Dalili za UKIMWI!! Kama unasumbuliwa na dalili hizi 12 nenda kapime UKIMWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • UKIMWI ni Ugonjwa unasababisha Upungufu wa kinga mwilini, Ugonjwa huu unasababisha na virusi wa HIV ambao husambaa zaidi kupitia majimaji ya mwili. Njia kuu ambayo virusi hawa husambaa kwa urahisi na kwa kiasi kikubwa ni kupitia ngono zembe na mtu aliyeathirika na virusi hawa.
    Video hii imeelezea na kujibu maswali muhimu kuhusu Dalili 12 za mwanzo za UKIMWI
    Follow us on:
    Facebook: / mshaniwellness
    Instagram: / mshani_wellness
    Twitter(X): / mshaniwellness
    TikTok: www.tiktok.com...
    Contact: 0743039890

ความคิดเห็น • 171

  • @phabiankauki713
    @phabiankauki713 3 หลายเดือนก่อน +13

    Ahsante sana Doctor ninaushauri kidogo maana nimesoma baadhi ya Comment watu wengi hofu imezidia sana waamini kua Mungu anaponya magonjwa Yote wasife Moyo Mungu anaweza yote waamini nawaokoke kweli Yesu yupo

  • @JacksonMuhandiki
    @JacksonMuhandiki 3 หลายเดือนก่อน +22

    Maisha anajua Mwenyezi Mungu siyo binafamu mwanangu tulia utaishi vizuri kuliko hata aliye kuwa mzima kwa sababu ww unawasiwasi na Afya yako pole sana Dreen nimekupenda kujitangaza nivizuri na inanakupa nguvu ya kuishi na unasikia furaha kwakuwa kila mtu anajua siri yako hongera na Mungu akutunze niko pamoja mawe sana

    • @rebeccazagabe
      @rebeccazagabe 3 หลายเดือนก่อน +3

      he mbona umemaliza maneno na baba wa batu anatupa uchauri ama wewe umechakuwa Hiv 😮

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@rebeccazagabe😂😂😂😂

    • @LailatAbdullah-w9d
      @LailatAbdullah-w9d 3 หลายเดือนก่อน +3

      We nawe hujielewi au unao Acha atufundishe ambao hatuna tupate kujua

    • @LailatAbdullah-w9d
      @LailatAbdullah-w9d 3 หลายเดือนก่อน

      Mwehu huyu alojibu hivi

    • @hellenjack8488
      @hellenjack8488 3 หลายเดือนก่อน +1

      Una Ukimwi wewe njoo nikupe tiba

  • @VeronicaMussa-lu1yw
    @VeronicaMussa-lu1yw 2 หลายเดือนก่อน +10

    Wengine tunapungua uzito na maden ya vikoba😊

  • @issokateketa1275
    @issokateketa1275 หลายเดือนก่อน +4

    Ukimwi wa sasa una uafadhafali lakini zamani hasira na kuchanganyikiwa ilikua kawaida kwa mgonjwa hakukuwa na dawa za kuleta matumaini. Dokta yupo sahihi sana na ameacha dalili nyingi.

  • @RafikiSumka
    @RafikiSumka 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera wanaotukana wamegundua dalili wanazo Zaid ya Saba pole yao

  • @SaidSaid-wh4ky
    @SaidSaid-wh4ky 3 หลายเดือนก่อน +23

    Hasira haziletwi na ukimwi hasira zipo kila aina

    • @arafajuma4128
      @arafajuma4128 หลายเดือนก่อน +3

      Mda mwengine una stress zako zamapenz ama maisha lazima uwe na hasira zakilawakat

    • @IvoneKoroso
      @IvoneKoroso 12 วันที่ผ่านมา

      Ko ukiwa na mimba hapo una hasira ahahahahahahahahahahaaaha duh kweny hasira hapo ni kitu kizito

    • @IvoneKoroso
      @IvoneKoroso 12 วันที่ผ่านมา

      Uyu doctor muongoooo ko ukiwa na fangasi hapo ngoma tayar😂😂

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 หลายเดือนก่อน +1

    Asant sana, Namshukuru Mungu.

