BILLIONEA ALIYEFIRISIKA NA KUWA MUUZA GENGE ASIMULIA MAZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 313

  • @gmdigitostore8550
    @gmdigitostore8550 4 หลายเดือนก่อน +41

    Tunasema hivi,
    Umepoteza pesa au mtaji, lakini ujuzi, usoefu ulioupata muda wote huo, unafanya hiyo kazi, unadhamani kubwa kuliko pesa uliyopoteza.
    Ukiamua kuutumia ujuzi huo, utaweza kurudi kwenye mstari haraka zaidi, ya mwanzo.
    Wewe ni mgodi wa dhahabu.
    Jiamini, Anza tena.
    Anza kwa ufundi tena, jenga mtaji kidogo kidogo.
    Mimi nipifilisika, nikiwa vizuri kabisa, kwa ajili ya pombe..
    Kwa sasa, nimerudi vizuri.
    Hakuna njia nyingine ya kurudi, lazima kwanza ujiamini unauwezo wa kurudi, halafu Anza kidogo kidogo..

    • @hamisially-c4x
      @hamisially-c4x 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa aisee pombe inamaliza watu wengi sana

    • @NasriRamadhani-po1lz
      @NasriRamadhani-po1lz 3 หลายเดือนก่อน

      Kwel kaka

    • @JohnjosephMush
      @JohnjosephMush 3 หลายเดือนก่อน

      Pole sana hayo ni mapito , yale magari vipi ?

    • @Pachah255
      @Pachah255 3 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi

  • @HamzaAbdallahAkilimali-wg5ld
    @HamzaAbdallahAkilimali-wg5ld 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kijana usikate tamaa, miaka 35 bado umri mdogo. Hiyo ni kawaida tu, Mwenyezi Mungu hujaribu kiumbe chake kama mala mbili au mala tatu. Ili aione subira yako. Kikubwa jisahihishe ulikose wapi. Ktk. Kumuabudu Mwenyezi Mungu, kutoa sadaka, kuwathamini binadamu wenzako hasa wasiojiweza, kuwa mwaminifu, jihadhari na michepuko, na jihadhari na marafiki wenye lengo la kukuchomoa. (Usisahau kumuabudu Allah, kwa wakati) NINA IMANI UTAIBUKA TENA. Inshaallah.

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtangazaj hii Kaz sijui kama unaifaham vzr unashindwa kuhoji vzr

  • @MjumaSalima
    @MjumaSalima 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mm maibra Moshi usikate tamaa mungu yupamoja nawe pia jaribu kumtafuta Yule aliekuinua mwanzo

  • @mussanyanda3451
    @mussanyanda3451 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana ndugu , usikate tamaa muombe sana Mungu na kuwa muaminifu kwake atakuinua zaidi na atakuonyesha wapi ulianguka na kukuokoa.... kuanguka kwa macho ya kawaida unaweza ona n kawaida lakini nyuma ya pazia binadamu ni wabaya sana usipate hata kodogo tu fitna zinajaa utaandamwa kila siku kiuchumi na kiroho,,, Amini nakwambia sali sana na toa sadaka ya kukugusa roho hakika utarudi barabarani

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 4 หลายเดือนก่อน +14

    Huyu kijana nampongeza Hadi Sasa anauza genge wengine muda huu amejinyonga au amedata yaani amekuwa chizi😭😭😭😭😭😭

    • @NasriRamadhani-po1lz
      @NasriRamadhani-po1lz 3 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisa

    • @SharyMary-s8t
      @SharyMary-s8t 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa yaan bado Mungu anampenda sana

  • @DJINNOSSBTZ
    @DJINNOSSBTZ 3 หลายเดือนก่อน +5

    Aliyemfanya kuwa mzima mpaka leo ni mke wake mfikishieni hongera zake🤝

  • @calvin6445
    @calvin6445 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mahukuru sanaa Mungu umefilisika na upo sawa sawa kiakili na unapambana na shughuli ndogo ndogo big up sanaaa Nina marafiki walifilisika wakawa vichaa kabisaa hadi ulevi wa gongo na pia wengine wamekufa kwa kushindwa kukubaliana na hali ilivyo kwa sasa

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu atakusaidia bro rama.
    Maisha ni safari ndefu.
    Ni mtihani tu.

