SONG:SIKULAUMU ARTIST:BANDO FT VANILLAH VERCE 1 (BANDO) Hi!! Hi !! hi !! hudah Uhali gani we msaliti haufai yuda Nimeona leo nikusabahi nai nai Nilikuongaga mpaka saa ila bado ukanipotezea muda Aah penzi lako kama lift ukanishushia njiani Ukuamini kuna siku mziki utanipa ramani Ukapata mchizi asie na dhiki na akakuweka ndani Hivi hukujua nyumba ya ridhiki mpangaji manani Ilinitouch sana na iliniumiza sana Ilinifanya nikakesha usiku na mchana Haukuwa fungu langu so sikuweza kung’ang’ana Kisichoridhiki akiliki hata kikiungwa na nyanya Vipi mchizi yupo mbona sikuizi hampostiani tena Makopa kopa instagram hamcomentiani tena Mtaani hatuoni mkiongozana tena Staki amini kama nayeye mmeachana tena CHORUS (VANILLAH ) Isingekuwa ustahimilivu uenda duniani leo nisingekuwepo Ulinipa maumivu niliamini siwezi kupona leo wala kesho Namshukuru MUNGU Kwa kunifutia kumbukumbu zako maana niliishi namaumivu mwili ukawa kijivu nikawa nikichekesho sikulaumu weweee !! Sikuombei magumu wewe !! MUNGU akurehemu wewe !! Uliyoyafanya kwangu yasijirudie kwakoooo Verce 2 Usidhani nakuchukia me sikuchukii Hizi salamu tu nakutumia hata mapenzi yako me sikumbukii Uliacha mbachao kwa msala upitao kunikalia vikao haisaidii Nasikia ukinionaga kwa TV unatamani hurudi ila me ndo sifikirii Mshedede sikuizi navichenchede mambo yapo yedede bata kila dede Mafekecheee debe daily tukipredede siulisema sina future maisha nimeya made dedee Najua unahabari sikuizi mziki ushaanza kunilipa Nashukuru MUNGU bwana kila kona nasikika Kote nafika kila dakika Nakwenye show siendi na diaba nakweaga mapipa BRIDGE (VANILLAH) Jangwani uliniacha mpenzi ukaenda mbali nami ukafata wenye maji mengi Angani kuna nini mpenzi ulichagua maisha ya ndege kuruka kuspendi Utu utu niliwekeza kwako utu ,utuuu utupu wako uliwaonesha wenye pesa wakaenda na weweee CHORUS (VANNILLAH ) Isingekuwa ustahimilivu uenda duniani leo nisingekuwepo Ulinipa maumivu niliamini siwezi kupona leo wala kesho Namshukuru MUNGU Kwa kunifutia kumbukumbu zako maana niliishi namaumivu mwili ukawa kijivu nikawa nikichekesho sikulaumu weweee !! Sikuombei magumu wewe !! MUNGU akurehemu wewe !! Uliyoyafanya kwangu yasijirudie kwakoooo
hii nyinbo ni kali walai ndo song yenye nikitaka kulala lazima niskilize bigup xna alikiba for being a good role model kwa uyu kijana vanilla kiukweli sauti anayo❤
BEAT FLAN IVI LAINI NA UJUMBE FLANI KWA DADAZETU WAKIJIKUTA SANA SISI NI WAPAMBANAJI MAFANIKIO YETU NIBAADAE HAKUNA MWANAUME MASKIN LABDA UMASKIN WA NGUVU ZA KIUME @bandoUM3A SANA💥💥💯💯
ngoma iko trendingi No 3 asante sana mungu kwa kumusaidia huyu bando mc maana hana dharau na mashabiki zake anajibu comment yakila mutu uko instagram Ndo maana Mungu kakusaidia kaka wewe hauna baya kbx 🤸🤸🤸🤸
SONG:SIKULAUMU
ARTIST:BANDO FT VANILLAH
VERCE 1 (BANDO)
Hi!! Hi !! hi !! hudah
Uhali gani we msaliti haufai yuda
Nimeona leo nikusabahi nai nai
Nilikuongaga mpaka saa ila bado ukanipotezea muda
Aah penzi lako kama lift ukanishushia njiani
Ukuamini kuna siku mziki utanipa ramani
Ukapata mchizi asie na dhiki na akakuweka ndani
Hivi hukujua nyumba ya ridhiki mpangaji manani
Ilinitouch sana na iliniumiza sana
Ilinifanya nikakesha usiku na mchana
Haukuwa fungu langu so sikuweza kung’ang’ana
Kisichoridhiki akiliki hata kikiungwa na nyanya
Vipi mchizi yupo mbona sikuizi hampostiani tena
Makopa kopa instagram hamcomentiani tena
Mtaani hatuoni mkiongozana tena
Staki amini kama nayeye mmeachana tena
CHORUS (VANILLAH )
Isingekuwa ustahimilivu uenda duniani leo nisingekuwepo
Ulinipa maumivu niliamini siwezi kupona leo wala kesho
Namshukuru MUNGU Kwa kunifutia kumbukumbu zako maana niliishi namaumivu mwili ukawa kijivu nikawa nikichekesho
sikulaumu weweee !! Sikuombei magumu wewe !!