  • @khamismasms6095
    @khamismasms6095 หลายเดือนก่อน +1

    Elimu nzuri hongera asante sana

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hili somo ni zuri mnoo sawa teacher usiache kutuelimisha,tupo1

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 หลายเดือนก่อน +6

    Aiseeeee nakusikiliza vizuri. Nipo na wenye ukimwi hapa

    • @flova7022
      @flova7022 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅 jamaa wewe bn

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 3 หลายเดือนก่อน +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣ee Mwenyezi mungu niepushe

    • @LeilaKeni
      @LeilaKeni 15 วันที่ผ่านมา

      Daaaa

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 หลายเดือนก่อน +5

    Matusi ni ushamba,kama hupendi hili somo husisikilize
    Watanzania tuwe na shukrani,naona baadhi wanayompinga prof.Janabi.

  • @AjibiweJames
    @AjibiweJames 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kwan mbna sielew docta ametoa elimu wengine wanamaind na kutukana kwan kama hutak kuangalia si upite hivi au nendeni mkapime mana dalili ya makasiriko imewaandama

    • @sniperboy131
      @sniperboy131 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅 uzuri doctor ametanguliza kuwa na hasira kari

    • @ZainabMilanzi
      @ZainabMilanzi 2 หลายเดือนก่อน

      Inshallah aliahamdhulilah kwa ushaury

    • @MichaelAbdallah-xj8vr
      @MichaelAbdallah-xj8vr หลายเดือนก่อน

      Wanaukimwi

  • @SaidSaid-wh4ky
    @SaidSaid-wh4ky 3 หลายเดือนก่อน +13

    Hapo kuhusu hasira Dr umekosea umechemsha

    • @mshaniwellness
      @mshaniwellness  3 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa umeita Dr.

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli wengi wanakuwa na hasira

    • @mbwanahussein98
      @mbwanahussein98 3 หลายเดือนก่อน

      Ukitumia dawa za ARV effect Moja wapo ni brain ndio umfanya mtu kuwa na asira Doctor amekosea kusema asira kabla ya kupima sio kweli asira zinakuja wakat ushajijua Tena ushaanza dawa

    • @KidotiAlphonce
      @KidotiAlphonce 2 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi

    • @khamismasms6095
      @khamismasms6095 หลายเดือนก่อน

      Ata wa​tumia bangi na nicotin wana asira sana.

  • @daviddaudi-ih7oq
    @daviddaudi-ih7oq 21 วันที่ผ่านมา

    Nashukuru dalili zote sina🙏🙏

  • @SunshineDaycare-zy9ex
    @SunshineDaycare-zy9ex 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ubarikiwe na MUNGU alie hai

    • @BarakaGabriel-p7x
      @BarakaGabriel-p7x หลายเดือนก่อน

      Nawewe MUNGU ambariki kwa lipi muongo huyu acheni kumusumbua MUNGU na kumuchezea ambariki kwa lipi wakati anadanganya watu

  • @MwanaAbdullah-g8r
    @MwanaAbdullah-g8r หลายเดือนก่อน +1

    Ah mm dalili km nane hv nimezbain kwahy nikimbilie hospital

  • @nurusofia-od4kj
    @nurusofia-od4kj 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mi nina hasira sana 😂😂na sina ukimwi

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mi za kuzaliwa kbs Napo nimeokoka saiv afadhali😂😂

    • @khamismasms6095
      @khamismasms6095 หลายเดือนก่อน

      Hhhhh

    • @marrychomola5233
      @marrychomola5233 15 วันที่ผ่านมา

      Yan hiz dalili mbona mi napata hacra jaman

    • @HalimaOmar-zp9ip
      @HalimaOmar-zp9ip 10 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂kwel voo mm mwenyew ninahasira mbn sn ukimw

  • @MariaKigabo
    @MariaKigabo 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa itakuaje kuusu uyu mtoto shure sina ata shiringi namimi naishi kwa kina amina pale nimepewa notsi

  • @MuzdalfatJanfar-nx1tb
    @MuzdalfatJanfar-nx1tb หลายเดือนก่อน +1

    Asant mungu akubari

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hii kuvimba mbona ata wajawazito tunavimba!

