Naamini nitafata ninachokiamini na nitaenda kufanikiwa.Japo kwa sasa napitia changamoto Mungu atanitoa hapa.Nitafanya kidogo nanitafanya kwa uwezo wangu
Iam the best I can do it Favor is on me . Kuna Somo niljifunza kwako kwanzia siku hiyo hua nikiamka najiambia haya maneno haijalish napitia changamoto gan but I can do it
Tangu nimeanza kukuckiliza aisee saivi akili yangu imekomaa, big love bro
Ahsante Kwa mafundisho Mengi tunazidi kuletewa na kuelewa pia
Huyu ndiyo Mimi kabisa 😢yani Sina furaha na hii Kazi kabisa ila basi tu sasa nitafanyaje
Naamini nitafata ninachokiamini na nitaenda kufanikiwa.Japo kwa sasa napitia changamoto Mungu atanitoa hapa.Nitafanya kidogo nanitafanya kwa uwezo wangu
Hii ni point kubwa sana kwangu hakika nimejifunze kitu sijapoteza muda kusikiliza huu ujumbe uliobeba uzito ndani yake mungu akubariki kaka joel❤❤
Naendelea kupona kaka Joel🙏
#@joelnanauka Mungu azid kukutunza kwa ajil ya wengine
Nabarikiwa sana kwa hii elimu
Nimejifunza kitu hapa
Baarikiwa
Ni kweli yapo,
Ahsante sana Kaka Joel
Iam the best
I can do it
Favor is on me . Kuna Somo niljifunza kwako kwanzia siku hiyo hua nikiamka najiambia haya maneno haijalish napitia changamoto gan but I can do it
Kaka Joel naomba kuongea na ww
See you at the top ✊🏿
Nimejifunza
Asante sana
noted
Asante nimejifunza
Ubarikiwe kaka❤❤❤
Thanks dear. Noted
My Current Situation😢
Big point
Asantee sana kaka
❤❤
Barikiwa sana
Kweli kabisaa,namba watsap
Kila siku najifunza vingi kutoka kwako
Kila siku lazma niskie masom to ako
Kila asubuhi, nahakikisha nasikiliza video/audio zako. Huwa najihisi BOOSTED kiakili na kuwa focused sana.
Uzidi kubarikiwa.