Wangapi tunakubali Walter ni mtumishi wa MUNGU aliyepakwa mafuta na Mwenyezi MUNGU,nyimbo zako zanibariki na kunifariji sana kaka,MUNGU akufikishe viwango hutashindwa kufika katika jina la YESU🇰🇪🇰🇪
Tangu nimezaliwa mpk nimekua umri huu SIJAONA KAMA WEWE MUNGU WA MBINGU NA NCHI SIJAONAAA SIJAONA WALA SIJAPATA KUKUFANANISHA NA CHOCHOTE,YOYOTE URE UNIQUEY GOD
Sitaisahau cku salama Jabri alivyopewa hela kwenye audience ya BSS kwa kusema ""natamani Kama ningekuweka kwenye mfuko wa suruali yangu niwe natembea na wewe kila mahali kwa jinsi ulivyo na sauti nzuri"God uses all kind of people to lift you up na alicho kiweka Mungu ndani yako lazima kitatoka na kutumika kikubwa ni sisi wenyewe kuwa tayari,be blessed Walter Chilambo in Jesus name 🙏🙏
Amakweli sijaona aliye mkuu zaidi..kuliko huyu Mungu wangu ninae mwabudu ..sifa na utukufu nikwake alie juu.....hongera sana kaka wimbo umenibariki sanaaaaaaaaa........
Ubalikiwe mtumishi Walter chilambo huuu wimbo unanibaliki sana kweli kabisa hakuna upendo Kama wa yesu mungu akuinue utukufu adi utukufu ufike viwango vyajuu zaidi
Wimbo mzuri lakini mtumishi badilisha staili yako ya kunyoa ili usiharibu utukufu wa Mungu. Mapambo pia siyo sawa kwa wanawake wakibaki jinsi walivyo bila mapambo ni waziri sana mbele za Mungu.
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..........
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you........
Kaka Wewe Unatumika Ndani Ya Wito Kabisa Yaan Napenda Saana Kaka Naitaji Kuongea Nawe Jambo Kama Hutajali Naomba Nipate Njia Sahihi Ya Kukufikia Hats Kwamawasiliano Ntashukuru Na Mungu Akubariki

Am right back to say thank you Jesus for your love .. Hakika hakuna mwingine mwenye upendo na rehema kama Mungu wetu. Mungu na akubariki saana kaka Walter.
Subscribe to never miss a song by me🔥🙏
th-cam.com/channels/DoWsW3lwKjVyOO2uf3VKhA.html
Done mwakafyepele 😂😂😂
Ok bro I really love your songs because you inspire me alot
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Naupractice paka niujue wote huu wimbo unanibariki sana, oooh hallelujah 🙌🙌🙌
Wangapi tunakubali Walter ni mtumishi wa MUNGU aliyepakwa mafuta na Mwenyezi MUNGU,nyimbo zako zanibariki na kunifariji sana kaka,MUNGU akufikishe viwango hutashindwa kufika katika jina la YESU🇰🇪🇰🇪
Hallelujah, the anointed of God
nampenda sana Walter chilambo hasa anavoimba kwa kutulia mungu aendlee kukupigania mtumishi w mungu
Akubariki Mola nyimbo zako zatubariki sana
Hakika wanibariki san
Amina mungu akuinuwe sana
Kma na ww hujaona kama Yesu plz
Donsha like mbili tu zinanitosha plz.
Sijaona kama Yesu🙏🔥
Sijaona Upendo Kama wa Yesu huu Wimbo umejaa upako🙏🏽🙏🏽
Asanteeee
Nazkubali sana nyimbo za Walter, kama nawe unazielewa na znakufanya ujhs fraha na hsia nzito kuwa hai like na mpe comment nyng Walter.
Nyimbo zako zanifarij n kunifunza,kama Upo kma mm gong like yak tujuane
Wooow...pia Mimi sijaona Kama Yeye!!! Utukufu kwa Mungu.
Waaaaaaw ujawai niangasha Kama hata wewe unajua ilo nipe like hapa
Asante🙏
kama upo unaesikiliza wimbo na unasoma comment tufahamiane kwa LIKE
Wimbo hodari na malidadi wataaatitibu unakuingiza uweponi dhaaaaahhh 🙏🙏
Asante sana... Mungu akubariki
Jamani uu wimbo umenitakasa narudia mara mbili mbili kuusikiliza mungu akubariki Walter ilove you
Nikweli sijaona na sitawai ona kama wewe bwana....happy new month
Mungu azidi kukuinua ktk utumishi uliotukuka barikiwa kwakweli sijaona kama Mungu anaye ishi milele na milele
Tangu nimezaliwa mpk nimekua umri huu SIJAONA KAMA WEWE MUNGU WA MBINGU NA NCHI SIJAONAAA SIJAONA WALA SIJAPATA KUKUFANANISHA NA CHOCHOTE,YOYOTE URE UNIQUEY GOD
Ilivyoanza tu nmeguswa sasa navoendelea ndo kabisaa hata sijaimaliza emebidi nicomment,its so powerful
Ameeeennnn
Asante Mungu kwa sababu unatukumbusha kwamba uko Pelee ako Wala hakuna anaefanana na ww
Kaka yangu Walter, ,,Mimi nakuitaga A Well Star.Ninamuinua Mungu anayeendelea kukuongeza na kukupandisha na kukulinda😍
Asante sana
Nitakuimbia zaburi wimbo wa moyo wangu
Sitaisahau cku salama Jabri alivyopewa hela kwenye audience ya BSS kwa kusema ""natamani Kama ningekuweka kwenye mfuko wa suruali yangu niwe natembea na wewe kila mahali kwa jinsi ulivyo na sauti nzuri"God uses all kind of people to lift you up na alicho kiweka Mungu ndani yako lazima kitatoka na kutumika kikubwa ni sisi wenyewe kuwa tayari,be blessed Walter Chilambo in Jesus name 🙏🙏
Congratulation
Hahahahahahahahhaahaha
@@walterchilambo119 🤣🤣🤣
Ntakuimbia zabur wimbo wa moyo wangu staacha kukusifu ewee mungu wangu🙏🙏🙏
Sitoacha kukusifu mungu wangu. Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Hujawahi kubugi bwana shemeji nyimbo zako unatuliaga sana Mungu Baba azidi kukupa tulizo zaidi maana kwake ni huru.
Ameeeennn
Sijaona kama wewe:: asante wolter kwa hii zawadi yamoto sana hiii
Ameni
Sijaona Kama ww naupenda huu wimbo wa baraka sana🙏🙏
Walter Walter Walter God Bless you 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ameenn bro
Walter walter nakuita tena Walter daaah sijui niseme nini mdogo wng Mungu aendelee kukubariki sanaaa
Amakweli sijaona aliye mkuu zaidi..kuliko huyu Mungu wangu ninae mwabudu ..sifa na utukufu nikwake alie juu.....hongera sana kaka wimbo umenibariki sanaaaaaaaaa........
Amen... Asante sana. Mungu akubariki ndugu yabgu
Mungu akubariki Kwa wimbo mzuri....nainuliwa na nyimbo zako Kwa sababu unaimba neno la Mungu
Hakika wewe ni wa juu
Mungu akulinde na akuaanganzie nuru yake,anzidi kukutumia kama chombo kuwafikisha watu mbinguni
Jina la Bwana libarikiwe milele. Asante kwa wimbo huu ndugu
Asante.. Mungu akubariki 🙏
atawezaje kijana kuzitunza njia zake Bali ni kwa neno la Mungu. ubarikiwe ng'ara kaka shika neno lake hataziacha hatua zako
Sijaona Kama Wewe YESU(JEHOVAH)
Maneno ya nyimbo zako yanaonyesha kweli MUNGU amebadirisha Maisha yako. MUNGU azidi kuonekana ktk Maisha yko dogo langu la nguvu .
Wimbo wabaraka Sana..hicho kibali Mungu amekupa Kaka hakika hakuna kama yeye..
Ubalikiwe mtumishi Walter chilambo huuu wimbo unanibaliki sana kweli kabisa hakuna upendo Kama wa yesu mungu akuinue utukufu adi utukufu ufike viwango vyajuu zaidi
Ameeenn napokea
Songa mbele mtu wa Mungu kijana mnyenyekevu hakika hujawahi kuniangusha.....
Nitatangaza ushindi wangu asubuhi na mapema maana Vita vyangu umenipiganina.sijaona Kama Yesu
Nice walter chilambo hakuna kama Mungu
Walter your so talented and and if inampendeza Bwana wewe ni a true definition of a worshipper
Ameeen asante
Asnte mungu kwakutupa vijan weny hofu ya MUNGU balikiwa kak Walter
Sijaona kama wew Mungu Wangu ata nikwitapo unanisikia Mungu Kweli Baba hakuna wakulinganishwa nawewe
Amen. God bless u🙏
My favorite Singer... Yesu azidi kukutumia mtumishi.. binafsi nabarikiwa sanaaaaa na uimbaji wako
Sijaona kma wwe Mungu uwa na barikiwa sna🙏🙏🙏
Naruhusiwa kuimba church huu 🤓
Wimbo mzuri lakini mtumishi badilisha staili yako ya kunyoa ili usiharibu utukufu wa Mungu. Mapambo pia siyo sawa kwa wanawake wakibaki jinsi walivyo bila mapambo ni waziri sana mbele za Mungu.
Good work Walter 🔥🔥Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu
Bado Nandy akuje kwa Yesu mazima.
Walter Mungu alikuokoa kwa makusudi na kuacha nyimbo za dunia na kumwimbia yeye Mungu
Kweli sijaona kama wewe Yesu wangu, nimekukimbiliya wewe nisiaibike, Amen ubarikiwe sana kakangu.😘😘
Siku zote nymbo zako zna ni bless 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wow...
Sijaona kama wewe Mungu kiukweli
Yani mimi nyimbo zako zoteeee uwa nazipenda sana 🥰🙏🏾Mungu akubariki sana
Nikweri Hatamimi Sijaona Kama Wewe Mungu Barikiwa Sana Mutumishi Wa Mungu
Nice song my blather kama wakubali huyu naomba like hapa
Kila mwenye Pumzi amsifu Bwana, wanaheri wanaomwimbia Mungu ...💪
SIJAONA KAMA WEWE BWANA 😢😢😢🧡🧡🧡 Amazing song 😔
Olwayz de best walter
Barikiwa sana kwa wimbo mzuri kweli sijaona kama wewe
Hata mimi sijaona kama wewe BWANA. Haleluya
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🇰🇪🇰🇪
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..........
Sijaona Km wewe JEHOVAH
Sijaona kama wewe BWANA YESU. 2023
Safi saan kw nyimbo Kali mtumish .
Mungu aendelee kuweka kitu hiki kwako Walter na kitunze sana asije mtu akakitwaa.
Mungu aendelee kukutumia mtumishi uendelee kutubariki kwa nyimbo nzur kama hizi🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi unajua, endelea kumtegemea Mungu nae atakuinua Zaid
Wow nyimbo nzuri sana mungu akubariki sana
Walter Walter mmmmmmh Mungu anajivunia wewe.
Napenda nyimbo zako kaka zinanikosha
Hakika sijaona kma wewe my provider.....Stay blessed Walter
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you........
Walter I really love your songs, zinanipa motisha sana.mungu aliwabariki sana nyinyi kama watanzania mnajua kuimba na kumtukuza mungu.mimi ni mkenya
Endeleya mutu Wa mungu panda tena
Wow sijaona.. Wimbo wanitia nguvu..
Asante sana mwana wa chilambo nabarikiwa sana na wimbo huu ubarikiwe Mungu ainue zaidi kipaji chako
Amina...Sijaona Kama wewe Bwana Yesu
Mungu usiyeshindwa.nasema Ndiyo BWANA.
Wimbo mzuri barikiwa sana
Wimbo huu ni mtaaaaamu sana na upo kwenye wakati wake
Wow.. Hakika sijaona kama yesu🔥🔥🔥
Nimebarikiwa na wimbo huu sana moyoni.. Mungu na akuzidishe upako na baraka tele🙏👏👏
Ameeennn thanks
Mungu asifiwe kwa talanta anazotoa😄
Ubarikiwe ndugu yangu Kwa kutupa nyimbo ya sifa na utukufu...nimebarikiwa ,🇧🇭🇰🇪
Ameeennn
Wewe mpakwa mafuta kaka upo juu napennda nyimbo zako zinanibariki
Nimeisubiri sanaaaa hii kitu
Kaka Wewe Unatumika Ndani Ya Wito Kabisa Yaan Napenda Saana Kaka Naitaji Kuongea Nawe Jambo Kama Hutajali Naomba Nipate Njia Sahihi Ya Kukufikia Hats Kwamawasiliano Ntashukuru Na Mungu Akubariki
Wimbo huu umenibariki sana.
Kwa hakika hakuna aliye kama Yesu💯💪
#Sijaona
Ubarikiwe daima. Ila ningetamini ewe ulie kijana mwenzangu utusaidie ambao tunatamani mtumikia n kufaham ya mengi katika Mungu
Bora ulivyomkimbilia bwan maan wenzako wanaanhaika na mambo ya duniani god bless you
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you........
Am right back to say thank you Jesus for your love .. Hakika hakuna mwingine mwenye upendo na rehema kama Mungu wetu.
Mungu na akubariki saana kaka Walter.
Asante sana Na Mungu akubariki
Nani anangalia huu wimbo September na amebarikiwa kama mm🔥
This song is such a blessings, I hope other artists could sing in spirit as Walter
Thank you
Kwel cjaona kama ww mungu....
Wa kwanza kucomment woyoooo🙌🙌🥰
Umecomment nini hapo?😄
Asant baba dhidi kubarikiwa utupe nyimbo nzr
Sitowacha kukusifu Mungu wangu....asante ndugu yangu Kwa nyimbo nzuri ya kumtukuza Mungu.
Asante sana baba
Wangapi tunasikiza sijaona hadi leo
Sijaona kama ww Mungu
Cjaona kama wewe bwana ,,hii nyimbo imenibarik sanaa
Mwenyezi Mungu huwa mwema kila wakati
Nyimbo nzuri sana mtumishi barikiwa sana......kwel sijaona kama wewe Bwana.....
Hakika hakuna kama Yesu wimbo mzuri sana ubarikiwe mtumishi