  • @KHATIBUSENYE-ss3ok
    @KHATIBUSENYE-ss3ok 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hasira sawa lakini hawezi ikawa na sababu ya awali na so wote wenye asira wanaukimwi pease usijaze hofu watu

    • @SarahLekinado
      @SarahLekinado 10 วันที่ผ่านมา +1

      Ndio maana katoa dalili nyingi siyo hiyo peke yake na pia amesema hivi unakua na hasira ikiwa mwanzo haukua hivo naona hujamuelewa vizuri yaani hapo kabla hukua na hasira ya kukuzidi ila hapo inaongezeka

  • @aminakhamis508
    @aminakhamis508 23 วันที่ผ่านมา +1

    Naona daktari ameanza na dailies za mwisho kabla kuanza za mwanzoni

  • @StephineNabbry
    @StephineNabbry หลายเดือนก่อน +2

    Doctor nilazima ukiwa na utanda weupe una ukimwi au

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wanaotukana ndio wale ambao hajalukubali Tatizo badala aende hospitali anaenda Kwa mganga na badae mtu anaambiwa anatakiwa mfuko wa uganga achana nao

  • @emmanuelisimpanzye9295
    @emmanuelisimpanzye9295 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dawa acheni kufanya ngono point 😂😂😂😂😂😂😂

  • @EmmanuelNyangobo
    @EmmanuelNyangobo หลายเดือนก่อน +1

    Oooooo et ukimwi sio nn?

  • @happyzephania9413
    @happyzephania9413 หลายเดือนก่อน +1

    Doctor mm nilihic nimetembea na mtu mweny virus ila nilienda kupima baada ya miez 5 ckukutwa nao je vipimo havikua sahihi au vip naomba kujua doctor

    • @EliwadaKikoti
      @EliwadaKikoti 20 วันที่ผ่านมา

      Kila baad ya miez mitat kapme

  • @MargrethBelias
    @MargrethBelias หลายเดือนก่อน

    Inawezekana kudate na mwathirika wa ukimwi kwa muda alafu ukipima usikutea na hiv?

  • @rashidmalilo3657
    @rashidmalilo3657 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunashukuru doctor kwa elimu

  • @judithsimiyu881
    @judithsimiyu881 3 หลายเดือนก่อน +5

    Doc hapo unasema uongo hivyo vyote umetaja nimekuwa navyo kwa muda mrefu lakini nimekuwa nikipima ukimwi lakini haipatikani kwa damu yangu yenyewe ni nyepezi haiwezi kuficha ukimwi hata juzi nilipima na niko napicha ukitaka naezakutumia uone so hapo sikubaliani na wewe kwa hivyo vitu umevitaja may hayo ni mauhubiri yuu

    • @mshaniwellness
      @mshaniwellness  3 หลายเดือนก่อน +7

      Unaniita muongo wakati huohuo unasema damu yako nyepesi. Damu nyepes ndo kitu gani?
      Shame on u..... appreciate mtu anapoteza muda wake kukupatia elimu ambayo huwez ipata kirahis popote tena bure.
      U feel nadanganya please unsub to my channel na utafute doc mkweli.

