (kuandamwa na roho ya kupungukiwa.
Niliota mtoto anazingirwa dume shambani mini maanayake
Asante mtumishi kwa kunijibu Mungu akuongezee siku ndivyo ilivyo asante
Ongea taratibu hatakama unasoma mahali
Praise God Mtumishi. Nimeota namenya viazi mviringo nini naana yake
Ni wakati wa maandalizi ya kufanikiwa lishe na chakula cha kiroho.
@GodfreyMwalongo-yg7tq ahsante hapo hapo nawakati namenya viazi nikaona Tena na vyombo ila vilikuwa vichafu na ndani meangu nikajisemea nikiisha maliza kumenya ndipo nitaosha vyombo ivyo ghafra nikaamka.
Mtumishi BWANA YESU ASIFIWE. Nimeota naosha vyobo barabarani ila nlikuwa kwenye juction
@@MukawumbyaEva kuna watu wanaohitaji mwongozo kwako na kwa sababu hiyo inakufanya kukufikisha Pahari ambapo itakulazimu kuifanya hata kama anapungukiwa maamuzi,ndio. (junction)
Taratibuu basi muinjiliati taratibuu taratibuu 😅
Mtumishi,, leo nmeota tenaaaa nmejisaidia choooni nikamwita mama yangu aje anisaidie manaa nilitoa minyooo wa kwanza kwenye makalio,, wa pili akawa amebaki akaniambia nimtoe,,, nikaogopa kumshika akarudi ndaniiiii
@@RosemaryJoseph-p9n unaandamwa na roho ya miungu ya kwenu inayowazuia watu wasijisaidie (kufanikiwa) na hata wakifanikiwa wabakie wakijiuguza, na umaskini na kurudi nyuma kimafanikio.
Nmeona najisaidia haja kubwa kwenye Choo Kisha wakati nmemaliza mlango ikawa nyembamba yenye mtu hawezi pita .lakini nilijizukuma mpaka nikatoka nje
@@FaithNgazi Adui alikuapiza au alikufunga kuwa hata kama ukifanikiwa usitoke kimafanikio au usiendelee.
Amina nimebarikiwa sana kwajina la yesu
Jamani
Je ukiwaota wamekufa
@@AbiaLaurent-j8y Roho za kupeleleza zimekushindwa kabisa.
Nini maana ya kupewa koti lkn yote ukayakataa kwa gosababu ni madogo
@@ynobarrackmangia3953 kukabidhiwa jambo au kupendekezwa jambo kiusimamizi au ulinzi ambalo halikosawa na hadhi yako.
@GodfreyMwalongo-yg7tq Sawa nashukuru kwa tafsiri nzuri
😅😅😅😂
Point ikoapi mwalim unatoka nje ya mada
Mie nimeota hii mwisho akakatiza mwanamke mbele yangu
@@AwadhiAbood-ix3rc kukosa maamuzi katika mambo yanahusu ndoa au mwenza.
Amen
Nimeota nimeibiwa vitu za ndukani,kisha hapo kwa mlango nikapata mfuko umejaa pesa nyingi sana,nikaupeleka kwa nyumba
@@estherndunge4709 jambo litakalo kujia ghafla kimafanikio wakati moja ulikuwa umepoteza mafanikio.
Ameni 👏
Amina
Ahsante iwe KHeri 🙏
je ukiota mjusi anakukimbiza na ukamuuwa mjusi wa kaawia
@@JohstancMgolozi kuna mambo yanakukosesha utulivu kwa sababu unaona unafuatilifuatiliwa, au hupendi kupelelezwa mambo yako.
Tartibu wewe nn shida
Ameen
Mafundisho mazuri lakini unaenda haraka sana hata mengine yanatupita polepole mtumishi
Natamani uongee talatibu baba asante ubalikiwe
Ongea pole pole
Niliota mwanamke akitaka kuniua na kisu akakiwekelea shingoni ili aniue na akaanza kutetemeka na kuanguka chini
Kupika mNdazi nini maaana
Uongooooooooo ,, msi tudanganye
Mmi niota nakimbizwa na walimu wangu wa advance wananiambia niende kusali mana ilikua muda wa ibada
Wewe muongo
Mtumishi nmeota nipo na mpenzi wangu kanibeba kwenye piki piki yake tunaenda nyumbani kwetu,tulipofika mlimani akashuka akawa anasukuma pikipik na me npo kwenye pikipiki halafu watu wengi wamekaa pembeni wanatutizama nikafika nyumbani kwangu nikakuta watu wapo wengi sana ndani kwangu plz naomba nijibu
Unapigwa na mtu usiye mjua
Ongea polepole.una mzuka sana(mchecheto sana)
Nimeta rafiki tangu kazini ananieleza kes mshangao eeeh unamimba ya mwezi mbili ina maaana gani
@@LindaRael-i7h kuna jambo alokaa nalo ameliweka moyoni kwa muda miezi 2 hajamwambia mtu yoyote ila anaweza tu kuja na kukuelezea wewe.
Mimi niliota ndoto mume wangu analisha kuku wengi na hao kuku sio wake
@@sarahmdindile4301 kuna maneno maneno yanayozua magomvi yanamlenga mumeo ila hayo maneno kuna mtu ndiye anaye yaanzisha ili kumshambulia mumeo,
Shukurani
Amen nilitengwa namwanangu tok nijifngue hat bab wanwanangu hahh wal ndug zake asante MUNGU kurudish ki bali dah🙏
Aaamen