Mungu anastahili kushukuriwa kwa Kila Jambo. Kitu ambacho wengi inabidi mjiulize ni KWANINI WEWE UPO HAI MPAKA SASA. Huoni huo ni upendo wa Mungu. Ijapo umemtendea dhambi kiasi gani lakini yeye haangalii Hilo ukimsamehe anakurudia, na kukuweka hai mpaka Sasa inamaanisha kwamba anataka urudi kwake. Wengi wamekufa, ulizaliwa nao mwaka mmoja lakini wamekufa. Kwanini usimshukuru Mungu kwa wema wake aliotenda kwako.
Mungu ni mwema,uamuzi wako umebariki wengi,Damu ya yesu ipigane na maadui zako wote,mimi ni miongoni mwa waliobarikiwa na uimbaji wako,Mungu akuinue zaidi ya hapa
Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha Sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini ulikonitoa ni siri ya moyo matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba Hata shukurani zangu ni kwako shukrani zangu ni kwako na shukurani zangu ni kwako shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh aibu umefuta fedheha umefuta umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka nalia mimi ni yule ambae nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba
Niliupenda sana huu wimbo alipouimba Gozbert, Mungu alivo mwema akaona haitoshi... Acha auongeze utamu kupitia Natasha ili Jina Lake Lizidi Kutukuzwa...Ubarikiwe mtumishi
Natasha lisimo I love you already... There is a clip that you did of this song in the studio with Goodluck and I went straight to TH-cam and searched today 😍I can't stop listening to you... Your cover touched me. Be blessed ❤️
I get really emotional when l get to hear this song. I thank him today tomorrow and forever he has been my lord God, l can't compare his care and love and believe in me. Today l am having a new step in my life and l am already greatful for l know he will make me win.... He will stand by me and bring favour before me. Lord God guide my steps today that it may be as per your will.i am greatful for the opportunity and the believe people have in me. AMEN.
Naikubali sana hii cover yako imekua ni nzuri kuliko original ya Gozbert, Mungu kakubadirisha maisha ya zamani kakupa maisha mapya, wote wamekaa kimya walio kubeza, Kaza mwendo Mungu yuko nawe daima ameeeen
She's saying that she's giving thanks to GOD for everything. He removed her from a tough place from her worst. He removed the shame when people called her names and threw her away but God uplifted her and she's never been happier to a point she cries remembering where it was He get her from to now where she's at peace.
Mungu wako ni Mungu Wangu nakupenda Natasha....God will soon come to you're life to solve every problems,.. I love you....!!!sent my greetings to Mr Lisimo....
Shukrani na kumtukuza Mungu ni jambo la kwanza tunalotakiwa kufanya kabla ya yote. Thanks Sis Mungu akubariki sana kwa kutukumbusha na sisi pia. Barikiwa sana.
honestly,honestly, I miss bukuku but I just realized u, u can really sing, u are next bahati bukuku, GOD BLESS U, keep doing great all the way from Malaysia.
cjui mbna m ni muislam lkn hii nyimbo yaniliza...😭😭😭..we dada una kipaji..na maneno ua hii nyimbo n mazito😢😢😢love the song
Hata yeye alikuwa muislam, na haongei na mama yake kwa sababu yabadili dini sijui labda sasa naomba wawe wanaongea.
God is one
@@sarahali5938 but Jesus is the only way
Popo slim.Natasha anakipaji alikuwa sio mkristo pia saiv ameokoka
Hakika
Baada ya miaka 6 mimi huyu hapa kusema Shukrani maana aliko nitoa Sina kinachoweza linganinshwa nalo bali nasema Asante Baba 🙏🏾🎉
11|07|2021 Mungu anaendelea kukusimamia naamini Mama yako unamjali msikilize Sana pia naamini Yesu bado anazidi kukupa njia usijali.
Yesu yupo pamoja nawe natasha
Hongera sana dada hakika nimebarikiwa
I love this song from South Africa.....Shukurani kwa Mungu
I wish Natasha lisimo you read this"you look good and alive in Gossip than other songs" hope you won't think of going back.
Mungu anastahili kushukuriwa kwa Kila Jambo. Kitu ambacho wengi inabidi mjiulize ni KWANINI WEWE UPO HAI MPAKA SASA. Huoni huo ni upendo wa Mungu. Ijapo umemtendea dhambi kiasi gani lakini yeye haangalii Hilo ukimsamehe anakurudia, na kukuweka hai mpaka Sasa inamaanisha kwamba anataka urudi kwake. Wengi wamekufa, ulizaliwa nao mwaka mmoja lakini wamekufa. Kwanini usimshukuru Mungu kwa wema wake aliotenda kwako.
Mpoki Mathias hakika mungu ni mwema
Hongera
Kwa
Wimbo mzuri Natasha
Fresh to my heart❤... 2024 here to always i am grateful to my God
Nashukuru baba...machozi ninayo mengi lakini najua itafuta fedhea...shukurani zangu ni kwako Yesu
Uhai huu sikustahili. Ulikonitoa nisiri ya moyo wangu. Shukurani zangu ni kwako Mungu asante baba. Asante Mungu 🙏🙏🙏🙏
Mungu ni mwema,uamuzi wako umebariki wengi,Damu ya yesu ipigane na maadui zako wote,mimi ni miongoni mwa waliobarikiwa na uimbaji wako,Mungu akuinue zaidi ya hapa
Hakika umeutendea haki wimbo huu.. Mungu akubariki dada......
Gu756
Ulipo nitoa ni siri ya moyo Wangu.... Sitasahau na wema wako baba....thank you JESUS....
Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili
nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha
Sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini
ulikonitoa ni siri ya moyo matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu
Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba
Hata shukurani zangu ni kwako
shukrani zangu ni kwako
na shukurani zangu ni kwako
shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh
aibu umefuta fedheha umefuta
umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka nalia mimi ni yule ambae
nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea
ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba
Glory to God
nitumie wasap 0763274055
asante
Ntumie whatsup 0755349702
Loi Blessed blessed
kiukweli nabarikiwa sana na huu wimbo you did a great job Natasha
Na barikiwa sana kupitia nyimbo hii Mungu akubariki sana
sana natasha mungu akuzidishie zaidi na zaidi na zaidi...........Amina
Yaani nasikia raha nikiimba huu wimbo mno mno Mungu awabariki sana
Shukurani ni kwako,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This is my true life story 😭😭each time I listen to the song .. I feel emotional
Amen nyimbo zingine zinagusa uwalisia wangu asante Mungu kwa uliponifikisha
Shukurani zangu ni kwako yesu.....💞💞💞💞💞💞💞
Natasha wew Umeimba sana sana snaa Natoa shukuru kwa MUNGU kwa yote anayoendelea kunifanyia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Niliupenda sana huu wimbo alipouimba Gozbert, Mungu alivo mwema akaona haitoshi... Acha auongeze utamu kupitia Natasha ili Jina Lake Lizidi Kutukuzwa...Ubarikiwe mtumishi
Nkikumbuka kule Mungu amanitoa Shukranii zangu ni kwake🙏
I love this song Dada.Mungu akubariki
Sauti nzuri mpaka nashindwa kuelewa mmiliki halali wa huu wimbo Ni Nani! Kwa kweli Mungu fundi!
Nakuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuupeeeeeeendaaaaaaaaaaaaaaa baribikiwa
Kweli Mungu anajua kutafuta watu waliosahauliwa na kudharauliwa na wengine. Asante sana Natasha na Gozbert, wimbo wenu umenibariki sana.
Aisee natasha umetisha, hizo hisia ulizotumia zinamteka yoyote kuvutwa na hisia kali. Hakika hapa mwanafunzi umemzidi mwalimu wako
this one has made me to cry , have watched like 10 times , big ups dadangu , mungu akujalie maishani mwako.
Nakushukuru Mungu mwaka huu umekuwa mwaminifu Ata kama kama kumekuwa kugumu neema yako yatosha.Asante Baba.
2019....am really touched by this song,God bless you
Lllp
Mungu akubariki, nataman Sana siku moja Mungu anikutanishe na wewe
Natasha lisimo I love you already... There is a clip that you did of this song in the studio with Goodluck and I went straight to TH-cam and searched today 😍I can't stop listening to you... Your cover touched me. Be blessed ❤️
Tubarikiwe sote 🙏💞♥️ dada
wow nilikuwa nasubiria hiii nyimbo sana barikiwa sana dada natashaaa nakupenda👏👏👏
Ila Kwa huruma uliniponya na kaburi.
Shukrani zangu ni kwako..........I LOVE YOU JESUS....😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
Nakushukuru Mungu uishie milele hakuna mwengine Kama wewe baba Asante Yesu kristo mwokozi wetu
ubarikiwe Nathasha,kwa wimbo nakumbuka mengi sana Mungu amenitendea, mahozi yame nidondoka...
I get really emotional when l get to hear this song. I thank him today tomorrow and forever he has been my lord God, l can't compare his care and love and believe in me. Today l am having a new step in my life and l am already greatful for l know he will make me win....
He will stand by me and bring favour before me. Lord God guide my steps today that it may be as per your will.i am greatful for the opportunity and the believe people have in me. AMEN.
Such a blessing song nashukuru mungu kwa yote
nausikiliza wimbo huu nikiwa Oman unanibariki saaana MUNGU akuinue zaidi na zaidi katika jina la YESU KRISTO
...
ALLELUIA
BWANA YESU akuhifadhi Saida
Saida Juma me
Amina barikiwa sana
@@natashalisimo2075 ubarikiwe mtumishi wa Mungu
huyu dada si khadija wa maumivu nihache Bora umekuja uku your the best cc*
Nashukuru Mungu kwa sababu ya mengi hata uhai sikustahili
Mungu azidi kukubariki dada .
Naikubali sana hii cover yako imekua ni nzuri kuliko original ya Gozbert, Mungu kakubadirisha maisha ya zamani kakupa maisha mapya, wote wamekaa kimya walio kubeza, Kaza mwendo Mungu yuko nawe daima ameeeen
Watu Chuma kabisa
I don't understand it but I so much love the song, it life my spirit each time I plays it
She's saying that she's giving thanks to GOD for everything. He removed her from a tough place from her worst. He removed the shame when people called her names and threw her away but God uplifted her and she's never been happier to a point she cries remembering where it was He get her from to now where she's at peace.
She's thanking God for His deeds.
Mmmmm nice
And if u did u culd cry
Hongera nakupongeza sana dada Natasha
wimbo mzuri ila unavyoimba kwa kufuatisha sauti ya Goodluck ndio inakuwa ngumu kwako kuewza, jaribu kuimba kwa sauti yako.
Nashukuru Mungu nikiwa Omani kikazi tena kweny family ya upendo na fulaha nikwer nashukr sana kwa wimbo huu
Asante Yesu kwa kuniruhusu niwe nilivyo
2020 thanks Jesus
God is one
kweli dada natasha mungu akubariki sana unafanya siku inakuwa nzuri sana be blesseeeeeeeeeeeeeeeeeeeed
I don't know why am so emotional but the song is really ministering to me. Hatanikiwa nasali unajua namaanisha Baba
Kazi nzuri dada be blessed
Madam usimwache Mungu anaweza kaz nzuri sana
Ubarikiewe dear wimbo mzur umeutend3a haki
Angeweka "Halle-lu-yah,halle-luuyah"badala ya yelele mama...maana yelele mama haitii utukufu kwa Mungu ila kwa yelele mama.
Balaaaa Shukurani zimurudie Mwenyezi Mungu kabisa
Some days i need the *MUSIC*
some days i need the *LYRICS*
.....the lyrics hit hard, i love❤ this song blesses my soul
ubalikiwe sana Sasha nikiusikiliza huu wimbo machozi yanatoka kweli mungu ni mkubwa
Mark you Me I gonna trend this Song 2020 and beyond, what a blessing song, Shalom all the way from 254!
da natasha nabarikiwa sana na wimbo huu mungu akubariki sana
Mungu akubariki mtumishi...(natasha......
This is extremely classic! The voice and sound, tune etc perfect 👌! Hongera Sana Natasha, kazi nzuri yenye radha nzuri! Mungu azidi kukupaisha!
Wonderful worship mbarikiwa ♥️
Mungu wako ni Mungu Wangu nakupenda Natasha....God will soon come to you're life to solve every problems,.. I love you....!!!sent my greetings to Mr Lisimo....
Amen napenda unavyoimbaa mungu akubaliki
Ume utendea haki wimbo huu saut nzur sana Mungu akuinue.majaribu n mtaji mdogo angu
Hongera umeimba vizur Sana mungu akubarik.mm pia napenda niimbe sana tu namuomba mungu anipe kibal
mungu azidikukuinua Dada Natasha akupe ufunuo ktk uimbaji nauongozi wa roho mtakatifu
umenipa heshima ukanifuta machozi asante baba...hata shukurani zangu ni kwako,big up mum you did it well
Just bumped into this beautiful song. Was looking through a Thanksgiving Song. Thank you for a wonderful song to thank our Blessed Lord.
big up shemj yangu
BWANA YESU akusaidie ktk hutumishi uu nice message.
nice mamy mungu akubariki sana.
C'est trop chou la chanson reste bénie ma sr
❤❤❤❤my favorite song ❤❤❤❤❤
Huu mwimbo jamanii..Mungu tu anajua
huu wimbo n balaaah mungu aendelee kukuinua zaid ya hapa an unaweza ukawa unapigwa ukajua we pekee ndo mwenye matatz kiukwel kwangu umenibarik mno
Wew Dada ni fundi Jamanii ubarikiwe
This song God!!!!! I give all the glory and honor to my God. Shukurani zote ni kwako
Aksanti sana kwa nyimbo nzuri, inatubariki saaaaana 🙏
Daah unaimba kwa hisia Dada mungu azidi kukupaka mafuta ili uzid kutubariki
Waoooooow you surprised me khadija nimejifunza kitu kupitia kwako,Mungu akuinue sana achana na Maneno yawatu msikilize Mungu tu
Mungu akubarik dada natacha kbsa
Mungu akutie nguvu, nafaham huu wimbo umeuimba kwa hisia kari mpaka sauti inafifia Mungu wa Ayubu ndiye Mungu weto sote hutupitisha hata kwenye magum
Mungu akutie nguvu
Barikiwa sana
Amenye Kibona she was too deeply 😢🙏🏽❤️
Hakika njia sahihi... MUNGU akusimamie... Tunakuombea MUNGU awe nawe kwa yote unayopitia nice job... Sister
Nakupenda cc,,,,, Hakik unakipji
Nakukubali sana we mdada unanibariki sanaaa
Yan umekuwa boraa,unavutia,una nuru,zaidi Yesu uliyembeba ni mkuu mno,Mungu aendelee kukushindia
Safi sana dadangu Natasha 👏👏👏
Shukrani na kumtukuza Mungu ni jambo la kwanza tunalotakiwa kufanya kabla ya yote. Thanks Sis Mungu akubariki sana kwa kutukumbusha na sisi pia. Barikiwa sana.
MUNGU nitakuimbia sana siku utakayo nifanikisha kuingia kwenye ndoa yangu nitakuimbia sana huu wimbo...😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Watched this last night and the depth of the feel is on another level! Thank you Mama for this rendition! God bless you
honestly,honestly, I miss bukuku but I just realized u, u can really sing, u are next bahati bukuku, GOD BLESS U, keep doing great all the way from Malaysia.
Dada hongera sana upo vizuri, mungu aendelee kukubariki katika kumtumikia yeye aliyetuumba
Nimependa video pia umevaa vzur sana Dada, napenda tabasamu lako
Namshukuru mungu sana 👏👏