Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Music Video by Dully Sykes & Alikiba performing "ZALI". These two are renowned Tanzanian artists known for their distinct musical styles and impact on the Bongo Flava genre. Two long term Brothers coming up on this collaboration between them typically delivers a vibrant fusion of melodic vocals, heartfelt Swahili lyrics, and infectious Afrobeat rhythms.Their song likel explores themes of love, romance, or life experiences, blending Dully Sykes’ smooth lyrical delivery with Alikiba’s soulful voice.
Expect a track that resonates with emotional depth while maintaining an irresistible groove, making it a hit for fans of both artists and a testament to their synergy in the Tanzanian music scene. The music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by by Visior Mufasa and Audio produced by O.Righty
Stream/Download:bfan.link/zali...
Listen to Dully Sykes on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / dully-sykes
Boomplay:www.boomplay.c...
TH-cam: / @dullysykesmusic
Spotify:open.spotify.c...
Connect with Dully Sykes on Social Media:
Instagram: / princedullysykes
TikTok: / princedullysykes
Connect with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Twitter: / officialalikiba
Snapchat: / officialalikiba
TikTok: / officialalikiba
+For More Information Booking Dully Sykes
Contact:Sykesdully@gmail.com
+For More Information Booking Alikiba
Contact:emailalikiba@gmail.com
All Digital Platforms links:linktr.ee/Alikiba
©2024 Prince Dully Sykes.All Rights Reserved.
#DullySykes #Alikiba #Zali - เพลง
kubwa hii kaka zangu
No body realized, it's a comment from the African princess
Nandyyyyyy❤️🌹💕aky #Mlete😂😂unipe ady like😅😫
Hongera kiba mshukuru mungu kwa ulichonacho
De African princess
🔥
Dahhh Alikiba atatuuwa na burudani kila akitoa n chuma
Nipen like zangu KIBA fan's
Yuko juju😂
Kumbe ngoma kalii hii mamae🎉🎉
wangapi wanasema hii ngoma kalii🤸
This is pure bongo flavor 100%🙌
achana na wale wanochafua game
My brother aslay killed it,, what a powerful comeback..
Weweeee kingkiba👑👑 ni moto🔥🔥 natokea 🇰🇪 254 Mombasa uku.Ndio hio ngoma kalii ya kufungia mwaka..Dully sykes and Kingkiba kwa hii wameua.
Nmefika toka Kenya 🇰🇪 kumsapoti King Kiba 👑.
❤❤❤❤..kiba hatuchelewi
@@MiriamRoberts_5050 aiish
Yan aka kawimbo ni sweet❤❤
Bora ata tumepata kiburudisho cha kweli mana tulimic vtu kama ivi tumechoshwa na magoma magoma ya mapiano asanteni sana wazee kazi nzuri.
Walibore kweli na mapiano yao, afadhali tumerudi nyumbani🎉
Lakini hizi hazihit sasa watu wanaenda na upepo we endelea kukariri sasa
@@LeonardBadilinani kakudanganya eti piano zinahit wapi na kwa muda gani tuache ushamba eti kuenda na wakati
Utasikia gurungungunguu
@@LeonardBadili Ila zinaishi sana ile👉zinahiti kwa mda mfupi lakini hazihishi kama hizi.
Watoto wa kariakoo oyooooooo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Zali kali. Dully gwiji.
Weeeee,dully waniuaaaa huku mtoto wa watu humu umetuliaaa sanaaa❤,,,,nyieeee mwaka tunafunga na hii
Kama unahisi kiba kafunika eka like ukisonga
King of thé king thé Big best, mwalimu wa mziki wa bongoflavour, mnipeni like zangu jameni
Ukiimba Na Alikiba Na Ukafuata Melody Zake Mzee Lazima Utoboe ...