  • @JumaGendeye-sv6yl
    @JumaGendeye-sv6yl 4 หลายเดือนก่อน +13

    Du sante San king p tv nimejifunza vitu vingi San kutoka kwahuyo jaman ❤❤❤

    • @calvin6445
      @calvin6445 4 หลายเดือนก่อน

      Umejifunza nini kuhusu mwanamke

    • @spendjulius-qz9mt
      @spendjulius-qz9mt 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@calvin6445Bure kabisaa

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@calvin6445imeandikwa ishi na mwanamke kwa akili

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana kaka wewe ni kichwa it is well utakuwa Sawa tu ila angalia sana wanawake sio watu wazuri take care of your self babaa

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bora uhai Mungu atakuinua. Still young good looking Mungu akutetee!

  • @mohamedabdallah8321
    @mohamedabdallah8321 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuchepuka kulikuponza ndugu yangu pole sana ndo maisha muombe sana mungu utakuwa sawa

  • @JosephIsanzu-g1r
    @JosephIsanzu-g1r 3 หลายเดือนก่อน +2

    Duuhh poje sana kaka never give up

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน

    Mani.anaye.mfahamuntupemushahidi. siyomo8wa.mnatunga story 😊

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 4 หลายเดือนก่อน +9

    Ndio utajiri wa Kiafrika ukiinuka kidogo unamsahau mke unatafuta mchepuko kufanya ZINAA.

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 หลายเดือนก่อน

      UkitakaUfirisike.fanyaZinaa.waislam.tumekatazwaZinaaUletaUfakiri

  • @kituapeter
    @kituapeter 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mwanamke sio ndugu yako, ukimuamin utaumia sn, pole sn Mr

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 3 หลายเดือนก่อน

      Imeandikwa ishi na mkeo kwa akili

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 4 หลายเดือนก่อน +3

    Pole kiongoz kwenye maisha kuna changamoto nyingi omba uhai na afya njema mengne yanakuja tu

  • @hamisially-c4x
    @hamisially-c4x 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mtangazaji alishindwa kuuliza namna jamaa alivoporomoka mpaka kuuza magari Hadi tone lamwisho

    • @amosimariba9820
      @amosimariba9820 3 หลายเดือนก่อน

      Ukisikiliza vizuri amesema mwanamke aliempata kama mchepuko halafu akataka amuoe huyo ndiye chanzo cha kufilisika msababisha wa kufilisika hela akawa anaingiza kwenye account yake

    • @hamisially-c4x
      @hamisially-c4x 3 หลายเดือนก่อน

      Kuanzia kuanza kuuza gari lakwanza ailianzaje mpka tone lamwisho

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sema jasili haachi asili ukishajuwa kilochokuyumbisha basi ni kuanza upya vibaya ni kufirisika ukiwa ushazeeka

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah alikupa kwakukupima imani nakama hujazifanyia katika israfu nd maan zimeondk allah atupe utajir na taufanyie katik kusaidia wanaohitajia msaada kwaajili ya akher yetu

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 4 หลายเดือนก่อน +8

    Watu ambao mnasema habari za uganga mwombeni Mungu yasiwakute nimekuja hapa maana na mimi hali yangu inafanana na huyu nilikuwa nina hela nimefiisika nimeuza kila kitu nilichonacho sina hata pa kulala kwa sasa na wala sijwahi enda kwa mganga

    • @yudachelango6824
      @yudachelango6824 4 หลายเดือนก่อน

      Kivipi aise

    • @JamalKivambe
      @JamalKivambe 4 หลายเดือนก่อน

      Pole

    • @RamadhanMussa-d1m
      @RamadhanMussa-d1m 4 หลายเดือนก่อน +3

      Hio nihali yakawaida kaka hata mm nilikuwa nazo zikapotea nilichomkubali jamaa katuliza akil nakujua kuwa Sina nianzie wap weg wao wanakuwa machiz hat mm kidogo nidate ila nikakubali matokeo

    • @JudithMapunda-i4o
      @JudithMapunda-i4o 3 หลายเดือนก่อน

      Pole sana kwenye maisha kuna kupanda na kushukaa hivyo utapanda tu na ukipanda usisahau fungu la kumi na sadaka

  • @gmdigitostore8550
    @gmdigitostore8550 4 หลายเดือนก่อน +11

    Hapa hapa, ungetoa namba, kwa ajili ya ufundi wako.. usingekosa kazi yeyote.. ungeanzia hapo

    • @Janetboaz
      @Janetboaz 4 หลายเดือนก่อน

      P0l0😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅l😅

  • @FaustinKihambaSaragulwa
    @FaustinKihambaSaragulwa 4 หลายเดือนก่อน +5

    Jamaa yuko vzr kichwani,

  • @fabshad1979
    @fabshad1979 4 หลายเดือนก่อน +8

    Tutampatia kazi inshaallah

  • @samiemacroded-kb1er
    @samiemacroded-kb1er 4 หลายเดือนก่อน +4

    Pole brother pole sana kaka

  • @Jfhandmade
    @Jfhandmade 4 หลายเดือนก่อน +2

    WANAWAKE SISI daaah😢😢😢😢

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 หลายเดือนก่อน +1

    Big up aisee that's life

  • @bakarially253
    @bakarially253 4 หลายเดือนก่อน +7

    Naombeni mnikutanisha na huyu jamaa muhimu ana

  • @1free_time1
    @1free_time1 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hehehehe Rama Rama uko wapi Rama ninatafuta Sana mamba yako Rama Mimi

  • @ashuraabdulmaalik5319
    @ashuraabdulmaalik5319 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mshukuru Mungu pia bado anakupenda kwa7babu amekuepusha na mengi

  • @HaronyTeddy
    @HaronyTeddy 4 หลายเดือนก่อน

    😮 Aiseh😢 kikubwa uzma na Afya njema nakutokata tamaa🌎🙆nakupa maua Yako💐

  • @ruthee1895
    @ruthee1895 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ulimkosea mke wako,huyo mke wako wa baraka ulimuumiza naye mungu akakuchapa..Omba msamaha kwa huyo mke na mungu atakuregeshea

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ama ulikua na utajiri wa kishirikina kaka ?!.....WaTz wanapenda maisha mserereko mno 😂😂😂😂

    • @pascalsimion7929
      @pascalsimion7929 4 หลายเดือนก่อน

      Mafanikio yanasiri sana yapo ya nyuma yapazia ambayo sio rahisi kuyazungumzia

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 4 หลายเดือนก่อน +9

    Prsa ambazo sio za HALALI lazima Utafilisika.

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kisaikologia hii interview ni tiba kwako. Utainuka tu na ukishainuka . Mshike sana Mungu. Wewe ni mtu mwema sana

  • @joymkenya2359
    @joymkenya2359 4 หลายเดือนก่อน +6

    Utajiri wa uchawi,,, wewe ulikuwa tu daraja nyota uliuza bila kujua 😅

  • @NYABAGANGATARABA-il5yl
    @NYABAGANGATARABA-il5yl 3 หลายเดือนก่อน

    Pole Mungu mpaji atakupa vyote vilivyo liwa vitarudi na hutarudia makosa Mungu akubariki

  • @YakoubAliy
    @YakoubAliy 4 หลายเดือนก่อน

    Pole ni ktkt mitihani machoni ni mtu mwenye Imani tulia muombee Allah atakufungua

  • @fatumahamadi1379
    @fatumahamadi1379 4 หลายเดือนก่อน +1

    Poke sanaaa ALLAH atakufanyia wepes Inshaallah

  • @IssaMsengi-q5p
    @IssaMsengi-q5p 3 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana ndg yetu nafas ipo tupambane

  • @ibrahimsaloum4932
    @ibrahimsaloum4932 3 หลายเดือนก่อน

    sema jamaa good boy sana, anaonge kawaida tu kama hakijatokea kitu, mwandish apaswa kwambia ataje no zake ili iwe rahis kupata kaz.

  • @WilliamKayanda-h2t
    @WilliamKayanda-h2t 3 หลายเดือนก่อน

    Dah kaka usikate tamaa mungu yupo

  • @HeroJoseph-nm8pv
    @HeroJoseph-nm8pv 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nyinyi ni waongo Hana ata kumbukumbu za maisha yake ata picha ili tuelew kweri au mumeamuwa kutupiga to😲

  • @PaulHuncho-v3u
    @PaulHuncho-v3u 3 หลายเดือนก่อน

    kaka usikate tamaaa ,pambana na hicho ulichonacho ,mungu anamakusudi na kila jambo .utanyanyuka tena.kikubwa mwamini mungu.

  • @medardkihekaabel2601
    @medardkihekaabel2601 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu Ni Mimi Kabisa😢 Ee Mungu tusaidie,Kumbe yametukuta Wengi.

  • @vocalizertz6868
    @vocalizertz6868 2 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji WA hovyo Kuna maswali muhumu sana hujamuuliza ,hujamuuliza hata magari yalipoteaje,maduka yalipoteaje,kam alikuwa mlevi,huyo demu wa Dubai alikuwa anajihusisha na nini na walikutanaje.

  • @braitonilomo1635
    @braitonilomo1635 4 หลายเดือนก่อน

    mungu atakufungulia njia mkuu nakukubari mpambanaji hachoki

  • @tufikemnyone3182
    @tufikemnyone3182 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka umesahau kuwa hata hizo za kwanza ulipata mtu akakubust? Bila Shaka utafanikiwa

  • @DanielSamike
    @DanielSamike 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mtangazaji hajui kuhoji vizuri namna ambavyo alifirisika

    • @amosimariba9820
      @amosimariba9820 3 หลายเดือนก่อน

      Amesema mwanamke aliempata kama mchepuko ndiye aliemfilisi hela akawa anaingiza pesa kwenye akaunti ya huyo mwanamke

    • @annabyekwaso-wt7oi
      @annabyekwaso-wt7oi 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona kaelezea rudia kusikilizatena.

  • @joymkenya2359
    @joymkenya2359 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pesa zile hazikuwa halali,,, mwenyewe tu alichukua vyake... Ndio maana ukapoteza fahamu,,, huyo boss alichukua nyota 😊 mwanamke alikuwa wa kutumwa, hata labda ndio alitumiwa. Aaaa mtu akupee pesa Africa 😅 ulipewa za ushirikina

  • @grasiandastan7918
    @grasiandastan7918 4 หลายเดือนก่อน +2

    Muombe Mungu atakupa upeo zaidi kurudi kwenye biashara

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu hamtupi mja wake uwe na subra Allah muweza wa yote 🤲

  • @tedygodwin5431
    @tedygodwin5431 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakusaidia ni mtihan tu wa maisha mwamini mungu tu arakupa tu

  • @ilongasaid6083
    @ilongasaid6083 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka mkubwa. Mimi binafsi ndio maana MALAYA kwangu ni fish pori tu. Nachapa nakulala mbele. Tena wakati mwingine hua siwalipi maana hao ni MASHETANI
    Uliharibu kuweka makazi hapo.

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 3 หลายเดือนก่อน

    Kiufupi mwamba alipigwa libwata asee😢😢😢

  • @hamedmweru6955
    @hamedmweru6955 3 หลายเดือนก่อน

    Ila mungu atakupa tena usiofu dumu katika imani tu

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 3 หลายเดือนก่อน

    Ila asikate tamaa
    Bado mdogo sana ajitaid kupamban

  • @JusterJeremia
    @JusterJeremia 4 หลายเดือนก่อน +3

    Poleee ila bado unaongea kibos, na ucjali utapata kikubwa kuwa na subra.

  • @digitalmoneytz9631
    @digitalmoneytz9631 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwan sii uuze Yale magar upate mtaji wa kuanziapo? Au nayo ulihonga? Huyo nae kingpoo ajui kuliza point za muhimu

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 4 หลายเดือนก่อน

    Usikate tamaa kaka mungu anamakusudio yake kufisilika kwako endelea kumuomba mungu kwani kwa mungu hakuna kubwa

  • @Dafetty
    @Dafetty 3 หลายเดือนก่อน

    Duh aise pole sana kaka

  • @muksiniMudrikat-v3z
    @muksiniMudrikat-v3z 3 หลายเดือนก่อน

    Pambana kaka nakukubali

  • @tufikemnyone3182
    @tufikemnyone3182 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona bado mdogo umri bado utafanikiwa ongeza bidii na umakini na pia muombe Mungu sanaaa

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 4 หลายเดือนก่อน +5

    Maisha Uwezi kuamini kama Ungekua Unasali Asingeingia Uyu mchapuko Ungekua na Ulinzi wa swala pole sana

  • @ruthee1895
    @ruthee1895 3 หลายเดือนก่อน

    Haukuibiwa .mali tu bali nyota pia,tafuta mchungaji akurudishie nyota..God will lift you again.watching from kenya

    • @aliciaprojestus2336
      @aliciaprojestus2336 3 หลายเดือนก่อน

      Anayerudisha Nyota ni Mungu sio Mchungaji amwamini Mungu na kusali zaidi

  • @Vaibu_MediaTZ
    @Vaibu_MediaTZ 3 หลายเดือนก่อน

    Media yenu Taarifaa za uongo ndooo shidaaa😅😅😅

  • @NuruJara
    @NuruJara 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka sisi wake wa ndoa ukituchepuka den unamsitress mkeo kila mke akilia na ww wafilisika Kuna mungu maumivu ya mke na Bado Kuna haka kafala nakapa mda mchache

  • @saribokoalluminiumGlassworks
    @saribokoalluminiumGlassworks 3 หลายเดือนก่อน

    Acha genge bro rudia maita umeelewa

  • @corneliasabuni7733
    @corneliasabuni7733 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ungejua ungemfungulia account mkeo na umuwekee pesa zingekusaidia leo

  • @beltinastockburger5934
    @beltinastockburger5934 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jiulize hizo mali umezipatia kwa Mungu au mganga sema ukweli

    • @yusuphsanga7194
      @yusuphsanga7194 4 หลายเดือนก่อน +1

      ukizipata kwa mganga huwez kuwa na ujasiri wa kuongea hv Ila wanawake🙏🏾🙏🏾

  • @JailaniRamadhan-it3kp
    @JailaniRamadhan-it3kp 3 หลายเดือนก่อน

    We muongo😊

  • @FrankMwakatima
    @FrankMwakatima 4 หลายเดือนก่อน

    pole sana jamaa endelea kumuomba mungu atakubaliki tuuu ila tumejifunza kitu toka kwako

  • @Trisharaurentgibe
    @Trisharaurentgibe 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenyenzi akurudishie nyota Yako Kwa jina la yesu

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mm nakuashauri anza upya usikate tamaa ujuzi ulio nao ndio mkodi wadhabu jiamin tumia ujuzi wako mpya utarud kwenye gemu tena utakua bora Sana jipe moyo kukosea ndio kujifunza kaka

  • @bakarially253
    @bakarially253 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umuhimu wa elimu ndipo unahitajika katika swala zima la biashara

  • @IreneIsmail-s8j
    @IreneIsmail-s8j 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi utajiri wagafla ndani yamiaka miwili duu Hainiingiiakilini..au alikosea mashariti

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 หลายเดือนก่อน +6

    Lugha gani hiyo ya Kiswahili... Bilioneya Aliyefirisika.....😂😂😂 ALIYEFILISIKA

    • @ukweli255
      @ukweli255 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hujioni hata wewe umekosea?

