Mungu azidi kukupa mafunuo mtumishi wa mungu Mimi nabakiwa zaidi na mahubiri yako najikuta napiga atua nanifahamu neno la mungu Kwa kupitia wewe mungu akubariki mtumishi🙏
Asante sana Apostle kwa mafundisho yako. Kweli uchawi upo. Mama yangu aliota amevalishwa koti na mmoja wa mtoto wa shemeji yake. Alipoamka akaanza kuumwa mkono na hatimaye kutokwa na kidonda begani ambacho hadi na leo kipo kinamwuma.
Jamani watu wapo kanxani wamejipodoa kama majini sasa hawa wasafiri au makahaba jamani duuu mchungaji walio na yexu hawaixhi kwa bandia hao hawapo natural wako bandia
Mrongo Apostle! 'Kadri' maana yake ni 'predestined' by GOD, sio ati 'Kipimo'! Liar! Na Mungu aliye umba ma Planets na Stars zote, kweli ana weza ku PUGUKIWA na Nguvu??? Si huu ni OWONGO! Na nyinyi ma FALA wote humo kanisani, kwani hamu wezi kuji somea biblia cha Wazungu, pekee zenu nyumbani mwenu?? Kwani hamu jui kuji somea?? The bible is written in very plain English, and is self explanatory! Why do you have to come to this false 'apostle" so that he can invent his own meanings in the bible?? How can he say that God's power can wane?? This is REDICULOUS! This is what the bible says about 'apostles' like Bushiri Mapengo: Mathew 24:24-25!
Mtumishi nakupenda bure na Mafundisho yako uko wazi, nabarikiwa na najifunza sana, Huwa nasikiliza online
Twanga tu,wapigwe,hili lijamaa halituliagi lenyewe kuzunguka tu likitafuta wa kumeza,dah likungutwe....💪🤝🙏
Mungu azidi kukupa mafunuo mtumishi wa mungu Mimi nabakiwa zaidi na mahubiri yako najikuta napiga atua nanifahamu neno la mungu Kwa kupitia wewe mungu akubariki mtumishi🙏
Powerful teachings.
Mungu azidi kukupa mafunuo mtumishi wa Mungu tupone zaidi
Dunia na vita...ahsante sana mtumishi wa Mungu,tunazidi kuimarika na mafundisho yako..🙏🙏
Ubarikiwe sana dady MUNGU atusaidie🙏🙏🙏
Amen...asante sana Chief Apostle kwa Neno hili...
Amen mtumishi
Mungu akubariki Mtumishi wangu
AMEN 🙏🙏🙏 Asante Mungu kwa kuwa umenindendea makuu kupitia mafundisho ya mtumishi wa Mungu Apostle Mtalemwa ,🙏🙏🙏 Barikiwa Sana Mtumishi
Vita vita muraaa 🔥🔥🔥🔥. Eeh Mungu ingilia kati 💪🏻💪🏻💪🏻
Asante sana Apostle kwa mafundisho yako. Kweli uchawi upo. Mama yangu aliota amevalishwa koti na mmoja wa mtoto wa shemeji yake. Alipoamka akaanza kuumwa mkono na hatimaye kutokwa na kidonda begani ambacho hadi na leo kipo kinamwuma.
Mungu akubariki saana mtumishi wa Mungu apostle mtalemwa
Asante Apostle nimejifunza vingi leo🙏#Ila Mungu atuhurumie
Ahsante MTUME, MUNGU AKUTUNZE NA KUKUINUA ZAIDI.
Tupe mistari apôtre en chef, tume alilika tena ,tume pata maarifa maalumu. Sifa kwa Mungu
Amen, nimejifunza mtumishi,tafadhali tuwekee mwendelezo🙏🙏
Karibu Dodoma mtumishi wa mungu
aksanti mtumishi wa mungu tumejifunza mengi kupitiya mafundisho yako.
Barikiwa nikiwa njombe
Ameeeeeen my lovely man of God you changed my life huwa nafrahia Sana mafundisho yako baba kutoka DODOMA
Mungu tusaidie
Very powerful teaching, thank you apostle, you have really change my life. Thank you Jesus Christ Amen
Amen
Ee mungu wafungue macho waone kinachoendelea hapo
Powerful
Asante mtumishi wa Mungu Apostle nimebarikiwa sn na somo.
Mtumishi nakusikiliza kabisa nkiwa nairobi kenya karibu kenya
Amina baba
Very powerful massage...God bless you Papa
Nabarikiwa sana kila nisikiapo mahibiri yako 🙏
Asante...naomba haya mafunzo iendelee from Nairobi Kenya
Great teaching
Barikiwa Sana Apostle
Sema baba tupone kwa jina la yesu
Apostle naomba share clip ya maombi ya Vita na declarations ulizodeclare, I really need them.
Yesu akutunze Apostle, tunajifunza mengi kupitia mafundisho haya. Watching this for the second time 🙌🏼
Blessing Apostle 🙏🏻🙏🏻🙏🏻💓
I receive
Umegundua siri kubwa mutumishi, ufunuo kabisa wa Bwana Yesu. Tukitumia hii siri tutayipindua dunia kwenye wema kabisa.
Nimejifunza
Asante mpakwa mafuta wa MUNGU BABA ALIYEHAI
This is Powerful teaching
Mungu Atusaidie 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
My genius apostle.. GENIUS MTALEMWA
Jamani! Mbona hili somo linaonekana limeishia nusu, sehemu ya maombi na namna ya kutumia chumvi je?
Napokea neno 👏
Amen Hakuna kitakachofichwa
Mungu atusaidie,,
Apostel please hii mafundisho iendee uliniaja njiani kama nimejiandaa kupikana vita please from saudia arabia
Ameen
🙏mtumishi sema kanisani kwako naona kupo nawarembo wengi kuliko wanaume.!
mbon hata wanaume wapo
👍🔥
Siku hizi nawapinga ngumi wachawi, nitachkua fimbo kuwamaliza kwa damu ya Yesu.
Asante sana mtume
I connect
I can feel the chain I broken 2chronicles 7:14-17 help me God.
Asante
Amen🙏🙏🙏🏻my💎 dady
I agree 👏
Vita vita vita you have to fight it in Jesus name
Xio kwakujipodoa huko
Ni wakati wa Mungu kutuokoa na mambo ya ajabu !
Part 2 ya maombi please
Mtumishi hata Mimi inanitokea hali ja kusingiziwa napigana Na Vita
Ooooooh Yes
AMEEEN
Raha sana kukusikiliza, napenda, najifunza nabarikiwa
Jamani watu wapo kanxani wamejipodoa kama majini sasa hawa wasafiri au makahaba jamani duuu mchungaji walio na yexu hawaixhi kwa bandia hao hawapo natural wako bandia
Mrongo Apostle! 'Kadri' maana yake ni 'predestined' by GOD, sio ati 'Kipimo'! Liar!
Na Mungu aliye umba ma Planets na Stars zote, kweli ana weza ku PUGUKIWA na Nguvu??? Si huu ni OWONGO!
Na nyinyi ma FALA wote humo kanisani, kwani hamu wezi kuji somea biblia cha Wazungu, pekee zenu nyumbani mwenu??
Kwani hamu jui kuji somea??
The bible is written in very plain English, and is self explanatory!
Why do you have to come to this false 'apostle" so that he can invent his own meanings in the bible?? How can he say that God's power can wane??
This is REDICULOUS!
This is what the bible says about 'apostles' like Bushiri Mapengo:
Mathew 24:24-25!
Amen
Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen