Chilambo Mungu kakubariki Kaka.. Hakuna mwanamziki wa nyimbo za Injili mwenye uwezo wa kukaa kwenye colabo na akatulia vzr kama wewe Kaka Mungu azidi kukuinua kwa kazi nzur zaidi. ...
Mungu ni mwema sana cha msingi inatakiwa kumfuata mungu nakulishika neno lake tusifanane na yuda aliyechukua mkoba wa vipande vya dinari vilivyomtia tamaa akamsaliti yesu coz akapoteza vyote sababu ya tamaa ,jamani tuzishike amri za mungu nakuzifuata njia zake kamwe hatuta potea
Uko vzur sana mdada, mkono wa Bwana wetu Yesu kristo ukutangulie katika Huduma yako, nabarikiwa sana Dada angu na nyimbo zako, kikubwa zidi kuomba Mungu akujenge na kukutumia kama apendavyo as what u ask 2 God in u r song (Nijenge)
wouw.... pale ambapo sauti mbili kali znapokutana kumuimbia Jehovah.... wimbo mzuri sanaa... director wa video kafanya kazi bora sanaa.. daah mbarikiwee
babu kubwa NIJENGE wimbo bora kabisa asnteni kwa collaboration yenu mpangilio wa sauti, video bomba, nice setting big up kwa director.. mungu awatie nguvu
Hongera Sana dada ubarikiwe kwa huduma nzurii
Nitakupataje Dada yangu naitaji tufanye kolabo nami ni mwimbaji
Wanaomini Hii nyimbo bado inajenga imani yako kila siku gongelea likes twende sawa
Ubarikiwe sana
❤ utukufu kwa mungu unaweza Betty wetu, hakika mungu amekuchagua❤❤❤❤❤
Amen
Nyimbo nzuri sanaaa
Chilambo Mungu kakubariki Kaka..
Hakuna mwanamziki wa nyimbo za Injili mwenye uwezo wa kukaa kwenye colabo na akatulia vzr kama wewe Kaka
Mungu azidi kukuinua kwa kazi nzur zaidi. ...
Ameeen nifanye imara kama simba
❤❤ huu wimbo bado unaishi kwangu
Nijenge Yesu nakuomba nijenge
upepo ukija ni rahisi kuangua siwezi simama, Bwana nijenge
Hakika Bwana usipoujenga mji waujengao wafanya kazi bule.. be blessed wajor wa Bwana
You guys you are perfectly chosen by God🙏 keep on strengthening our hearts towards Lord our King🔥🔥
Mungu ni mwema sana cha msingi inatakiwa kumfuata mungu nakulishika neno lake tusifanane na yuda aliyechukua mkoba wa vipande vya dinari vilivyomtia tamaa akamsaliti yesu coz akapoteza vyote sababu ya tamaa ,jamani tuzishike amri za mungu nakuzifuata njia zake kamwe hatuta potea
I real like the song.....
Wimbo huu naupenda Sana sana,Haunichoshi masikioni mwangu.MUNGU AWABARIKI KWA KUMWIMBIA MUNGU WIMBO MZURI.
Mtu mzima Walter hajawahi kuniangusha
Saaaafi sana Mungu ainuliwa
Ahsee nlikuaga wap kuipata hii song sku zote
NIJENGE BABA ILI NIISHI ZAIDI NDANI YAKO. HONGERENI SANA.....GOOD SONG & NICE COLLABO
GOD has something within you keep up with the FAITH in HIS word and HE shall never let you down till the end of time. Nice song......
ubarikiwe Daada barongo
This song give me chills❤
❤️❤️
Good sana
Uko vzur sana mdada, mkono wa Bwana wetu Yesu kristo ukutangulie katika Huduma yako, nabarikiwa sana Dada angu na nyimbo zako, kikubwa zidi kuomba Mungu akujenge na kukutumia kama apendavyo as what u ask 2 God in u r song (Nijenge)
Wimbo wa baraka sana.
Saut na video nimezpenda! So beautiful, bless to you da betty na chilambo
Barikiwa sana
Nijenge yesu.kweri
bonge la ngoma hili hapa. keep the fire burning up @bettybarongo
huuuu
unijenge jenge
My favorite song all the time god bless you
Kazi nzur sana mpaka nimepata mzuka wa kucheza🙌🙏
Mungu awabariki sana
betty barongo and walter for sure mmenigusa may God be ur savior forever and may his blessing flies on u so that u can be more strong.