MUNGU akurehemu wewe !! Uliyoyafanya kwangu yasijirudie kwakoooo
Verce 2
Usidhani nakuchukia me sikuchukii
Hizi salamu tu nakutumia hata mapenzi yako me sikumbukii
Uliacha mbachao kwa msala upitao kunikalia vikao haisaidii
Nasikia ukinionaga kwa TV unatamani hurudi ila me ndo sifikirii
Mshedede sikuizi navichenchede mambo yapo yedede bata kila dede
Mafekecheee debe daily tukipredede siulisema sina future maisha nimeya made dedee
Najua unahabari sikuizi mziki ushaanza kunilipa
Nashukuru MUNGU bwana kila kona nasikika
Kote nafika kila dakika
Nakwenye show siendi na diaba nakweaga mapipa
BRIDGE (VANILLAH)
Jangwani uliniacha mpenzi ukaenda mbali nami ukafata wenye maji mengi
Angani kuna nini mpenzi ulichagua maisha ya ndege kuruka kuspendi
Utu utu niliwekeza kwako utu ,utuuu utupu wako uliwaonesha wenye pesa wakaenda na weweee
CHORUS (VANNILLAH )
Isingekuwa ustahimilivu uenda duniani leo nisingekuwepo
Ulinipa maumivu niliamini siwezi kupona leo wala kesho
Namshukuru MUNGU Kwa kunifutia kumbukumbu zako maana niliishi namaumivu mwili ukawa kijivu nikawa nikichekesho
sikulaumu weweee !! Sikuombei magumu wewe !!
MUNGU akurehemu wewe !! Uliyoyafanya kwangu yasijirudie kwakoooo
Hongera sana kwa kazi nzuri
Shai town boi
Tusapotiane ❤ #tellaaxistz
Your time mzeee
Noma mno
Hongeraa sana Bando ngoma kali mmetisha
Vanilah kuitkia ni atar ametisha sana .kama unakubaliana na mm gonga like apo
Sumu
Amen
Haka kavanilah n hataliiiii wengine wako bize na crown media Ila kenyewe kako bize na collaboration
Vanilla alivouwa kwa @raputre du apa kauwa Zaidi 💢💯💯💯💯💢
Ninoma
Vanilla mwanangu unatisha kwa kila collabo....kama unamkubali huyu mwamba nipe likes
Hila vanilla 🎉🎉 mungu akuandalie kiti chako gonga like kwa hawa manneger
Noma
Vanillah always gives his best 🎉🎉bando is a living legend one love from +254
Ayeeh
Hii ndio bongo fleva sasa big up
Kama unamkubali huyu brother bando nipeni like zangu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Asante sana
@@BandoMC big up bro , respect
Kama unamkubar vanilla acha like hapa
Wa kwanza Nipe like zangu ❤🎉
Noma
Likes zako ulimpa nani Kwan...
piteni na kwangu basi❤
Kama umeguswa na verse ya pili kama mm gonga like hapa tuendelee kuenjoy ngoma
Nooma
Daaah aseee bando siku zinavyozid kwenda ndo jins tunavyozid kukuelewa kumbe ni mkali kias hiki
Naam
Rap style, sauti na miondoko nikama ya Darassa, respect to Vanilla as well 👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾
Ngoma kali sana big up to you🔥🔥🔥🔥🔥🔥 @bando mc 🙏
Ayeeh
Acheni mziki mzur ujiuze wenyewe,Nini maana ya kukosa Raha? Kukosa Raha ni kuwa Bado hujasikiliza hii Ngoma 🙌🔥
Naam
@@BandoMCdaaah uongo mbaya nyimbo zote zilizotoka week hii,Ngoma hio ndo nimeipa namba 1🙌😭
Producer WA MKOA HAPA kaka bando u kill it with my brother spana🎉🎉🎉
Noma
Mm nimekuta wa mwisho team vanilla na bando mc naomba like jaman❤❤
Unyama kama wote,,,,,sikulaumu its 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma
@@BandoMC asikwambie maana linagonga Harafu linanoga hatari
Hii ngoma ni moto sana MC namba moja Bando mwenyewe, maua yote yako🎉🎉🎉.. I'm Gelly Music.
Naam
Bando mc ft vanillah spana.. sikulaumu ,,ndo ngoma kali 2024 hutaki basi
Hit Boy
Boom
TH-cam
Huyu Vanillah wa moto sana
Sana
Kaka naitaj support tu kwako ngoma kali hii
Sikulaumu Ndio Habari yaoooooo Yaaah sipana shyi boiiii
Kwel
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Familia🎉🎉🎉🎉
Ewaa
Bando Mc iyo ndo speed tunayoitaka mashabik zako saf sana Vanilla pia sio kinyonge❤️❤️❤️❤️❤️❤️💫
Nooma
Ngoma kali sana iende
Noma na nusu🎉🎉🎉🎉
Much Love Wanangu Bando X Vanilla Nguvu moja💪🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nguvuuu
Kiukweli bando anaandika na inaeleweka 🎉🎉🎉maua ni zako baba
Ila vanillah pia kaua saana hapo pia mimi simulaumu🎉🎉🎉
Hii nyimbo nmeiskiaa mtaani. Ikabidi nije TH-cam kuiangaliaa🔥🔥🔥🔥 oaa hii combooo ni balaaaaqqq❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sio poah
Like za Vanillah #Spana ni 🔧🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👑 jamaa ni killer
Kaua
Oyaa hii nyimbo ya moto sana anko🔥🔥✍️✍️
Naam
Noma
Dahhhh vinillah umeua sana
Tulia kijana😂
😂😂😂😂😂😂 najua unamjua
Vanilla kaka yangu unajua sana, umetishaaa🎉
Sio poah
Kaka mwaka wetu huu mamae 🌍🌍🌏🌎💣
Nooma
Kisicho riziki hakiliki hata kikiungwa na nyanya...saluteee nigazzzzZ
Naam
Hii nyimbo kama ya rode boy reason with me nakbal bando nomaaah sanaaah❤
Noma
Vannilaa kwelii taboraa na mwanza unatuwakilishaa powaa snaa live long life broudah munguu akulindee snaaa
Spana juu ya spana mwendo wa kuachia vyuma akuna cha kuogopa et komasava🔥🔥🔥🔥
Naam
Sapoti xio mpaka kuimba wote
Ma bro mme tixha na chino wana maaaan💪💪
Naam
Goma kali Asa si mngesubiri wanangu asa mnaona kabisa simba kaitawala mbuga na mnatoa ngoma 😂😂😂
Kwani simba aki towa wengine awa wezi towa ngoma ita tembea na pepo ya simba good music 🎶 🎉
Hongera sana bando mc na vanila, yan mnanipa raha sana, toka sir GOd mpaka hii ni hatari sana, ñakuona mbali bando
Verse killer and hip-hop killer 🎉🎉🎉
Kabsa
Bando bhana ni Dawa Ya Kifurushi Cha Data Iyi song haipotezi Bando wallah ni song waona hujuuti Data
Uwaaaa
😅
Weeeeeeh hapoooo pa ´motooo
hii nyinbo ni kali walai ndo song yenye nikitaka kulala lazima niskilize bigup xna alikiba for being a good role model kwa uyu kijana vanilla kiukweli sauti anayo❤
Oyaaa huu wandishi wako jamaa wee noma sana big up sana 🙏🙏🙏
✊✊✊
Kauwa
Ni ya moto saaaana hii mazee #Vanillah a.k.a Spana
Sio poah
Repping SHYTOOOOOWWWWWN!!! Keep going King! Sikulaumu on REPEAT!!!!
Villah
Wangapi tumesikiliza zaidi ya mara 3
Mkk1960 ENT from Embu kenya approve this is a hitt song ❤🔥🔥
Nom
SPANA 🔧🔥🔥🔥🔥👑
Spana
Oyaaaaaahhh mi mwanangu sana bandooo
Mmetisha Sana 🔥🔥🔥🔥
Kama una mkubali Fabian supana gonga like hapa
Fabby
Umeua!!! Pale mshedede!!! Kijana una swaggah. Haiboi kurudia kusikiliza
Hapo kwambaali ningemueka baraka mweusi😂😅🎉
Alooo away jamaa wote nihatali sana wazeee duuuh
Pamoja
🔥🙌🏾sikulaumu@Bando mc
Noma
Bando wa Sir God 🙌🙌🙌🙌
Jiniii wewe ufaii kuwa Huku mana unajua hadi unakela vijitu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Sionpoah
@@BandoMC 🙌🙌
Shy Town boy unajua mpaka bac home boy 🔥🔥family from ngokolo🎺🎺
Nahisi nameimbiwa@bando
Hujawahi kosea kaka kazi Ju ya kazi
#bando Mc 🎉
Kabsa
Spaaaaana
Tuuuwe
Vanillah weni 🦅👑☠️🔥🔥
Wanayama
Hit
Watasema
Bado hawajasema😂
Kubwa kuliko
Kama unamkubali bando Gonga like 👍 hapa
BEAT FLAN IVI LAINI
NA UJUMBE FLANI KWA DADAZETU WAKIJIKUTA SANA SISI NI WAPAMBANAJI MAFANIKIO YETU NIBAADAE HAKUNA MWANAUME MASKIN LABDA UMASKIN WA NGUVU ZA KIUME @bandoUM3A SANA💥💥💯💯
Ayeeh
Oyoooooo Aya zamu yng Leo like zenu apooo
Naam
Nomaaa
Mtaniii tunakujuaa kama Raise🙌🙌🤝
Sio poah
💪🏼🤭
mshedede sikuizi navichenchede mambo yapo yedede bata kila dede🙌
Noma
Dar umetisha sana brothers
Naam
From drc Congo 🇨🇩 nipe like zangu kwa @BANDO MC
Sumu
@@BandoMC ♥️♥️♥️
@@BandoMC nakubali 🔥🔥🔥🔥
Bandoooooooooooo
Nitasimama nawewe daimaaa endelea hivohivo
Yuhu jamaa ni bando kweli tela hili itakuwa GB 500
Noma
Ngoma hatariiiiii...more love from kenya 🇰🇪 😍 ❤️
More
Mmmh ni kima sihara masihara kitu inaenda etyiii kama haitakiiiiii mbna noma kabisa❤❤❤
Noma snaa
Nakukubal xana mc bando naona upo na Bg brother mzee wa spana vanillah music boy
Nooma
Kama umeikubali hii ñgoma gonga like hapa🎉🎉
Nooma
Bando endelea kushusha madude Tunakukubali sana
Yanakuja
UNCLE TUNAENDA TRENDING NO.1 UNCLE #SIKULAUMU
Kwel
Mwanangu umeme sana🚀🚀🚀🚀🚀
Naam
wakwanza nipeniii like zanguuu leoo from songea
Kimbiza
Nomaaa sana@@BandoMC
Kwishaaa
Utafkaaa mbal
MZK mzur
Ankooo goma limeenda kabsa 💪#sikulaumu tuishi nayo naona ni moja ya ngoma umebadilika sana keep on moving ✍️
Sio poah
Sio poah
Ngoma kali sana nakubali uwezo wenu toka kenya,Vanillah kwa chorus anajulia kweli😊
Ayeeeh
Najivunia mtaan Ngoma Kali yenye uandishi ulio tulia
mmeua sana wote gd music
Naam
Vanillah umu kapita kama Becka flavour mara aslay fulan iv karud tena kwenye code zake ambazo zinafanana na baraka umetisha sana mwamba 🔥🔥🔥
Kumbe bando ni mwaisa😂
Sometimes unashangaa mbona ngoma Kali kama izi hazipati views zinazostahili.kaza bro wewe ni mkali Sana ,ipo siku ❤❤❤ mob love from Kenya 254
Hapo sasa
@@BandoMC bro am you fan hata fam yangu inajua ..ushawai waza kuja Kenya ?
@@BandoMC bro am you fan hata fam yangu inajua ..ushawai waza kuja Kenya ?
Ûmetusha sana kwenye hiliii kaka bandoo
Ngoma kali kaka umejitahidi
ngoma iko trendingi No 3 asante sana mungu kwa kumusaidia huyu bando mc maana hana dharau na mashabiki zake anajibu comment yakila mutu uko instagram Ndo maana Mungu kakusaidia kaka wewe hauna baya kbx 🤸🤸🤸🤸
Amen🙏🙏🙏
Ayeee🔥🔥🔥
Hii movie itaishi sana 🚀🚀🙌🏻🙌🏻
Oii
Unyama good music 🎶 ina enda yenyewe
Nomaa
Unajua sanaa
Kwishaaa
Good music
Top music
Tanzania kuna *Baraka da prince* na kina *Vanilla* wawili
Huyu Vanilla achungwe kwa ajili ya taifa la kesho kimuziki 🤜🤜🤛🤛😁😁😁
Noma snaa
Nyimbo kali. Hongera BANDO 🙌🙌🙌🙌
oyaaaaaaaaaaaaaa bando sikupingii
Asante sana
Noma
haujawai kufeli kaka🎧💐🙌🙌🔥🔥
NomAa
Unajua ankoo
Boom kubwaaa
Mzuka mzee
Unajua sanaa
Good job good music and good sound kwapamoja sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Chukua mauwa yako 🎉🎉🎉 nakukubar sana bando
Yani bro kamavile umenihimbia mm unastahili pongezi 🤜🤛👑👑👑👑👑
Nice
@@Sokabetya kwako hyo 😅
Wapili apa like
Naam
From Kenya🇰🇪 nakubali mziki safi........yaani kaongelea maisha nliyapitiaga kabla Mungu anitembelee sai nashukuru mzima
Mmh huumdude jaman hembu nionjesheni na mimi like 🎉🎉❤❤
Zuu