“Akaondoka huko akachimba kisima kingine, wala hicho hawakukigombania. Akakiita jina lake Rehobothi, akasema, Kwa kuwa sasa BWANA ametufanyia nafasi, nasi tutazidi katika nchi.” MWANZO 26:22
Eeh Mungu ni miaka miwili sasa nmekua nkihangaika na maswala ya kazi,naomba Mungu unipe nafasi ya kusimama upya na pia nafasi ya kumpata mwanaume mwenye hofu ya Mungu ambae atakua mume bora kwangu Amen.
Although I do not know its Country of Origin & do really understand the wordings unless I read along. Yet, it's a powerful ministration. Everything about the video is 100%. Above all, let God be Praised. With Love from Nigeria🇳🇬
God you are going to bless me with a good job, one that will let me worship you, I will use my finances to work for you. The job will not mess up my mental health, the work environment will be conducive, no one will drag my job with me...all for your Glory in Jesus Mighty Name🥺🙏🙏 Just like your servant Isaac do me well Abba Father🤲🙏
Minister Bella Kombo ninapenda your fashion sense. You're so beautiful and your voice is rich with a peculiar touch. Brother Paul umebarikiwa. Powerful song.
Mungu umenifanyia nafasi I'm forever grateful.. Mungu akufanyie nafasi kwenye kazi yako, afya, ndoa, watoto anasema yeye ni Mungu anaye tujua yangu tu ingali tu tumboni na yeye anasema anatuwazia mema tuu.. ile ndoto unayo iota sana itakuwa na wewe utakuwa vile. 🙏 Amen.
Am that fan who like any song sang by Bella Kombo even before i start listening... Paul too you are a blessing to me. More grace ministers of God.. What a song.😊
Amen 🙏 Mungu awabariki Sana watumishi wa Mungu Ni kweli Mungu amenipa nafasi nilime na kuitunza lakini pia panizalie matunda . Hallelujah Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe.
Mungu amenifanyia nafasi 2024 am here to testify his goodness 😭😭kuna wakati unaona mbingu ziko kimya ila Mungu wa ajabu anafanya anafanya nafasi in one minute ohhh Jesus hapa nikuzalie matunda 😭😭❤️❤️❤️❤️
Nakwambia hii song inasound kama prophecy! Kwa sababu “shukuru Mungu ni sauti ya imani” amenifanyia nafasi ambapo sistahili amen! Ntamiliki ❤ thank you Paul & Bella for this beautiful song. On repeat 🔁 ❤😊
Huyu MUNGU aendelee kutukuzwa sana kayika hii nchi...Naona wingu la sifa likitanda juu ya nchi yangu TANZANIA...whiever is in this Ministry keep it to your best level
Amen and Amen. To God be glory and honour for such a great performance. It is Your doing oh Lord our God. May Your light continue to shine upon these beautiful souls now and forevermore in Jesus Christ Mighty Name.
Wimbo huu ni USHUHUDA WA MAISHA YANGU HALISI.HAPA NILIPO SIKUSTAHILI KUA ILA KWA NEEMA YA MUNGU AMENIPA NAFASI YA KUPAMILIKI NA KUMZALIA MATUNDA.UTUKUFU NI KWAKO MUNGU WETU USIYE NA UBAGUZI
Paul clement l'homme de Dieu vraiment soit béni et Dieu te protège contre tout les pièges du diable je vous aime beaucoup pour ce belle chanson qui béni les Nations. Ubarikiwe sana mtu wamungu
Naitwa Emmanuel da blessed one hapa TH-cam napenda sana huduma yako Mkuu natamani kufanya kazi nawe unaeza nisubscribia mkuu nabarikiwa kutoka kenya mimi ni minister chipukizi
“Akaondoka huko akachimba kisima kingine, wala hicho hawakukigombania. Akakiita jina lake Rehobothi, akasema, Kwa kuwa sasa BWANA ametufanyia nafasi, nasi tutazidi katika nchi.” MWANZO 26:22
❤❤❤
Bwana amenifanyia nafasi ili nimzalie matunda na matunda hayo yapate kukaa/kuishi.
hakika huku hawatatugombania tena, tumepewa nafasi na Bwana Yesu, tutamzalia Mungu matunda ambayo ni nafs za watu
An Heavenly song ❤ God bless you sir
Kazi mzuri Paulo na Bella. Mzidi kutubariki na vidonge hatari hatari kama hii hapa. Shalom
Kama unapenda collabo ya paul clement na Bella,gonga like hapa
tuliofanyiwa nafasi ,let gather here.🥰🥰🥰🥰
Here we are❤
🔥🔥🔥
❤❤❤
Mimi hapa
🔥
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 tuna uwakika Mungu Ametufanyia nafasi kama umebarikiwa na hii Nyimbo like
Amenipa mchumba huu nimzalie matunda, kanipa nafasi ya ndoa hii nimzalie matunda❤ 🔥🔥✍🎶🎤💯
Message ✅
Vocals ✅
Instrumentalists✅
Dresscode✅
Video ✅
I don't know how heaven will like.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Let's strive to get there. Get rid of all the weight that pulls us down ❤ 🇰🇪
Eeh Mungu ni miaka miwili sasa nmekua nkihangaika na maswala ya kazi,naomba Mungu unipe nafasi ya kusimama upya na pia nafasi ya kumpata mwanaume mwenye hofu ya Mungu ambae atakua mume bora kwangu Amen.
Bella kombo we need a concert in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I'm your biggest fan naomba anifanyie nafasi nipate kazi😔😔😔
Mungu amenifanyia nafasi
Mahali ambapo mimi sikustahili
Amenipa nipalime nipamiliki
Na panizalie matunda*2
Wakenya pia tumebarikiwa na huu wimbo🙏
Hawa sio wakenya kwani?
@@susanmbutu7235 hawa watanzania
@@susanmbutu7235 Tanzanians
@@susanmbutu7235😂😂 kwani weeee ni WA wapi? Enjoy music na kubarikiwa na mwimbo achana za hawa WA wapi
Ongea Kiswahili ya Kenya
Siii huu wimbo ni hii wimbo😂😂😂😂
Just kidding😂😂
woow!! Bella i love your dress code ,shikilia hapa sasa wachana na zile zingine 🌹🌹🌹🌹🎊🎊🎊Huu wimbo usipo nipa breakthrough nitajua ni mimi nina karoso
😄karoso hauna😂,when time is right says the Lord
Although I do not know its Country of Origin & do really understand the wordings unless I read along. Yet, it's a powerful ministration.
Everything about the video is 100%.
Above all, let God be Praised.
With Love from Nigeria🇳🇬
This duet never disappoints.From Mwema then Kanani and now Nafasi..what a blessing they are!We are blessed in Kenya.
God you are going to bless me with a good job, one that will let me worship you, I will use my finances to work for you. The job will not mess up my mental health, the work environment will be conducive, no one will drag my job with me...all for your Glory in Jesus Mighty Name🥺🙏🙏 Just like your servant Isaac do me well Abba Father🤲🙏
Receive it in Jesus name Amen... testimony by September
MWAMINI MUNGU NI MWAMINIFU ATA AKITENDA USISAHAU NADHIRI HIZI
Amen 🙏
This is my prayer too
@@gracenjoroge9921 Amen. I will surely come back to testify
God has given you a testimony 🎉.
Whenever I step my foot,be it in my home or my guest country
I’ll dominate in Jesus name because he made a way❤❤❤❤
bella kombo sauti yake Ina nguvu inaingia mpaka ndani kabisaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen nimebarikiwa ..wapi likes za wakenya
Mungu anifanyie Nafasi ,nipalime na panizalie matunda. Amen . You guys are a blessing to Africa.❤❤❤🇰🇪🇰🇪 Representing.
Huyu ni mimi wherever i am right now my qualifications could never have gotten me here but see our lord ❤❤
Minister Bella Kombo ninapenda your fashion sense. You're so beautiful and your voice is rich with a peculiar touch. Brother Paul umebarikiwa. Powerful song.
May God bless you ministers of God,Mungu awatetee nabkuzidi kuwainua na kuwashindia majaribu
Mungu umenifanyia nafasi I'm forever grateful.. Mungu akufanyie nafasi kwenye kazi yako, afya, ndoa, watoto anasema yeye ni Mungu anaye tujua yangu tu ingali tu tumboni na yeye anasema anatuwazia mema tuu.. ile ndoto unayo iota sana itakuwa na wewe utakuwa vile. 🙏 Amen.
In Jesus amen 🙏🙏🙏😢😢
Bella Kombo you always uplift my soul with your choice of words in worship. Mungu kweli amenifanyia mengi kupitia kwako.
Love from Kenya.
To God be the glory let the world know that East Africa we lead in serving God,,Kenyans in the building let's gather here🥰🥰🥰🥰
Hii combination aise ni hatarii Munqu aendelee kuwatunza kwajili ya nyimbo nzurii zijazo...
San jaman😁😁😁
Am that fan who like any song sang by Bella Kombo even before i start listening... Paul too you are a blessing to me. More grace ministers of God.. What a song.😊
Huu wimbo umekuwa wimbo wangu wa kila siku.kweli umenifanyia nafasi èe Mungu mahali ambapo sikustahili naomba panizalie matunda
Nina uhakika na Familia yangu.....Sipotezi muda nina uhakika na wewe...🎉🎉🎉🎉🎉
Asante Mungu kwa kunifanyia nafasi💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Amen 🙏 Mungu awabariki Sana watumishi wa Mungu Ni kweli Mungu amenipa nafasi nilime na kuitunza lakini pia panizalie matunda . Hallelujah Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe.
ukiachana na kumpenda bella, nguo zako dear🙌🙌🙌 I just love how she dresses♥️♥️♥️
Nkiona Bella Kombo ama Paul Clement ama Zoravo, najua kuna kitu tamu yaja .... Mbarikiwe kwa kuwa watumishi wema.. much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
Mungu amenifanyia nafasi mahali ambapo mimi sikustahili, amenipa nipalime, nipamiliki na panizalie matunda🙏
"umekua wimbo wangu wa msimu mpya.Namshukuru MUNGU kwa Neema aliyoweka ndani yako"The song was specifically for me .
Mungu amenifanyia nafasi, mahali ambapo mimi sikustahili, amenipa nipalime, nipamiliki, na panizalie matunda...🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Woi woi!!! Haaa Hii imekaa kiutukufu SANA. MUNGU AWABARIKI ZAIDI.
I LIKE THE MELODY TENA IKIIMBA SAUTI YA PILI WACHA KABISAAAA INALETA LADHA FULANI HIVI ILIYOJAA ROHO MTAKATIFU MWENYEWE ❤❤❤❤❤❤❤
Hii nyimbo nairudia mara nyingi kuitazama hapa TH-cam imenigusa ndani ya moyo 😢oooh MUNGU mwema kanifanyia nafasi 🙏🇹🇿
Mungu azidi kuwaogeza kihuduma,watumishi wake,mmekua mkigusa sana motor wangu
Mungu amenifanyia nafasi 2024 am here to testify his goodness 😭😭kuna wakati unaona mbingu ziko kimya ila Mungu wa ajabu anafanya anafanya nafasi in one minute ohhh Jesus hapa nikuzalie matunda 😭😭❤️❤️❤️❤️
Mimi ni mmoja kati ya wale waliofanyiwa na nafasi 2024😭😭🙏
Nakwambia hii song inasound kama prophecy! Kwa sababu “shukuru Mungu ni sauti ya imani” amenifanyia nafasi ambapo sistahili amen! Ntamiliki ❤ thank you Paul & Bella for this beautiful song. On repeat 🔁 ❤😊
Bella and Clement never disappoints... glory to God for He has done great
Huyu MUNGU aendelee kutukuzwa sana kayika hii nchi...Naona wingu la sifa likitanda juu ya nchi yangu TANZANIA...whiever is in this Ministry keep it to your best level
Nina UHAKIKA na wokovu huu, career yangu hii, huduma yangu na NGUVU ZAKO ....hakika BWANA amenifanyia nafasi na patanizalia matunda📌
Mungu amenipa nafasi ya kuzaa mtoto wa kiume❤
I can't get over this song
Mungu amenifanyia nafasi ❤❤❤
This girl🎉🎉 God bless you
Your voice is so sweet
Gifted
My favorite jam, honestly.🎉
What a faithful God we serve🙏🙏
Through this song God has spoken in my situation, the God of mercy, amenifanyia nafasi
Let's tap into this with an Amen🙏🙏🙏🙏
Amen and Amen. To God be glory and honour for such a great performance.
It is Your doing oh Lord our God. May Your light continue to shine upon these beautiful souls now and forevermore in Jesus Christ Mighty Name.
Hakika Bwana amenifanyia nafasi sasa ninapamiliki ni pangu kwa jina la Yesu na pananizalia matunda , ahsante Yesu mwema.
Wimbo huu ni USHUHUDA WA MAISHA YANGU HALISI.HAPA NILIPO SIKUSTAHILI KUA ILA KWA NEEMA YA MUNGU AMENIPA NAFASI YA KUPAMILIKI NA KUMZALIA MATUNDA.UTUKUFU NI KWAKO MUNGU WETU USIYE NA UBAGUZI
A song in season. Tunaongoja kufanyiwa nafasi tuzidi kumuaminia yule aliyeanza kazi nzuri ndani yetu anaweza hata wakati huu..
My two favorite worship ministers. Being blessed with this song from+254.
Mungu umenifanyia nafasi nashukuru 🙏🙏..wimbo huu umefanyika baraka 🎉
Bella kombo ft Paul clement KAANANI🎉
Paul clement ft Bella kombo NAFAASI❤ Mungu awabariki mnoo❤
Umesahau Wema Paul ft Bella
Nyimbo Yangu ya wakati sahihi Amenifanyia nafasi ❤❤❤Yesu Asante
Mungu zaidi Kumuinua zaidii Nabarikiwa sanaa Mungu umenipa nafasi ambayo sikusitahilii😢
Lyrics jameni 🎉🎉🎉🎉❤❤
Tag me ukipata lyrics jamani
MUNGU AMENIFANYIA NAFASI MAHALI AMBAPO MIMI SIKUSTAHILI AMENIPA NIPALIME NIPAMILIKI NA PANIZALIE MATUNDA
Bella kombo🔥🔥🔥🔥🔥
Ni mimi hapa ambaye Mungu ameheshimisha😊
Hii nyimbo inanibarki sana❤❤😊
Noma sana hapa kenya 🇰🇪 amenifanyia nafasi napanizalie matunda
Ahsante MUNGU wangu kwa nafasi hii🙏
Kama kuna kitu naenjoy kwa hii video ni connection yenye iko katikati ya hawa watumishi wawili, wanaenjoy sana kufanya hii video pamoja
Mungu amenifanyia Nafasi,Mahali ambapo Mimi sikustahili 😭🙌🙌🙏
From Rwanda tunawapenda sana bella and clement
Amenifanyia nafasi mahali ambapo sikustahili
Paul clement l'homme de Dieu vraiment soit béni et Dieu te protège contre tout les pièges du diable je vous aime beaucoup pour ce belle chanson qui béni les Nations.
Ubarikiwe sana mtu wamungu
❤❤na panizalie matunda,,,amina,,,,😊
Nina uhakika na huduma hii ,umenifanyia nafasi❤❤ asante Mungu
Yeye ni Mungu ananifanyia nafasi leo🎉🎉🎉🎉
We need God more than anything ❤
Pia mimi, eeh Mungu wangu. Nifanyie nafasi, nishuhudie matendo yako🙏
woow 🤗 asante Mungu kwa nafasi hii nyingine amenipa nipalime nipamiliki na panizalie matunda😁
Kwani hatuwezi kumwadhimisha Masihi kwa ajili ya hii..#utukufu kwako Yesu!!
Amen. Mungu nipe nafasi mahali sistahili nipalime nipamiliki nizae matunda❤❤❤
Asante Yesu Kwa kunifanyia Nafasi .JINA LAKO LIBARIKIWE MILELE🙏
Hakika hata wokovu wetu ni NAFASI mimi pamènizalia Matunda Nice Song 🎵
Tararira rarishtare tararira rarishtare tararira rarishtare tararira rarishtare........ 😇😇🙏🙏
Mungu asante kwa kuinua vipawa vya hawa vijana nami naomba ukanitendee nami jinsi wewe upendavyo
Leo nimepoke taarifa nzuri kuhusu rafiki yangu naamini mungu ametufantia nafasi mahali ambako hatukustahili na patuzalie matunda mema mengi amina
Wimbo mzuri sana..Utulivu ni mwingi mno
Hongera my brother Paul
1st Kenyan 🇰🇪 to be here ,what a song.
Naitwa Emmanuel da blessed one hapa TH-cam napenda sana huduma yako Mkuu natamani kufanya kazi nawe unaeza nisubscribia mkuu nabarikiwa kutoka kenya mimi ni minister chipukizi
Eeeh Mungu naomb unifanyie nafasi mahali nipalime nipamiliki nanipazalie matunda Amen
Kwani huu wimbo inanihusu mmi ❤🎉
Na panizalie matunda😭😭😭😭😭🙌🙌🙌
Amenifanifanyia nafasi🎉🎉🎉
❤❤❤ Mungu amenifanyia nafasi, pahali ambapo mimi sikustahili, amenipa nipalime, nipamiliki na panizalie matunda.
Mungu amenifanyia nafasi mahali ambapo sikustaili
Mungu amenifanyia nafasi ambapo Mimi sikustahili😭😭🙏🙏❤
Mungu ananifanya nafasi mahali pa matamanio yangu.....Amina 🙏🙏
Mungu awabariki sana watumishi kwa kazi ya Mungu mnayoifanyaaa
Mungu amenifanyia nafasi🤲💃💃💃💃💃💃
Mimi kuachana na wimbo naomba kaka KORG UTUAMBIE TU HIYO VOICE KWA KINANDA YAKO NI YA DUNIA IPI😭😭😭😭😭😭😭