Jaman wanakings wenzang bado nyimbo tano tu tuzidondoshe tukae sisi namba moja on trending never mind lazima tufike namb moja toka way back sisi ni wakali yan hii vita tunaiweza
Vanillah anajua kuandika jamn sijaona hapa TZ na cjawahi ona kaandika nyimbo nikashindwa kuipenda unatisha sna mpka Roma umembadili rap stail yake we mwambaaa❤✊👍💪🦾
Wanao iaga dunia ni wale wanaokupenda wanakusaidia Unawazika unalia kila ikija njaa unawamiss unalia 😢😢#izi verse ni za hazi ya nyota tano,gonga like kama umezikubali kama mimi
Kama wewe ni shambiki wa king music really like hapa kwa kijana wetu big talented vanillah 🔧🔧
Kitambi bila pesa ni ugonjwa. Kama umesikia hii verse, Basi tujuane kwa ku like 😅😅
Hahahaah!!!Wakati Nasoma comment yako na iyo verse ndo ikafika bhn😂😂😂
Roma songs the best
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri kingsmusic 🎧
Hili gomo nimesikiliza zaid ya mara 30 asee big up broo
Hii itakua funga mwaka bila shaka 🎉🎉
Sasa hapa ndo nimethibitisha ukubwa wa vanilla kwenye uandishi 🙌🙌🙌
King's asahivi ni mwendo wa mawe tu ila vanillah huyu 🙌🙌🙌🙌🛠️
Kama umeskia verse ya Roma gonga ata like bibi kameza shoka😂
we wait for it from Kenya 🇰🇪
Daaah nakumbuka like nyingi kupata ilikua moja na ta kwangu, plz bless me with many likes people
Watu hamna aibu kabisa inamaana hamjaona comment yangu mnipe like hat 5 khaaaaa😢😢
😂😂😂😂
😂😂iv mkipewa like mnapata nn
Naomben kusabcrbe account yang
Izo baba
@@TozzyCeth ww ni nani mwenzangu
Mbona kila mtu anataka likes kumetokea nn leo😅😅😅😂😂🏃♂️🏃♂️
Wakwanza Leonipeni like zangu Toka moro town
Jaman wanakings wenzang bado nyimbo tano tu tuzidondoshe tukae sisi namba moja on trending never mind lazima tufike namb moja toka way back sisi ni wakali yan hii vita tunaiweza
Kitu cha Kwanza Nyimbo nzuri sana cha pili ikitu nilikuwa nasubir sana🔥🔥🔥💯💯🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mwanza boi masupana wewe🎉
Vanillah anajua kuandika jamn sijaona hapa TZ na cjawahi ona kaandika nyimbo nikashindwa kuipenda unatisha sna mpka Roma umembadili rap stail yake we mwambaaa❤✊👍💪🦾
Definition of Good Music❤🎶
Like 10 tu. Nahitaji kuzipeleka ukweni
naikubal sana hii ngoma hata kabla ujaitoa yate💯
Sijuwi tuitaje hiii
Kali kinoma yanii dahh
😅😅mbona comment zote mmeomba like???? Mimi siombi like ila ngoma Kali bhna daaah KINGS MUSIC FOR EVERYBODY LETSSSS GOOOOOOOOOOOOI
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌 vanila mmh hili n bangaaa noma saana
Aiseee hii song ni Kama nimeimbiwa mimi walai ndo life life yangu vyenye iko this time 💔💔
King's tuko nanyi bega kwa bega siku ii tuko bifuwa mbele tu
Jaman kwa walio ielewa hii ngoma kama mim gonga like hapa
Mbona haifiki trending no 1 keep pushing people 😢😢
Tuacheni wivu jamaa fundi sana❤❤❤
Kwa Sisi wenye difrection umetutibu mahali vanila asante
Spana wakaze wew ni mkali sana zaid ya wanavyokujua
Kam ume rudia zaid ya mala moja ii ngoma nipe like apo😂😂😂🔥
Kipara bila pesa ni kidonda, alieskia hii verse tujuane kwa likes
@vanillah aka Spana we ni mtu na nusu kabisa basi ngoja tukuamini sasa kaka
Unyama mwingi sanaa mwaneto spana🔧🇲🇿🇲🇿
Hujawahi kuharibu spana kila kazi 🔥🔥
Kmmmke huyu vanillah apewe idala 🔥
Wanangu wa toka 👑 Had mageto ya ROSTAM. kwa mkato acheni uchoyo basi hata like 1 ya kongoreeeeeeee
💫👑👑👑
Wanao iaga dunia ni wale wanaokupenda wanakusaidia
Unawazika unalia kila ikija njaa unawamiss unalia 😢😢#izi verse ni za hazi ya nyota tano,gonga like kama umezikubali kama mimi
❤❤
Tukimsapoti vannila atafika mbali jamaa anajua sana
Bonge moja la ngoma ujumbe mkubwa 🙌🙌vanilla
Kama unaamini vanilla atakuwa super star mkubwa hii tz gonga like apa
Exactly
kama kweli unajuwa nyimbo bass huu ndoo wimbo wakukupa furaha pale unapopitia magumu ya maisha mpeni maua yake vanillah kwa kweli unajuwa
We ndo nembo ya label awo wengine Mungu awafanyie wepesi
Naskiliza toka Moçambique naombeni likes zangu jamani
Ila usiwaze kujitoa rohoooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🤗
kunamda inabidi mafansi tukae kimy ili kuona vipaji na majabu yaliopo bongo kama unakubali tia like
Unatafut job umekos unarud umechoka wengine wako hom michong inawafata aloo nakubal mme ua um
Wa kwanza Leo.Naombeni likes zenu.