Kweli kabisa
Yaan ataliii 🔥
True
Naikubali sana 🕺🕺
Oya team kiba tuvamie hili dude daaah ngoma kali kishenziii
Nyimbo kali san, burudan ya kumalizia mwaka..mliorudia kutazam tujuane
Hiyo melody uwiiiiii❤❤❤❤
Kiba unajua sana🔥🔥🔥Dully Sykes bado upo vizuri🙌🏼🙌🏼
Unakili kama zangu 🤘
Familia ya kings nawaomba like zangu
Nice
Utabanduliwa like uzipeleke wapi
Hahahaha umlazii damu kaka@@samirshabani-yu4xu
Dully kakatazwa kupiga kelele kwenye nyimbo katulia tulii....!
Noma sana endelea kulinga linga wenzako wana nitakaa
Hili kiba lichawi la mziki bhana...linaimba kinoma aisee...afu dully ukajiheshimisha bro...bongo fleva imerudi upya sasa
Dully kama kaandikiwa na kiba
kiba ni noma sana
anajua had anajua tena
@@michaelmagowwe utakuwa dully umjuh vizr fund nae uyo
Hatar babu du ❤❤❤
Zangu ziwapi kutoka 🇰🇪
Kweli nipo Zambia namukubali sana dully pamoja na king
makini sana
Dully’s na Ali kiba Ali ni keys ya muziki. Nyimbo nzuri saana. 🎉❤
King kiba kaua humu
#mziki mzuri❤❤❤❤
@alikiba
Mooootooo🎉🎉🎉
Mafundi hawa 🔥🔥🚒🚒🚒🚒
Asee meleody tulizimiss sana hizi. Amapiano zilishachafua ubongo ila nmegundua bongoflava ni genre kali sana 🔥🔥🔥🔥
King kibao end dully nawakybali sana
KING.....👑 Umeua🔥🔥
Kiukweli ngoma qari sana na video qari sana hongeren sana watu wa Mungu kwa burudani nzuri mliotipatia.🙏🙏
Hii imeweza,kenya ❤❤❤❤
Dully uku sasa ndo kuimba kaka --- big up sana--
Wenye Bongo Flava Yao katika ubora Wao ….🔥🔥🔥
Kusema ukweri brother arkiba snajua sana
Ukijua njia za muziki huwezi kupotea ndo sababu awa jamaa awanaga pressure na Bongo flavor ❤❤
Hii sauti ya Kiba itatumalizia ujumba jameni...This guy siku ataacha mziki basi sitosikia mziki wowote tena❤
Kali sana hii
Alienileta uku ni nina wangu jmnn❤❤ proudly🎉
Watoto wa elfu mbili dully sykes ndo msanii wa kwanza duniani kuimba bongo fleva.🎉🎉
Dunia ipi. Maana 1816 forever young original iliimbwa huko ulaya😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂@@Dapeopletz
Waeleweshe😅
@@Dapeopletzkwani young forever ni bongoflava daahhh nyie walimu waongezewe mishahara😂😂😂
Kasongo yee mumbali nangai😂😂,
❤❤Nawapenda💯💯💯
Badshah_photographer King kiba huo unjano mwilini umekaa powa sanaaaaaa
Kwa hit hii dully Sykes 🎉🎉🙌
Ngoma kali
🎉🎉🎉🎉 unyama mwingi mafundi wakali wa music wamekaas set moyaaa ❤❤❤❤
Hapa TANZANIA 🇹🇿 tunae KING wa maana sana na haitaji mambo mengi kuamini kama ALIKIBA ndiye KING mwenyewe..🔥🔥🔥🔥
Kazi kubwa sanaa
Motroooooooo❤❤❤❤❤
Shwarlii kabisa yeo baba na kazi safi kwa dully dykes
ibraah one shakipaji we 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kali kakaangu
Kweli ng'ombe azeeki main big up duly syks
Brother dully. Kazi nzuri 👍 From mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Ngoma Kali kinoma
SHE SOUNDS LIKE PAPAMPILAAH! PA PAPAMPILAAH! PAPAAAH ENDELEA KULINGA WENZAKO WANANITAKAA. Oyiiiiii🙌🙌🔥
❤hiii mzigo ni Kali hot 🔥 Kenya twaikubali kiba vocals ❤ Dully legend...
