TUNDU LISSU AKIZUNGUMZIA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @Teddy-k9o3v
    @Teddy-k9o3v 5 หลายเดือนก่อน +1

    Anafukuza watanganyika kwenye Aridhi yao,,urithi wao walioachiwa na mababu na mabibi zao.. sababu Hana uchungu wowote ule juu yao
    Anataka awalete mabwana zake ndo wamilikishwe hiyo ardhi..Laana ya mwenyezi Mungu itamkalia kichwani kwake..maana anayoyafanya anayajuwa

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wazanzibari hatutaki Muungano hebu tupusheni uko piganeni na CCM yenu

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 5 หลายเดือนก่อน +1

    Lissu watie dozi Watanganyika wenzako ili wauchukie Muungano sisi Wazanzibari tumeuchoka

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani wazanzibar bahati hatuna

  • @caliphel-mafadhy2487
    @caliphel-mafadhy2487 2 หลายเดือนก่อน

    So means mzanzibar asiwe raisi wa Tanzania.......kwa ujinga huu tukisema hatutaki muungan na hatuwataki vichogo znz mseme waznz ni wabaguzi. Na liyote tugawane mbao. Mijitu milafi na imejaa husda. Wamepita Matanganyika mingapi mbona barazuli we hukuongelea utanganyika wao. Shenzi na mnapojiita Maraisi wa Tz Zanzibar hua mnapata kura ngapi?!

  • @feruzmato4422
    @feruzmato4422 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuunga mkono mheshimiwa