Appy hii sauti yako ni ya dhahabu keep fighting nakuona ukipambana na kina Ayra starr soon yaani kibongo bongo hakuna anaeza pita ktk hizo line zako uko poa sana nafatilia sana kazi zako uko vzr na humu hujamuangusha Roma umemtendea haki
The song is amazing,, namkubali sana roma lkn uyu dada namkubali sana ata ngoma zake,, dear dingi ni nyimbo inayogusa maisha yangu kabisa,, her voice is superb
Umeinuliwa macho matatu...infact promax Mwenzako ako na kiswaswadu kimefungwa na blada daamn!!Rest in peace Babangu ile chupa ulipokufa tuliiona tukaivunja😭😭😭😭😭😭
Huu wimbo umefanya baba angu katukumbuka kutupigia simu akakiri anatamani kurudi nyumbani je tutampokea???? Akaambiwa baki huko huko😭😭😭 i wish hili dude lipate airtime zaid liwazindue baadhi ya wanaume wa ovyo Huyu dada na vocal yake kwenye game ameleta radha nzuri wabana pua tumewachoka
Kula chuma hiki hakika Roma Ni Julio Cha jamii why ulitukimbia mwanaharakat wetu Rudi nyumban mwamba Tushakukumbuka ebu mpen maua yake Mr Roma viva🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂pic lov my brother😢😢😢😢😢😢, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sema Bible unasema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake yeye mwenyewe wanawake wanadanga sana wanaumiza sana zalau,jeuli,kuona wao Ni wanaume mm huwezi jua behind
Nyimbo Iko vyema Sanaa , Appy Kwa hii saut yake ya kipekee atafka mbali. Kama nawew umependa gonga like apa. 😍
Hiyo sauti kamcopy dada mmoja anaitwa SIA. Hamuwezi mjua nyie si mnawasikiliza watanzania tu. Hamjui Kiingereza
@@KidNgonihapo ndo umeona umeongea point kwel hivi sia Kuna mtu HAMJUI? Hajamuiga hiyo n yake sema inafanana na sia
Tunao rudia rudia kuiangalia hii ngoma like hapa!!!huu ni Mpiniiiii dadekiii
Wanaokubaliana na mm kwamba ROMA kwenyee hii nyimbo yupo sahihi like zenu apa❤️
KAKA ROMA USINGEPIGA VERSE MBILI HUMU TUSINGEKUONA KABISA ..KWA MARA YA. KWANZA ROMA ANAFICHWA NA APPY ❤
Sioni comments za kusifia Appy alivyoua kiitikio na sauti yake yenye mirindimo adimu❤❤❤
Appy fundiii wa saut ambayoo hamna mwingne anaweza
Noma sana dadeq
Ntamtafuta nifanye nae ngoma
Umeongea vizuri sanaaa
Fundi sana uyu dada🔥🔥🔥
Mwenzako anafunga novena ya Mt Rita wa Kashia shauri yako
Appy hii sauti yako ni ya dhahabu keep fighting nakuona ukipambana na kina Ayra starr soon yaani kibongo bongo hakuna anaeza pita ktk hizo line zako uko poa sana nafatilia sana kazi zako uko vzr na humu hujamuangusha Roma umemtendea haki
Huyu dada anajua sana anasauti flan hivi yakipekee hongera sana Appy, Roma nae mh! Nifundi aswa
Nakukubali roma,ila dada appy anasauti ya kipekee nampenda na anajua atafika juu zaid
Oya ii nyimbo funga roma hauja kosea kutafuta kiitikio kipo juu yamstarii appy hongera yako dada
Kwangu napitisha hii ngoma kuwa ni hit ya mwaka 2024
HIYO SAUTI YA MUTENGE JOOH, WAAH, FROM KENYA HAPA., acha tuwajie mungu basi.
Brother 🎉🎉 Roma UNA JUWA MPAKA UNA KERA KAKA 🎉🎉🎉 mwenyezi mungu azidi kuku bariki sana ✌️✌️🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡.
Roma thank you for remembering to defend/fight for,mothers (wives)...We appreciate you for bringing Appy to this platform.Both of you be Blessed.
Du. Wwe appy unatuwakirisha mwz mabatini❤❤❤❤
Roma hii mistari nifunze n mie brother unatisha 🎉🎉🎉🎉 keep it up BRO
Bonge moja ya Song huyo Dada kaua kwa hiyo aina yake ya uimbaji❤❤
Kwa marapa wakike huyu appy amekuja vizuri sana Aendelee kupambana
Ana sitahili mauwa yake huyu jamaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ kaka good sana
Kuna nyimbo halafu kuna hit,hii ni bonge la ngoma aisee..Appy nakuona mbali sana Dada yangu Mungu ni mwema,unajua mpaka unajua tena🔥🔥🔥
Roma umeua wacha watu wapush sensema Ila umeua sanaa mwachie mungu apush huu
#Roma
The song is amazing,, namkubali sana roma lkn uyu dada namkubali sana ata ngoma zake,, dear dingi ni nyimbo inayogusa maisha yangu kabisa,, her voice is superb
Appy saut aliyo nayo dah namuona mbali sana vaib ipo juu kwa kaka roma maua chuku 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Tuache kwa Roma Ananya Lakin appy. Naye kajitahidi sanaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤
Appy kapata na zote namwachia mngu❤❤❤
🙏🏾 Asanteni god kwa yote na kwaachiye unipinganiye Roma yote tu mwachiye god nipe lik zangu nauseme Amen🇨🇩
Kazi nzuri uncle mistari mizuri inafundisha maadili mazuri mazuri kwa watoto wetu wa kike na dada zetu.
Kumbe Appy ni kazuri piga kazi uko na legend ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
For those who are watching this in 2099 ROMA was a legend
😂
Ngoma hii Kwa kwel naskiliz mara nyingi since day one niipate
Mbongo ukisikia namuachia mungu ujue anaenda kwa mganga
#roma and #appy🎉🎉🎉 wavulana na wasichana hawawezi kuelewa
Halafu konde bana ameshindikanika huu mwaka ni wake hata SAMIA anamkubali huu TEMBO play sensema utanielewa❤🇧🇮🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇸🇸🇨🇩 like it guys
Wazee tutunzee familia zetu ndo zinazogusa mioyo yetu Roma umetisha sana ila huyu Demu nomaa kauwa sana yuko humble sana ❤🙏
Roma uyu dada saut waah !!!! 😊😊❤❤🎉🎉
Kuanzia Leo ni Shabiki wa Roma... Dada umetisha xana hongera
Hii Ngoma Roma kali sana...uyuu dada fundi...ni Ngoma ambao itaishi milee🎉🎉🎉❤❤
🎉🎉🎉
Good combination between roma + appy always this people you have never disappointed me .
Anko Roma na Aunt Appy it is over mmemaliza mmetisha kinoma big up sana mmeutendea haki🔥🔥
Appy is the best vocalist...big up sana. Roma kaua mbaya ✊✊✊
Appy anasababisha nisubiri vipande alivyoimba yeye, ROMA anisamehe tu.... Vocal la Appy halivumiliki kabisa
Appy is the Tanzanian Sia, more love from kenya
Hii ngoma ndo fevorite song yangu kwanzo appy ameua sana aise uyo ni corus killer
Mmh kiitikio ni hataree❤❤❤❤
Appy ni next level 🔥🔥🔥 ana sauti nzuri tz nzima akuna kama yeye
Our GOD Never Loose. He wins always.
Ngoma kali mzee baba appy na mkubali sana love from Drc Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Appy tunaverify √√√√√🔥🔥🔥🔥 utatupeleka Grammy
Perfect message. Well done Roma hukoseagi aisee. Dada pia ana sautinzuri sana ya kipekee
Roma anakipaji cha mziki si utani...Siaya Na mapenzi hizo Mada Hua anazielewa sana lazima akitoa dude lishike hisia zangu
Huyu mtoto ni wa wap anaimba ivi 😮 yaani akina zuchu wanavuma na huyu yupo 😢nimelia sana
Wameuw kwel kwel ngoma Kal San ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Bonge la album 🔥🔥🔥🔥
Kenya imependeza kweli🇰🇪
Bonne la nyimbo,Roma pewa ulinzi mahala ulipo.❤❤❤
Umeinuliwa macho matatu...infact promax
Mwenzako ako na kiswaswadu kimefungwa na blada daamn!!Rest in peace Babangu ile chupa ulipokufa tuliiona tukaivunja😭😭😭😭😭😭
Nashindwa lakuongeaa Bora niendelee kuskiliza 2
Sijui nimsifie nani maana duh ❤
Appy❤❤❤❤ hii sauti aaaah High creativity ❤❤❤
Na umekimbia familiya na kila siku unalia na mke wako ameshikiliwa na huko kumbe unaliwa ujuwe mimi sijafikiliya
Sema huyu Dada kajua kuutendea haki huu wimbo, ameimba kwa kuzingatia content
Kaka Roma hii nyimbo ni kubwa zaidi ya vile unafikiria. Appy ameimba vizuri sana ila Ungemshirikisha dadangu Jovial angeua zaidi. Ni maoni tu!