Walter umewezaaa Mungu awabariki
nice song be blessed
kila kitu kizur wote saut mmebrkwa mungu azd kuwasimamia
Nyimbo nzuri
huu wimbo huwa haunichoshi kusikiliza jmn,nice song,na mungu akuinue zaidi
Barikiwa sana na wimbo huu, kipaji alichoweka Mungu ndani yako kichipue kwa kasi ya moto hatari wa Roho Mtakatifu
Kweli Mungu yu pamoja nanyi,sauti nzuri aliyowazawadia mzidi kuitumia kwa kumsifu na kumuabudu yeye,Mbarikiwe katika utumishi wenu
Nafsi yangu imepungukia na nguvu ,Yesu ni jenge nakuomba
Betty ... uko na kasauti katamu dear.... perfect chemistry
Amen and Amen 🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙌🙌🙌🙌
wooow nyimbo ni nzuri sana sauti na ujumbe zimepangwa vema Glory to God
wimbo wenye ujumbe mzuri
Beautiful beautiful music.
So amizing. song ...may God be with you...,
Nice
Huu wimbo huwa unanibariki sana Barikiweni kwa huduma hii sifa na utufu zimrudie Mungu juu Mbinguni.
Amen Very Inspiring 🙏..God bless Your Ministry 🙏
mungu wabariki bett barongo ft woter chilambo nyimbo yenu ninzuri kwakwel
Yesu nijenge Mungu wangu
Waooo wimbo mzuri sana,b blcd
I love your chemistry on this song both of you mmefanya kazi nzuri sana.....Nyini ni baraka
Nice song
Wow❤❤ wimbo mzuri
Asante
mbarikiwe sana wapendwa,good colable
Inspiring song
Nice song nitakutafuta
It's me forever thank you
Kazi nzuri Sana, mbarikiwe Sana wapendwaaa🙏🙏
God bless you my young sister....
Beti wapi jamani
Beautiful, inspiring, powerful message, I LOVE IT
Kazi nzuri sana Mungu awabariki mzidi zaidi
Hakika wimbo ni mzuri Mungu awabariki sana
wouw.... pale ambapo sauti mbili kali znapokutana kumuimbia Jehovah.... wimbo mzuri sanaa... director wa video kafanya kazi bora sanaa.. daah mbarikiwee
Nice song my dear ubarikiwe na bwana.
Amen Bwana Yesu Nijenge baba nakuomba unitengeneze
am blessed in this song kwa kweli
Asanteni sana kwa sababu nimekuwa pamoja nami Mungu awabariki sana
babu kubwa NIJENGE wimbo bora kabisa asnteni kwa collaboration yenu mpangilio wa sauti, video bomba, nice setting big up kwa director.. mungu awatie nguvu
Naupenda Sana huh wimbo 🥰 natamani ungeuweka iTunes?
Maana Bwana natamani kwa uaminifi nikutumikie🙏🙏🙏
Nimebarikiwa na wimbo huu. MUNGU awape nguvu za kutumika ktk uaminifu na msonge mbele.
Yawa, what a great power in this song? God bless you so much .
Amina
Be blessed sanaaaaa song ina upako hii
my favorite song of all times😍
Kazi nzur brother
barikiwa sn Betty
Nimependa vocal na melody nzuri verses zimekuwa nzuri ssana kuliko kiitikio. Good work
mungu akukuzie kipaji zaidi
Nijenge haswaaa Bwana wangu!
ubarikiwe sana mpendwa kwa wimbo mzuri
Kazi nzuri sana songa mbele
Hongera mdg wangu wimbo mzuri sana Mungu azidi kukuvusha viwango vya juu zaidi
Chilambo very nice
penda sana ndugu zangu ongeren
Wow....aminaaa youre talented..baraka
EmmaLiveTube amen momy
bro is amazing
Wimbo mzuri mnoo
nimependa mlivochangamka ...video nzuri sana hongereni jaman
Kazi nzuri mnooo
Bwana nakuomba unijenge upya nisimame imara wmbo mzur saaaaanaaaaa Mungu awabark sana awafanye imara ktk kaz yake
Nzur
mmetisha mmepanbgilia sauti
Hongera kazi nzuri
Hongera Dada wimbo mzuri
Nice music and voices, God bless u all.
imekaa njema sana'
Nice Kamamaaa🌹🌹🌹🌹🌹🌹