Tuliokuja hapa baada ya kuona jina la roma tujuane gonga like tusepe na kijiji
Good sana bos 🔥👑👑🔥🔥🔥 kweli kabisa tutafute mapene
Goma Kali sana hili, Kila mtu anaomba likes haya nipeni namm sasa hzo like
Of course nevermind na Wala Usiwaze kujitoa roho keep it up
Spana Spana Spana huu ni zaidi ya motoooo🔥🔥🔥🔥
Tisha sana Spanaaaaaaa❤❤❤❤
Ngoma nzuri sana ndugu yangu, umeandika sana humu
Hongera
Umeongelea maisha ya Mtanzania halisi sana.
Mungu awape nguvu wapambanaji wote. Amen.
Never mind vanillah 💯💯💯💯💯
huyu jamaa mbona Kama anajua sana
Inspiration and Street Song .Melody 🎶 and Lyrics good. 🎉🎉🎉
Unatafuta pesa unakesha kwa mwamposa. Ukizipata “bibi kameza shoka”.. ilimradi wakupe stress
Ngoma kali sana sana. Big Up Roma ilikuwa ya kipekee
Nice one 💯✨.
Good work 🎉
Yereee unyama huu hapa sasa
Dubwana flani hivi Spanaaaa..🦴
Njia za Mkatoliki ni mwendo sana hum ndan 🔥💯
Kijana unapambana sana,,, k2ga wapiii yeye mbona hapamban kama wenzake au yeye ndo boss
Anauza sura tu
😅😅 ye yupo tu 😅
yule na skudu gora moja
Kamaa umesikia mstari kuhusu mwamposaa shukaa na like hapaaa😂😂😂
Game is change spana Grammy yakwako 2024🎉🎉
Roma Kazingua kinowmaa yaaaniii....
Mr Blue alikuwa ahusike ktk hii kitu cuz ANGERAP & ANGEIMBA
Hii ngoma lazima itoboe
Comment yako isipopata like usijewaza kujitoa roho, nevermind
Wata kuhamia michongo
We kama huna pesa
Wata kubagua wenzako
we kama huna pesa
Hata bahati jaiji kwako
Wekama huna pesa
Ishi ukiwa unatambua kwamba, hata watu wanaotamani uteseke wapo pia kwenye kundi la watu wanaokusifia kila siku.
#Nevermind
#Spana
❤🔞🔥🔥🔥🔥
Yaani sio kwa ngoma kali sana ni uhalisia wa maisha tunapitia wanaume watafutaji@TeacherAlone#
Tim kiba tukutane apa kwa like
Goma Kali Sana Kama Unakubali gonga like Apa 👈🏼
Tisha 🔥🔥🔥🔥
Vanillah anajw sana🔥🔥🔥
Gonga like kama umesikia mwondoko wa R.O.M.A
Boom boom
Vanilla unajua nilijua kubana pua ni dili kumbe amna
Best song ya 2024 nipeni like zangu na mimi
Fundiiiiii...! nakubali uwezo wako we're brothers
wanaosubiri muwa tujuane hapa🎉🔥🔥🎶
Motooooo mwiko temeni mate chumaaa hiki hapa
Mimi napenda sana apa kwa,"tunasaka pesa tunakesha Kwa mwamposaa.....❤❤
Hapo Kuna unyama MWINGI bro
@@allenonesmomwebembezi6248 sanaaa kakaa 👊
Hili jambo la kuomba like lishakuwa ni gonjwa la kitaifa huku You Tube
Kama unamkubali nipen like zangu hap😅😅😅
Ahsante sana kaka @vanillah Spana🙏🙏🔥🔥🔥
Muda tayari achiago langu
Nilidhania K2GA atachukua mikoba ya King Kiba ila Vanilla ndio the next King Kiba mark ma words....
Ngoma kali sana kaka
SIJAWAHI COMMENT TH-cam ILA HII NGOMA MWANANGU UNAJUA SANA ROMA KATISHA SANA UKIWA MBUNIFU HIVI MZEE TUTAKUONA KILELENI 👆
Spana tena ❤❤❤❤❤❤❤
Vanillah ni zaidi ya genius 🎵👑 hauna kazi ndio unayetuibia🤣🤣🤣
😂😂😂
Ila usiwaze kujitoa Roho 🔥🔥🔥🙏💜👑
Ungetoa video moja kwa
Moja ingefika mbali sana
Spana unakaza kweli❤
Haya tuipeleke trending basi majamaa 🇰🇪🇰🇪
Nyinyi ombeni likes,,angalieni zitakavyo mwagika kwangu #Never Mind
Hii ngoma 💯 % kali sana ila Roma kanokumbusha Enzi za bwana misosi yan kapita kama BWANA MISOSI umo.............. @Roma salute
Ujama fundi sana
Kama unakubali huu moto ninwakuotea mbali gonna like hapa❤❤❤