Naomb nilale maan siku yang imeisha sasa ❤ ach niplay ma favorite song in world ward ata izilael akija namwambia ni swala la muda tuu😢😢❤❤ alikiba im accept u so much dady of music
Producer amefanya kazi nzuri sana Ila mwimbaji nimekataa, mpatie Diamond Ama mario Ama King kiba hii beat uone vile itakua. Kwa wale wanaojua mziki mzuri.
Kings music sasa mmeamua bdo k2ga tu saiv.....na kwann Ali asiimbe na k2ga hata nyimbo moja....abdu respect sana kaka....muda ndo ngoma yetu pendwa kwa sasa....
Comment zijae twenden maraComment ✍️wana team kibaComment ✍️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Dooooh jaman hiingoma ni tishooo kama umeamini tuna ishika Trending #no-1 nipe liké☑️🔥 zangu hapa
👇
Daaah jaman hiingoma ni tishooo kama umeamini tuna ishika Trending #no-1 karibunihapa, nipe liké zangu hapa ☑️
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥
👇
Goma la mwaka hili... King kaimba kidogo tu bt kauwa mbaya🔥🔥🔥
Hakika hii ngoma ishike Trending #no-1 kwa Siku chache kama wewe mwenzangu umekubali✋✋✋✋✋✋✋✋✋ *
Comment ✍️wana team kibaComment zijae twenden maraComment ✍️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Dotto Magari, Ndalo, Mkojani Ndani Kama Unaamini Kuwa Huu Wimbo Unaenda Kuwa Trending Namba 1 Weka Like Yako Hapa 🔥🔥🔥🔥
Lazima tu
Ukiongeza na mrs energy
Good❤ abdu kiba🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✅
Alihamdullilah MUDA wa kuanza ku watch sasa hadi usiku mzito
Pandisha midadi duuuh! Bonge yakitu
Aaaaaaa bonge la kishindooo🎉🎉🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
King kiba yaliyomo yamo kweli we are waiting this from 254
Kings music awa majamaa wa moto sema kitikio kimenikosha sana
Goma Kali kiufupii haya ma hit mnatoa kidogo tumekula sumu Bado hatujafa tumepelekwa huku mambo hayajawa mengi tumepewa muda ♥️♥️♥️
Sumu bado yamoto
Nice song vidéo lyrics 🔥🔥🔥
Comment zijae twenden maraComment ✍️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Oya oya oya oya kumekucha kumekucha kumekucha aaaaaaaaah aaaaaaaaah AAA lamgambo lamgabo kwa mfalme Leo Kuna jambo
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri kingsmusic 🎧💥
Poa sana
Jaman hawa watu 🙌they amapiano differently kabisa wanaladha zao tofauti 🙌
Ngoma ya moto
Sisi ndo Wana muziki💯 sisi hatunaga shuli mbovu wara mbayaa hantariii meongea sana Sasa ni muda wamaokoto twezetu boss ❤️❤️duniani 🙏🙏💪💪💪💪
Mamboo yamesha kua makubwaaaa😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Unyama kam wote ngoma kali gonga like hapa zakutosha kwa king wetu ❤❤❤
nomaaaa i like the idea ila dancer katisha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa salute
Umegundua Amapiano King's Music wanaimba kama hawataki 😂😂😂 hawa Jamaa wanajua mziki... Sio Ile team ya Pande ya pili
Hii ni level nyingine kabisa KibeKibe ni mtu mbad sanaaaaa
Mambo fire fire twende kazi
Ni noma Sana Waze topo kings ngoma
Mziki mzuri hongera kings music
bonge la ngoma
Alikiba SIMBA mwenyewe lots of Love from🇰🇪🇰🇪 likes plz🎉🎉
Sana team King music from Zambia together tunawakilisha 👑👑👑🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Nawapata kutoka KUMA MOTO JAPANI nyie jamaa noma…🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Everything nice 🎉🎉
Kwakweli nimefurah san mrs.enegy fire san ❤❤❤❤❤❤yan kapaform vizur had raha snaa
Safi 🎶🎶🎶🎶🌹🌹🌹🌹
All the way From Zenji#Marashi ya Karafuuu ❤❤❤🙌🙌🙌🔥🔥💸💷💵💶
Kaliii km kuna mtu anakubaliana na mm weka like
Abdukiba👑👑👑
Nakubali mwamba sema umenikumbusha mbali sana kwa mwanangu kwenye dude la hakunaga, mwanangu mwenyewe DOTTO MAGARI salute
Noce song vidéo lyrics 🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍🏼
Nimekubali ngoma kari ubunif wakushato video kari I love this song🔥🔥🔥🔥🔥
Najua hamtaielewa mapema lakin. Mtanianbia badye ngoma kaliiii
on fire
vidéo lyrics 🔥🔥Nice song💯👏
MUDA WA KUCHEKAA🔥🔥🔥
High quality
Yappu unyama ni mwing kings naomben likes zang 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ngoma ina staili views 10M+ 🚀🚀🚀
Tuko nyuma ya MDA tupae juu TRENDING ⏰
Adult kibaa nakushem umembaaa saanaa hapaa mungu akupe fungu lako na wewee ila umejitahidi sana ommy kutoka Germany mm kings muski damu
Jamani Leo pia mnaninyima likes zangu
Zinakusaidia nini kijana😢
Hapana 😂hatukunyimi bwana user
Nice
@@ayubuamsonjr9437 Hello suis prince toi aussi
Huwa mnazipeleka wap? Maana mm sielewi 😂😂😂😂
Uku 2na jamboree letu kings music 🎶 🎵 💜
Noumaaa sana bro ayayayayayaaaa weweeeeeeeeeeeeeeee
Iko poa❤
Bongeee la ngomaaaa meolod zlzokwend shuleeeeeeee hakik Kings ni mafund wa muzki Africa
Melody instrumental na vocals zimepangalia kwa muda 🎉
Tamu sana good music
Kazi wanayo acha nicheke kwana😂😂😂@kingsmusic bhn
Vanillah kaka wewe ni fundi mmeua sana
Hakunaga came to my mind some where along.... 🎶 vibe 💯
Bro tuna taka bonge la amapiano tumalize mwaka 🔥🔥🔥 kisha apo tuna subiri k2ga ft Tommy
Nyimbo kali na imetoka muda sahihi😅🔥,,Ya kufungia Mwaka hii 🔥
Ni ngoma kari new voice, melody alafu vanira ni Mario wapili ni moto
Hii nyimbo jamani 💥💥💥👌👌
Love African music ❤❤❤❤
Hii ni Bonge la Ngoma sound nzuri Beat nzuri. Ubunifu ni mwingi sana Humu ndani. Nani mwengne anaungana na mm
Naomb nilale maan siku yang imeisha sasa ❤ ach niplay ma favorite song in world ward ata izilael akija namwambia ni swala la muda tuu😢😢❤❤ alikiba im accept u so much dady of music
The king himself ameingia na kuutuliza wimbo. Enyewe huu ndio muda wa kuenjoy wanangu
Producer amefanya kazi nzuri sana Ila mwimbaji nimekataa, mpatie Diamond Ama mario Ama King kiba hii beat uone vile itakua.
Kwa wale wanaojua mziki mzuri.
Muda ndo huu 🔥🔥🔥🔥
Wow amazing music 💫🇳🇬🇳🇬🇳🇬
Good song vidéo lyrics 🔥💯🎉🎉🎉🎉🎉
Kali sana❤❤ more love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Dude Kaliiii
I swear I won't stop listening to Kiba Music 🎉
Ila kiba ww noma sana 🔥ww ndio umeniafanya nikaipenda hii Ngoma unyama mwing kwako kiba ❤
Masterpiece..Amapiano ya kufungia mwaka
Hit kali sana,,daro nakuaminia sana
MUDA jamani ndio huu
Vibe moto kusema kweli❤🔥🙌🇰🇪
Ooh? My good yani kiukwel huu? Mziki ni mtamu sana tu? I say hii? Ngoma nikali sana. Team Kiba gonga like hapa twende mbele❤❤❤
Super chanson vraiment courage baucoup mon frére
Good music, skiza voice ya kingkiba ndio utaelewa kuwa kuna watu wamebarikiwa vipaji 🔥🔥🙌🏾
🔥🔥
❤Muda ❤❤.
Good music is always anti- fatigue ❤🔥🔥
Well done all who love mind-blowing talents
Hatari
Wimbo umekaa poa sanaa🔥🔥
Tunafunga mwaka Kibabeeee ,Kings music on top🔥🔥
Abdukiba mdogo wangu
Naona leo hauniangushi kabisa
Good song vidéo lyrics 🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
Mudaa mudaa on fire
Nice song vidéo 🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Abdu hii ngoma imeenda mzee
Ali hajaimba Ila kauwa 😁😁😁😁 am waiting King tufunge mwaka na kitu kizito 🎉
Good song vidéo lyrics 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I can see KINGS will be the champion of Amapiano music Kudoz guys 💕👍🇰🇪🇰🇪
Kkkkll😢
Naupenda sana huu wiimbo
Kings music sasa mmeamua bdo k2ga tu saiv.....na kwann Ali asiimbe na k2ga hata nyimbo moja....abdu respect sana kaka....muda ndo ngoma yetu pendwa kwa sasa....
Naona k2ga wanajambo nae special vi2 vpo jikoni.. Yule ni first born wa kings kumbuka,kipenzi cha mama kiba
Hawa wasanii waache mziki, tayari d voice kawaacha
Ihi imeenda kings music on the fire
Tubuni tubuni, UFALME WA MUNGU UNAWAHITAJI, MUDA NDIO HUU.