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo sio darasani hiyo ni lugha ya kawaida ndani ya mitaa na ukijua kuwa lugha ya kiswahili waulize Wasomi wa Sekondary vidato vya juu na vyuo vikuu wakueleze ni jinsi gani wasomi walikwepa somo la kiswahili au watafute Watanga au Wazanzibar uwape mitihani ya Kiswahili uone kitakavyowagalagaza vibaya sana!

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pesa Za Mapepo Azimuachi Mtu Salama Siku Zote Japo Sadaka Aichagui Pesa Lakini Vijana Tusake Kwa Haki Pesa

  • @LucyMassalu
    @LucyMassalu 4 หลายเดือนก่อน

    Muombe mungu saana hatakuacha Lakin unapaswa.uwe na mwanasaikolojia wakukuweka Sawa kimaongezi.ila wew ni jasri kuwa mkweli na kujua wapi ulikosea unaweza kujipanga kichwani mwenyew

  • @selekiwande3386
    @selekiwande3386 3 หลายเดือนก่อน

    Wamechukuwa nyota yake ila jamaa akiri imetulia amin mungu yupo atamsaidia atapata tena pesa nyingi

  • @khalilyjuma813
    @khalilyjuma813 4 หลายเดือนก่อน

    Duuhh pole sana kijana Kuna mafunzo mengine watu wanajifunza Kwa watu

  • @shabanmohamed9025
    @shabanmohamed9025 หลายเดือนก่อน

    Msiba wa kicheche

  • @KachePaschal-iw4zk
    @KachePaschal-iw4zk 3 หลายเดือนก่อน

    Wekeni na picha za zamani kipindi anafedha msije mkawa mnatuletea hadithi za kufikirika

  • @kasibalisaid7036
    @kasibalisaid7036 4 หลายเดือนก่อน

    Aliyeflisika
    Ariyefirisika ....mnaharibu lugha

  • @Elisabeth-g4n
    @Elisabeth-g4n 4 หลายเดือนก่อน

    Pore sana kaka angu mungu atakusimamiy

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 หลายเดือนก่อน

    Biashara yake safi tu🎉

  • @YahayaSefu
    @YahayaSefu 4 หลายเดือนก่อน

    Ayse jamaa umepigana sana kwenye maisha ila usikate tamaa ila mwanamke siyo mtumzuri nishetani

  • @HarunaSadallah
    @HarunaSadallah 4 หลายเดือนก่อน

    😮 subuhanallah

  • @azminasalehe9352
    @azminasalehe9352 3 หลายเดือนก่อน

    utuufu wote ni wa Mungu

  • @FadhiliSaid-mr8gq
    @FadhiliSaid-mr8gq 3 หลายเดือนก่อน

    Mwangu utatomboa waza chanya soma vitabu vya elimu ya pesa utaludi tena kwenye utajili wako ww unanafasi kubwa ya kufanikiwa

  • @AuradScharion
    @AuradScharion 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 3 หลายเดือนก่อน

    Hatahiyo ni biashara akizingatia atoboa mdogo mdogo

  • @Zsdaughter
    @Zsdaughter 3 หลายเดือนก่อน

    Pesa Ni neema lakini Afya, tena Afya hasa ya Akili ndo mpango mzima.

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maga jenga achana na magari ukiwa na kwako ni hshima kubwa

  • @annabyekwaso-wt7oi
    @annabyekwaso-wt7oi 3 หลายเดือนก่อน

    Jamanimpeni kazi kakangu mradi mmemwona mtandaoni.

  • @ZanibTanz
    @ZanibTanz 3 หลายเดือนก่อน

    Dah nimesikitika Sana nahiyo story ambayo imemkuta mumewangu ila munguyupo

  • @RamadhanMussa-d1m
    @RamadhanMussa-d1m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwamtu ambaye hayajamkut atakuona fala ila mm nakupa shavu kwakusimama Tena

  • @allyiddakizimana7103
    @allyiddakizimana7103 4 หลายเดือนก่อน

    Duh umaskini noma yaani mbaka Nnzi wanamnyea kichwani

  • @DJINNOSSBTZ
    @DJINNOSSBTZ 3 หลายเดือนก่อน

    Uchawi upo📌