Wenye Bongo Fleva yao mbweekeeeeee 🔥🔥🔥
hii ngoma kali sana dah pappapapapappaoapapapp papambilia papaya
tunawakubali hawa legends tunakutana hapa
Brother dully hii sound ulikua wap kaka shikilia hapa hapa umekua mpya kaka 🔥🙌
Nyimbo yote kaandik ali.sikiliz crown
❤Bonge la ngoma
Waooo kitambo Sana dully kuimba nyimbo zinazoeleweka na sasa kakutana na fundi hadi kimeeleweka big up Sana
Sijawahi kuona KING KIBA akifeli siku zote amekuwa fire, kwangu huyu ndio msanii wangu bora wa muda wote hapa East Africa
Watu wanaimba na Husikii matusi na wimbo ni motoooo....saluteeeee
....kwa sababu sio watoto wa zinaa
😂😂😂@@mustafamatata3795
Mshaanza Umbea Sikilizen Song Bana..😂😂😂
@@mustafamatata3795
Haswaa
Sim imejaa full Alikiba hits bado tena hii jamenii😢🎉🎉🕺🏾💃🏽🤩Mista Misifa legend big up 🤴🏾👏🏿🇧🇮🇧🇪
waliokuja baada ya kuingia na 1 trending
Another banger for u king go ahead
Wamekutana mafundi watupu 🔥🔥
Dulllyyu na Kinggg🎉🎉🎉🎉..
Twaupokea Mzigo huu Vyema kabisa hapa Kenya +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika jirani
❤🥰 asate Kaka twaifungia mwaka hii
Hiii nyimbo siku zinavoenda ndio inazid kua kaliii
Moto tena kali weeeee, hii naingia nayo ho.e
kali sana
On trending 🎉😅😅😅 tisha sana 👑 king
Namkubali sana Alikiba ndio msanii wangu bora kila mwaka respect brother
Kali..🎉
King ni shida🎶🎤. Hii ya kufungia mwaka walahi bonge la benga twenzetu 2025 taratiiibu❤
Tuache fitina Alikiba hata nikabaki pekee
nitazidi kuwa shabiki yake kweli nyie muondoke
nitabaki nae mne❤🎉🎉💞🙈😫
Hatari sana
🔥🔥🔥🔥
Noma sana
Ngoma kali sana King kiba naipenda sana kutoka kongo 🇨🇩
Hii Ngoma kali sana na ipenda kutoka kongo 🇨🇩
kali sana brother
Unajua Sana king
Tunataka hii ngoma ikae 1 mpk mwakan🎉🎉❤❤
❤wow it's rocking
Namba 1 king kibaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
so hawa jamaa wa thrombones waliamua wameza mouthpiece
safi kaka
Kumbe Kiba alikua anasema kweli kwenye ile interview, kwamba tunaimba baada ya apa 🎉🎉🎉 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Naonaa imeendaa nambaa mojaa
King 💪
Jaman naomba niseme kuwa mùziki wa dully sykes ndio huu karudi kwenye kiti chake sasa hapa kafanya muziki
Weeee weeee nani kama dully skyes na alikiba gongeni likes
❤❤
Atariii weweee❤❤
Uchawa tu unawasumbua
@@robertjoseph8968 🔥🔥🔥🔥
Ngoma ya viwango wakongwe
Njaa mbaya sana 😢
Wakongwe kazini 🔥🔥
Nimependa sana hiii aidia ma Brother nakubari nakubari nakubari 💪💪💪
King of lines yani fuuundiii❤❤❤❤❤ papapiraaaaa pampam noma saanaaa i say from kenya we love you 🎉🎉🎉 we areexpecting more from crown station salute🎉
Good music,good Melody, good message, Kweli ujuzi auzeek heeee
Wana Kings Music tupia Like🇲🇿
Goma la kwenda kabisa❤❤❤