    • @janesterbatikinasabuninzur3628
      @janesterbatikinasabuninzur3628 2 หลายเดือนก่อน +2

      Uongo mtupu

    • @GetrudaAndrea-ny4ku
      @GetrudaAndrea-ny4ku 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @FurahaDominick-fk6sv
      @FurahaDominick-fk6sv หลายเดือนก่อน

      Mnajua maan ya dalili kwel au mnajibu kwa mihemko

    • @khamismasms6095
      @khamismasms6095 หลายเดือนก่อน

      ​@@mshaniwellnessdam nyepesi hajaweka viungo labda😂

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shukrani sana

  • @prince001tv5
    @prince001tv5 27 วันที่ผ่านมา

    Elimu nzuri .. mie nasoma

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 หลายเดือนก่อน

    Tupe somooo,asante sna

  • @stronglutula7242
    @stronglutula7242 3 หลายเดือนก่อน +3

    Thanks again

  • @happygervas7489
    @happygervas7489 3 หลายเดือนก่อน

    Shukran ❤

  • @NyamiziAbdallakh
    @NyamiziAbdallakh หลายเดือนก่อน

    Mwnyez mung akuzidishie

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kama kitu huhitaji ausangalie yanini kutukanana nivitu muhimu kwa mtu anojitahdi kujiangalia

  • @evonamaseneje
    @evonamaseneje 24 วันที่ผ่านมา

    asa mbona dalili ya nane zipo mbili tushike lipi sasa

  • @VailethMalata
    @VailethMalata หลายเดือนก่อน

    kwee kabisa dactar

  • @DanielKivatsi
    @DanielKivatsi หลายเดือนก่อน

    Fungus ni nini?

  • @DianaBwojo
    @DianaBwojo หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ni dalili ya kumi docta

  • @mirandamsuya5813
    @mirandamsuya5813 3 วันที่ผ่านมา

    Dalili za ukimwi unaanza kuziona muda gani baada ya kupata maambukizi doctor?

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kusema ukwel me hata vidonge vya ukimwi sijui vpoje

  • @AmisiKaluta
    @AmisiKaluta 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nina furaha ,naweza maliza mwaka bila tatizo nidalili yanini?

    • @arafajuma4128
      @arafajuma4128 หลายเดือนก่อน +2

      Raha ya maisha na kukinai roho yako

  • @RehemaMussa-b1i
    @RehemaMussa-b1i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe kaka acha uwongo umesomea wapi hiyo kazi nakikohazi tena ulichosema mume wangu ninamiaka nae kumi natatu anakikohozi hicho kwakifupi kazoea tafuta pesa blooh acha kuwatia wasiwasi watu n

    • @mshaniwellness
      @mshaniwellness  2 หลายเดือนก่อน

      Punguza makasiriko.... kapime

  • @davidmihambo9764
    @davidmihambo9764 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hizi dalili huanza muda gani baada ya ambukizo la kwanza.

  • @SheilaKhayasi
    @SheilaKhayasi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi Nina swali na inakuaje ikiwa unasumbuliwa na tumbo Mara kwa mara

  • @ShamsiHemedy
    @ShamsiHemedy 6 วันที่ผ่านมา

    Nikweli

  • @yohanayohana9544
    @yohanayohana9544 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakama.hunq.izo dalili naunaukimwi iyo imekaeje

  • @AnneNgugi-g8z
    @AnneNgugi-g8z 3 หลายเดือนก่อน

    well come

  • @BarakaMaglaniLaizer
    @BarakaMaglaniLaizer หลายเดือนก่อน +1

    Huyu fala hajui chochote unakosa tu cha kufanya msenge tu.

    • @mshaniwellness
      @mshaniwellness  หลายเดือนก่อน +1

      Punguza makasiriko binti

  • @YassinIssa-e2y
    @YassinIssa-e2y หลายเดือนก่อน +1

    Nimepata herimu tosha

  • @AbuubakarBakar-s4v
    @AbuubakarBakar-s4v หลายเดือนก่อน

    Nzri kaka

  • @judithsimiyu881
    @judithsimiyu881 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilipima juu mzee anarandaranda kwa mwaka mumoja nimepima saidi ya safari nne na sioni doc fangasi inaleta saratani ya kizazi kama huwezitibiwa lakini sio ukimwi

  • @khamismasms6095
    @khamismasms6095 หลายเดือนก่อน +1

    Dalili y 10 kaimba feruzi hio

  • @CharlesAlly-jp1ms
    @CharlesAlly-jp1ms 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongara kwa kutupa elimu ukizingatia sasahivi ukimwi umeongezeka

  • @ANSIBELTCLEMENCE
    @ANSIBELTCLEMENCE หลายเดือนก่อน +1

    Ivi kuwa na wapenzi weng alafu hawana ukimwi si hauwez kuumwa siety😅😅

    • @khamismasms6095
      @khamismasms6095 หลายเดือนก่อน +1

      Ata ukila ubwabwa unapata😂

  • @AishaJay-jr9vj
    @AishaJay-jr9vj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe umemeza sawa Leo usisahau kumeza😂😂😂

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo kwa hasra no sikubali watu tukiwa kwenye hedhi tunahara bwana 😅😅

  • @jeremiahkingu
    @jeremiahkingu 3 วันที่ผ่านมา

    Yesu anaponya mangonjwa yote

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ya tisa.

  • @yorobokoro8387
    @yorobokoro8387 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duu tunadanganywa jaman

  • @shabanizayumba5432
    @shabanizayumba5432 3 หลายเดือนก่อน +3

    TB haisababishi ukimwi ila ukimwi ndio unasa abisha TB

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli sio kwamba wenye Tb wote wameathirika

  • @AbdulkarimMohamed-l3n
    @AbdulkarimMohamed-l3n หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 dah km kutafuta umaarufu nihvi hata Mimi natafuta

  • @FaresEliud
    @FaresEliud 2 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @sinyooo6583
    @sinyooo6583 7 วันที่ผ่านมา

    Sitofanya mapenz tena😮

  • @patrickkadeha5357
    @patrickkadeha5357 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dalili si zote zingine hata kwenye kisuka zipo

  • @sharifashindo3682
    @sharifashindo3682 หลายเดือนก่อน +1

    Eti kuchanganyikiwa duuh😂

  • @Semi539
    @Semi539 3 หลายเดือนก่อน +1

    So ww uliona hizo dalili ukajikuta uko na ukimwi ama unamaana gani bro tafuta kazi waja kutafuta comment kwa ujinga na ufala

    • @mshaniwellness
      @mshaniwellness  3 หลายเดือนก่อน +1

      Kutukana haisaidii tayar nishaipata comment yako.

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 2 หลายเดือนก่อน +2

    hasira tenaa😂😂😂😂

  • @ChrisBetty-vo3yy
    @ChrisBetty-vo3yy หลายเดือนก่อน

    😂😂hasira kila mahali bana doc

  • @joycebahati7126
    @joycebahati7126 2 หลายเดือนก่อน +1

    😢Hasira kila mtu anazo🤔

  • @StellarKaula
    @StellarKaula 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kelele sikilizwn doctors😂😅😢😂

  • @VLADDYNDANZI
    @VLADDYNDANZI 3 หลายเดือนก่อน

    Anayetukana anahilo tatizo kwahiyo inakuwa hasira

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi ndio mawakala wa kusambaza hayo maradhi tafuta kazi ya kufanya

    • @mshaniwellness
      @mshaniwellness  3 หลายเดือนก่อน

      Punguza makasiriko

    • @beatricejohn1659
      @beatricejohn1659 3 หลายเดือนก่อน

      Unao acha kisirani Kwa yeye ndio aliyekuambukiza?

  • @MeranceJoseph
    @MeranceJoseph 15 วันที่ผ่านมา

    Tuambie baba asirimia yawa bongo hatupimi afya kwawakati

  • @JoyceJoyce-b5r
    @JoyceJoyce-b5r หลายเดือนก่อน +1

    Dalali zote ninazo jaman hasa hasila

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ko mie nina ukimwi🙄🙄🙄make nina hasira hapa nishagombana mara 4 najikuta tuu

    • @alexsilvano332
      @alexsilvano332 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kafeli hapo

    • @SalvinJastin
      @SalvinJastin 3 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 3 หลายเดือนก่อน +1

    8 iko mara mbili mkuu

  • @ZainaFatma
    @ZainaFatma 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hata kisukar unapata kupa matatizo ya hasira

    • @Teaching356
      @Teaching356 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio mi nshamuona mtu mwenye nayo anakaa na hasira kila mara.

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 3 หลายเดือนก่อน +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti usitukane sana

  • @SamsunGalaxy-e5k
    @SamsunGalaxy-e5k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wanaotukana ndio wasirika wenyew acha na nao tufahamishe ss tusio na makasiriko

  • @abiyafocus6992
    @abiyafocus6992 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi upata vidonda mdomoni kipindi napata period

  • @AngelRupia-od2gu
    @AngelRupia-od2gu หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @KYLINIMWAIPINGA
    @KYLINIMWAIPINGA 3 หลายเดือนก่อน +1

    HIV ni nini mana mi najua ni ukimwi

    • @MwaminiNyondo-ez2sv
      @MwaminiNyondo-ez2sv 3 หลายเดือนก่อน

      Human immuino virusi😊

    • @KasalamaAlly
      @KasalamaAlly 2 หลายเดือนก่อน

      Hongera Dr tatizo watu wengi hawataki kupewa elimu shauri Yao mradi ujumbe umefika

  • @sirilaswai6206
    @sirilaswai6206 3 หลายเดือนก่อน

    Ila hata mtu wa sukari anahasira sana

    • @mshaniwellness
      @mshaniwellness  3 หลายเดือนก่อน

      Magonjwa meng yanaweza kukusababishia hasira ni vizur kupima

    • @JacksonMuhandiki
      @JacksonMuhandiki 3 หลายเดือนก่อน

      Wache waseme mwisho wake wanakufa wao ww unashudia Mungu matendo yake

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 หลายเดือนก่อน

      Sio wa sukari tu hata kansa na Presha

  • @SaidSaid-wh4ky
    @SaidSaid-wh4ky 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo hakuna Dr Kuna mtangazaji tu

    • @mshaniwellness
      @mshaniwellness  3 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa umeita mtangazaji.... we unadhani uko sawa kichwani kweli?

    • @Teaching356
      @Teaching356 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mshaniwellnessanayo huyo maana naona amepigana kweli kweli😂aende akapime bhan aache kuyumba yumba😅

  • @mbojetalaga2670
    @mbojetalaga2670 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wanaokutukana HIV+ nashangaa wanaangalia clip hizi huku ni wahanga

    • @mdqweqwe251
      @mdqweqwe251 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 หลายเดือนก่อน +2

    Eti hasira acha uongo wewe

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn หลายเดือนก่อน

    Anae tukana kwasababu yakutoa elimu .huyu nimutu wa ajabu sana kama hutaki kupata elimu hii SI acha usikiliza. Kuliko kutukana .upumbavu wako ufanye dokita Astor elimu kwa watu? Acha hizo wewe

  • @danielsamwel4984
    @danielsamwel4984 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti ya doctor inafahamika tuu

    • @VeeEhMgimwa
      @VeeEhMgimwa 22 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @parmoyangidut8788
    @parmoyangidut8788 หลายเดือนก่อน

    Total lies , the best things is the patient to visit VCT for testing but to avoid this nonsense here above.

    • @mshaniwellness
      @mshaniwellness  หลายเดือนก่อน

      Thats nice opinion girl.

  • @BarakaMaglaniLaizer
    @BarakaMaglaniLaizer หลายเดือนก่อน

    Wewe umejuaje au wewe mwenyewe ni mgonjwa wa ukimwi?

  • @Stevekapugi
    @Stevekapugi 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂hasira

  • @judithsimiyu881
    @judithsimiyu881 3 หลายเดือนก่อน

    Sikubaliani na wewe kabisa labda tu useme unatafuta pesa watu wanaposubscribe

  • @abdalahmtegetwa7114
    @abdalahmtegetwa7114 หลายเดือนก่อน

    Matako yako kanye huko