Amen pastor ubarikiwe sana, mtumishi wa Mungu umekua mwalimu kwangu sana . Unanikuza kiroho sana , Umenifundisha jinsi ya kufafanua maandiko . Mungu azidi kukutumia na kukupaka mafuta mapya kina uchao 🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲 . Amen ninaenda kupokea kina ninachokihitaji , kilicho funga ndoa yangu naenda kuifungua , kilicho funga huduma yangu naenda kuifungua . Kila kilichochangu ambacho kilifungwa naenda kuifungua Kwa jina la Yesu Amen 🙏🤲 l received in Jesus name 🙏🙏🙏
Niliangaika sana nikitafuta mwalimu wa neno ila Toka siku nilisikiza ujumbe wako!!! Umekua dawa ya Hamu na kiu changu Cha neno. Be blessed with more revelation for me and other.
Soo profound chief APOSTLE kumbe nateseka hapa ni juu sijafungua vitu zangu .Kuanzia leo nakiri kwamba kila kitu changu mali,familia,mashamba,biashara,ndoa nazifungua kwa kua BWANA ATAKA .
Mungu nisaidie nisochukue punda wote na hazina zote. 🙏🏾 I am blessed by this message. Thank you Apostle.
I receive
Mimi nipo DRC.. Napenda sana mafundisho ya apostle.. I want to have the opportunity to see him
Ameen baba nafungua fedha za mshahara wangu Bwana anazihitaji. Mungu akubariki mtumishi umefungua moyo wangu
Nimebarikiwa, glory to Jesus.
Powerful Revelation .More Grace to you Man of GOD.
Yoooh powerful teachings. Natamka kufunguliwa kwa maisha yangu na familia yangu kiroho na kimwili kwa jina la Yesu.
Vibes in christ ....open our mind and brings revaletion 😍
Amen pastor ubarikiwe sana, mtumishi wa Mungu umekua mwalimu kwangu sana . Unanikuza kiroho sana , Umenifundisha jinsi ya kufafanua maandiko . Mungu azidi kukutumia na kukupaka mafuta mapya kina uchao 🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲 . Amen ninaenda kupokea kina ninachokihitaji , kilicho funga ndoa yangu naenda kuifungua , kilicho funga huduma yangu naenda kuifungua . Kila kilichochangu ambacho kilifungwa naenda kuifungua Kwa jina la Yesu Amen 🙏🤲 l received in Jesus name 🙏🙏🙏
Ameni ..
I always in love with the grace of revelation that God give you.
Hallelujah 👏 glory to God almighty this message is mine
Continue Chief apostle.
Amen nimefunguliwa
Mungu akubariki mtumishi kuna sehemu navuka kwa imani nimefungua kwa jina la Yesu.
Amen Apostle nimekuelewa.Punda Moja ni WA kwangu na mwingine ni WA YESU.
Bwana amekutukuza saana mtu wa Mungu, naomba Mungu akuzidishie neema Amen 🙏🙏
Ubarikiwe sana Apostle,nafungua baraka ya ndoa na Mungu anaihitaji,, Amen
Hallelujah Mungu ni mwema sana, Chief Apostle Mungu azidi kukuinua
mungu akupe nguvu pasta maana mafundisho yako yananijenga kiimani xaana
Amina mtumishi Mungu akubariki nimepokea na punda mmoja ni yesu mwingine wa kwangu
Ubariwe Man of God kwa mafundisho mazuri yameniweka mahali
Niliangaika sana nikitafuta mwalimu wa neno ila Toka siku nilisikiza ujumbe wako!!! Umekua dawa ya Hamu na kiu changu Cha neno. Be blessed with more revelation for me and other.
Thank u I receive it in the mighty name of Jesus
Amina Sana mungu anisaidie
Amen Amen barikiwa sana mutumishi wa MUNGU
Amen my Apostle...nimefunguliwa in Jesus name Amen
Niko naangalia mafundisho haya,nimepigiwa simu watu wanataka nikawabee mizigo mji unaonikabili na kuupeleka mji mwingine. HALELUYA. Bwana ananihitaji.
This has found me in the right time chief apostle be blessed
Wonderful teachings be blessed you have taught me something pastor glory to God .
Amen amen amen lazima zivunguliwe zilizo fungwa leo, mungu akubariki mchungaji wangu
Amen
Nimekuelewa Apostle Mungu akubariki
The son of major one, I receive it
Poweful message🙏
Amina pastor,, God bless you
Amen
Amen ,and asante kwa neno.
Amen Chief umesema na moyo wangu. Mungu akubariki sana
Amen amen,ukweli niliamini,maubiri haya namungu akafungua,njiaya zangu nikanunua shamba
Soo profound chief APOSTLE kumbe nateseka hapa ni juu sijafungua vitu zangu .Kuanzia leo nakiri kwamba kila kitu changu mali,familia,mashamba,biashara,ndoa nazifungua kwa kua BWANA ATAKA .
Amen Apst nakuelewa .limbuko na tithe ni vua Mungu .connecting from Lebanon.im so blessed.
Nice revelation Apostle.❤️
Very powerful revelation
Baba napokea katika kiwango Cha utukufu wa Mungu akutunze chief prophet
Ubarikiwe mtu wa Mungu, nimejifunza kitu
Amina mtumishi
Amen mtumishi 🙏
Napokea kwa jina la yesu
Amen 🙏🙏 I received blessings
Napenda mafundisho yako
Ooooh! Hallelujah! Amen Baba🙏
Right timing, thank you servant of God for the teaching,nafungua biashara maana Bwana anahitaji🙏🙏🙏
Naomba nimiliki pikipiki mwaka huu amina niogezeke kiuchumi biashara yangu nizidiwe nawateja ktka jina layesu amina
Amen Baba nimefunguliwa sasa
Nabarikiwa sana mtumishi apostle
Nakukubali kwa kazi yako
Amen amen
Tena ubarikiwe sana from Kenya
Hallelujah jina la Yesu libarikiwe
Mahubiri mazuri sana ubarikiwe pastor
Ahsanteee sn baba ubarikiwe san san baba
Amen Apostle Asantee sana somo zuri 🙏🙌
Ameen chief apostle
Asante sana Chief Apostle
Amen,pastor saivi nimeanza kukufatilia
Powerful lesson
Nipo nje ya Nchi, Napigana Vita vya Kiroho mwenyewe, Mafundisho ya Mchungaji yamefanya nione sipambani peke yangu.
Am blessed 🙏 thanks 🙏 apostle
Ameni mtumishi
pastor your have been a blessing to me I know one day I will be delivered by your word
Amen chief, Mungu anisaidie kufungua ninachohitaji
You have Revealed it. 🔥
Thanks 👏👏am blessed
I receive in, Jesus name
Amen 🙏
Asante YESU KRISTO 🙏
Thank you god bless you is very true
Nimejifunza jambo jipya sana Leo💪💪
Chief Apostle..
Ubarikiwe saaaaan Apostles Mtalemwa
Aminaaaa
Powerful message 🙏
Barikiwa baba
Power full
Mha kiboko, nimekuelewe pastor
Amen 🙏🙏
Amen baba natamani sana ifike wakati uje mtwara, na sisi tushibe
Amem
BWANA YESU asante kwa kusema nami.
Halelluyah
Ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu
Yes I have faith. Amen
Kazi yangu iliyokamatwa naifungua, afya yangu ilikokamatwa naifungua ktk jina la Yesu.
Wah!! Apostle nikweli ninayo Imani
I receive brand new !!!!!
Napokea kwa jina la Yesu
I receive 🙏🙏🙏
Balikiwa baba
Natamka kufunguliwa kwa familia yangu kiroho na kiuchumi kwa jina la yesu.
Amina nimeelewa ufunguo ninao Mimi mwenyewe
Nimebarikiwa Leo kwa ili somo 🙌
Jina la Bwana lipewe sifa na utukufu milele daima
Leo nafungua kila mwanapunda wangu kwa jina la Yesu.
Nafungua kilicho changu kwa jina la yesu