Kongole. Ni kwamba mwanangu huyu Aida, nilimkubali na naendelea kumkunali ni tangu kipindi kile, kumbukeni, wakati bandari zetu zinauzwa kinyemela kwa waarabu DP World kupitia bunge la Tulia. Aida alisimama kidete peke yake dhidi ya wabunge bunge lililokuwa limezizima na limepigwa upofu na waarabu wakimshangilia mama mkataba mzuri upiteeeee! Aida alisema mkataba una shaka, yeye hapana! Alisema. Nilishangaa sana ujasiri wa mama huyu! Sasa tangu kipindi hicho Aida yupo katika ile orodha yangu maarufu ya wanamapinduzi duniani kanda ya tanzania.
Chadema wooote wanafunza kwa ubongo ni waongo kama shetani serikali yetu iko makini sana haiwezifuatilia umbea kama huu na kuruhusu watu wafanye wapendavyo wanaosimamia sheria hawatekelezi kwa maneno bali kwa vitendo
Dada yangu ubarikiwe sana nimekusikia vizuri hapo Kabwe.
Jipe moyo. Anene solenzi Sikavizya.
nakupenda mh aida kuliko maelezo, ubarikiwe na Mungu akuinue
Wewe ndio super woman 👠❤
Nyaa wewe dada nakupenda akiri kubwa sana mwenyezi mungu akutiye nguvu naurudi bunge ukashoshe ndodo❤❤❤❤❤
Aida Kenani ❤❤
Wakaoge kwanza, safiiiii nimeioenda hiyo, international human
Duh huyu mama anapendwa aisei anafurahiwa si kwa furaha ya uchawa ni furaha itokayo moyoni aisei
Aida umenichekesha Sana, uko vzuri.
Aisee chadema ina hazina kubwa sana Hawa watu naamini wakipewa nchi wanaweza kufanya vizuri
Huyu ndiyo MAMA Tunae msemaga piga kazi MAMA, Unaupiga mwingi MAMA.
ANAZUNGUMZA KWA KIBURI KABISA""ANASEMA AIDA ""!!!👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🌹🌷🌹🌷
Kwakweli hapa mnakiongozi cha kwanza anatawala jukwaa mpaka wananchi wamefura
Hongera dada barikiw
Hahahaha dada aida mwambie lijualikali kile ni kinyago tulichokichonga sisi chadema kwa hiyo hakitutishi
Wana nkasi mmepata kiongozi jasiri na mwenye uwezo mkubwa sana wa kusimama katika ukweli na haki hongereni sana
Piga kazi mama mbunge pekee anayetumia akili zake mwenyewe akiwa bungeni na nje ya bunge.
YULE BWANA MDOGO 😂😂😂😂😂THANK YOU AIDA WEWE NI SHUJAA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
😂 wakaoge kwanza
The living icon❤
Kazi wanayo😂😂
Uzuli wa chadema wapo kama wapalestina pamoja na kuliwa kote kule wapo tu
Lijua likali jitadhimini kubanbikizia kesi watu ni zilipendwa
wanawake ndo majasiri wanaitikia wanaume waoga wameufyata wapo kimya😂😂😂
Good 💐💐💐💐
Nakuelewa Sana
Piga nondo mamayangu ukopoa
DU we Mama Ai
Chadema demokrasia maendeleo lakini hakuna cha maendeleo wala demokras mnapoteza wakati tu
Kueasikiliza chadema nokumaliza mb
Wambie mama
Lema pacha
🎉🎉🎉
Kubambika kesi uongozi wa Samia hairusiwi ni slipendwa Dr Samia hataki uonevu
kikao cha ndan😂😂😂
👍👍👍
Ila wamama wa nkasi mna kitu cha kuwafunza wamama wengine wa Tanzania hii kwa ujumla wake.
Kabwe umefanya nn Toka umepata huo ubunge ?
🇱🇺🇱🇺🇱🇺🇱🇺🇱🇺
Chadema nimatapeli tu mbona? Hakuna mwanachadema anaweza kuongea bila kutaja CCM
🎉🎉🎉🎉🎉
wakaoge kwanza hatari
Mafuriko hayo nabado
Kongole. Ni kwamba mwanangu huyu Aida, nilimkubali na naendelea kumkunali ni tangu kipindi kile, kumbukeni, wakati bandari zetu zinauzwa kinyemela kwa waarabu DP World kupitia bunge la Tulia. Aida alisimama kidete peke yake dhidi ya wabunge bunge lililokuwa limezizima na limepigwa upofu na waarabu wakimshangilia mama mkataba mzuri upiteeeee! Aida alisema mkataba una shaka, yeye hapana! Alisema. Nilishangaa sana ujasiri wa mama huyu! Sasa tangu kipindi hicho Aida yupo katika ile orodha yangu maarufu ya wanamapinduzi duniani kanda ya tanzania.
Wewe ni miongoni mwa nguzo za chadema
Pambana mama
Kutukana ndio sela zao puguzen matusi tangazen sela zenu tutawaelewa
kweli wewe ni wa kimataifa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Salum kapona andikavizuli umefeli kwakuwa umeandika uongo
Chadema hamuwezi kuongea bila katakana?
Kenge wewe
Nyie hamuwezi kuongea bila kuteka na kuua?
Nakubal
Mbunge wa CHADEMA nime upovizuli
mbona kama unatufokea sasa
Malizia mama kipindi chako cha mwisho .
Kipindi cha mwisho cha mama yako tako lako 😂😂😂
UKO NDOTUNII? AMKA BWANAA 😂
Chadema wamerogwa alirwaroga amekufa
Uluhala wihela na sijawahi kuona ukoo wa mlowe mwenye akili
@SephaniaMsigwa nimefrahi kuona umeona na umesikia
Hawa ccm wamefanya watanzania mabwege kabisa vikishapata madaraka vinajifany a miungu watu
Chadema wooote wanafunza kwa ubongo ni waongo kama shetani serikali yetu iko makini sana haiwezifuatilia umbea kama huu na kuruhusu watu wafanye wapendavyo wanaosimamia sheria hawatekelezi kwa maneno bali kwa vitendo
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeesss'