🚨 Jinsi ya kumtambua mtu anatumia dawa za kupunguza makali ya VVU (ARV)🚨

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Dalili nyingi za UKIMWI huwa zinajionyesha ikiwa mtu hatumii dawa. Lakini kwa mtu ambae anatumia ARV kuna baadhi ya mambo huwa yanabadilika mwilini, na unaweza kutumia mabadiliko hayo kuweza kumtambua mtumiaji wa dawa za ARV.
    Katika video hii utajifunza na kufahamu mabadiliko makubwa ya mwili kwa mtumiaji wa ARV ambayo unaweza kuyatumia kumtambua mgonjwa wa Ukimwi anayetumia ARV.
    Follow us on:
    Facebook: / mshaniwellness
    Instagram: / mshani_wellness
    Twitter(X): / mshaniwellness
    TikTok: www.tiktok.com...
    Contact: 0743039890

ความคิดเห็น • 3