Yeah kwa maoni yako, Ila maoni ya wngi huyu kafanya vzuri Zaid
Huyu dem yuko Kama yy hakuna wakufanana nae you kill it❤❤❤
Appy umeuwa sana kwenye colas auja mwangusha Roma yani kama mwanaume ninge kwita One six❤
Wa Kwanza Mimi Nipeni Like Zangu Watu Wangu Wa Vivaroma
th-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/w-d-xo.htmlsi=GgA6dSk_YRKzJmHY❤
th-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/w-d-xo.htmlsi=GgA6dSk_YRKzJmHY❤
Toa wimbo wako upewe like
dah huyu demu anaimbaa bhn nmemsikiliza Zaid ya Mara 10 hichii kidemu kinajua
ROMA I miss you BONGO 😂😂 bado unatisha 2 noma @taphanegmbuzi 🐐
Huyu demu ni sumu,,,,, hii ndo sanaa, full ubunifu coz hiyo sauti alivyoitumia sio simple kuiga.
True kaka fundi sana
Chorus kali kutoka kwa Appy keep shining young lady
appy 🎉🎉umeuwa dada na unajua kubabake❤
Legend Roma.... Thanks Bro
Appy so talented huyu dada❤❤❤ Roma kafichwa kabisa
Wametukumbusha vema wajibu wetu asee,,kazi nzr sana
Uyu Appy kaua sana umu kafanya unyama mwingi sana🔥 🔥 🔥
Appy anajuwa kuimba kihisiya sana,l imagine collabo yake na Linex itakuwaje?
Dadangu appy sio siri umetisha sana, keep it up sister, chorus 100%
Roma nimekuelea 🎉🎉🎉❤😢😢😢 respect brother
Kaka hii umeuwaa NI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 love it❤️
You are the best Appy, hii sauti❤
Nice 1 Roma you n Appy mumeua nice 2 Appy n big up gal❤
Mmh huyo dada jamani, mtu na nusu, sijui niongee maneno gani ili niridhike kwamba nimemsifia.
Nakubali sana mzee.viva roma nakpa maua yako🎉🎉🎉
Ngoma kalisana dah nimeipenda appy ukovizuri dadangu pambana mungu atakuinua umekutana na mzee wakazi
Huu wimbo huwa nausikiliza kila cku asbh!!
Chuma
Message is dope
A true definition of heart n Tanzanian giant Roma
Huu wimbo umefanya baba angu katukumbuka kutupigia simu akakiri anatamani kurudi nyumbani je tutampokea????
Akaambiwa baki huko huko😭😭😭 i wish hili dude lipate airtime zaid liwazindue baadhi ya wanaume wa ovyo
Huyu dada na vocal yake kwenye game ameleta radha nzuri wabana pua tumewachoka
Mumpokee tu, ukute nae walizidisha dozi kwa waganga
Haaa wee
APPY Hukosei hujawah kukosea mama SAUT YA PEKEE MAMA
ira hii sauti ya dada appy noma sana anaajua 👏
Appy na sauti yake ya kipekee sana bravo san
Tupo na wew pamoja my brother CHAPA KAZI Roma kaka mkubwa
Wanajiita wajanja wa zile kazi shenzi zao
Sasa Appy ana muachia mungu Gd
Huyu Appy ni balaa jingine, Ngoma Kali hii
Appy🎉🎉🎉🎉🎉we ni 🔥🔥🔥🔥🔥kaza.👊👊🏻👊👊👊🙏✌️
Duh! huyu Appy ni hatari Like kwake
Burundi 🇧🇮 we are here to show love ❤❤❤
Kula chuma hiki hakika Roma Ni Julio Cha jamii why ulitukimbia mwanaharakat wetu Rudi nyumban mwamba Tushakukumbuka ebu mpen maua yake Mr Roma viva🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂pic lov my brother😢😢😢😢😢😢, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Dada mwenye sauty yake mjini 🎉🎉🔥🔥🔥🔥
Hii Ngoma yamwaka Roma ninoma san❤
hii nyimbo hii mara ya 100 naiskiliza per day, huyu roma michano yake hata kama ni baharia una cheat lzm roho ikusute afu happy kamaliza mazima
Sema Bible unasema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake yeye mwenyewe wanawake wanadanga sana wanaumiza sana zalau,jeuli,kuona wao Ni wanaume mm huwezi jua behind
Sema sautii ya huyuu mama 🔥🔥🔥
Yupo good good zaidi ya sana
Yaan anasaut ya kipeke nzur sana kwel m saut ake ndo inanifanya nisikie nyimbo zake
Sauti kama rihhana noma sana❤🎉